Kanuni nne( 4) zitakazo kusaidia kuboresha mawasiliano - Dr Chris Mauki

  Рет қаралды 35,943

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@unileverldsengineering9541
@unileverldsengineering9541 3 жыл бұрын
1 zungumza, usibishane 2 kua msikilizaji Njia za kua msikilizaji bora -nimeelewa kinacho zungumzwa -nimeelewa lengo -kuna sehemu nmeelewa tofauti 3 kua mzungumzaji jasiri 4 hakikisha unatoa mrejesho -nmetathimini
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@najmahamiri6889
@najmahamiri6889 2 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 mbn cm zangu haupokeagi
@leylasaid3629
@leylasaid3629 Жыл бұрын
Kuboresha mawasiliano 1. Zungumza wala usibishane 2. Jifunze kuwa msikilizaji Umeelewa kinachozungumzwa .....lengo Kipi ambayo hujaelewa Umetathmin kinachosemwa Umeafikiana na anachosema? 3. Kujifunza kuwa mzungumzaji jasiri 4. Hakikisha unatoa mrejesho
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 3 жыл бұрын
Ninakushukuru sana umeniokoa katika mahusiano yangu
@fatumanassir3085
@fatumanassir3085 2 жыл бұрын
Nimeelewa doctor,asante nimejifunza kitu
@munahashim8898
@munahashim8898 3 жыл бұрын
Shukran Sana kwa mafunzo mazuri
@rehemastauffer7805
@rehemastauffer7805 4 жыл бұрын
Nakukubali Dr. Mauki masomo yanaeleweka ubarikiwe
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@kuluthumuchilimo8907
@kuluthumuchilimo8907 2 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo mazur
@rithamathias2944
@rithamathias2944 2 жыл бұрын
Lov u Dr mauki
@franktumainijipya223
@franktumainijipya223 4 жыл бұрын
Tunashukuru kwa elim yako bola kwetu
@upendogerlad594
@upendogerlad594 3 жыл бұрын
Aksante sana
@milliamdevid7997
@milliamdevid7997 3 жыл бұрын
Nimepata kitu kaka mungu akubariki sana
@salamaoman8133
@salamaoman8133 4 жыл бұрын
Sawa kabisa Dr mauki somo nzuri sana
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@annamvamila1736
@annamvamila1736 3 жыл бұрын
Kweli wewe dr
@marymusangi5568
@marymusangi5568 4 жыл бұрын
AKi umenitoa gizani Asante sana
@sophiekakubi4673
@sophiekakubi4673 3 жыл бұрын
Mwenzangu mim anasema mara nyingi tusiongeee najitaidi lakin anasema anaumia masikio
@ayshameme8088
@ayshameme8088 2 жыл бұрын
Ukiona ivo jua unaongea snaaa(mdomo/gubu) jalibu kuwa mkimya
@oprotunahaule8114
@oprotunahaule8114 3 жыл бұрын
Your the best
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 3 жыл бұрын
Uko vizuri
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 namba yako please kwa nasaha zaidi
@halimahalima1984
@halimahalima1984 4 жыл бұрын
Unatufunza sana
@sophiekakubi4673
@sophiekakubi4673 3 жыл бұрын
Dokta
@rhodamuro6756
@rhodamuro6756 3 жыл бұрын
Kweli ndo maana sasa nimetoka gizani
@brhchannel6618
@brhchannel6618 4 жыл бұрын
Nice indeed
@رزيكيحسن
@رزيكيحسن 4 жыл бұрын
Mm Niko na mpenzi wanga yeye Yuko mbali na mm Niko mbali tulikua tukiwasiliana kila siku Sahi mpaka ni mtafute mm lakini yeye anahabari kabissa nambie Apo kuna masiano kweli
@brhchannel6618
@brhchannel6618 4 жыл бұрын
@@رزيكيحسن ushajaribu kuongea nae na ukamuuliza Tatizo Ni Nini akupigii Simu?
@brhchannel6618
@brhchannel6618 4 жыл бұрын
@@رزيكيحسن ushajaribu kuongea nae na ukamuuliza Tatizo Ni Nini akupigii Simu?
@juliejulie6063
@juliejulie6063 4 жыл бұрын
Wow mafunzo mazuri sana
@aishamaulidi4679
@aishamaulidi4679 4 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka
@hajifaki8952
@hajifaki8952 3 жыл бұрын
Typo989uk
@khadijaramadhani3523
@khadijaramadhani3523 2 жыл бұрын
Hivi kama mpenz wako zamani alikuwa anatuma sms ila piaaa anapiga ila anatuma sms tu ipojee hii
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 4 жыл бұрын
Nimeipenda sana point ya mwisho, Pia nilichokifanya nimeshare whatsapp kwani ni wengi wana hii tabia ya kutotoa mrejesho hata umtumie pesa au kumtumia chochote ambacho alihitaji kutoka kwa mwingine. Sijui ni dharau au kujifananisha na Mungu au ni nini.?
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 Жыл бұрын
Asante ndugu hii inaboa san ht mtu asishukuru lkn ajibu imefika daah inaumaa
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 4 жыл бұрын
Tunasubiri
@witnessmartin9445
@witnessmartin9445 3 жыл бұрын
Baba nahitaji zaidi ushauri kutoka kwako je whtsup nakupataje
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 3 жыл бұрын
Umenena vema namba yako please nine ofisini mwako
@francinechirezi506
@francinechirezi506 3 жыл бұрын
Sasa kaka mbona kila mara niki jaribu bina shindikana?
@maryammohd5994
@maryammohd5994 4 жыл бұрын
Naamini itanisaidia kwani ndoa yangu inaninginia
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 3 жыл бұрын
Bora yako Mimi ndio MTU anakwambia amezaa nje Mara mbili nimeumia sana due
Dr. Chris Mauki: Maeneo matano (5) zilipo nguvu za mwanamke
12:24
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
JENGA MTANDAO (NETWORKING) - JOEL NANAUKA
8:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
Makosa saba (7) ya kuepuka kwenye mahusiano yako
12:24
Chris Mauki
Рет қаралды 101 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
Dr. Chris Mauki: AINA 3 ZA WATU. Je, wewe ni nani katika hawa?
10:44
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 134 М.
Maneno Ambayo Hutakiwi Kumwambia Kabisa Mpenzi Wako
6:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 388 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kukusaidia kumpata mpenzi sahihi
9:26
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН