DK.MWINYI AMEKUTANA NA SHEIKH DR.ZAKIR NAIK

  Рет қаралды 10,506

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

Пікірлер
@ShingwaHamisi-d1p
@ShingwaHamisi-d1p 2 күн бұрын
Allah akujalie uendelee kuwa na mapenzi na Uislam na Waislam Mh. Rais wetu kipenzi
@rakibuddinkhan918
@rakibuddinkhan918 Күн бұрын
Mashallah mashallah Dr zakir Naik hujur ka tour Kenya Africa ❤❤❤
@thelistener8357
@thelistener8357 13 сағат бұрын
Mashallah but tunaye mazinge kiboko ya wote hao including zakir naik lkn maskini hapati credit
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 күн бұрын
Nenda ukamuone sheikh nurdin kishki utaongea nae maneno ya hekma utakatibsgwa ki hekma kwa din
@ShuraymSuleimanSaid
@ShuraymSuleimanSaid 2 күн бұрын
If i ever have a chance to talk to our beloved honerable president of Zanzibar i would tell him to make sure these so called tourism diplomatic police to not harras drivers who just escorts their customers from a place where they pick them up to a place of their destination as long as they don't give them a tour. No 2 to make sure those cleaning companies are doing their jobs the way they are supposed be done. Our beaches are so nice but not clean too much empty bottles and on the streets OMG it's shame. We wish we can close their eyes so they don't see out there. Please please I wish I were the one managing it with full support of our president. May Allah surround you with productive assistants ammeen
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 күн бұрын
Ulimwita ikulu akakatisha mawaidha nlimaindi kweli
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 күн бұрын
Rais hujielewi badili kunuomba awaendeleze kuiimarisha din pia akitaka ajenge university ya din
@IvanChrisantus-hz4cv
@IvanChrisantus-hz4cv 2 күн бұрын
Wewe ni mtumwa wa dini kweli kweli , kwanini asijenge chuo cha utafiti wa kisayansi
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 күн бұрын
​@@IvanChrisantus-hz4cv utafiti bila kusoma ww mtumea wa mawazo.
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 3 күн бұрын
Nilijua kubwa ataambiwa ahamasishe Utalii na sio Uislamu
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 3 күн бұрын
Sasa ulitaka sheikh akatae au chuki zenu dhidi ya mwinyi musimpandikize sheikh wa watu
@TabiaYusuph-g5f
@TabiaYusuph-g5f 3 күн бұрын
Kwanza amemkalibisha kwakumuonyesha Nia Kam yey kiongoz ajiskie amani Kam anapenda ummat muhammad
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 күн бұрын
UTALII HALILI??? KWENDA UCHI WATUPU ULIOWALETA NA KUWAUZIA VISIWA ILI AENDELEE MAASI UNAYOYATAKA. ULAANIWE DR MWINYIII
@chongerayassini978
@chongerayassini978 3 күн бұрын
DUUH WEWE
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 3 күн бұрын
​@@chongerayassini978ni ukweli utalii na uchafu
@ibnkhalid-mh2rb
@ibnkhalid-mh2rb 3 күн бұрын
Allaah akuongoze kwanini usimuombee dua kiongozi wako unamlaani!
@UmumaherBakar
@UmumaherBakar 3 күн бұрын
Unamlaani mtu anayepumua khatma Yako unaijua?
@mrok284
@mrok284 3 күн бұрын
Usimlaani muislamu mwenzako hata kama amekosea hujui khatma Yako.
Dr.Zakir Naik Awasili Salama Zanzibar, Alhamdulillahi
22:01
islamicftz
Рет қаралды 28 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
#LIVE🔴 KONGAMANO LA AMANI MASJID ZINJIBAR-  DR ZAKIR NAIK 2024
4:08:39
Dua TV Tanzania (TZ)
Рет қаралды 19 М.
AFYA: SABABU 10 ZITAKAZOFANYA FIGO ZAKO KUFA-JANABI
9:03
Mchumi Digital
Рет қаралды 56 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН