ISHU YA AZIZ K YAIBUA MAZITO,GB64 ADAI UKIUWA KWA UPANGA UTAKUFAKWA UPANGAAWATAKA YANGA WAVUMILIE TU

  Рет қаралды 43,173

Kaje Tv

Kaje Tv

18 күн бұрын

#ahmedally #yanga #alikamwe #yanganasimba #kariakooderby #youngafricans #simbasc #hajimanara #simba #azamfc #azamtv #azam

Пікірлер: 164
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 16 күн бұрын
Eng Hersi Said amekujaza mimba kudadeki
@geraldmbengwa6381
@geraldmbengwa6381 17 күн бұрын
Wewe kama huvuti bangi basi utakuwa chizi, Aziz ki bado yuko sana
@HelenAllySorirey
@HelenAllySorirey 17 күн бұрын
Kweli nimeamini makolo wazee wakipayuka
@IbraMwakipesile
@IbraMwakipesile 17 күн бұрын
Aziz ki kuja Simba ni ndoto gb 64 we waokote Wana Simba wengine ila Mimi umenikosaaaa
@kitaraabdi9529
@kitaraabdi9529 17 күн бұрын
Mtasema tu tajiri kaludi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 17 күн бұрын
Tajiri yupi unaemsema?muda ule alikuwa wapi?hapo mnajifariji kupitiliza​@@kitaraabdi9529
@mwanangusana
@mwanangusana 17 күн бұрын
😂😂😂😂. Generator la uongo ..... kelele nyingi kiboko yao ni Mangungu
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 17 күн бұрын
Mashabiki wasimba ni mazwazwa wa karne basi hapo kwa akili zao zakupayuka wanaamini kwamba nikweli ki anakwenda simba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂 yani kaa wanywa gongo 😂😂😂😂😂
@saidbakari2408
@saidbakari2408 17 күн бұрын
Mnawashwa eeeh!!!???
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 17 күн бұрын
Hapo hajasema km anaenda Simba acha uchiz au kiswahili sio lugha yko huelewi hapo
@donkhan6841
@donkhan6841 17 күн бұрын
Hawajui kwamba ni swala la branding na marketing. YANGA ndio timu pekee inayojua kucheza na akili za watu
@yonaivan
@yonaivan 17 күн бұрын
Kapimwe akil ww, kwan kuna mtu aliamin chama anakwenda utopolon, ww subir majibu tu
@JofreyNyelo
@JofreyNyelo 17 күн бұрын
Ww utachekea chooni kesho tu!
@reggezawady4994
@reggezawady4994 16 күн бұрын
Yupoooo
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 16 күн бұрын
Hela ya Chama tunayo na Aziz tunayo tajir yetu cyo chupli,chupli😂
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 17 күн бұрын
Mtasubili sana kolo nyiye
@josephgalandu128
@josephgalandu128 17 күн бұрын
Waweke sawa Enginiaaaaa😂😂😂😂
@EliasFijabo-pt2zb
@EliasFijabo-pt2zb 17 күн бұрын
Mechi ya costa ilikuwa mbombo ngafu Azizi ki aliiamua mechi dah gb aisee mbombo ngafu musimu ujao yanga wajipange mbombo ngafu
@user-ot7yi6eq7s
@user-ot7yi6eq7s 17 күн бұрын
Ukifiwa na mzazi huwezi kuamini mpaka azikwe
@harranmkocha2753
@harranmkocha2753 16 күн бұрын
Ama kweli!!!!
