ALICHOZUNGUMZA MAALIM SEIF MBELE YA MAGUFULI NA MWINYI CHATO

  Рет қаралды 125,610

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 221
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 жыл бұрын
Safii Sana maalim seif Sasa naona mafanikio ya haraka yanakuja Zanzibar
@abdullahv.lebabu8182
@abdullahv.lebabu8182 3 жыл бұрын
Safi makufuli kwa kuimarisha siasa Zanzibar
@heavenlight5084
@heavenlight5084 3 жыл бұрын
MUNGU ibariki Tanzania yetu,dumisha udugu na umoja daima.amen
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
Ilitumika hekma kubwa sna kumpa maali seifu umakamo wa rais yan ni maono ya mbali sna lengo ilikua ni kumrahisishia kazi mwinyi ili afanye kazi yake bila kupigwa mawe yan kimyaaaaa 😂 mchawi mpe mtoto akuleleee sasa kile alivho kua ana kiahidi maalim seifu ndo akakitende tuone
@jamisonjude4944
@jamisonjude4944 2 жыл бұрын
You probably dont give a damn but does any of you know a method to get back into an Instagram account..? I somehow lost the account password. I appreciate any help you can give me!
@swahibambogo1833
@swahibambogo1833 3 жыл бұрын
Maalim seif Allah akulaze mahala pema amin
@samuelmwaipaja5181
@samuelmwaipaja5181 3 жыл бұрын
asante mzee wetu kwa busara zako. MUNGU akubariki na akuongoze katika kipindi hiki. amen
@thekingbudah3711
@thekingbudah3711 3 жыл бұрын
Safi sana mahalim seif tukopamoja tuijenge nchi yetu
@andresmartin6332
@andresmartin6332 3 жыл бұрын
Malim Seif hongera sana kwa hekima kubwa kwa maamuzi uliochukua Mungu akupe afya njema Baba
@hajikombo8578
@hajikombo8578 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima mungu akulaze majalipema peponi😭😭😭😭😢🤲🤲🤲🤲
@liliansamson674
@liliansamson674 3 жыл бұрын
Tanzania kwanza # Amani kwanza💪🏿💪🏿
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Nawaona masheikh , njia nyeupe kuelekea kuachiliwa!!!
@greenandbeach8134
@greenandbeach8134 2 жыл бұрын
Kumbe ulishtuk
@abdulwahidmsellem1964
@abdulwahidmsellem1964 3 жыл бұрын
Allah awaongoze inshaalah
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 Жыл бұрын
Mungu akulaze mahali peponi maalim seifu baba wa taifa la Zanzibar
@panchovalentino5922
@panchovalentino5922 3 жыл бұрын
Vizur mkuu nmependa Daima Aman itawale
@omarmhmammed216
@omarmhmammed216 3 жыл бұрын
Tunatumai soon mashekhe wetu wanakuja zanzibar kwa uwezo wa Allah
@feysalsaleh5444
@feysalsaleh5444 3 жыл бұрын
Inshaallah
@Mike-fv5lv
@Mike-fv5lv 3 жыл бұрын
Kama walivunja sheria za nchi basi wanapaswa kutumikia vifungo vyao.....viongozi wa dini hawapo juu ya sheria
@salimmoha7962
@salimmoha7962 3 жыл бұрын
@@Mike-fv5lv kwani hicho ni kifungo? Wapi jaji kahukumu au mahakama gani walipelekwa wakahukumiwa ndio useme watumikie kifungo chao mjinga wewe
@saifysaid7556
@saifysaid7556 3 жыл бұрын
@@Mike-fv5lv ww kuna kifungo wale wapo lockup miaka 8 acha ujinga ila jina lako linaonesha ushetwan ivi ww baba ako angekuwa yupo ndani ungesemaje
@sadickally1806
@sadickally1806 3 жыл бұрын
In sha Allah
@emanuelinno631
@emanuelinno631 3 жыл бұрын
Mwinyi we mtu cool sana mfundishe magufuli
@augustinemzeentinginya3057
@augustinemzeentinginya3057 3 жыл бұрын
Ili Magufuli awe cool sana na tuanze kumuita lege lege, na tupige madili kadri tutakavyo. JPM, wembe ni nule ule
@jurassicparkmovies8805
@jurassicparkmovies8805 3 жыл бұрын
*KWA KUSOMA MASHAIRI YA NYIMBO MBALIMBALI YAANI LYRICS NAOMBA BONYEZA Lyrics APO PEMBENI ILA PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANGU*
@suleimanissa2308
@suleimanissa2308 3 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania yetu na viongozi wetu
@sensiblejuniour6719
@sensiblejuniour6719 3 жыл бұрын
Mungu akubariki maalimu
@alirattansi5040
@alirattansi5040 3 жыл бұрын
Allah awa weke viongozi wote DAIMA...Ameen!
@thomasliteka8318
@thomasliteka8318 3 жыл бұрын
Maalim
@almusawyusuf2608
@almusawyusuf2608 3 жыл бұрын
Ili muonekane nawananchi mumefanya lamana mashekhe muwatoweee tunakuombenii
@samsonhaule3373
@samsonhaule3373 3 жыл бұрын
Maali Seif Una busara sana.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 жыл бұрын
i feel like our country has not served justice to this good old man. i pray he wont die with pain in his heart. thts just my prayer
@shifaaplusherbalmedicine
@shifaaplusherbalmedicine 2 жыл бұрын
Dawa zakutoa kitambi au kupunguza mwiili kutoa colesto
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Masha Allah 👏👏👏
@yassirrashid7802
@yassirrashid7802 3 жыл бұрын
Millard Ayo mumezid dharau iyo s ndogo maana yake nini hapo kwenye majina ya maalim seif..?
@samiakhamis1861
@samiakhamis1861 3 жыл бұрын
Maalim seif mtu mwenye akili nyng
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Kivip Yani
@an6808
@an6808 3 жыл бұрын
Hii Kichwa ya Mwinyi ilibidi iongoze Tz nzima, maana ushindani wa 2025, ungekua Ni Majaliwa vs Mwinyi, lakini sasa hakuna zaidi ya Majaliwa
@gimbagusweka7016
@gimbagusweka7016 3 жыл бұрын
Kwakweli anafaa huyu muheshimiwa Mwinyi, nanihakibatosha yahapobadae, nidhahirkabisa. Mungu' IBARIKI nchiyetu mungu' IBARIKI TANZANIA NA Viongoziwake wote.
@muddymaulid2771
@muddymaulid2771 3 жыл бұрын
anarud hukuuu
@majaliwabwitonde7749
@majaliwabwitonde7749 3 жыл бұрын
Anakuja 2025, usijali
@camiliusmassao5686
@camiliusmassao5686 3 жыл бұрын
Ukimtaja jina ndiyo hapati tu
@mbarakaiddi8209
@mbarakaiddi8209 3 жыл бұрын
naunga hoja asilimia"##%(
@HamadiMageti-ku2hg
@HamadiMageti-ku2hg 11 ай бұрын
Malim seif Allah akulaze mahali pema peponi amin
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 3 жыл бұрын
Mwinyi Mungu akubariki una uvumilivu wa Ajabu na Hekima Kama Mfalme SULEIMAN. BIG UP.
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
mwenyezi mungu awabariki wazarendo watanzania
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 3 жыл бұрын
Safiiiiii❤
@im8296
@im8296 3 жыл бұрын
Tanzania, Zanzibar bila chuki na hasama inawezekana.
