Dogo yuko vizuri we so proud kuona mmekuza kipaji chakr sema nikionaco anaitaji kupewa nafasi zaidi anamadini ndani mwake pia kitu bora nilicokiona ana confidence yakupita maelezo. Mola azidi kumlinda alinde pia kipaji cake kikuwe
@kondoatown87653 жыл бұрын
Huyu Dogo kawauwa wakina nani ? yule Mkongwe anaejichetuaga chetuaga . Stand up comedy haitaki mbwembwe za kujichetua inataka punch hta ukisimama tu Kisha unatoa punch ww ni mkali tu . Kuna wakongwe wengine wajirekebishe aisee ! La sivyo watapotea stand up comedy unakuja eti papiiiiiii . Wakongwe wengine mpk unaona aibu kumwangalia hta kma upo peke yko na simu bt dogo nimemcheki more than 2. Big up Dogo unawezaaa .
@lovvy8543 жыл бұрын
Kweli kabisa yaani mtoto katumia punch mwanzo mwisho kipajii original iki
@RobbyMedia5723 жыл бұрын
Kwel Kuna fala mmoja Kila akijaa eti papiiiii kama shoga vle
@mtaalamwamambo20993 жыл бұрын
Ni kweli kbsaa, najua unamuongelea jol mastar hamna kitu.
@mrschoty16323 жыл бұрын
Katulia na maneno yanaskika vzr🔥🔥
@lovvy8543 жыл бұрын
@@mrschoty1632 kabisa halafu yeye mwenye ako serous utasema niukweli yuwatoboa Siri za babaake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥
@salamaaziz29073 жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllah 🤣🤣🤣🤣🤣😭Allah akulinde na hassad na kila Shari ya alichokiumba love you dogo Sele 🥰😍🥰
@NEXTtz3 жыл бұрын
Dogo anajua sana akipewa madini zaid atakuja kua mtu mnoma sana apa bongo maana kwanza ana confidence🔥🔥🔥✊
@dutchsafari75623 жыл бұрын
Uyu dogo akiendelea kupikwa vizuri kwenye stand up atakuja kuwa moto Sana 🔥🔥presentation yake iko poa sana big up Steve mweusi✊
@anamgesi26343 жыл бұрын
Mungu akuze kipaji chako ani nimechoka
@m.cchemiteicomedytv54313 жыл бұрын
From Kenya big up dogo sele
@kitunganolwebo75703 жыл бұрын
🇨🇦Bwana mDogo Sele nimekuzoe kwenye vidéo, ila leo naamini stand up comedy unaiweza pia…👌💪
@lovvy8543 жыл бұрын
Dogo ameuuwaa🔥🔥💪 na Watanzania ata hamukumtuzaaa bwana haifaiii kuuzeni vipaji Kwa kuvipongezaa waacheni ugumu
@kicheko12523 жыл бұрын
Unachofanya Coy siyo fair, unajua kabisa mabundle yamependa na wewe unawaleta madogo wakali kinouma 😀😀😀
@officialteeh12133 жыл бұрын
MashaAllah dogo 🔥🔥 confidence first time steg lakini woow I love this
@mkaapwekekariakoo64173 жыл бұрын
Genius nadhani Kama so ndugu na midevu basi Midevu huwa anataoa kwa huyu😆😆😆
@heridadia96343 жыл бұрын
kulinga na ukavu na kujiamin nimejikuta nakukubali dogo Nakuona mbali san Mungu akubaliki na akutngulie👏
@zenabaziga36203 жыл бұрын
Wlh nimesheka mpak sele unajuw mungu akulinde kbs
@omaryonga17763 жыл бұрын
Huyu dogo yupo vizuri sana hapo baadae atakuja kuwa stand up comedian mkubwa sana, keep it up ..
@reginachizi66383 жыл бұрын
From Kenya have enjoyed the show dogo Sele 🤣🤣🤣🤣watched for the 1st time and liked the show 👋👋👋👋
Mm nakukubali dogo wangu we nahic ndo umepresent vizur
@chogs6663 жыл бұрын
Genius sio ile takataka yenu ya bambiii sjuii 🤨🤨🤨 jol master akajitathmini
@angelageophrey82583 жыл бұрын
Kabisa simuelew hata
@soloartist_ivanvespalusind16093 жыл бұрын
Hata mimi simu...
@Player1_6663 жыл бұрын
Ningemshauri Mondi aekeze kwa huyu kijana na amshike mkono,,, waanze kumfunza maadili sahii ,, maana huyu anatisha kinoma hapo kauwa kuliko wote,, ameuwa kuliko mc jessy love from kenya
@hopedigitalmedia343 жыл бұрын
@Majenerali kasema hvyo coz cheka t hko chini ya mondi so cjui ww unaumia nini bac tukuombe ww umshke mkono huyu dogo.
