Maalim Alidhulumiwa sana maskini ila hakuweka kinyongo alikuwa ni mtu wa pekee na lengo lake ni kwa sababu alikuwa anataka Maendeleo na amani ya Zanzibar 😘😘
@fatmakombo75843 жыл бұрын
Seif ni kiongozi mwenyee imani sana nä hofu ya mungu Allah amsamehe madhambi yake ameen
@eddimalon60513 жыл бұрын
Ameen
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Yes fatuma
@dotomohammed66623 жыл бұрын
Hiyo nikweli Allah ampe kauli thabiti
@mmadiausiy98103 жыл бұрын
Siku zote mazuri ya mtu huonekana baada ya kufa! But Maalim was really good man! Tumepoteza hazina! Ila ALLAh ameihitaji hazina yake! Innalilah waina ilaihi rajiuun
@fatumajuma11573 жыл бұрын
Unafiki ndio ulivyo
@hawahamad96283 жыл бұрын
Ni kweli
@khadijaa8153 жыл бұрын
Ishi ulaumiwe Kufa usifiwe
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Umejuwaje khadija
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Karibu saudia Arabia
@khadijaa8153 жыл бұрын
Shukran na ww karibu oman
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Asante +966537824849
@mohammedjumakhamis81513 жыл бұрын
Siku zote thaman ya ktu huonekanwa baada ya kuondoka. Asante umeongea maneno mazur mashaallah
@fatmamashallahdadadidahama98243 жыл бұрын
Simba, jembe, jemedari la taifa n nchi nzima ameondoka, n huzuni kubwa sana kwetu
@alimakame42073 жыл бұрын
Haki zake zote Mlizo mdhulumu mtaenda kumlipa mbele ya haki. Yy ameshatangulia na sisi tupo nyuma yake. Hakipotei chochote mbele ya Allah
@hamadnassor38643 жыл бұрын
Ali makame umeongea haki tupu haki haipotei kwakweli watamlipa Akhera in shaa Allah
@mulhatkassim43973 жыл бұрын
Hii cku namuomba Allah nipate nishuhudie cku ya hukum
@fatmas73383 жыл бұрын
@@mulhatkassim4397 unafikiri ni rahisi kuangalia hukumu ya may wakati yako hujayajua siku ya hukumu ni siku nzito sana mpaka kufikia kukimbiana baba atamkimbia mwanawe na mtoto atamkimbia mzee wake halafu ww unataka uone hukumu ya mwenzio tumuombe Allah atupe mwisho mwema tu
@ashasalmin1443 жыл бұрын
Je unauhakika kama yy haja mkosema Allah vp kama maneno unayoyasema apo ikawa ndo chanzo cha kuazibiwa uko aliko acha ayo mambo Mungu mwenye anatosha cha msingi tumuombee dua tu asaiv ndo chakula chake pengine uko aliko anajuta kwnn alijiingiza kwenye siasa na asiingie kwenye
@hawahamad96283 жыл бұрын
Yani we kaka nimekuelewa sana inauma sana.
@fatmajuma98353 жыл бұрын
Kutoka 1995-2020 mnadhulumu lkn inshallah kesho mbele ya haki kitaeleweka.
@zakiahaji16833 жыл бұрын
Maalim ameshasamehe
@abdulmohd68803 жыл бұрын
@@zakiahaji1683 nchi c ya Maalim hii, yy amesamehe madhila na udhalilishaji aliwofanyiwa yy km yy
@ashasalmin1443 жыл бұрын
Dua ndo kitu muhimu uko aliko lawama hazita msaidia
@ramilialiy37253 жыл бұрын
Tena hatuwasamehe walijue hilo
@ramilialiy37253 жыл бұрын
@@abdulmohd6880 swadakta hatuwasamehe wanajiona wamefika dunia
@queenmamy79703 жыл бұрын
Mnajua umuhim wa maji kisima,kimekauka
@mulhazinzibar69123 жыл бұрын
Leyohii kwasababu hayupo tena kilakitu mutaelezeya mbona hamukutenda haki kwenye uchaguzi SASA BC itabakistorituu unamsifumtu hayupo faidahaipohapo msifu MTU kablahajafumbamacho ajuwemwenyewe kwasasa Baba umechelewakidogo
@rizikiabdalla33083 жыл бұрын
Alimsifu kabla haja kama unakumbukumbu nzuri maalim alikutana na magu chato na akamsifia sana na pichaa Zipo
@khadijamajojo71233 жыл бұрын
Mungu amesema semeni mema ya maiti wetu na sio kama hakujua kua hana mabaya ivyoo misisahau dini mkakumbuka ya dunia tu
@yasiralkindi53323 жыл бұрын
