Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki

  Рет қаралды 472,505

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Je kuna nyakati huwa huyaelewielewi mahusiano yako? Je unahisi mpenzi wako ni mtu wa kubadilikabadilika? Unagunduaje kama uko kwenye mahusiano feki? Kumbuka mahusiano feki hayakupeleki sehemu, yanakupotezea muda tu. Ungana nami nikusaidie kufahamu dalili 5 za kukuonyesha kuwa upo kwenye mahusiano feki.
#DrChrisMauki#Dalili#Mahusiano

Пікірлер: 823
@heavenlightfrank6203
@heavenlightfrank6203 Жыл бұрын
Through your channel nimeweza kufanya maamuzi magumu ya kumove on baada ya kupoteza miaka 8 kasoro pasipo ndoa , hii channel imeniwezesha kujitambua na kutambua hali halisi ya mahusiano niliyokuwa nayo, barikiwa sana Dr. Endelea kuwasaidia wengine
@vickieeddie2230
@vickieeddie2230 Жыл бұрын
The same here
@merciefavoured6168
@merciefavoured6168 Жыл бұрын
Miaka nane n mm naona tano kaa mingi
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Mm miaka9 looh🙄
@IddahMmasi-gd9qi
@IddahMmasi-gd9qi 10 ай бұрын
Mimi mwaka na nusu ila nilikoma
@shamimshamim4238
@shamimshamim4238 9 ай бұрын
😢😢😢😢
@metrinembone9861
@metrinembone9861 2 жыл бұрын
Aki nilkua na stress ya mausiano yangu lkin after kuskiza haya maubili am okay and I know what to do now thank you so much God bless you
@neemasamwel27
@neemasamwel27 Жыл бұрын
Barikiwa sana doct chris nimejifunza kitu kupitia mafundisho yako mazuri
@tabumwaipaja5116
@tabumwaipaja5116 Жыл бұрын
It's first time but I understand alot but be blessed man of God
@FasdaJamali
@FasdaJamali Жыл бұрын
Allahamdulilah na kushukuru sana MUNGU akuzidishie🤲🤲🤲🤲
@sirjude208
@sirjude208 8 ай бұрын
I don't know what I was exactly looking for when this was recommended to me, but I'm sincerely grateful that I am helped, very insightful and educative. There's a very difficult decision I'm about to make😢😮
@maggieabel1671
@maggieabel1671 3 жыл бұрын
Woow thank you Dr. Nmejifunza mnoo,,action zifate sasa
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana sana. Pls usisahau kusubscribe
@lucksonrupa3618
@lucksonrupa3618 Жыл бұрын
Duuuu aiseee Mungu akubaliki sana sana somo nzuri
@noelathomas5770
@noelathomas5770 Жыл бұрын
Nakusikilizaga mara nyingi nakuelewa sana ila Huwa sicomment , but for today let me say Thanks for the lesson unaongea fact
@ElinkailaKiula
@ElinkailaKiula 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@mercyaa1863
@mercyaa1863 Жыл бұрын
Ni kama umenigusa,sana umenifundisha jambo nzuri sana ,for thanks for good advice
@NeemaSimon-pt4ny
@NeemaSimon-pt4ny 4 ай бұрын
Mungu akubarik
@elimeliklyampinga6608
@elimeliklyampinga6608 3 жыл бұрын
Barikiwa na mafundsho
@vailethjames1934
@vailethjames1934 3 жыл бұрын
Ahsant mungu kwajili ya uponyaji wa mindset umenitowa kwenye shimo ni heri kuzimia kuliko kufa
@teddyhenry3245
@teddyhenry3245 3 жыл бұрын
Nimekupenda bure Mungu akubaliki uendelee kutuelimisha
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@scholazakayo3593
@scholazakayo3593 3 жыл бұрын
Nabarikiwa san dr unanitia moyo na kujifunza mengi kupitiaa wewe
@sophiahatibu1435
@sophiahatibu1435 Жыл бұрын
Nimejifunza mengi,Barikiwa
@josephmathias159
@josephmathias159 Жыл бұрын
Nakukubali Dr Chris ni kweli kabisa
@jessiepaulthebeautifulange1749
@jessiepaulthebeautifulange1749 2 жыл бұрын
My first time to watch ,Thankyou Dr .Chris ,am more educated than before🇰🇪🇰🇪🔥🔥🙏🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 Жыл бұрын
I will never Regret in Jesus Name and in Jesus Blood🔥🙏👏🙏#Making true choices
@mariaDomasi
@mariaDomasi 6 ай бұрын
Mungu tu atusaidie nimeumia sana sikujua haya yote
@betricevictor447
@betricevictor447 3 жыл бұрын
Nngetambua haya , na mafunzo haya usingekuta nimeangukiaa sehem mbaya inayoniumiza kwa ss.Mungu nisaidiee.
@nasramiraji7716
@nasramiraji7716 3 жыл бұрын
Dah aisee upo kama mm
@betricevictor447
@betricevictor447 3 жыл бұрын
Acha kabisaa ,natumai maisha yapo mengine hata kama imekuwa hivyo natumai maisha mengine yapo
@yuliabakari890
@yuliabakari890 2 жыл бұрын
Hata mimi niko kwenye mahusiano ila tunapendana mbele.za watu ila me ndo najipendekeza 😌
@leahmungure6538
@leahmungure6538 Жыл бұрын
May Almighty God continue to keep you strong and healthy in Jesus name amen.
@annajohn8803
@annajohn8803 Жыл бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana
@wnjink8400
@wnjink8400 3 жыл бұрын
Asante sana somo zur
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 3 жыл бұрын
Nikwelii nasikiliza hapa machozi yananitokaa😭 ndo mausiano yangu
@latifakalunde5290
@latifakalunde5290 2 жыл бұрын
😭😭😭
@anzurunimakala9686
@anzurunimakala9686 Жыл бұрын
Pole ata Mimi Hili SoMo linanihusu kabisa nikiangalia mahusiano yangu umefika mda Sasa wakuyaacha yaende🥲
@rehemammbaga287
@rehemammbaga287 4 ай бұрын
Daah! Yangu kabisa 😭
@nakalisibaraka3943
@nakalisibaraka3943 2 ай бұрын
Asante Mauki
@marymlewa6736
@marymlewa6736 3 жыл бұрын
Ameen Ameen nabarikiwa sana sana
@RizikiJefwa
@RizikiJefwa 5 ай бұрын
Be blessed i have learned
@witnessmsengichannel3047
@witnessmsengichannel3047 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sanaaa.....mtumishi
@febostanyika1821
@febostanyika1821 3 жыл бұрын
Kweli kabsa Yani inaumaa sana
@deborakadhengi5771
@deborakadhengi5771 Ай бұрын
Let me share this to my fiance aone kma mm venye nmeipata leo name pia aipate na tuchange mwenye shida ndio tukiingia kwa ndoa kuwe Kuna vitu tunavijua,, Asante Sana kwa kupat mafunzo yako❤❤
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Asante sana
@captainbosingwa7226
@captainbosingwa7226 3 жыл бұрын
Mafundisho mazuri Sana umenifunguo mambo mengi kuhusu uchumba.
@ramadhanisaidi3749
@ramadhanisaidi3749 8 ай бұрын
I love you father😢😢😢❤❤❤❤❤
@roselameck5124
@roselameck5124 3 жыл бұрын
Somo limeeleweka Doctor ubarikiwe sana
@edithatobiasi5839
@edithatobiasi5839 3 жыл бұрын
God bless you ongeza zingineeee plz 🙏🙏
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 жыл бұрын
ubarikiwe sana 🙏🙏
@pendomaliaki1896
@pendomaliaki1896 3 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri.
@khadijaathumani5686
@khadijaathumani5686 Жыл бұрын
Yes this is my man.
@alwaladorcus3809
@alwaladorcus3809 2 жыл бұрын
Mafundisho wako mazuri, ya maana sana. Mungu akubariki
@estabit5630
@estabit5630 Жыл бұрын
Akiya mungu leo nachukua uamuz make yananitesa nakaaa namuwaz na huu mfugo amefuga ndo kabisaa karudi kweny ndoa yke ndo nikigudua kumbe mm aniped tumepga tufuge ndoa kumbe muogo ushaur wenu jamn😭😭😭
@ashuraalli1561
@ashuraalli1561 3 жыл бұрын
Slave relationship 😢😢, we living in the , dark world 🙆🙆thanks Dr.... Toxic relationships.....Ya 4 hii nimecheka 😂😂🤣🤣🤣🤣...Bora ni akili pk yang mumewang u awe ni kazi yangu tu stk stress,, yn kaka sasa hv mwanaume anaweza anajidai anakupendaa na ww ukaniachia kumbe ameona Kazi yako ataka akuibie tu hlf akuache aisee bora nife single, because God created me unique 💪💪...
@omegarwalter8071
@omegarwalter8071 3 жыл бұрын
same here
@dianamasao1210
@dianamasao1210 Жыл бұрын
DO NOT IGNORE RED FLAGS. This is so true ni vile huwa tunakaza ubongo
@tausially1377
@tausially1377 3 жыл бұрын
Barikiwa baba
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@loreenfrank1965
@loreenfrank1965 3 жыл бұрын
Leo ndo nimejua nipo na lijitu fake Leo Leo tunaachana ngoja nikalianzishe
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Pole
@christinemerere6420
@christinemerere6420 3 жыл бұрын
😄😃😀tupo wengi
@apoloniaalex2825
@apoloniaalex2825 3 жыл бұрын
😂😂😂
@apoloniaalex2825
@apoloniaalex2825 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 doctor mi nipo hang'over na relationship mpaka kichwa kinawaka moto
@monicamichael7562
@monicamichael7562 3 жыл бұрын
Tupo wengi duuu yan
@FaudhiaMasale
@FaudhiaMasale 3 ай бұрын
Habar wapendwa nmeskilza hii kiukwel nahtaji ushaur maana sielew kabsa kuhusu mahusiano.nipo kwenye mahusiano miaka 10 lkn kila baada ya muda flan lazma tuachane alfu sababu hazna maana naomben msaada wapendwa
@AzizaSheki
@AzizaSheki Ай бұрын
Mh ni kweli na ukweli unauma nyie 😂
@thomasjohn7176
@thomasjohn7176 Жыл бұрын
Stay blessed
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 3 жыл бұрын
Kwa kweli binafsi nilishapotezewa adi im 30+ na sioni mbele wadogo zangu kwa age za 20s hasa late 20s usikubali kuwekwa ukifika 30s ni stress kwa kweli
@janetnyanchera1252
@janetnyanchera1252 Жыл бұрын
My current stuation 😓
@wilkisteregesa4845
@wilkisteregesa4845 3 жыл бұрын
Hapa ni msumari lakini nimepata jibu yaani shindano inadunga kwa mfupa direct ♡
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana
@elizabethmwabaya6905
@elizabethmwabaya6905 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 kaka na utajuaje kama uko mkwenye mhusiano sa hii
@NuruChande
@NuruChande 2 ай бұрын
​@@elizabethmwabaya6905vise versa ya hizo dalili fek ndio...dall sahh
@MariethaKomba-m5y
@MariethaKomba-m5y Ай бұрын
Mm hata kuongozana ni shida sana .sihitaji kupenda tena bora nimpende mama yangu
@nizerenene2793
@nizerenene2793 2 жыл бұрын
Asante
@farajabashir8299
@farajabashir8299 3 жыл бұрын
Asee i appricciate
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@goodhoperunyoro7057
@goodhoperunyoro7057 3 жыл бұрын
Tupe ukweli maana wengine tunajikuta tunapenda pasipo pendeka
@winfridamsukuru9819
@winfridamsukuru9819 3 жыл бұрын
Hapo ndio pazito
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
Kbs
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 2 жыл бұрын
Kabisa iyo kweli
@ChristinaPetro-ot1gs
@ChristinaPetro-ot1gs Ай бұрын
Nikwer kabixa
@SophiaNtobi
@SophiaNtobi Жыл бұрын
Nilikuwa kwenye mahusiano muda wote nilikuwa nakubaliana naye kila waZo analotoa ila siku nilipokataa mawazo yake akaniambia nimekuwa na akili .