@zahraahmed47433 жыл бұрын
Nakupenda bure dogo sele nilikua nahasira lkn nilipokuskiliza tuu nimecheka sana asante sele kuresha furaha yangu mungu akubariki Amiin🤲🤩
@mwlshekaoneka77143 жыл бұрын
This young sele...if am not mistaken anasoma buza p/s. So kwa talent aliyo nayo ni bora akatengenezewa condusive environment akasoma English medium schoolili baada katika soko LA comedy aweze kuwa ana compete hata outside of the country.... I wish tumuone sele katika level za juu katika industry hii ya comedy "So you have to build international language foundation kwa huyu mtoto..... That is my opinion.... He is very talented👏
@mhandoomary85393 жыл бұрын
Huyu mtoto hajawah kuniangusha... tanzania tunavipaji issue ni kuviendeleza tu... nadhani huyu ndo best young comedian in tz
@kokolocinemasstudio3 жыл бұрын
Huyu dogo amewashinda wakongwe ETI papiii af anaanza kutukatikia badala ya kutoa punch
@ProchesJulius3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 I like this Boy. What a Talent. Very confident, funny, amazing flow of Jokes. Just phenomenal 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@mariamkivuyo81542 жыл бұрын
Mwenzi Mungu awe.upande wako dogo sele Rais.wetu kipenzi miaka ijayo
@shedracdamas12403 жыл бұрын
Uyu dogo anajua sana mungu amfikishe mbal
@aganzemukongomani2722 жыл бұрын
🤣🤣🤣dogo sele ww? Dah? Una ni furaisha mdogo wangu! DRC tuna ku miss saana
@inocentgalinoma95443 жыл бұрын
Mkn...mdogo wangu utafika mbali
@simonkiginga93493 жыл бұрын
Dogo anajua mpaka anapitiliza
@fredrickfrancis6673 жыл бұрын
Dogo atakua King Seremani Comedian
@DrNick-hg6il3 жыл бұрын
Mbona mchele grade 1 umepanda bei hivi🤣
@hamoudcreator63433 жыл бұрын
I love his stage presentation, he does everything, hands, feeling's, movements, Wowwww😆😆
@benihd11432 жыл бұрын
Mungu mwema ,,,,,,
@fransismange10913 жыл бұрын
What a talent. The kid has bright future. Coy, huyu dogo mpe nafasi za kutosha kwenye Cheka tu, atafika mbali sana.
@ednammanyi80413 жыл бұрын
Big up uongoz wa cheka tuu kwa kukiona na kukiendeleza kipaji cha mtoto 💪💪💪....dogo Kaz buti
@pmall88673 жыл бұрын
Kwanini ajikute bhakhreesa 😂😂😂
@azizamohamed76923 жыл бұрын
Dogo sele Yuko vizuli kwa kweli Mungu azidi kumuongiza kwenye kipaji chake
@MOTHERFLOWERS3853 жыл бұрын
Dogo anajua wacha Mungu azidi kufunguwa njia zaidi dogo aende ulaaya
@cavangacavanga82313 жыл бұрын
Noma saana big up my dogo tunakuelewa saana🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@D-Man.B-Free3 жыл бұрын
Dogo Sele kawascha mbali kwa views woteeeee!kiboko wao,daaaah!!!
@dula88193 жыл бұрын
Mbona mmempa mda mdgo dakk 3 tu
@TariqAziz-sc1lb3 жыл бұрын
Mashallah wat a talent , very young and confident , allah bless his talent
@emmabroy12093 жыл бұрын
Mi wote nimewaangalia Ila dogo kamaliza
@dula88193 жыл бұрын
Nnachomkubal anamiaka 10 lkn anavojiamini naongea mbele ya mamia ya watu tena watu wazima na anaona Kama anaeongea nawatoto wenzake tu hongera Sana dgo 🙊🙊🙊🙊🙊
@vincentmushi12473 жыл бұрын
Dogo atakuwa mkali Zaidi ya ukali Hahaaaaaa
@stevemwakisimba59863 жыл бұрын
Steve jiongeze dogo anakwenda kumilikiwa na wenye pesa!!du kafiti sana huku nawakubali sana mkiwa wote
@swabrisalmin26723 жыл бұрын
Dogo sele uko vizuri Mashallah hapo swabri from+254🇰🇪
@mashaloyuzo12963 жыл бұрын
Dogo kauwa San safi San coi umekion kipaj kweny comedy stage
@mao96223 жыл бұрын
Hongera mtoto mzuri
@veronicamsovela7553 жыл бұрын
Uwiiiiii so cute jamn Na anakipaji coy endelea kukuza kijapa chake
@mwigaramadhani36873 жыл бұрын
Eti ivi kwanini mchele grade one una panda bei kila Siku ivi kweli tutafika.🙌👏😀😀😀😀🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃
@MakwayaMedia3 жыл бұрын
Dogo apewe muda zaidiiiii
@barakalukumay80873 жыл бұрын
In Shaa Allah... MUNGU Akujalie Katika Kipaji Chako Mwanangu Sele...