@@khadijamajojo7123 nishakuelewa mamy lkn ujue kuwa mema ya maalim yameyafunika mabaya yake(Allah amjaalie qauli thabit )Amin
@alimakame42073 жыл бұрын
Mlirejea uchaguzi kwa sababu alishinda yy kwenye uchaguzi na mkakataa kumpa haki yake . Yaliopo mbele ndio bora zaidi
@ashasalmin1443 жыл бұрын
Ww angekosa kuchaguliwa na M/Mungu ndo ingekua kesi lkn binaadam so chochote kwake chamsingi muombee dua ayo maneno mnayosena hamuez jua kiasi gani yanamuumiza na kujuta kutaka uongozi
@alimakame42073 жыл бұрын
@@ashasalmin144 Soma historia ya dini yako Utafaham. Kuchagua kiongozi tokea kupindi cha Mtume (s.a. w) ilikuwepo. Wanaadamu wanachagua ni kiongozi gani ana maslahi wanamchagua. Hata kipondi cha Mtume Muhammad kura zilikuwa zinapigwa kwa mambo tofauti
@alimakame42073 жыл бұрын
@@ashasalmin144 Kwahio ww kwa fikra zake vile kuwa anachaguliwa na wananchi walio wengi kwamba awaongoze halafu hapewi haki yake kwamba imepotea bure? Hakuna chochote kile kinachopotea mbele ya Allah
@ashasalmin1443 жыл бұрын
Izo kelele munazo piga hazimsaidii uko aliko cha msingi dua tu asaiv kama kweli kiongoz wako unampenda bac Muuombee dua tu lkn kama angeliweza kutoka uko aliko yy mwenyewe angewasihi niombeeni dua mm msiniseme kwa siasa
@AA-yr7sr3 жыл бұрын
Moja Moja Moja katekeleza Alhamdulillah watu wote wameenda mazikoni Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar
@muliksuleiman16333 жыл бұрын
Wale ccm wa zamani do walikuwa wagombanishaji Znz Na tz na wenyenzi mungu at awajaalie waondoshwe 1mmoja mafisadi wakubwa mara mmpemba mara muarabu wakikuona na ragi hata kama umechanganyaa na mchaga wewe kama mwepe kazi hupewi kipande hupati wafukuzweeee ccm wakongwe woteee eeee looooo zaooo
@DirectorOne.t3 жыл бұрын
NDIO MAANA NASEMA MSIBA UMETUGUSA WENYE AKILI
@cadabra74023 жыл бұрын
He kijana upo
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Dunia ni mapito na starehe za muda. Vyeo, umaarufu, mali nk tutawacha hapahapa duniani. Tumtangulize Mungu kivitendo tusiishie ktk matamko vinywani na viapo lakini tunabariki na kuruhusu yamchukizayo kwa kutowa leseni na kutoza kodi ya mapato ktk maasi; ulevi/pombe, sigara/tumbaku, kutembea uchi/mashindano ya urembo, Miziki, riba, kamali nk !!!! Hivi tunamdhihaki Mungu?!!!! Tumesahau maangamizi walopata Umma zilizotangulia?!!! Tusijidanganye/tusidanganywe kwa kwa kauli za "MABADILIKO US TABIA NCHI...". Haya majanga na mabalaa ni kutokana na uovu/maasi tuyafanyayo duniani. Tunaenda Misikitini na Makanisani kwa unafiki (riha/sifa) tupate kuonekana ni waumini kumbe moyoni tunajuwa kuwa tunamtumikia shetani ! Yatupasa tubadilike tuwache mazowea. Mungu wa kweli hataniwi, kumdhihaki Mungu ni kujiangamiza wenyewe. Tumesaha yalomfika Firauni/Farao na watu wake, tumesahau ya Sofoma na Gomola/Kaumu Ruti?! Tusipobadilika/tusipomtaja Mungu na kumtegemea (kumuabudu) kivitendo tutegemee kupata mitihan zaidi ya Covid-19 na nzige. Si tunaona mvua zinazonyesha ni za maangamizi na mabalaa, likitoka jua balaa..! Hivi hatujiulizi tu?! Sasa huko Makanisani na Misikitini tunaenda kumuabudu Mungu gani?!! Tusijidanganye eti " Serikali haina dini...!" Hivyo Serikali ruhsa kuidhinisha haramu ! Wamepita mitume na manabii (waukweli) mbalimbali ili watuonye tusiangamie duniani na Akhera. Vijana/wanawake wanatembea uchi, wanaume wanasuka nywele, kamali, zinaa, maasi yamejaa tena hadharani afu mnasoma dua la kufungua Bunge kwa kumtaja Mungu, hivi ni Mungu gani mnae mtaja ktk dua na viapo?! Tubadilike tuwache mazowea, msitoboe Jahazi tutazama sote.