@idrisabakar7928
@idrisabakar7928 3 жыл бұрын
Amani idumu
@elibarickmmbando6225
@elibarickmmbando6225 3 жыл бұрын
Ndio muijue vizuri siasa,kama mlikuwa hamuijui
@jabirmawazo9680
@jabirmawazo9680 3 жыл бұрын
JAMANI NA SISI TULIOKUCHAGUENI TUNAKA KUVAA SUTI HIZO .MBONA MNAPENDEZA NYINYI TU WAZEE WETU MTUARUWE NA SISI
@mohamedsalum3746
@mohamedsalum3746 3 жыл бұрын
😂😂kanunueyako
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Hahahaa,,,,,,,,safi sana maalim na dkt mwinyi!! ndio Tanzania tuitakayo!!
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Kuwa unganisha ilikuwa muwaunganishe kabla,hawajabaki wajane,na walemavu
@emmanuelwilliam7251
@emmanuelwilliam7251 3 жыл бұрын
Pole kwakuwahadaa wazanzibare
@zakariamsilu2333
@zakariamsilu2333 3 жыл бұрын
Tudumishe upendo na Amani
@salumhafidhally5927
@salumhafidhally5927 3 жыл бұрын
🙏
@emmanuelwilliam7251
@emmanuelwilliam7251 3 жыл бұрын
Ktk kuwaletea mageuzi ya kweli
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 3 жыл бұрын
Tutawakumpuka daima mungu aziweke mahala pema peponi🙏🙏🙏🇹🇿
@mathewungani9724
@mathewungani9724 3 жыл бұрын
Sawa sawa
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 3 жыл бұрын
😳😳
@iviejustified8109
@iviejustified8109 3 жыл бұрын
Tukiungana wa Africa tunaweza zaidi.... Hongereni Zanzibar
@awadhyazid7790
@awadhyazid7790 3 жыл бұрын
safi sana
@gimbagusweka7016
@gimbagusweka7016 3 жыл бұрын
Tuwewamoja daima namwenyezimungu atubariki nchiyetu, Amaninauturivu Uwabalikiviongozi WETU Nauwajalie Afyanjema.
@dicksonndalu6212
@dicksonndalu6212 3 жыл бұрын
Sawa
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 3 жыл бұрын
SAWASAWAAA?
@erastosolomon4554
@erastosolomon4554 3 жыл бұрын
Siasa mchezo mchafu sana walivyokuwa wanatupiana vijembe wakati wa kampeni hamna mtu alieamini kuwa hawa jamaa wanaweza kukaa meza moja, hongera sana kwenu mdumishe uhusiano ulio mwema kwa wa tz na wa zanzibar ili nchi zote tuwe mbele kimaendeleo.
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
MCHAFU SANA TENA WA KISHETANI
@neliustkyobya3065
@neliustkyobya3065 3 жыл бұрын
🙂
@echizua606
@echizua606 3 жыл бұрын
1
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 3 жыл бұрын
jaman
@johnmanyema6008
@johnmanyema6008 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@martinlilenga2280
@martinlilenga2280 3 жыл бұрын
Good vision
@johnmanyema6008
@johnmanyema6008 3 жыл бұрын
😁😁😁
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Politics iz not war
@nzumbizblogger4154
@nzumbizblogger4154 3 жыл бұрын
Mm najua wote mtafaata njia ya magu, mnaruka ruka tuu
@salimmoha7962
@salimmoha7962 3 жыл бұрын
Kwenda uko
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Mlo
@mtangombayaya7000
@mtangombayaya7000 3 жыл бұрын
Siasa za kweli na amani mungu atuzishie umoja wetu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Kabisa
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Innalilahi wainna rajiuni
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 3 жыл бұрын
Safi sana baba
@petrojosephmakono323
@petrojosephmakono323 3 жыл бұрын
Vizuri
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
@kassimmussa7814
@kassimmussa7814 3 жыл бұрын
Uhuru kwa mtu anaejitambua una thamani kubwa kuliko chipsi kuku kwamjinga🤣🤣🤣
@enocklema7213
@enocklema7213 2 жыл бұрын
Mmh kwel ubepari ndo uu
@pastorjamesmajaliwa7843
@pastorjamesmajaliwa7843 3 жыл бұрын
Nimependa Sana hiyo nilipenda ata kwa magu ningekua hivyo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
Wamemdhulum. MASKINI, alikuwa na MOYO MSAFI HILO NDILO LITAWAUMIZA dhulma haidumu na yeye kwa nguvu zake zote hakukaa Duniani. alileta umoja mzuri wa kuulisha na kupiga Wananchi wa Zanzibar.