@irenenkelame9040
@irenenkelame9040 9 ай бұрын
😂😂😂
@KuluthumMwemtelo
@KuluthumMwemtelo 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 nimecheka kama mazur ila nyie mapenz haya mmmh mda mwngn bora usikie tu kwa mwenzio🤣🤣🤣🤣🤣
@lizymarco3328
@lizymarco3328 19 күн бұрын
Je kama upo kwenye ndoa lkn mawasiliano hakunaunakuta akipiga mtu mwingine anapokea mapema lkn wewe Hadi unapiga marambili
@SophiaNtobi
@SophiaNtobi 19 күн бұрын
Hii msg imenikumbusha mbali
@joycekikome383
@joycekikome383 Жыл бұрын
Je ukigundua upo na mahusiano fake,ukiwa umeshazaa watt na ndoa,i mean umeshachelewa,yan matukio yameanza kuonekana baada ya kufunga ndoa.????jmn ebu wanawake wenzangu mje hapa!
@FaudhiaMasale
@FaudhiaMasale 3 ай бұрын
Nasubr maswali wapendwa mwenye ushauri pia
@PrinsesChami
@PrinsesChami 16 күн бұрын
Mm nimekaa kweny mahusiano miaka 8 na watoto 2 bila ndoa, matatzo kila siku mwanaum analala nje, ana maneno ya shombo sik tumepigana mixer kushikiana visu, nikasema hapa kwakwel, watoto nikawapeleka kwa mama ake, nmeanza maisha yangu sasa,, wanakera sana
@jescajovin9257
@jescajovin9257 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana dr
@lucyathumani3247
@lucyathumani3247 3 жыл бұрын
Jmn haya yaliyosemwa yote yako kwangu yaan mpaka unajuta kuwa na mahusiano
@gracendaki4515
@gracendaki4515 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@robbsonmosha7557
@robbsonmosha7557 3 жыл бұрын
Fanya maamuzi mapema. Yapo sio rahisi
@upendoernest7548
@upendoernest7548 3 жыл бұрын
hahahahahah pooole ila sio peke ako hata mm ahahhaha
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
tupo wengi
@hellenwafula4466
@hellenwafula4466 3 жыл бұрын
Kabisaa pastor wasema ukweli
@k-mbili5656
@k-mbili5656 3 жыл бұрын
Asante Doctor
@ElizabethMathayo-r2e
@ElizabethMathayo-r2e 2 ай бұрын
Yani dalili zote zipo kwenye mahusiano yangu lakini haya mafunzo yamenifunza kitu ubarikiwe
@maggietotty9881
@maggietotty9881 2 жыл бұрын
Duh dr umenigusa san mahuciano nilionayo ooh mungu anisaidie, niko more comfusion & frasturated,bcoz mtu yan kwa mfn kweny mawasiliano hatuko vzr kbs kama mwanzo nikaja nikamuuliz akanambia et yy yuko na mawazo ya kaz cjui kuna mambo hayaend vzr kazin kwake akanambia nimpe Muda akishaongea na boss wake atakuw sawa ana uhakika nikavumilia lkn bdae mi nakuw na maswali coz now ni wiki ya tatu ukimtafuta mara hakujb text mara achelew kukujb sasa ni jambo ambalo kdg kwa umri wangu linanipa changamoto kwamb huenda kuna mtu yuko bze nae ukija sa ukitak kumuelekez kwamb familia ni familia na swala la kazi ni lingine anakuambia tuachane mm naamua tuu kumuomb anisameh tuendelee make co kama nampenda san hapn cpend kuw kweny mahuciano leo kexho nimeachan na mtu kwahy kdg najarib kujitunzia heshima jmn naomben ushaurii niko kweny hard situation 😢😢😢
@EverlyneMuhonja-y5l
@EverlyneMuhonja-y5l 3 ай бұрын
Mimi tangu nioleke saa hii ni miaka ishirini na mbili hata hajui kwetu naomba❤usaidizi
@gladysnduki
@gladysnduki 2 ай бұрын
😢
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 жыл бұрын
