SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@cassiopealuxe6713 Жыл бұрын
@Sultanramsp
@charlesbabag14242 жыл бұрын
I wish watu wakuelewe zaidi hapo kwenye zawadi nakujitoa, usitoe zawadi ili upendwe toa zawadi sababu unapenda💪🏾 mnunulie mpenzi au mpe kitu mpenzi wako kwa mapenzi yako sio kwaajiri yayeye kukupenda
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Da,unaweza kulikoroga bila hata kujua, asante kwa elimu
@HanifaOman-oo4pl Жыл бұрын
Maashaallah wewe Baba Munguakulipe heri. Manenonikwerikabisa. Wanaume akikufatamchunguze niayake hawanamapenziyakwelinipesatu
@sophiakayumba59742 жыл бұрын
I listened twice,,, mtaalam Deo kaongea mambo ya kweli ......
@angelsylvester47952 жыл бұрын
Kaka deo unaongea vitu vizuri sana wanaume wangesikia wengi wangepona hali ni mbaya
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Uko sahihi 100% Mwanaume ndo kila kitu jmn,ahudumie familia Wanawake acheni kuhonga wanaume pesa, hela ya mwanaume tamu aisee ... 📌📍Waambie pastor
@GraceKassim9 ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana asante sana
@KaviraKighoma-d1j10 ай бұрын
Past deo Mungu akuongezee maarifa ili nasi tuchote kwako baba
@akimanaasiya4654 Жыл бұрын
Mungu andeley kumlinda sn huyu baba 🥰
@nyiranzimami72810 ай бұрын
Unaongeya Ukweli past❤
@redmioman43712 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri jaman
@lameckgunze63762 жыл бұрын
Zari anauliza vizuriiii
@ndavadumayai4250 Жыл бұрын
Pastor Deo nimekuelewa sana sana
@LeahMuganyizi Жыл бұрын
Asante sana kwa maelezo mazuri shida ni hawafuatilii wakasikia
@maryammohammed5835 Жыл бұрын
Pastor DEO nimependa kipindi hiki.. Hongera sana
@bediabahati7700 Жыл бұрын
Yani uyu mu kaka ni fire🔥 kila unacho ongeya ni point tupu wana wake wengi tuna jipendekeza ku wana ume tukizani njo tutapendwa mana wengi nawa juwa ashwa ashwa kwenye inchi iyi ya .Marekani wana wake wa hapa wana ume awa tusamini na mana tuna jipendekeza kwaku chukuwa majukumu yasiye kuwa yetu mwishowe wana tuacha wana ende ku owa wana wake. Afrika ubarikiwe Mwana muke ata Kaye shindwa kujifunza kwa somo 👆🏿hili wewe sijuwi atakama ukipewa dawa kutoka .Chine😂😅 ita ku ponya mana muchanga nyiko wa dawa yenye ugonjwa wako iyo hapo asanteni👂🏿 ✍️🏿❤❤ God bless you Brother🫂🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@jenipherkavusha1661 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana baba mzuri nitakua mpya sasa
@zaitunisingano8295 Жыл бұрын
Aisee maneno mazuri sn👏
@LeahMuganyizi Жыл бұрын
Somo zuri mnooo!!nondo imekaaa vzr
@rahmamohamed5614 Жыл бұрын
Nimekupenda burreee Chukua tu maua yako🎉🎉🎉
@زوهرها2 жыл бұрын
Jamani kaka umeongea ukweli mtupu somo zuri sana ila ajiandae atakae kuja maana atalala njaa maana mtu hatoi pesa hadi umuombe hata ukiomba hadi ajishauri mwisho naamua kufanya mwenyewe sasa atajuta ajae
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Ukweli mchungu jamani uiiiii sindano inauma mno ila ndo napona jamani😩😩😩pastor ubarikiwe miaka mia 🙏
@esthererasto2 жыл бұрын
God bless u man ......ukweli mtupu.jmn...
@KataliwaComicSeries Жыл бұрын
Grande applause. Loved this!
@sharifakhamis1145 Жыл бұрын
yaani dahh we kaka mungu akupe afya njema na umri mrefu unatufundisha mengi nimejifunza mengi kila unachoongea kinanigusa😢
@nicodemshello1632 жыл бұрын
Wee ndugu unaweza kusaidia watu wengi MOLA AWE NAWE
@neemamaganga97742 жыл бұрын
Uko vizuri mwalimu sukambi. Unatufundisha uharisia wa maisha.