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 3 жыл бұрын
Vipi kuhusu wale mashekhe?au ndo bas tena
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 3 жыл бұрын
Hamna nchi duniani iliyofanikiwa kuchukua nchi kwa maandamano yaliyomwaga damu na watu Wa chini kufanikiwa lazima vyama vyenye mlengo kufutwa na kuangamizwa kabisa.
@winfredcanaan582
@winfredcanaan582 3 жыл бұрын
Kaa kimya kama hujui historia, Misri, Morocco na Algeria zilibadili uongozi kwa maandamano. Raisi Mseveni na Raisi Kagame wameingia madarakani kwa njia hizohizo.
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 3 жыл бұрын
@@winfredcanaan582 fuata nyumbu wenzako beligiam tuachie nchi yetu tutafute Mali alizotupa mungu ambazo hatuwezi pewa na wanasiasa sitaki kujua siasa natakakujua nitafanikiwaje na mali mungu ametuzawadia nyumbu sio kila mtu lofa
@winfredcanaan582
@winfredcanaan582 3 жыл бұрын
@@andrewbigambo6721 hapo nyumbu ni nani? Unajua kwamba kuna watoto wamepata nafasi ya kujiunga na elimu ya upili lkn wapo majumbani kisa serkali haikujiandaa? Unajua mikopo ya elimu ya juu imeongezewa malipo ya 10%? Unajua kwamba ni mwaka 60 toka tupate uhuru na wanetu wanakaa chini mashuleni? Unajifanya unaipenda sana nchi kumbe ni mnufaika wa wizi wa viongozi wako ☹️☹️☹️
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 3 жыл бұрын
@@winfredcanaan582 swala wizi hats upinzani mbona wezi tu .ila tunashukuru awamu hii inafuatilia namna kiongozi inatakiwa kuwa yote yatatuliwa kupitia maliasili tulizonazo. Upinzani maneno mazuri mdomoni ila moyoni ni majoka.ila unadhani kwa non awamu hii wamewafutilia mbali hii awamu inaleta heshima kwa nchi bila upinzani kwa sababu kila mfumo tumeletewa na kama hauna tija nikuufuta tu.kama kiongozi mmoja anasifiwa kuwa na hotel na majumba mpaka ulaya huyuhyu anadanganya watu waandane hayo majumba na vihela vyake alidhani ataweza pata dollar kirais .hats Lowasa pamoja na mahela yake sasa hivi mbona afaidi mkapa naye yupo wapi.Magu anafanyakazi.
@winfredcanaan582
@winfredcanaan582 3 жыл бұрын
@@andrewbigambo6721 Haya mawazo ya kimasikini unayapata kwa wajinga kama wewe, kiongozi kuwa tajiri wewe inakuuma nini? Unataka awe maasikini ili iweje? Fanyakazi kwa bidii jielimishe wacha wivu wakisukuma!
