Hawa wanafaa kuhamasisha timu ya taifa iwapo uwanjani iongoze ushangiliaji
@hassanjecha5069 Жыл бұрын
sahihi kabisa kk naunga hoja😊
@Ministar255 Жыл бұрын
Umeongea Ki2 kikubw xaana....Kabixa
@Simonirafael-wt4lc Жыл бұрын
Sana umenena
@HamisiLohay Жыл бұрын
Taifa ipi ya kina mamunyeto au
@HajiMbange Жыл бұрын
WAONGEZE UBUNIFU ILI IWE NDIO AINA YETU YA MUZI KAMA ILIVYO KWA WASOUTH HAR.ER PIANO
@christinainnocent3184 Жыл бұрын
MASASI OYEEE safi sana ndugu zangu waonyesheni kuwa wala korosho tunawasha motooo❤❤❤😅😅😅😅👯👯🥰👯
@verobecamfipa8655 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@muksinjuma4685 Жыл бұрын
Wala ming'oko tuna vipaji
@kdrama_lovers406 Жыл бұрын
Hapo kwenye rege alf ukazimulia na singeli...blood upo on fire sana....you're genius bro 🔥🔥🔥🔥🙌
@harounreg1137 Жыл бұрын
we misso missondo umepigaje hapo 💣💥🤯🤯
@KuyengamachumuBonphace Жыл бұрын
mtafika mbali ukiwa na stress zinaisha
@rodgersmwagu239 Жыл бұрын
Apo tayari misso missondo ushakamilika tayari , tupo pamoja mkuu🔥🔥🔥
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Hili VIBE Wa R.Chuga hawatii mguu
@davcodavid8651 Жыл бұрын
Kabisa
@amonymzawaaa8934 Жыл бұрын
Hapo hamna Mla bangi,,,,,
@Muuzambuzi Жыл бұрын
Amani kwamba Hawa wanajua
@theunseen.believe5672 Жыл бұрын
😂😂kijijini watu umewaacha na upwekwe
@subiraaddo864 Жыл бұрын
😂😂😂 kwa kweli watu wa dar wanajua kuwadhulumu watu wa mikoani
@LevisMark-f5o Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 hakikaaaa kijana waooo kashafika dar wazee wanapiga ramliiii😅😅😅😅😅
@ahmadmussa874511 ай бұрын
Miaka ile kuna wazee wangekuwa wanahangaika kumshushia bonge la busha au matende!
@dotolinos3750 Жыл бұрын
Kwani inchi yangu inakwama wapi kupata laha mpaka nije Tanzania kbx. Wacthing from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MotorcycleSupport-gz1qp Жыл бұрын
Hama njoo kwetu😂😂
@Muuzambuzi Жыл бұрын
Nimewapenda sana Hawa jamaa safi sanaaa👏👏
@patrickchristopher1311 Жыл бұрын
Wapewe kazi ya kuhamasisha event kubwa Jamaa anajua kuchanganya n Midundo banaa. 🎉🎉
@JeannetteManirambona-o6m10 ай бұрын
Sana
@innocentmboya1420 Жыл бұрын
huyu jamaa hakuna Dj anamfikia kwa hizi mix much repsect kwake aisé🔥🔥🔥🔥
@JeannetteManirambona-o6m10 ай бұрын
👊
@denisnathan5632 Жыл бұрын
💃💃💃💃💃💃💃tuko saf Kwa niaba ya mkoa wetu ❤
@shazilchilumba3408 Жыл бұрын
Dar na wazee wa vikoti kutoka kusini najisikia faraja sanaaaaa kuzaliwa kusini
@DULLAMWEMA Жыл бұрын
Unaweza sana miso
@LaliSamli-d4s Жыл бұрын
Mziki wa mapiano walianzisha madj wakiwa studio baada ya watu kupenda wakaboresha na kuuza Africa nzima, hii aina ya mziki wa miso misondo watanzania tumepokea vzri tuiboreshe zaidi ili tuuze Africa nzima ❤❤❤❤❤ miso
@fatoma-go2su Жыл бұрын
Jamani najihisi kama Niko nyumbani love you so much miso miissondo we Nilikuwa na stress ila sijui zimekwenda wapi 🙋
