issa tambuu yuko smart sana hata majibu yake ni kwa mpangilio kweli pesa haina kelele... big up sana tajiriiiii.👍
@bennyinnocent275011 ай бұрын
Hivi kigamboni mnayoiongelea ni ipi hiyo, mimi niko sokoni ktk biashara ya ujenzi, kigamboni is among best 3 location za ujenzi kwa jijini dar, es salaam
@bennyinnocent275011 ай бұрын
150m ni uongo, ukiniambia 250m naweza kukuelewa sii chini ya hapo, ila 1.3b noo way
@gasperswai696311 ай бұрын
Issa unajua sana
@mukhtaribura615911 ай бұрын
Jee eneo la chanika vipi kuhusu ujenzi?
@anthonymtui571911 ай бұрын
Ya msechuuu ..mkuuu kiwango
@mhangwacastory876511 ай бұрын
Mie naomba kuuliza tu ,unakiwanja Bunju na Kuna mwingine ana kiwanja ya Kigamboni ukianza kujenga mkakutana dukani kuchukua material,pale dukani mnabadilishiwa bei ya vifaa,na je fundi pia hata kama ni yule yule naye atabadilisha bei kwenye kila eneo, kuhusu majirani wanao kuzunguka watakuwa wanakuambia usiweke dirisha la alminium maana wao hawana ? ?? Mie naombeni mniweke mjini huenda kukaa kwangu Chalinze mjini mengi siyajui