Open your eyes and see the reality
@levinavenance1200
@levinavenance1200 2 ай бұрын
Dalili za mahusiano feki 1.don't waist ur time 2.toxic relationship 3.mahusiano yoyote yanawagarimu wote wawili 1)shida kwenye mawasiliano yenu 2)anaonyesha kukupenda mbele za watu kuliko mkiwa wenyewe 3)unahisi ubutu wa mahusiano yenu hakuna amazing feeling 4)mahusiano yako yanakufanya confused and frustrated bora uwe na dilemma kwenye vyote si mahusiano yako 5.hakuna mazungumzo ya kawaida unaogopa kuongea lolote 6.ushindani mwingi mnashindana zaidi ya kuendana See humans before marriage you want pole approval or ur safety 5) 4)
@JescerProsper-hg1bf
@JescerProsper-hg1bf 11 ай бұрын
😂😂😂 jaman mahusiano haya khee sa ntafanyaje ila nashukuru mungu sana wangu mm sio muongeaji anakauli za ovyo mkigombana mm ndo muongeaji ila toka nimeanza kukufuatilia now na badilika maana nilikua mtu wa kuongea ongea sana mwanaume alikua ajibu sms zangu za malalamiko na ata tukiwa wote ajibu kama nikiwa naongea wakat na hasira mm sipend mwanaume mwenye polojo wakat wa kuaproch
@JescerProsper-hg1bf
@JescerProsper-hg1bf 11 ай бұрын
But now naona mabadiliko kwangu nilivyo acha mdomo
@ShukuruMusimbulwa
@ShukuruMusimbulwa 9 ай бұрын
Mimi naitaji delivrance kwa mume wangu ili arudi,kwa jina la yesu
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 10 ай бұрын
Yan haya yote yaliosemwa ex wangu alikua nayo hta hna tofauti hyo mwanaume shetani amlambe usooo😒😏😏😏😏😏😏
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 3 жыл бұрын
Mhhhhhh hapa asikiaye na asikie. Bora niwe single tu nielewe k1.
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 жыл бұрын
Umeonaee
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
🤝🤣🤣😢
@pendondossy4181
@pendondossy4181 3 жыл бұрын
Kabisaaaaa
@joycemponda8486
@joycemponda8486 2 жыл бұрын
Yani Leo nimepona moyo wangu ,nimegundua Niko kwenye mahusiano feki
@tumainkisinde518
@tumainkisinde518 Жыл бұрын
😢
@JordanTembo-rf2ew
@JordanTembo-rf2ew 7 ай бұрын
Kak nimepend elim yako je ntajitoajbkwenye sitrees yakumwazia nikiachan nae
@JasiHaonga
@JasiHaonga Жыл бұрын
Mtumishi Nina changamoto kwenye ndo mkewangu alikuwaanatoka na mwenyenyumba nilipo panga je nifanye nini
@pendoimmanuel2335
@pendoimmanuel2335 2 жыл бұрын
Imenigusa saana hiyo kila dalili zipo kwenye mahusiano yangu kuacha siwezi nifanyeje ili mahusiano yangu yakae sawa naomba ushaur wako dr
@dianamasao1210
@dianamasao1210 Жыл бұрын
Darling Pendo, ni ngumu ila inawezekana kabisa jiangalie usije ukalia machozi ambayo huwezi rudi nyuma. Ilinitokea nilikua nang’ang’ania kwa mtu ambae in reality nlikuja kujuta sana maana alikua na dalilli zote ila nlikua kma Mjinga
@LenyalenyaNiselikodiasi
@LenyalenyaNiselikodiasi 8 ай бұрын
Mkuu ukosahihi lakini kunam penzi wangu anapenda Mimi ndoniwe muongeaji tu yeye Hana sitor
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 жыл бұрын
Hapoo kwenye "watanionaje" ndo panawafanya mpk wanatolewa roho maana MTU hakuhitaji we upogo tuu! Acha waonyeshwe rangi zote!