@نجمةموبيبي2 жыл бұрын
Kaka asante sana , nimejifunza , akili inazidi kupata chakula , akili inazidi kuingiza vitu vipya zaidi
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Hili somo kabisa
@happynescostat74202 жыл бұрын
Jamani Mimi natetemeka mpaka najifunika, Asante Sana nimeguswa Sana yote mliyoongea yananiusu,
@piusundisputed Жыл бұрын
Hongera kw kupata elimu toshaa
@BarnabasKavishe-pt2hs Жыл бұрын
Pole mno tupo wengi sio we we tu
@KaviraKighoma-d1j10 ай бұрын
Yaani mafundisho nizuri kweli kweli
@jescaedwardkurumela4333 Жыл бұрын
🙏🙏🙏 baba unajibu maswali kwa husahihi Sana. Kupona ndani kwanza 👍 Jeraha halitibu jeraha Ubatikiwe
@hijamwinyi32332 жыл бұрын
Mm ndani nna vidonda haswa
@halimasaid49772 жыл бұрын
Really man thanks
@esthernakawule70092 жыл бұрын
Thx for da show
@lameckgunze63762 жыл бұрын
Wanawake hata hawataki kusikia kuwa wana haja ya kujitibia saikolojia zao niko nao hapa wanasema maisha yenyewe haya mafupi
@RehemaMsengi-rp5wg7 ай бұрын
Huo ndiyo ukweli ubarikiwe
@MariannaJoseph-uv2sp8 ай бұрын
Nikweli kaka
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina
@fridajoseph382 жыл бұрын
Duh nmejifunza kitu
@LeahMuganyizi Жыл бұрын
Kweli kabisaa
@plumbingtanzaniaplumber7570 Жыл бұрын
Utampendaje bila kukupa anachotaka unampenda mwanamke kwa kumuangalia jamaa huyu bhana Mimi taona anakibuli na napiga chin
@plumbingtanzaniaplumber7570 Жыл бұрын
Waalim n weng aisee
@BarnabasKavishe-pt2hs Жыл бұрын
Upon sahihi sana dkt. Siamini ktk zawadi eti ndo upendo
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Kweli kabisa 😜
@plumbingtanzaniaplumber7570 Жыл бұрын
Hapo changanya na zako
@shhwhw7763 Жыл бұрын
Ana maneno mazito huyu baba
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Huu ni ukweli jmn Wanawake tumezidi kuingilia majukumu ya wanaume. Kwakweli mwanaume ameumbwa kutoa
@geraldlazaro452310 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Tukielewa haya tutaishi kwa raha... Kwakweli mwanaume anihudumie tu siwezi kumpa hela wala kuchukua majukumu yake Usimpe mamlaka mtu ya kukunyanyasa,nimekuelewa. Upendo na lengo 🤔 Nimekuelewa.....
@Oye494 Жыл бұрын
Sasa mukisha zara watoto nivigumu kutupa ndowa ndomana sisi wa maman tunavumiriya. Wanaume wanatuonyesha kama ni wabaya kama tumesha kufunga ndowa. Nivigumu sana kuishi nawaume. Sisi wa mama tuko na moyo ya uruma sana.
@gloryminja822 Жыл бұрын
Kweli usimtatulie mwanaume matatizo yake atatafutamwingine
@geraldlazaro452310 ай бұрын
Points tupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mchungajiii
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Khaaa Unafua,unapika 🙄😳na hajakuoa😂 Sifanyi hiyo biashara Kila mmoja apambane na Hali yake 😂
@DorahAlbert-e8w Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@hadijarajabu7306 Жыл бұрын
Jaman mpaka raha unaongeq ukwer kabisa
@geraldlazaro452310 ай бұрын
Tiba ya vikombesss tuipateeee
@DorahAlbert-e8w Жыл бұрын
Sasa km tukitengeneza upendo sisi wenyew pasipo kutumia zawadi km ushawishi,je kwa upande wangu Mimi mwanamke ambaye Nina mpenzi wangu ambae mara hanisaidii wakati ana uwezo wa kunisaia ninapokuwa na shida!?kipato chake ni kikubwa na mimi uwezo wangu mdogo
@neemashadii4702 Жыл бұрын
😊
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
Madini yameturiav
@yousramutwale24632 жыл бұрын
Uyu baba ameongea ukweli mtupu
@IngabireAisha3813 Жыл бұрын
😂😂😂😂❤
@anitamwamini2646 Жыл бұрын
Kama hakuna anayeweza kutatua majeraha ya mtu slijeruhiwa, wataramu wa kisaikorojia kaziyao wayayoifanya niipi?
@salasala91142 жыл бұрын
Ume ongea puent sana kaka somolako nime jifuza kitu