Uwiiii hapo kwnye tucheze kichina 😂😂😂 weeee dj utauwaaaaaaa 😅😅😂😅😂😅
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Miso uko vizuri sana,Sikh moja tuoneshe wazee wa makoti wakiwa wamedamshi,yasiwepo makoti❤❤❤❤👍👍
@evanjelcamelkizedeck1356 Жыл бұрын
Ubunifi mzuri❤❤❤❤
@MaxmillianNassary Жыл бұрын
Dj naomba sana katika mafanikio yako usijewasahau hao stedi show wako
@faidhacute Жыл бұрын
Miso misondo mtoto WA masasi,tutakumiss msimu WA ngoma huu da we miso
@allybakary4222 Жыл бұрын
HatAl
@allybakary4222 Жыл бұрын
Nambie kipenz changu😅
@mwarabusaid5115 Жыл бұрын
Wamewapora
@omeromer7058 ай бұрын
Bu grubu lütfen dünyaya tanıtın. Türkiye de çok ilgi görüyor 🇹🇷
@barakakevela245 Жыл бұрын
SAFI SANA MISO MISONDA NA HAO WAZEE WA MAKOTI
@maribasimon6993 Жыл бұрын
Misso Missondo utafika mbali mwanangu
@SwaleheSaad Жыл бұрын
From moka Lindi am proud of this guy's
@kgmkptyltd993411 ай бұрын
Salute🕺 toka Johannesburg ,South Africa
@mgangasamandua464 Жыл бұрын
Hatar Sana misondo
@nuruenock5402 Жыл бұрын
Kusin kucheleweeee,wapewe maua yaooooo❤❤
@gervasmalimi5126 Жыл бұрын
Oya kama umekoshwa na jamaa alie ingia mwishon nahene koti gonga like hapa
@WaldenJay-ly6 ай бұрын
noma sana misondo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@faridaharoon-w4k Жыл бұрын
Mmetisha sana jamaa zangu mungu azidi kuwapa ubunifu zaidi
@khadijaali9042 Жыл бұрын
Wanacheza mpaka tangazo😂😂
@jumayusuph8471 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dada khadeej unashangaa kucheza tangazo Kuna mmama yeye anacheza adi taarifa ya habari
@khadijaali9042 Жыл бұрын
@@jumayusuph8471 😂😂😂
@mamasalhat Жыл бұрын
@@jumayusuph8471😂😂😂😂
@mamasalhat Жыл бұрын
Sasa wakistop mzuka utashuka😂😂
@JonsonJohn-n6l28 күн бұрын
Sina maneno mengi ila ❤ miso miso ndo
@ramadhankizigwa5499 Жыл бұрын
Safi sana wazee wa Makoti makubwa big up from+254 nawacheki tu kwasana wazee wa kazi
@zubedahamis2346 Жыл бұрын
Nafasi ndogo studio😂
@rodgersmwagu239 Жыл бұрын
Hahaha m nilikuwa nawasubili wazee wa Makoti , apa imeenda tupo pamoja
@annakbunga8377 Жыл бұрын
Mungu abariki kazi za mikono yenu wauni mtafika mbali
@maxmia100 Жыл бұрын
Dah? Dogo mungu amekupa kipaji huyo boss aliyekuleta itabidi kila mwisho wa mwaka uende kwenu ukawape Raha kijijini kwenu maana watamis Sana maujanja yako
@AdelaMusa-ut5mx8 ай бұрын
Sisi hizi raha tushazipataga tangu tunasoma huko ndwika girls 2019-2021 madj wa huko u Ni fire
@ambroset1 Жыл бұрын
Love from Liberia 🇱🇷 🔥🔥🔥
@suluscharles8227 Жыл бұрын
Appreciate👌
@PendoPaul-jq9kb Жыл бұрын
Miso hongera usiwasahau stedshoo wako ukifanikiwa
@shazilchilumba3408 Жыл бұрын
Mwaka huu kusini tunaburuza kusini hoyeee atujakosea kumtoa majaliwa
@latwibujuma Жыл бұрын
Oya mmekuja hapa town makoti mmefua wanangu sana 😂😂
