DOGOJANJA Afanya KUFURU ARUSHA APIGA SHOW BABKUBWA! AWAPANDISHA WADUDU KWENYE STAGE

  Рет қаралды 132,851

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@AmigoPhones
@AmigoPhones 8 ай бұрын
Kama umekubal alichokifanya dogo like zake apa
@HoneysfashionMkunguni-jf9wc
@HoneysfashionMkunguni-jf9wc 8 ай бұрын
Punguza ushamba
@AmigoPhones
@AmigoPhones 8 ай бұрын
Ushamba upi wewe wa mjin et
@ShaDrohd
@ShaDrohd 8 ай бұрын
Hongera Mama Samia. Hongera Makonda. Hapo nimeona ajira ya steji shoo. Janjaro njoo Dar ufanye shoo kubwa na hao wadudu wasio uma hiyo ni brand tayari.
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 8 ай бұрын
Najiuliza yule dogo janja wa 2015-2019 yuko wapi naomba ujumbe huu umfikie maana alikuwa mtu frani wa mfano vijana wengi walikuwa wanapata njaa ya utaftaji kutoka kwake njaa yake kwenye muziki hamasa mitandaoni safi lakin saiz sijui nini kimekupata broo hizo hit unazo perform hatuzioni siku hizi jamii bd inakuitaji pia binafsi watu wengi wanapenda mafanikio yako niwakati wako dogo janja siji kusema tena inatosha kwa ufupi tunataka hit by hit ❤❤❤🎉 Dunia nisehemu salama janjaro republic
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 8 ай бұрын
😂😂sa kla sku awe mfano tu asiwe swar la mtihani 😂😂😂😂😂saivi acha awe necta 😂😂😂😂
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 8 ай бұрын
@@dallerbwoyniglo8675 🤣🤣🤣🤣 itoshe kusema akili zako zinakutosha mwenyew ndugu 🤣🤣🤣.
@lovedavie9621
@lovedavie9621 8 ай бұрын
​@@dallerbwoyniglo8675😅😅😅😅😅🙌
@gracendumbaro5196
@gracendumbaro5196 8 ай бұрын
Ameoa na Analea au hujui
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 8 ай бұрын
Analea😂😂😂
@saidharbinie-dl4dd
@saidharbinie-dl4dd 8 ай бұрын
Wadudu wametoka kwenye ududu wamekuwa wabunifu big up sna
@mjumbewakristo8677
@mjumbewakristo8677 8 ай бұрын
tunao muangalia kenyonyo like hapa 😂😂
@youngmaster4127
@youngmaster4127 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Pastor1815
@Pastor1815 8 ай бұрын
Kenyonyo yaani
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 8 ай бұрын
😅
@shamilamuhogo7542
@shamilamuhogo7542 8 ай бұрын
😢😢😢 Arusha jamani dah ngoja tu nicheke tena😅😅😅
@kizaziog
@kizaziog 8 ай бұрын
Like za Kizazi og Na Kenyonyo hapa
@marymsemakweli4915
@marymsemakweli4915 8 ай бұрын
Mungu akubariki mkuu wa mkoa wa Arusha mweshimiwa Makonda kwa hekima uliyoitumia kubadilisha mazingira ya hawa vijana,kwa utaratibu huu mtu aliyekuwa hafai katika jamii,waliokuwa wanaogopwa sasa unawaleta wawe watu wa kufaa na watengeneze pesa kwa njia inayokubalika katika jamii ya watanzania nadhani hata wazazi wao wamepata amani naunauonesha mji wa Arusha kuwa ni wa kitalii
@HamisiNgoli
@HamisiNgoli 8 ай бұрын
Kenyonyo nakukubali vikali😊
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 8 ай бұрын
Tafadhali naomba mtu ata mmoja anifikishie ujumbe huo kwa dogo janja tafadhali media
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 8 ай бұрын
❤❤❤❤ nimewapenda sana maana mmechangamka sana
@Funnyme1961
@Funnyme1961 8 ай бұрын
Am your biggest fan from Tanzania, nimekuwa nikifuatilia sana vipindi vyako since those days but tangu umeShift kwenda Nje cjui ndo CANADA sioni ile taste ya those days😥😥 Critical officer Rudi Home buana, but just advise vile me naona
@AyoubKalippessa
@AyoubKalippessa 8 ай бұрын
Kenyonyo on the top🤣🤣🤣🤣🤣
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 8 ай бұрын