@broka_genius36153 жыл бұрын
😂😂😂 kajitaidi xana yan xana
@johnntara9423 жыл бұрын
Dogo anajua
@deusrobert13433 жыл бұрын
tutafika kweli mbana Mchele grade one umepanda bei 😂😂😂
@mrishomohd54633 жыл бұрын
Dogo anaweza uyo👏
@officialnadoboytz10053 жыл бұрын
Tena ndo mchele kaninginiza hivi Anajikuta Balesaaa 😂😂😂
Dogo sele nakukubali Sana kijana hakika kipaji Chako unakitumia vizuri Alafu dogo hatumii nguvu nyingi Anavyo limiliki jukwaa Kama vile mkongwe
@clevermsigwa63973 жыл бұрын
Talented boy dog anaweza sana apewe nafasi zaidi akuzee kpaji chake zaid
@njoroboihustla1253 жыл бұрын
Selle uko vzur😂😂😂
@melkionpaulhaule3 жыл бұрын
What a goooooooooal dogo sele into penalty box 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
@hmanyinja3 жыл бұрын
Our new generation Eric Omond
@ceezbug3 жыл бұрын
Hii zaidi ya Eric Omindi
@nasibfeirus87993 жыл бұрын
Wew selle ndio will Smith wa Tz
@soloartist_ivanvespalusind16093 жыл бұрын
Mh! Ni ya kweli haya! Au ya kutengenzwa, sio kwa mikofidance hiyo. Ni dhahabu nyingine Tz
@arnoldchristian79713 жыл бұрын
Dogo anajuaaaaaaa confidence 1000000000%%%%%%%
@aayeshakhan99623 жыл бұрын
congratulations unaweza tena sana yani 💯💯👍👍👏👏🌹🌹💙💙🙌🙌👌👌🔥🔥
@tanzaniagospel3 жыл бұрын
Huyu dogo anaweza sana
@mrgeorgeisdory52773 жыл бұрын
Hongera kwa Steve mweusi mwezi bora
@keptenpojos8213 жыл бұрын
God bless u Mr Koy..🔥🇹🇿
@rodgersmathew3 жыл бұрын
Nilichopenda dogo kuna message ameiwasilisha, its not just to comedy... but has something else inside...
@ModernFlicks3 жыл бұрын
The Future. Hapa mmefanya jambo la maana sana
@felixmwirigi44523 жыл бұрын
I love the content of this boy
@shaban66443 жыл бұрын
Confidence 100%, Real talent
@sapparworld17333 жыл бұрын
Punch lines za dogo ni zaidi ya zile za mpoki wa sasaivi
@hamoudcreator63433 жыл бұрын
His first show on stage and he nailed it with an extraordinary performance.. Maasha'ALLAH 😳😳🤣🤣🤣🤣 ChekaTu please grab this little kid.. Anajua kupitiliza... I have never seen Bongo little funny kid🤣🤣🤣
@madamleylah21203 жыл бұрын
Dogo katisha katisha san
@bloodlinevidix3 жыл бұрын
Nakubali dogo ukasawa umuchukua point
@ibravoncreator70283 жыл бұрын
🔥🔥🔥😅😅 what a talent
@neemamjema10673 жыл бұрын
Dogo wamotrooo confidence kama yote💓
@khalfaninassor53223 жыл бұрын
Mnawaharibu watoto. Upuuzi mtupu.
@stanleypius33653 жыл бұрын
Dogo kauwa kuzd wengi sanaa
@ARTHEMON19973 жыл бұрын
Endelea DogoSele
@scopioneckboy38453 жыл бұрын
Jamani huyu mtoto bwana hatar
@hassanussein18173 жыл бұрын
He can become a million within 10 years older
@mohamedally71303 жыл бұрын
Nampenda sana mke wangu munira
@williammasawe15503 жыл бұрын
Anakuja vizur
@airocliff2 жыл бұрын
Dogo dele ni wewe dady akuna mwengine baa
@tukiokikoti67373 жыл бұрын
The very talented little boy.
@mlowoonlinetvmalwa82633 жыл бұрын
DOGO anajua sana
@tantinebettynduwimana3803 жыл бұрын
Mungu amlinde huu mtoto jamani nacheka hadi nimelia😢😢😢
@لطيفهيحيى-غ7ذ3 жыл бұрын
Maashaalloh mbavu zangu nice dogo sele
@Donrugi3 жыл бұрын
Huyu dogo dah 🔥🔥📌📌📌
@elogesyasuma88763 жыл бұрын
Dogo sele mina kusoma mtu wangu🤣🤣🤣🤣🤣
@seifmohamed8363 жыл бұрын
Umewazidi hata kina mpoki 😻😻😻😻😹😹😹😹
@YaNoah-Congo-Bongo3 жыл бұрын
Dogo mkali kinyama 😂😂
@nickmoshi82433 жыл бұрын
Huyu Dogo namkubali sana
@mosesmdindile3323 жыл бұрын
Hongera sana
@gradnessshitindishitindi48813 жыл бұрын
Nakupenda mdogo wangu sere
@damianjeremia38213 жыл бұрын
Huyu ni dogo sele au baba ake bado sijaamini nilichokiona