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 16 күн бұрын
Kuanzia leo sikuamini tena mbwaaa we
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 16 күн бұрын
MASHABIKI WA MAKOLO NI MAMBUMBUMBU WANAAMINI UONGO KULIKO UKWELI,NDIO MAANA YANASUKUMWA NDANI,🤣🤣🤣🤣🤣🤣😛😛😛😛😛😛😛😛
@khalidjmaftah9449
@khalidjmaftah9449 15 күн бұрын
Yaaan anajiona ana akili sanaaa kuliko Hersi😂
@maulidichongoe5192
@maulidichongoe5192 17 күн бұрын
<a href="#" class="seekto" data-time="227">3:47</a> imeisha iyo
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 16 күн бұрын
Hili jama mm silikubali tena sahiv bada kupata umarufu sahiv anaropoko t mwanzo akiongelea mpira vzuri
@harranmkocha2753
@harranmkocha2753 16 күн бұрын
Ama kweli huna akili
@GiseracharlesGiseracharles
@GiseracharlesGiseracharles 16 күн бұрын
Kweli walisema duniani Kuna watu na viatu GB 64 nikiatu tuu
@user-ze7zq9eq3k
@user-ze7zq9eq3k 17 күн бұрын
Tulia ww hutambuliki msimbazi...ukivua miwani ww mwenyewe umefanana na dube😂😂😂
@Dewizzyommy
@Dewizzyommy 17 күн бұрын
🤣🤣 wew jau kinoma
@jeremiamadinga9579
@jeremiamadinga9579 16 күн бұрын
Kumbe nikweli ulitumbuliwa hunaelim mazungumuzo Yako niyamtu hajaendashule
@kitengekitenge4881
@kitengekitenge4881 16 күн бұрын
Unarpoka sana sometimes! Angalia utapoteza heshima
@JeladiMtengwa-p6v
@JeladiMtengwa-p6v 17 күн бұрын
namba yako nayipatje kaka kuna soda balidi yakwako
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 17 күн бұрын
Gb64 una mtindio wa ubongo subiri 5 tena tarehe ya ngao ya jamii na Aziz atwafunga Simba goli 1 katika kipigo cha siku hiyo Inginia anatembea na akili za mabwege kana hili hapa
@kamanda7703
@kamanda7703 17 күн бұрын
Gb 64 ungeweka wazi tuu. Yanga ni mawakala au madalali wa ki aziz lakini hawawezi kuuza mchezaji ambaye hana mkataba kwao . Ila yanga hawataki kutoka mkono mtupu wapate japo chochote na ni haki yao kupata vi coins kwa yale mambo walofanya pamoja na ki aziz
@user-up4kd4di7h
@user-up4kd4di7h 17 күн бұрын
Sema mdogo wangu ukweli
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 16 күн бұрын
Leo ndio nimeamini maneno ya alhaj Ismail Aden Rage kuwa nyinyi ni mbumbumbu
@ChoghoghweDaudi
@ChoghoghweDaudi 17 күн бұрын
Hawa watu wasioamini wanashida yaakili? mbona chama aliondoka jamani
@user-xq8oo1qz3p
@user-xq8oo1qz3p 17 күн бұрын
Huyu jamaa alituambia chama kasaini Simba miaka miwili
@peterpain5594
@peterpain5594 17 күн бұрын
Haaaaah!! Kwaiyo Aziz k yy asikilize maneno ya madhibiki wakulopoka lopoka kama mwalimu kweli ww kweli kubwa jinga apo kalume haufanyi kazi kutwa nzima ww kushinda na waandishi tu iloooooo kubwa jinga
@neemabochellah8416
@neemabochellah8416 14 күн бұрын
Hersi anajuwa kuwachetuwa makolo kikowapi sasa
@JuniorMbando
@JuniorMbando 16 күн бұрын
Huyo jamaa hanaga akili ndo maana alipelekwa polisi
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 16 күн бұрын
Hivi umeshahamia Azam
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 16 күн бұрын
Awez ondoka yanga ongeza kufikiria
@ExecutiveHouseKeeperElewana
@ExecutiveHouseKeeperElewana 17 күн бұрын
Gb64 ww ni mjinga na unatumika. Uingozi wa Yanga upo makini hauwezi ukanyamaza kimyana kumwachia Azizi Ki.
@AyubuRamadhani-wz4gk
@AyubuRamadhani-wz4gk 15 күн бұрын
Pumbavuuu
@georgelyimo2138
@georgelyimo2138 16 күн бұрын
Halafu anajifanya alikuwa mwalimu
@IsmailHija
@IsmailHija 17 күн бұрын
Ki azizi bado yupo yanga
@richardrashidi7878
@richardrashidi7878 15 күн бұрын
Apigwe vibao huyo kama alivyo sema apigwe, haya sasa mwamba master k kabaki analakusema huyo?
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 17 күн бұрын
Mfoji Vyeti Akili yake haina Msaada kwa Jamii Mropokaji na mbea na unafiki walimuweza walipo muweka Rokapu alipo tolewa Akili imerudi nyuma
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 16 күн бұрын
Mhuuu huna akili ww wangejua wakuache lokapu kumbe jinga pori
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 17 күн бұрын
Pumba zingine ulizoongea ila ulichosema kweli viongozi Kama kweli walikuwa na Nia ya dhati na Aziz wasingeshughulika na Chama na hilo Mimi nilicoment huu ni uzembe.
@AlfredEssau
@AlfredEssau 17 күн бұрын
Mzee uctumie nguvu saaana, wenzako wako kiuchumi zaidi!! Fanya utafiti kwanza maana unawapoteza Makolo wenzako!! Ndo maana mwandishi Justine Kessy aliwahi kusema jamani someni, nendeni shule!!!
@AnethKauzen-yz1ws
@AnethKauzen-yz1ws 16 күн бұрын
Aibu Yako sasa k huyo ndani ya yanga
@rukiamkwayo6302
@rukiamkwayo6302 17 күн бұрын
Kwachama ulijiapiza Sana leoyuko wapi
@mudywambash6684
@mudywambash6684 16 күн бұрын
Umeingizwa Chaka wwe we nidogo Sana kwenyempila
@Hope-ok9dy
@Hope-ok9dy 17 күн бұрын
Yani azizi kii acheze shirikisho unaumwa wewe laana tumia akili kuma wewe
@fatumamtakyawa3612
@fatumamtakyawa3612 17 күн бұрын
Tabu ni kwamba unapiga kelele sana sio unaongea unayoyajuwa redio ugali itakupoza ndio maana ulsweka ndani
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 16 күн бұрын
Watoto wako wasipokusalimia unakasilika kumbe dingi hamnazo
@user-ht5vo2em4f
@user-ht5vo2em4f 17 күн бұрын
achen upumbav. Niny uto pwax AZZ k yet nan mpaka ache Simba
@harranmkocha2753
@harranmkocha2753 16 күн бұрын
Kunywa simu tu ufe. Hazikutoshi kabisa
@subiralema
@subiralema 16 күн бұрын
Punguzeni maneno kasharudi😂😂😂😂😂
@NduwimanaMoussa-bu3ic
@NduwimanaMoussa-bu3ic 17 күн бұрын
Wegb.unaropoka.sana.mwisho.naweye.namsemaji.wenu.mtayibika.mnepigwa.kufra.azizik.hajasaini.hukumuona.mamayake.wakati.alikuwa.hapa.kaenda.nampunga.wamyaka.miwili.ya.z.aziziki.mtaropoka.sana
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 17 күн бұрын
😂😂😂😂 kweli huyu boya Kama alivyosema atahama chama akihama leo anaongea pumba kweli😂😂😂 Huyu hajui yanga ni mafya Eleweni azizi ki ni mali ya Yanga
@mudywambash6684
@mudywambash6684 16 күн бұрын
Kachane nywelewweeeee
@hoseadyson4474
@hoseadyson4474 17 күн бұрын
Kaka yanga siyo mambugila kama viongozi wa simba azizi k kitambo sana Alisha sine yanga usipoteze nguvu zako zote kuongea kaka yanga na kesho kutwa tu utapigwa makofi ahooo
@daruweshshifaaonlinetv6958
@daruweshshifaaonlinetv6958 17 күн бұрын
We akili una
@hoseadyson4474
@hoseadyson4474 17 күн бұрын
Tunza kumbukumbu hii azizi bado yupo sana yanga shauli yako
@josephgalandu128
@josephgalandu128 17 күн бұрын
Mnapata taaaabu kumuingelea Azizi Kii badala mjipange,sivyo mtapikwa 12😂😂😂
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 16 күн бұрын
Mshabakwa teary nyieee😂
@mmewaswida
@mmewaswida 17 күн бұрын
Huyu mjinga bado anaweza kuzungumza mbele za watu. Mwehu tu huyu
@peterpain5594
@peterpain5594 17 күн бұрын
Mhhhh!!! Ww mtego huo Aziz yupo
@rashidrashidmaulid1129
@rashidrashidmaulid1129 17 күн бұрын
Afu kweli we ni chapombe Leo ndo naamin
@AndrewBernard-l3j
@AndrewBernard-l3j 17 күн бұрын
Mmh hata hujui kitu
@hassannickson7654
@hassannickson7654 17 күн бұрын
Mbumbumbu fc Kiko wp? Mnazugwa tu soka Ina wenyewe kolo
@twahamapande2702
@twahamapande2702 16 күн бұрын
Umri wako na vitu unavyo viongea tofauti
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 16 күн бұрын
HILI NALO KUNA KIPINDI LINAKUWA ZWAZWA TU
@rukiamkwayo6302
@rukiamkwayo6302 17 күн бұрын
Ndio maana uliwekwa ndani
@user-xm7ew1uj1g
@user-xm7ew1uj1g 17 күн бұрын
Huyu akili yake imeyumba kwanza ahamie azam km alivyoahidi kwamba chama akienda yanga anahamia azam m ona hajaenda leo anamzungumia aziziz ki huyo anaakili kweli? yaani Kwa ueledi wa viongozi wa yanga ulivyo ni wakumwachia azizi ki aka heze shirikisho ht mchezaji atakuwa na akili kweli aende simba raisi amewazinhuwa wamezingulika watu wenye akili finyu km huyu dishi limeyumba huyo
@RehemaAbdala-kp9dz
@RehemaAbdala-kp9dz 17 күн бұрын
hahahaha inauma ee ndio kwanza mambo yapo mezani
@hamidmussa838
@hamidmussa838 17 күн бұрын
YANGA WAONGO
@BilaliBilaliamri
@BilaliBilaliamri 17 күн бұрын
Sikia ili tahira maskini yamungu
@SaidSammedia
@SaidSammedia 17 күн бұрын
Gb umeishiwa ww roho yakutapatapa
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf 17 күн бұрын
Huna akili wew
@Juliusbagasheki
@Juliusbagasheki 17 күн бұрын
Kumbe GB 64 unabwabwaja tu mimi nilidhani unayoongeaga unafanya utafiti kwanza ( No research ...no freedom to speak) for your information Ki Azizi really is a Young Africans Sports Club player.!
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp 17 күн бұрын
Hv kwann mwana aliitwa gb 64😂😂😂
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 17 күн бұрын
Ndio maana Mimi simpendi Mwalimu yanga na god nawaonaga kama waseng maana hupenda kutuharibia kwa misifasifa yao
@mwanangusana
@mwanangusana 17 күн бұрын
Kolombangula
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 17 күн бұрын
Kolo wanaridhika haraka
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 17 күн бұрын
Yanga wanasafiri wazee wa tasafu
@hamisibakari6525
@hamisibakari6525 17 күн бұрын
Etii nilikuwa mwalim
@mirajiali3926
@mirajiali3926 16 күн бұрын
Chizi wewe usikatae kutiwa makofi leo maana wewe unatoa ahadi halafu unashindwa kutekeleza
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 17 күн бұрын
Kumbe we MBUMBUMBU kweli
@nasseralshaibani6995
@nasseralshaibani6995 17 күн бұрын
Viwango gani? Kucheza na majini
@matiankomola2391
@matiankomola2391 15 күн бұрын
Inaonekana wewe ni muumini Mkubwa wa Majini! Unayafuga nini!
@nasseralshaibani6995
@nasseralshaibani6995 15 күн бұрын
@@matiankomola2391 ntakuletea na wewe wakukabe roho. Nnashinda na wewe na nnakupa mfano mechi ya fainali yanga vs coastal union ile mechi ilikuwa ya uchawi wa hali ya juu na umeona uwezo wa Akpan alikuwa star simba wakamchukua na matokeo yake nini?
@bashirjama8225
@bashirjama8225 17 күн бұрын
Hujamuelewa hajasema anakuja simba
@user-xt9ne1mx1c
@user-xt9ne1mx1c 17 күн бұрын
Nyie ropokeni tu hasa wewe ulisema chama hawezi kwenda Yanga na kaenda Azizi haondoki Yanga mnachuuzwa akili tu
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 17 күн бұрын
Hahaaaaaaaaa
@OmallyAlly-cy3yt
@OmallyAlly-cy3yt 17 күн бұрын
Tulia kidogo wewe kutudanganya kwamba umekaa na mo kwamba chama atabaki simba mwisho wayote chama akaenda yanga kwaivyo kutoka hapo nimekuwa nyota hunaukweli kwaivyo ki azizi atacheza yanga punguzo mdomo kidogo mm naamini utafikia.
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry 17 күн бұрын
Hizi ni propaganda tu kazitengeneza GSM sio kweli aziziki kuja Simba wametengeneza propaganda
@user-lg3mv3ny4c
@user-lg3mv3ny4c 17 күн бұрын
Kwani ameondoka?
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 17 күн бұрын
Nilikuwa nakukubali lkn kumbe naww nizuzu tu ulisema chama akienda yanga unahamia Azam au siyo ww kumbe naww nibwabwa tu mchome ndio shabik wasimba mwenye akili
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 17 күн бұрын
Usijifariji mchome anapumuliwa kisogoni kama wewe tu usimuonee wivu ongeza ufundi wateja wataongezeka tu. SIMBA ina watu wenye akili %100. Mliambiwa kwenye timu nzima ile watu wote hawana akili wenye akili ni watu wawili tu Rais mstaafu na Mz Manara. Sasa ktk hawa watu wawili walio twajwa hapa wewe upo? Kama haupo jibu liweke matakoni. Acha Mchomwe ww na mwenzio mchezo mlio uchagua sio rafiki mbele ya safari.
@msemakweli...
@msemakweli... 17 күн бұрын
Hii akili ya huyu jamaa ndo akili ya mikia wote yaani jana Hersi alipomaliza tu ile interview yake mo dewji akatuma offer kwa Aziz Ki😅😅😅😅😅😅😅😅
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 17 күн бұрын
We akili yako kama ya Baba yako wa kambo mjinga wewe Mo una ushahidi kua ali tuma offer? Unamfuata Momo akili za kuambiwa changanya na za kwako. Tumia akili kumtafuta Baba yako wa halali. Usitumie Matako kwenye kufikiri.
@msemakweli...
@msemakweli... 17 күн бұрын
Yamekuchoma eeh!? We nae ndo wale wasiokua na akili ni kama umetolewa ubongo ukawekewa mavi😂 pole ukweli ni kwamba mmeingizwa mkenge na Hersi mafala nyie. Tajiri yako kakurupuka ka ushuzi katuma offer asijue Hersi anaongea nini. Asee Rage habahatishi kuwaita majuha🖐🤣🤣🤣🤣😬@@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 17 күн бұрын
@@msemakweli... we sio bure utakua kisoda cha Bar kila mlevi ana kikanyaga hujielewi . Inawezekana soka la Bongo umeanza kulifuatilia Baada kukosa mbolea ukaona uache kilimo. Ufuatilie Soka la Bongo. Lina Drama Nyingi sana acha uchizi pimbi laa zili. Rage nani akisema neno ni Sheria? Rage akikwambia mimi Baba yako unakubali kwa sababu kasema Rage Badala kuushirikisha kwanza ubongo wako una shirikisha kiduara ktk kufikiri. Jiongeze toka gizani. Ndio shida ya Mijitu ya Bara.
@user-bi8hr3nu6g
@user-bi8hr3nu6g 17 күн бұрын
Ndo maana wanakuweka selo unakulupuka
@saidmansoor8528
@saidmansoor8528 17 күн бұрын
Kifariji 😅😅
@Faridagongo
@Faridagongo 17 күн бұрын
Ya wenzenu je nyie chama kawatendea mangap mbona mnamdharau mmesahau lini
@user-zd9dx8lv5t
@user-zd9dx8lv5t 17 күн бұрын
😂😂
@edwarddastani3691
@edwarddastani3691 17 күн бұрын
Kaka utawauwa utopolo kwa pressure 😂😂😂😂😂😂😂
@AlfredEssau
@AlfredEssau 17 күн бұрын
Huyu c alisema Chama akienda Yanga anaacha kushabikia Simba! Hanaga vyanzo sahihi vya taarifa, yeye anaangalia online videos tu!! Ila kwa kuongea ni mtu na nusu
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 17 күн бұрын
Huna jipya ww na hata azizi k akiondoka pengo lake litazibwa na wengine. Hata waliokuwepo hukuwajua na walifika wakavuma na tukawafunga kifurushi Cha wiki na wale wale Bado wapo hii ndiyo yanga Daima mbele nyuma mwiko💚💚💚💚💚💚.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 17 күн бұрын
Sisi sio mambumbumbu kama rage alivyo waita Hapa ndio unaona kiwango Cha umbumbumbu😂😂😂😂😂😂😂
@msemakweli...
@msemakweli... 17 күн бұрын
Na kweli atawaua utopolo wa mo dewji kwa pressure wakigundua Aziz Ki bado yupo.😅😅😅😅
@mudywambash6684
@mudywambash6684 16 күн бұрын
Jeziimefubaa iyo boya ww
@markobukuku3841
@markobukuku3841 17 күн бұрын
Ila huyu jamaa ni boya wa kupindukia hakika Makolo mna mtu
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 24 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
19 июля 2024 г.
0:20
мишук круглов
Рет қаралды 9 МЛН
The thieves pulled a prank on the Policeman ! 😬👮🤣
0:38
BOGDANCHIKI
Рет қаралды 10 МЛН
Толстый солдат всем отомстил #shorts
1:00
Утонуть НЕВОЗМОЖНО 😱 #Shorts
0:19
ФАКТОГРАФ
Рет қаралды 3,5 МЛН
天使妈妈拍到了什么大家吓一跳?#火影忍者 #佐助 #家庭
0:23