@kennedypatrick9187
@kennedypatrick9187 3 жыл бұрын
Umenifurahisha dada yangu hahahahaa
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 жыл бұрын
@@kennedypatrick9187 ndo hivyo bro! Kuna wanawake jinga sana kung'ang'ania mijanaume yenyewe mikatili!
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 3 жыл бұрын
Kweli dada kunawatu hawajui msoma mtu .dalili mwanaume anaonyesha hakutaki anangangania tu
@happyngulo4722
@happyngulo4722 3 жыл бұрын
Kwakweli ili somo langu kabisa Mana mausiano yangu sielewi kabisa unatuma sms unajibila kwa shida asanteee MUNGU umanifundisha
@gracendaki4515
@gracendaki4515 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@emmanuellawikimathi5004
@emmanuellawikimathi5004 3 жыл бұрын
😂😂😂 Tupo weng
@happyngulo4722
@happyngulo4722 3 жыл бұрын
@@emmanuellawikimathi5004 Yani shida 😭
@magretmdachi3550
@magretmdachi3550 3 жыл бұрын
duuuuh dalili zote zipo kwenye mahusiano yangu. duuuuuuh mungu asante kwa kunionyesha mapem
@elesiatabia2230
@elesiatabia2230 Жыл бұрын
Hahahaaaa hahaa
@RehmaNzeberi
@RehmaNzeberi 9 ай бұрын
Duu yani ninae mtaka yeye hanipendi ila wanao nitaka mimi siwapendi tafanyajee mimi ili nae mpenda ani pende 😢😢
@damarisogoti316
@damarisogoti316 3 жыл бұрын
Niko kwenye penzi but sometimes naona ananipotezea muda juu naeza text sahii anijibu kesho, roho yangu imeanza kupotea kwake
@missmuchiri7537
@missmuchiri7537 3 жыл бұрын
Same here,iput him as my first priority but kwake amenieka second option, ichoose to love myself first and to be happy alone, I didn't walk away but,iput him last..one week now,he is texting, calling, but no answer.
@jessiepaulthebeautifulange1749
@jessiepaulthebeautifulange1749 2 жыл бұрын
Thought am always alone ,but naona niko na wenza huko ,tujikie nguvu dada zangu ,more educated by Dr .Chris ,siwezi kuyarudia tena makosa ya zamani.
@FaudhiaMasale
@FaudhiaMasale 3 ай бұрын
Kwa kuanza naomba mniulze chochote nitajbu labda ndio ntagundua npo kwenye mahusiano gan naomben sana msaada nipo njia panda
@linetakware6175
@linetakware6175 2 ай бұрын
How can i get your contacts, am more blessed through your teachings but i wod like to share with you part of my story for more advice
@josephlwagi9370
@josephlwagi9370 2 жыл бұрын
Baada kusikiliza hii semina kwa umakin kabisa...nimerud kwenye contact yangu nikafuta namba ya mtu nilie kua nae kwenye mahusiano......