@issahmswahili5301
@issahmswahili5301 3 жыл бұрын
Sisi ndiyo waswahili undugu kwanza
@godlovemgeni235
@godlovemgeni235 3 жыл бұрын
Ahahahaha siasa bwana daah
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@afredyohana356
@afredyohana356 3 жыл бұрын
Yani huyu mzeee ni mnafiki kweli na Mungu anakuona
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Unafiki wake upo wap
@nassiromar339
@nassiromar339 3 жыл бұрын
mwinyi unajua kuongea
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 3 жыл бұрын
Mhhhhhhhhm
@kasililamecksatano7302
@kasililamecksatano7302 3 жыл бұрын
Naitamani Tanzania ya viongozi wanaojadili mambo ya nchi kwa umoja hongera sana m/k JPM
@alexmussa2598
@alexmussa2598 3 жыл бұрын
Njia rahisi na salama ya ASILIA kumaliza tatizo la kiba100. - Kama wewe ni kijana au baba na umekuwa na changamoto ya kiba100, na umesha tumia vitu vingi kumaliza changamoto hii bila mafanikio, basi ninahabali njema kwako 🤩 - Hii sio changamoto inayo weza kutatuliwa hospital bali unahitaji kutambua chanzo cha tatizo hili kwako, kama ni la kuzaliwa nalo au limetokana na mabadiliko ya mwenendo wa maisha yako. - Kama lakuzaliwa nalo jibu ni kuwa unahitaji pacha wako kufurahia tendo, kama sio unahitaji kutambua aina ya vyakula na kutumia kisha kufanya zoezi la kuboresha msuli wako na kwa muda wa siku 15 mpaka 60 ukizingatia unamaliza tatizo hili. - kama wewe upo na changamoto hii, basi usisite kuwasiliana nami WhatsApp au sms ama kwa kupiga simu, kisha nami nitakupa tiba kamili na ya asilia isio na madhara/wala chemical yeyote mwilini baadae Mawasiliano yetu 👇👇 Number- 0744481111 Instagram- @Afya Mkononi
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Muyu umeenea toto lakini hakukunyesha mvua,
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
Iyo ikULu chaTo imeJengWa na HeLa za NaNi
@aokinsindi6948
@aokinsindi6948 3 жыл бұрын
Hivi,,Leo kamwamkia,,shikamooo,,auu????sijasikia salaam yao,,
@Mike-fv5lv
@Mike-fv5lv 3 жыл бұрын
Hata akimsalia ni kwa umri wake nasi kicheo.....kumbuka Seif kimuungano na kwa majibu wa katiba kama sikosei yupo chini hata kwa waziri mkuu haingii..
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
@@Mike-fv5lv Kukusaidia tu hii ni Ihsani ya Kiviongozi wa Kitaifa lakini kiprotocal Makamo wa kwanza na wapili wa Rais wa Zanzibar hawana nafasi yoyote ndani ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, hawakutajwa popote kwenye Katiba ya Jamhur ya Muungano. Hadi sasa inamtambua Waziri Kiongozi kuwa ndie mtendaji Mkuu wa SMZ. Ukumbuke SUK imeingizwa kwenye Katiba ya Zanzibar 2010 wakati mabadiliko ya mwisho ya Katiba ya Jamhur ya Muungano wa Tanzania ni July 1992. Hata misingi ya SUK haijasimama na mwisho wake 2024, chezea mote lkn sio Serikali sio uji hasionjwi wala haitajaribiwa ni CCM mpaka infinity.
@HassanHassan-sn5cj
@HassanHassan-sn5cj 2 жыл бұрын
Mwenye macho haambiwi tazama yaani huyu mwamba anaongea lakini kuna watu wawili wanaonekana wamejawa na hofu na wasiwasi !! Nadhani hofu yao ni je atamaliza hotuba yake bil kuchafua hali yahewa au vp!?
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Mbona Maalim hamkumpigia makofi wakati anaongea? Siyo vizuri inaonyesha bado mnambagua.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 2 жыл бұрын
ZITAZAMENI HIZI SURA ZA HAWA VIONGOZI MTAGUNDUWA KITU INAONEKANA WALISHA KUBWA NA CORONA ILA WALIKUWA WANAJIKAUSHA KI USOLAPA GANZI LAKINI WOTE WAWILI WALIKUWA TAYARI HOI.