@muliksuleiman16333 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah mwenyezi mungu atazidi kutuhifadhi waja wake
@reformerthrone9723 жыл бұрын
Mimi namshukuru mh magufuli kwa ukweli na uhakika alioutaja bila ya kuficha.. Na dalili ya kutosha kwamba Dr sheni na wenzake walikuwa watu wabaya Kupita mpaka lakini allah atawapa malipo Yao hapa hapa duniani. Shukran magufuli kwa kutoa siri kama hio
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Mume mzulumu ndio leo mnatowa wasifu wake
@ramilialiy37253 жыл бұрын
Wakosefu ccm
@drabdi68063 жыл бұрын
Tulimuamin na tulitaman awe rais lkn awamu tano aligombea hamkumpa maskin leo ndo mnajua kama alikuwa na nia safi na ni mkarim Allah msamehe na mlaze pema peponi..
@sweetmeena59703 жыл бұрын
Wamemnyima urais kama anavonyimwa raila Kenya toka ana nguvu zake mpaka amezeeka siasa hizi
@ashasalmin1443 жыл бұрын
Akipata urais uko aliko unamtosha kuliko wa hapa
@ramilialiy37253 жыл бұрын
Tutoleen mashekh wetu tafadhali
@bibazanzibariyyah50433 жыл бұрын
Mbona hukusema tokea yupo hai ungemsifia yupo hai angepata faraja Alhamdulillah umemjua maalim Allah amrehemu
@machintangachibwena59223 жыл бұрын
Kwani haukuona Mwaka huu alipoenda cheto na Rais Hussein Mwinyi
@ramilialiy37253 жыл бұрын
Lazima usite kwa uhasid wako unaroho mbaya sn na ccm wenzio waone vile mumefurah kufa kwakwe tuyajuze 2 mate hayatemewi juu pia njia ni 1 tutaondoka 1 baada ya 1
@mohamedrajabu90553 жыл бұрын
Kufa asifiwe lkn iposiku tutajua ukweli wallah mtakufa vibudu au maiti zenu kutokuonena milele mmetuuwa sana Zanzibar kisa madaraka wallah allah ndio ngaoyetu haya fanyeni mkoa sasa Zanzibar muchukuwe nguvu zetu mimalizie njia ya tren dar allah tuthihirishie mnafki week hii au mwezi huu
@ramilialiy37253 жыл бұрын
Kabisa waache wafanye mkoa sasa
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Mtu akifa ndio mnaleta maneno mazur sio
@arafahassan52573 жыл бұрын
Wallah mpaka inatia hasira
@wahidakadrow84683 жыл бұрын
Mutamkumbuka sana Kwa wema wake. Ole wako magufuli
@yasminjuma6633 жыл бұрын
Hao waliokukatalia kuonana na maalim. . Na Sasa tunawaona
@kessirashidymikidady89053 жыл бұрын
Mungu ampe heri mwalim seif
@jumaaomary49493 жыл бұрын
Mzee bora unyamaze tu sisi hatukuelewi kabisa
@dotomohammed66623 жыл бұрын
Alijua fika ndiomana akajirudi hakutamka makuu yadhambi rip maalim sf
@ramilialiy37253 жыл бұрын
Mumemdhulumu since 1995 wanga wakubwa saiv nyoko nyoko
@mundhiraliy13073 жыл бұрын
Anaongea ujinga 2 mdhulumati mkubwa 😡
@khamissiali22313 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 SWALI: je nani ataziba pengo ? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ashasalmin1443 жыл бұрын
Mungu anayosha kuziba pengo ukisema ivo itakua unamkosea alie kuumba
@hawahamad96283 жыл бұрын
Hayupo wakuliziba pengo lake
@khamissiali22313 жыл бұрын
@@hawahamad9628 uvumilivu unahitajika katika kipindia hiki
Wewe huna chembe hata kidogo cha imani ya maalim seifu unangelikuwa na hata theluthi ya imani yake basi tungeishi kwa raha sana maana wewe umejiongoza wewe halafu uongo wa kujenga nchi ukatoa utu makodi yamekuwa mengi mno kiasi kwamba hatumui wanyonge
@hassanturky75113 жыл бұрын
Reekbisheni screen yenu. Yanakuja maneno ya ajabu ajabu
@ahmadozil22203 жыл бұрын
Mumeshindwa kumtumia wakati wote wa uhai wake Leo hii Ndio munamsifia wakati mumeshachelewa mwenyezi keshamchukua kiumbe wake. NA mpaka dunia itaisha hamtopata tena mtu muhimu kama maalim. Mungu ailaze mahala pema ROHO ya shujaa wetu na awape nuru ya kabri wale wote walotutangulia. Nasi tuko nyuma YAO.
@jamilmwinge36953 жыл бұрын
Too late... Ata angekua Tundulisu leo hii angesifiwa kua alikua mnyenyekevu mpenda amani shujaa 😂😂😂 hii bongo Dar es salaam.