Kinyonyo😊😊😊asante Mungu Kwa ajili ya Makonda kuwaona hawa vijana. Unajua watu hawajuh tuu. MTU unaweza fanya lolote lile km unajiona huelewi lolote. Huna pesa huna hili ili mradi tuu upo upo tuu. Hawa vijana sidhani km walitaka wawe hivyo no shida. Wakaamia liwalo na liwe. Kuna watu waliwachukukia vibaya. Ona sasa kumbe destiny Yao IPO Kwa makonda. Asante Mungu wakijielewa wameshatoboa hao
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 8 ай бұрын
Good work brother
@FrankRutashubanyuma
@FrankRutashubanyuma 8 ай бұрын
Yaani kenyoyo hapo anajiona yuko mbinguni 😂😂😂
@jumoakokumo5093
@jumoakokumo5093 8 ай бұрын
😅😅😅Nimecheka sana
@ReenehMasiwa
@ReenehMasiwa 8 ай бұрын
So poaaaa big up homeboe💯💯💯💯
@peninashungu6633
@peninashungu6633 8 ай бұрын
Nyimbo za dogo bado ziko na utamu miaka 10
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 8 ай бұрын
Kumbe hawa wadudu wapo poa sana
@peninashungu6633
@peninashungu6633 8 ай бұрын
Siku nyigine ilo jukwaaa mliweke juu mnamuumiza Waziri mkuu shingo
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 8 ай бұрын
❤nyumban kumenogaa❤❤❤❤
@mkazy6550
@mkazy6550 8 ай бұрын
Moto Sana
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 8 ай бұрын
Kinyonyo da!huwa ananifurahisha sana
@diovvany-khan
@diovvany-khan 8 ай бұрын
jamn ambao wanawakubali wadudu kama me waonekane apa kwa kulike
@AmaniNangerembe
@AmaniNangerembe 8 ай бұрын
Ila janjaro ban 🎉🎉🎉😂😂❤❤
@AdrianRichard-mu9jh
@AdrianRichard-mu9jh 8 ай бұрын
Janjaroooo🎉🎉🎉🎉🎉
@AbduryNdagowe
@AbduryNdagowe 8 ай бұрын
Unawez sanaaa bob...😢😢😢😢
@zahoorz2915
@zahoorz2915 8 ай бұрын
Hii nyimbo naipendag sn
@jawaduisuja
@jawaduisuja 8 ай бұрын
I'm from kondoa irangi upuuzi mtupu TU hapo
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 8 ай бұрын
Upuuzi Gabi sasa kaka hapo. Punguza hasira presha Iko jiraani relax cheka maisha ndo haya ndugu😂😂😂😂😂😂😂
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 8 ай бұрын
Gonga like kama tuko pamoja ndugu❤
@asteriashios1852
@asteriashios1852 8 ай бұрын
Dah wadudu kweli bhana wadudu wa makonda duh makonda kazi unayo
@shukranitv2971
@shukranitv2971 8 ай бұрын
Kenyonyoooo habari ya town
@edinachami4318
@edinachami4318 8 ай бұрын
My country Arusha😂😂😂
@MarchadesJenius
@MarchadesJenius 8 ай бұрын
Nakubar 👏👏👏
@asteriashios1852
@asteriashios1852 8 ай бұрын
Ama hao ndo wadudu wenyewe wako na dogo janja
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 8 ай бұрын
😢kweli hawa wadudu
@lilchampion1960
@lilchampion1960 8 ай бұрын
Kenyoyo aka zakayo chuga international😂😂😂
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 8 ай бұрын
Kenyooooo , aminia 😂😂
@mcsam254
@mcsam254 8 ай бұрын
Kumbe Janja n mdudu pia…Makonda hajakosea wadudu si wahalifu ni wana Sanaa
@NeemaNchimbi-oj5fb
@NeemaNchimbi-oj5fb 8 ай бұрын
Makonda hapa kaz ipo
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 8 ай бұрын
Show kali
@SalumMacrine
@SalumMacrine 8 ай бұрын
Pigaa keleleee kwaaa kenyonyo oooo
@Gwenoboy
@Gwenoboy 8 ай бұрын
Kizazi og
@neemajumbe5802
@neemajumbe5802 8 ай бұрын
❤❤❤
@Naju645
@Naju645 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@officialdinaize
@officialdinaize 8 ай бұрын
Kenyonyo❤
@jaminusisanga607
@jaminusisanga607 8 ай бұрын
Nimecheka mbavu mpaka basi dunia ina watu
@yomseyyomsey5114
@yomseyyomsey5114 8 ай бұрын
Duuuh Kwa kifupi Wameua kabisa Na Watu Wa R chuga Hakika Ni wabunifu na wanajikubali HUJAPATA KUONA Hakika Wako na vipaji Vingi Sana na wakali wa mitindo Ya Uvaaji Eeeebwana Wameua kabisa .
@josephmussa3708
@josephmussa3708 8 ай бұрын
Kenyonyo apo umetisha..safi sana umevunja kwanja
@godlistenobed9299
@godlistenobed9299 8 ай бұрын
Janjaro
@asheryngaiti5549
@asheryngaiti5549 8 ай бұрын
Dar kuna misomisondo Arusha kuna Wadudu
@hawaa341
@hawaa341 8 ай бұрын
Dogo nae kama wadudu
@jonijomk3107
@jonijomk3107 8 ай бұрын
hako kamdudu kafupifupi hakachelewagi kusema kamechoka kanaumia miguu😂😂😂😂😂😂😂😂
@JennyLimo
@JennyLimo 8 ай бұрын
Are🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅
@omeganthale3220
@omeganthale3220 8 ай бұрын
Kenyonyoooo
@marymsemakweli4915
@marymsemakweli4915 8 ай бұрын
Pongezi kubwa
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 8 ай бұрын
Namuona kenyonyo tu hapo
@NeemaMtui-w5o
@NeemaMtui-w5o 8 ай бұрын
Arusha akuna Fala saimoni pande za jenji
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 8 ай бұрын
Kenyonyoooo hahahahaaa!!
@MagretSagi-y2j
@MagretSagi-y2j 8 ай бұрын
Hii kapo ya kenyonyo sijaw ielewa ujuw ni mm tu
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 8 ай бұрын
KIBERTI KIMEWAKA CHENYEWE
@mvullamanase
@mvullamanase 8 ай бұрын
Kenyonyo
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 8 ай бұрын
Kenyonyo😂
@SalumMacrine
@SalumMacrine 8 ай бұрын
Kenyonyo kauaaa
@kahambujulie7131
@kahambujulie7131 8 ай бұрын
🇨🇩🔥🔥🔥
@sadruhsnow5637
@sadruhsnow5637 8 ай бұрын
Janja lkn mkalii
@magembekisabo9632
@magembekisabo9632 8 ай бұрын
Show za bure
@callicevallice7383
@callicevallice7383 8 ай бұрын
Kenyonyo 😂😂
@AmaniNangerembe
@AmaniNangerembe 8 ай бұрын
Ila janjaro ban 🎉🎉🎉😂😂❤❤
@Baisa934
@Baisa934 8 ай бұрын
❤❤❤
@desderylasway9810
@desderylasway9810 8 ай бұрын
Kenyonyo
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 8 ай бұрын
Kenyenyo 😂😂
@aishaaisha9876
@aishaaisha9876 8 ай бұрын
❤❤❤
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
"WADUDU TAFUTENI HELA" MAKONDA AKUTANA NA WADUDU AWAPA MBINU
5:36
Millard Ayo
Рет қаралды 147 М.
Old Man Powerlifter At Muscle Beach | Anatoly GYM PRANK
9:45
ANATOLY
Рет қаралды 22 МЛН
Harmonize Live Performance in Kilifi Kenya
4:25
Harmonize
Рет қаралды 66 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН