Dr. Chris Mauki : Dalili Sita Za penzi Linaloegemea Upande Mmoja

  Рет қаралды 4,584

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Utajuaje kama penzi lenu limeegemea upande mmoja? Utajuaje kama wewe unalemewa au mwenzako analemewa na kwamba mnaweza msifike mbali? Hizi hapa dalili 6 zitakazo kuonyesha kwamba penzi lenu limeegemea upande mmoja. Zifuatilie ili mjirekebishe.

Пікірлер: 20
@stellahsimon4460
@stellahsimon4460 Жыл бұрын
Hii imenikuta mimi nimejitahidi sana kutengeneza anielewe lakini nimeshindwa nimeachana na yeye.
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 Жыл бұрын
Maisha haya bana. Wacha tutafuta hela na kufanya kazi kwa bidii.
@johannahinamahoro
@johannahinamahoro Жыл бұрын
Aca tuacane naaya mausiano tutafite pesa tu maisha yaendeleye
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Жыл бұрын
Thanks you. love this
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Shukrani.
@katushabedotto2883
@katushabedotto2883 Жыл бұрын
Hii imenikuta mm nimekitaidi kumpenda lakini akaona sifai kuwa naye nikamuacha nikapambana kutafta Ela alipo jua ninakipato changu akaanza kuludi nikasema sitaki Tena tutafte Ela tuachane na mapenzi
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯💯💯
@sarahbrainy
@sarahbrainy Жыл бұрын
Nimepatikana mapenzi bay buy
@kwekwenyotakwekwenyota183
@kwekwenyotakwekwenyota183 Жыл бұрын
Nko hapo niliamua kutafuta pesa mwanzo
@KabijSaib
@KabijSaib Жыл бұрын
Yani,,,Bora kujifunza hapa,😂😂😂😂😂😂❤,duuuuuuui
@shedy_marie
@shedy_marie 6 ай бұрын
Mimi wacha nimpende mamaa tu
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Жыл бұрын
Zote anazo tabia ila iyo mwisho hana,
@ShelmithMuthoni
@ShelmithMuthoni Жыл бұрын
Kweli Hadi natamani kumwacha. Inachosha😢 tabia ni za bibi kujiangalia sana. Nifanyeje?
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Endelea mbele mwache
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Je kwa hizo dalili kuna upendo tena hapo?
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 Жыл бұрын
Upendo upo lkn wa upande mmoja maana kama angekupenda basi lazima angakupa kipaumbele.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
No
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 Жыл бұрын
Ni mimi kabisa umeniongelea leo dalili hizi zote mwenzangu anazo... Sasa nifanye nini Dr Chris naomba msaada please 😢😢😢😢
@reginahmwanza7887
@reginahmwanza7887 Жыл бұрын
Find your match immediately,, you are on wrong side
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 Жыл бұрын
@@reginahmwanza7887 Thank you dear for ur advise
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 40 МЛН
Dr. Chris Mauki: Dalili 6 za Penzi linaloegemea Upande Mmoja
12:16
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 214 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 472 М.
JOEL NANAUKA - MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA
8:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 88 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kukusaidia kumpata mpenzi sahihi
9:26
Makosa kumi (10) wanawake ufanya katika ndoa
13:33
Chris Mauki
Рет қаралды 251 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 40 МЛН