@MaryamMaryam-hd7es3 жыл бұрын
Allah atamlipa mazur maalim wetu na hki yke haipotei ya dhulma
@ibrahimabdullah18873 жыл бұрын
Makufuli musituchanganye mlipenda kiongozi wetu awe Kama yahaya hata makaazi msiyajue nazalim mulio mfanyia ila jambo la kheri hakupata nafasi yakutoa kkwakua wazanzibar tunapenda Zaid kuliko mtu yoyote Zanzibar nindi mlicho igopa tu siwatu wazuri nyinyi hata kidogo
@saidmassoud20203 жыл бұрын
Mungu ndio maana aliweka kiama kila kitu kitafichuka
@sweetmeena59703 жыл бұрын
Huyu mzee alienda mazishini kweli mana sikumuona
@binmbarouk72463 жыл бұрын
Baada ya kufa allh amlaze pema peponi kipenzi chetu
@MaryamMaryam-hd7es3 жыл бұрын
Kweli ukishakufa ndo yanaonekana mazur yko ila sw Allah ndo anaejua yote
@mohamedrajabu90553 жыл бұрын
Huna hata aibu vyote mtuwwatu alivyokuwa nyeyekefu mtiifu leo hayupo ndio unajifanya myinge
@aishaaisharagp93813 жыл бұрын
Ww ndiofisadi ulotufisidi IlaAllah anakungoja
@machintangachibwena59223 жыл бұрын
Wacha hizo tofauti zilisha malizika wakati wameunga serekali hii mpya na Rais Hussein Mwinyi
@ashasalmin1443 жыл бұрын
Ww kama ulicho kisema huna uhakika nacho vp Mungu hakungoji ama baada ya kumuombea dua mwezetu ww unasema tu huji kama anaweza kuhukumiwa kwa icho ulicho kisema
@hiimbinaimmuslim30413 жыл бұрын
Hapo alipo kuja kuonana ma wewe mara ya kwanza unaongea nae na ukamjuwa mtu gani ulifanza mini
@hiimbinaimmuslim30413 жыл бұрын
Ulifanza nini kwenye uchaguzi huu siuliamrisha masii tena na watu wakafa juwa tu muogope mungu maneno yako na vitendo vyako tafaut mnafik mungu anakuona na kwake utarejea ujuwe muogope mungu
@hashirsalim95703 жыл бұрын
Unajua Leo kwa sababu hayupo tena
@dreamleague-uq2gx3 жыл бұрын
😢😢😢 I swear siwez kujizuia kulia
@samzali85543 жыл бұрын
pole utakufuru mwisho
@dreamleague-uq2gx3 жыл бұрын
🙏
@khamissiali22313 жыл бұрын
Stop please and calm down 😭, yaani kila wakizi kuyasimulia Yale aliyokuwa akiafanya kipindia Cha uhai wake ndio naishiwa nguvu kabiasa Hakika Simba ameondoka SWALI: je nani ataziba pengo? 😭😭😭😭
@mukrimkhamis85143 жыл бұрын
So peke yako...huu ni msiba wetu sote...tujikaze
@amosmoses78003 жыл бұрын
MuuAji wA hAki HuKo chATo ndiPo uliPomTenGeneZea maZiGiLA yA kummALizA . HaKunA asiEjuA hiLo MunGu AnaKuonA MbWa mwiTu wewE. NaWe yaTaKukuTA tu .
@kshdbzjnxksksw65673 жыл бұрын
Usijibebeshe majukum
@suleyhb10hb743 жыл бұрын
Muache aseme kikicho moyon unamzuwia km nanu hatuna lman nao hao c watu wa zuri
@AliAli-qf3to3 жыл бұрын
😢
@fatmaali20503 жыл бұрын
Ndio maalim anawadai viongozi wote wa ngazi za juu wa tanzania hsa wale watawala kwa kumnyima haki yake kuanzia 95 hadi 2020 aliyehusika na wizi kumyima haki yake maalim ataenda kuadhibiwa siku ya hisabu mana hakuna tena cha kumlipa kule
@ramilialiy37253 жыл бұрын
Hatuwasamehe tena kwa dhulma hiyo watatulipa ln shallakh
@maryamsaid92493 жыл бұрын
Hayo asingeweza kuyasema mwenyewe akiwa hai. Ama kweli neema ya kitu haijulikani mpaka ikutoke
@salimbakarisalim72163 жыл бұрын
Ipray for Africa Biografia continente there can think about there future guida and there Historia of the Universe that Is Lost true and security and Commes around Global International and feier of what Is Testmon Natio
@YusufAli-ib6xu3 жыл бұрын
Never listen to people views they are always worst and jealous rubbish