@CharlesMapua Жыл бұрын
Awajaja bongo kufuaa makoti so wamekuja kufanya kazi yamziki was singele co wewe unaewaza kufua indeleeea ivyoivyoo kuweka sabuni benki ili kesho ufue tena maana unaonekana una ata fikla zakufokia mwanaume awazi kufua ana waza maendeleo yakesho na wa totoakee coz wee bado mshmba na pia msenge ujitambuii
@symonmhoja3102 Жыл бұрын
😂
@mamasalhat Жыл бұрын
Wakifua yatapoteza laza😂😂😂
@latwibujuma Жыл бұрын
@@mamasalhat watakua wasafi kama wanaingia bungeni eeeh
@geraldcosmas-pq5ty8 ай бұрын
huyu jamaaa ni inevitable azuilikiiiiii ni moto wa volcanoooo
@arafapilingu Жыл бұрын
Tumepata vijana wa taifa hongera mbunge wa Ruangwa tunawaona vijana wako wa makoti toka Nangumbu😂
@CharlesMapua Жыл бұрын
Kumbe mwangu awa watoto wangumbu kweliii
@barikisanga3007 Жыл бұрын
Habari mjini now ni miso umepigaje hapo
@saidirajabu3734 Жыл бұрын
ni mtwara sio lindi
@Kevoo-3k7 Жыл бұрын
From Dubai big up bro
@sankajoseph4627 Жыл бұрын
Safi sana majizo mshamba hawezi kuelewi wamesha juwa nini kitatokea nani mtanzania anaweza kuimba kichina tena kwenye singeri
@PavilionHospitalb Жыл бұрын
Wamba kweli kweli nakubali @@ kusini kuna vipaji sana
@RamadhanMbura Жыл бұрын
Mh. Rais Amuite MISO MISONDO Ikulu na Group Lake Itakuwa Kivutio Kizuri Kwa Utalii Wa Nchi Yetu,,, Ni Wazo Langu Tu
@RashidiRehani-i3x Жыл бұрын
Hahooo majaanooma🎉🎉🎉🎉
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Poleni sana wana manyara,hanang,khatesh
@thomasbutingo17 Жыл бұрын
Hongera xn Efm mmefanya usajili wa maana sana
@halimadaud-k7d Жыл бұрын
Studio yote wakitoka apo inanuka kikwapa😂😂😂😂😂
@jumakatanje955 Жыл бұрын
Nongwa hiyo
@ricklandennis Жыл бұрын
Tajiri Majizo amebariki hata panuke nn ndio uhalisia wetu na kawaleta ndio maana mungu anajua wa kumpa ungepewa ww ungebana Hadi pumzi
@kalmaarufuofficial74 Жыл бұрын
Vibe🔥 wazokubwa 🥳
@fefeonlyme5394 Жыл бұрын
Wanacheza hadi tangazo😂😂😂😂
@happymchomvu6766 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@HamisMwiha3 ай бұрын
Upo good dogo
@MuksinOmary-c7x Жыл бұрын
nakukubali miso ao jamaa wanatisha sana, kwanza awatok jasho
@BdbsgVxvsv Жыл бұрын
Kweli misomisond😊
@saidashigela3696 Жыл бұрын
noma sana
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff Жыл бұрын
mziki huu hauna fomla galama ule ushibe bc akili ya kucheza utaipata😅
@RukiaJuma-h5z11 ай бұрын
Kusini kunicha tuvene kulinowela nip 10:39 ❤😊
@sankajoseph4627 Жыл бұрын
Nipo kwenye miziki kitaaaaaambo nawakubali miso miso misondo. 100
@AdamZacharia-n8v Жыл бұрын
Wako vizurii wazee baba
@GetfordMasehe-w3m Жыл бұрын
Unajua Sana miso misondo siyo kidogo
@JumaSeif-n1h Жыл бұрын
😅dk 6:33 How Rdj wanafanya
@JeannetteManirambona-o6m10 ай бұрын
Na wamiss ❤
@abdallahmwanga5792 Жыл бұрын
Baraha jipya mjini...😂😂😂 Umepigaje hapoooo....
@emilianikakiziba Жыл бұрын
Daaah wanna wachuga wakasome tena kwa makoti haya bado hawajasema mpaka waseme dj miso misondo hiyo imeenda
@JumaSeif-n1h Жыл бұрын
Dakika 6:55 Dj Misso 😂😂😂😂 Bonge la vibes
@HasaniSiopouwa8 ай бұрын
Mim simshabiki wa nyimbo zozte ila Kwa huyo dogo Acha nishabkie nimekuelewa kinyama Yan hata ikiwa umetupiwa jini lilishindkana kwa wagnga Kwa nymbo za hyu dogo linaweza kupanda na likatoweka sio mchezo dogo kajipanga mnao usumbuliwa na mashetan tiba ni hizi nyimbo amjachelewa😂😂😂
@MasudiNangololo6 ай бұрын
miso we ni noma na nusu
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
DJ MISSO UMEPIGAJE HAPO 😂😂
@HadiaMohammed-ec2dn Жыл бұрын
Bora na ss wat wa kusin tumepew heshim❤
@othumanlorenzo260 Жыл бұрын
Dawa ni moja tu kusoma hakuna kingine
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Huyu dogo DJ Misso anajua kinoma kupangilia Ngoma za amesha amsha.
@leevericiouskimvedaki444 Жыл бұрын
waooh rege kwa singelii 😊 nimepentaa 🤗
@shukuruboy64325 ай бұрын
Masai kaamka na chupi disco zima mtakula bakola siyo pow😂😂😂😂😂😂
@MuhammadMaulana-p2l Жыл бұрын
Wakifua makoti tu ndugu mtaribu mwendondiouwo wazee akunakufua makoti
@FrancisNoel-bi1hf Жыл бұрын
😛😛😛😛😛🤸🤸🤸🤸🤸🙆🙆🙆🙆
@theresiamatiya1599 Жыл бұрын
Hongereni sana
@MichaelMdolo-md8ie Жыл бұрын
Nimetamani sana jamani
@nurdinibrahimu7312 Жыл бұрын
wote wanajua kinoma ila Kuna mmoja namkubali sanaaa ni huyo alivaa jaremba la njano kama alqaida 💯🤝🤣🤣
@IvonaTriphon Жыл бұрын
Duuuuuh oya unajua sana mzazi nakubari inabidi usogee tegeta
@UpendoTonny Жыл бұрын
Hii safi
@shebyUlaya Жыл бұрын
yule Kweny kochi ndo mdogo wao wa mwish,yule ndo haelewiiiii kabsa
@fatmakashi7948 Жыл бұрын
Weee miso misondo umepigaje hapo nitahama nije bongo mie❤❤
@hamismchoma Жыл бұрын
Misso tunakuombea utoboe kk by hamis mchoma from liloya
@nuruelkeneth9940 Жыл бұрын
Misso missondo mda wote narudia kuwaangalia jaman😂😂
@SelemaniMnauje7 ай бұрын
fikiria Tena kwanz bro
@AfrahaNurudini Жыл бұрын
Wewe noma sana
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Hawa jamaa ni nomaaa
@innocentmboya1420 Жыл бұрын
na wazee wa makoti pumzi wanazo big up sana wapeni kazi hawa jamaa