@jumasharif7146
@jumasharif7146 3 жыл бұрын
Yeye munamuahid kama nani? Na wakat kila mmoja ana nchi
@mangaabubakari5111
@mangaabubakari5111 3 жыл бұрын
Yani hadi raha hii ni ishara tosha kuwa Tanzania ni inchi ya amani upendo na bila kujali ukabila ukanda wala uchama. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki viongozi wote wa Tanzania
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Utaliona likigemwa lakini kinwani halitoingia
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 2 жыл бұрын
Yo
@kevinmtei1457
@kevinmtei1457 3 жыл бұрын
Umoja ni upendo upinzani si uadui
@nipolive..2745
@nipolive..2745 3 жыл бұрын
Hicho ndo kinacho wahangaisha wapenda vyweo
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Kawa lainiiiii
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 3 жыл бұрын
Amani itawale Tanzania yote, tunakuomba Mwenyezi mungu ibariki Tanzania
@marrydamian2864
@marrydamian2864 3 жыл бұрын
Eti nkweli amefikia being maana alikuwa mdomo kaya xana
@alhamud2721
@alhamud2721 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@patricksamwel6230
@patricksamwel6230 3 жыл бұрын
Nikikumbuka enz ya jino kwa jino 😂😇
@christinashaban7262
@christinashaban7262 3 жыл бұрын
Masihara nini😀😀
@blacksimba6967
@blacksimba6967 3 жыл бұрын
Wananchi Wana Njaa
@ramadhaniharuna8110
@ramadhaniharuna8110 3 жыл бұрын
Namcheki maalim kwmbalii sura inakuja inakataaa 😂🤣😂
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Hahaha uwii
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 жыл бұрын
Acha fitna 😂
@rolax1999
@rolax1999 3 жыл бұрын
Tutunze Aman yetu
@vincentnyello1885
@vincentnyello1885 3 жыл бұрын
K
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
*1 2 3 1 2 3 tunataka masheikh wetu wa jumuiya ya uamsho waachiliwe huru gerezani kwani hawana hatia yoyote ni dhulma tu wafanyiwayo*
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR 3 жыл бұрын
Humu kwenye mtandao unamueleza nan?
@zuwenasalum1563
@zuwenasalum1563 3 жыл бұрын
@@ARMANIDIORFILMDIRECTOR Anaueleza mkundu wako si ndo ulosimama hapo unahutubia
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
@@ARMANIDIORFILMDIRECTOR namueleza mama yko lakini naona yuko bize anatombwa
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR 3 жыл бұрын
@@komboomar8275 acha ushoga wewe, c aende serikalini akawaeleze, humu nan anamckia?
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR 3 жыл бұрын
@@zuwenasalum1563 nenda gerezan ukawachukue
@shabanisaid5933
@shabanisaid5933 3 жыл бұрын
Kuna. Nini hukooo
@salehejongo2799
@salehejongo2799 3 жыл бұрын
Seiph Aman pambna Kwa zanzibar
@damaswikoko2596
@damaswikoko2596 3 жыл бұрын
Haha
@sophyeliah954
@sophyeliah954 3 жыл бұрын
Hiki ndo tunachokihitaj
@basachitopela1997
@basachitopela1997 3 жыл бұрын
Mambo
@sophyeliah954
@sophyeliah954 3 жыл бұрын
@@basachitopela1997 safi boss
@basachitopela1997
@basachitopela1997 3 жыл бұрын
@@sophyeliah954 pande zip
@blacksimba6967
@blacksimba6967 3 жыл бұрын
Maneno matupu. Wananchi Wana Njaa!!!
@petermachondo8285
@petermachondo8285 3 жыл бұрын
Wataka urishwe au?? Kafanye kazi acha upumba
@abdisalim1157
@abdisalim1157 2 жыл бұрын
Mmungu akujaalie Firdaus ya juu kabisa
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 25 МЛН
Konde Music Artists - Ahsante Magufuli (Official Video)
6:18
Harmonize
Рет қаралды 4,6 МЛН
ZITTO KABWE AZUNGUMZA MANENO YA UCHUNGU MSIBA WA MAALIM SEIF
21:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 16 М.
MOTO WA MAGUFULI ALIPOKUWA WIZARA YA ARDHI
16:51
Quadroonq Quadro
Рет қаралды 39 М.