No video

Dr. Chris Mauki: Hakikisha una aina hizi 6 za ujasiri Mwenye Maisha yako

  Рет қаралды 12,574

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba unashindwa kuzifikia ndoto zako au kufanikiwa kwenye maisha yako kwa sababu umekosa ujasiri unaotakiwa. Je unafahamu kwamba ujasiri una aina tofauti? Nifuatilie hapa nikufundishe aina 6 za ujasiri ambazo lazima uwe nazo kwenye maisha.
#DrChrisMauki#Maisha#Yako.

Пікірлер: 19
@danchibomnyama4295
@danchibomnyama4295 3 жыл бұрын
Safi san kaka topic yako imenigusa sana nakunifanya niamke nliko lala kimawazo kifikra na kitabia asante san
@baluhyaandrew1564
@baluhyaandrew1564 3 жыл бұрын
Dr Chris Mauki nimekuelewa Sana,ubarikiwe. Nikuombe siku moja utoe somo linalohusu saikolojia ya viongozi wa kisiasa.Utufafanulie kwa nini politicians walio wengi hawatabiriki?kwa nini politicians hawasemi ukweli walio wengi? Ni nini chanzo Cha tabia hizo tata na ufumbuzi wake ni upi kwny ulimwengu huu unaobadilika kwa kasi ktk sayansi na teknolojia? Asante.
@gloryibrahim4216
@gloryibrahim4216 3 жыл бұрын
Asante sana Dr Chris kwa madini haya hadimu
@cleopatraadolf6492
@cleopatraadolf6492 2 жыл бұрын
Asante sana kaka Chris mauki somo limenigusa sana
@princessleonard6415
@princessleonard6415 3 жыл бұрын
Woooow mie nina tatizo la kushindwa kunyamazia jambo hapo unanisaidiaje Dr. Chris Mauki 😭😭😭
@halimamasare6838
@halimamasare6838 3 жыл бұрын
Thank you so much Dk. Good bless you and your family
@swalhaomar162
@swalhaomar162 3 жыл бұрын
Asante Dr. Chris kwa somo lako
@suzanaagustinookelo4953
@suzanaagustinookelo4953 3 жыл бұрын
Nimekuskiliza sana lakini ungesemema jambo la kwanza kabisa ingekuwa ni mambo ya kiroho uongee kitu cha Mahana sana lakini wewe Mungu humemuweka mwisho pole sana kaka
@catherinebayyo2244
@catherinebayyo2244 2 жыл бұрын
Dr asante sana kwa somo zuri .
@cossyog3254
@cossyog3254 3 жыл бұрын
Asantee doctor kwa elimu nzurii 😄
@linecompany9013
@linecompany9013 2 жыл бұрын
Asntea sana
@ibahatimoses6431
@ibahatimoses6431 3 жыл бұрын
Asante Dr kwa somo zur
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 3 жыл бұрын
🙏ubarikiwe Dr
@ritzy1561
@ritzy1561 3 жыл бұрын
Somo zuri sana
@charlesmollel1845
@charlesmollel1845 3 жыл бұрын
Asante sana. Hakika wee n shujaa
@annastaziamagangila4475
@annastaziamagangila4475 3 жыл бұрын
Asante sana nimeendelea kujifunza
@esthebaraka8600
@esthebaraka8600 2 жыл бұрын
Kaka hbr mm naomba npigie nshda
@johndreezyrodgers9861
@johndreezyrodgers9861 3 жыл бұрын
Ni Kweli.. Ila Jinsi gani ya kudumisha mahusiano ya sasa kufikia Kwnye ndoa badae.. Nisahidie hilo Dr.
@yauyakilongola1244
@yauyakilongola1244 Жыл бұрын
Mm kila nikifanya kitu kinafeli nifanye nn
Dr.Chris Mauki:Vitu 3 Vitakavyo Yavuta Mafanikio Yako Kwa Kasi
9:34
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 195 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 45 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.
Mafanikio Yako Yanatokana Na Ujasiri Wako  - Joel  Arthur Nanauka
7:19
18+ | S*xual rights in Islam | #MuftiMenk | #ShWaelIbrahim | #DrMSalah
57:41
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
JOEL NANAUKA - MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA
8:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 78 М.
Dr. Chris Mauki: Ielewe akili hisia “Emotional Intelligence”
7:30
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 195 МЛН