@esthermollel6881
@esthermollel6881 Жыл бұрын
😂😂😂
@samirahyussuf8624
@samirahyussuf8624 8 ай бұрын
Inaumiza😭😭
@princesschamgenzi7128
@princesschamgenzi7128 2 жыл бұрын
Anipendii😢😢
@mtangag774
@mtangag774 2 ай бұрын
😂😂😂😂shida tunaowapenda hawatutaki ila tusiowapenda sasa ndo wanakomaa hatar
@ireneolukonyi1024
@ireneolukonyi1024 3 жыл бұрын
mimi siku izi sielewi kama kuna kupendana ju mimi niko mbali nilisafiri kikasi lakini niko na boyfriend shida ni masiliyano napigiwa sim kwa mwezi maramoja yani sielewi kabisa hadi piya mimi nimekuwa zungu wamapenzi yaani siwezi amin mwanaume yeyote 😢😢😢
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 3 жыл бұрын
Move on uyo sio mpenzi I'm in Canada ma boyfriend ako south Africa na tunacreate muda wa kuwasiliana kila Mara hadi raha. Uyo wako n kama hana muda na wewe
@dianamasao1210
@dianamasao1210 Жыл бұрын
Move ccy move on, there is no resiprocity there
@yasintagwae8025
@yasintagwae8025 3 жыл бұрын
Mh acha nibak peke angu dalili zote nimeona
@shanawilliam1050
@shanawilliam1050 3 жыл бұрын
😀😀😀
@ashuraalli1561
@ashuraalli1561 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 3 жыл бұрын
😂💯
@naomimgaya696
@naomimgaya696 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@youthssuccesstv3162
@youthssuccesstv3162 Жыл бұрын
Duh! Kwa dalili mbili nimegundua niliwah ishi kwenye mahusiano miaka 10 lkn namshukuru Mungu hatupo pamoja tena
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Before anything ask God he will bring right person to you
@GladnessNdonde-eb3zy
@GladnessNdonde-eb3zy 6 ай бұрын
Niliwah kumjoke mume wangu nikamuita kaka weeee aliwaka huyo😂😂
@yusraedom8473
@yusraedom8473 7 ай бұрын
Nipo kwenye mahusiano miaka 8 sasa na sijaolewa nambiwa kilacku nakupenda 😂😂😂 naitwa mke ila kwetu wamepokea baruwa tu na ckingine ninacho niumiza nimemfanyia mipango ya kumuweka sawa kikazi mpaka saizi yupo South African na kunamuda ana sema mali zake azinihusu kisa ajanioa na kunamuda anasema ananitania 😢😢😢 ila mpaka sasa nishamjua napambana kivyangu kujiwekeza ata tukiachana sitojutia😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuli nyie😅😅😅😅
@furahamushi-cc8jb
@furahamushi-cc8jb 6 ай бұрын
pole
@zaitunisingano8295
@zaitunisingano8295 Жыл бұрын
Daah kwa mara ya kwanza leo nimepata nafasi ya kusikiliza somo lako hakika kuna vitu nimejifunza 🙏🙏 barikiwa sana asilimia 90 ya maneno yako ndio tunayoyaishi kwenye mahusiano lkn wengi tunaishi kwa dhana potofu yakusema #ATABADILIKA pasipo kufaham kipindi unachosubiri mabadiliko yake ndo kipindi ambacho yey anakupotezea muda na njia ya maisha yako.
@halifaalliy6332
@halifaalliy6332 Жыл бұрын
😭😭😭true
@mariamponera6386
@mariamponera6386 Жыл бұрын
Sana kupoteza muda atabadilika wapi mpk unazeeka ndoa unakumbuka kama hiki choo sicho
@rosemiselya6191
@rosemiselya6191 3 жыл бұрын
Nilikuwa kwenye mahusiano then I decided kuwa single, I can't afford to waste my time na mtu ambaye Haeleweki.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Nibora kuliko kupoteza muda
@petrojohn.8156
@petrojohn.8156 3 жыл бұрын
Yaani acha kabisa hakuna kitu kinachouma kupoteza nguvu zako na rasilimali zako kwa mtu asiyekupenda.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Hakuna faida kupotezamuda
@zulfamwenye2626
@zulfamwenye2626 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 kak naomba namba zako
@emmamombo7149
@emmamombo7149 3 жыл бұрын
@@petrojohn.8156 wasema pole pole is more painfull
@tatukahumbira3317
@tatukahumbira3317 2 жыл бұрын
I am seeing this after a year but am not regretting at all,be health,stay blessed THANK YOU SO MUCH🤝
@peshngina7430
@peshngina7430 11 ай бұрын
Aki nimepitia kila kitu 😢😢I date for 4yeras na tukawachana
@FelistaFloriani
@FelistaFloriani 3 ай бұрын
Dokt napitia ayo adi sas sitamn mapenzi yani mimi ndo nakuwa mtumwa wakumuanza salm nikiwa naye anamda yni
@stevenrichard189
@stevenrichard189 3 жыл бұрын
Mimi huwa naanza mahusiano, lakn nikiumizwa au kukumbushwa aisee huwa piga chini, lakni kwa hii somo I have to change na sasa namwomba Mungu anijalie wa ubavu wangu.
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 Жыл бұрын
Mungu akuzingire Kwa WiGo wa ukuta wa moto =Zekaria 2:5. Hapo kwenye casual jokes hapo😄😄😄
@AmosKomba-c8s
@AmosKomba-c8s 27 күн бұрын
Naitwa àmo natafut mk mwenye ulmi miak 18 ad 20
@leahmgunda5055
@leahmgunda5055 3 жыл бұрын
Makanisa yanajitahidi sana kulea watu wake Mungu azidi kuwapa mafunuo.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@angelherman6690
@angelherman6690 11 күн бұрын
​@@ChrisMauki1Dr mimi mahusiano yangu yana miezi 2 lkn uyu mwenzang ni mzito sana kweny mawasiliano saw kwa siku anaweza akanipigia au mesg asubuh lkn hata haniuliz ulizi pia hanihudumii , yani kweny kuwqsilian mpk umwambie mi napendq unifanyie iv , uniulize nimekul nn, unambie umefika salama yani yupo serious sana asa penz halielewek ni jipy au laa
@mariakalinga9917
@mariakalinga9917 3 жыл бұрын
What about if you are in toxic marriage already and you had never thought of it
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@omarimayallah4676
@omarimayallah4676 2 жыл бұрын
Get rid of it but remember kids accessibility is the right of all.
@MaaneML
@MaaneML Жыл бұрын
Quit it as soon as you have full planed your permanent exit. Happiness is key to Health living.
@rosepauli4043
@rosepauli4043 3 жыл бұрын
Mh jamn mambo ya mahusiano ni Mungu aingilie kati kwakwl maana ni butu kila kona
@vailethjames1934
@vailethjames1934 3 жыл бұрын
Hahaha
@vailethjames1934
@vailethjames1934 3 жыл бұрын
Unanichekesha shogaa
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 3 жыл бұрын
Ivi mahubiri haya kwa lugha ya kizungu hamna nilitaka nimtumie jamaa yangu sema kiswahili haelewi
@josephinemhema2438
@josephinemhema2438 3 жыл бұрын
😄😄
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
😃🤣
@josephinembise6151
@josephinembise6151 3 жыл бұрын
yaaan mtumishi hapo ni mimi umenisemea mahusiano yangu jamani ni jehanam ya duniani
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 136 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 299 М.
Dr. Chris Mauki: DALILI 5 KWAMBA UKO KATIKA MAHUSIANO FEKI
30:56
Chris Mauki
Рет қаралды 4,6 М.
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
16:41
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 4,3 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 214 М.
Dr Chris Mauki - Utajuaje penzi la mpenzi wako limeisha?
12:39
Chris Mauki
Рет қаралды 350 М.
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 144 М.
CHRIS MAUKI- UKITAKA KUFANIKIWA MTUNZE MKEO (FULL VIDEO)
36:54
Tacmen Group
Рет қаралды 70 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 4 Kwamba Mpenzi Wako Amekuchoka
9:45
Chris Mauki
Рет қаралды 230 М.