Dr. Chris Mauki: Je unataka kuishi maisha marefu na yenye furaha?

  Рет қаралды 7,399

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Haijalishi unakiu ya kuishi muda mrefu kiasi gani ila ukikosea baadhi ya kanuni kuna uwezekano namna ya Maisha yako itakukatizia siku zako alizo kupangia Mungu au utaishi ukiwa huna furaha kabisa. Hizi hapa mbinu rahisi kabisa kukusaidia kuishi muda mrefu na kuishi kwa furaha.
#DrChrisMauki#Maisha#Furaha

Пікірлер: 16
@theodoremilenzo9420
@theodoremilenzo9420 2 жыл бұрын
1. Aina ya vyakula unavyokula - Kipaumbele ni vyakula vya mboga mboga pamoja na matunda. 2. Kufanya mazoezi mara kwa mara. 3. Kujua na kuyatumikia madhumuni na makusudio maalum katika maisha yako. 4. Kuwa na mahusiano chanya ndani ya jamii unayoishi.
@naaajohn4861
@naaajohn4861 2 жыл бұрын
Nimefurahiaa mafundisho yakoo munguu akupe maisha marefuu
@goodluckestomih4644
@goodluckestomih4644 2 жыл бұрын
Mwl.nashukuru kwa somo zuri! Hapo kwenye life expectancy wakati wa utambulisho haijakaa sawa.
@joackimjulius6192
@joackimjulius6192 2 жыл бұрын
Somo zuri sana nakubaliana na wewe Kwa asilimia zote
@matoli_n
@matoli_n 2 жыл бұрын
A great advice, agreed 💯
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Leo umekiwasha kwenye maada nzuri Sana nimejikuta Niko na furaha Asante kwa kupewa kipawa Cha kutumegea mungu akubariki kukupa marifa.
@agneskiwale4683
@agneskiwale4683 2 жыл бұрын
Thanks doctor ubarikiwe sana.
@brianbaraka4563
@brianbaraka4563 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri kwa kweli! Ahsante Doctor
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 2 жыл бұрын
Asante san kaka mungu akubariki sana
@juliawnjeri5913
@juliawnjeri5913 2 жыл бұрын
Thank-you soo much kwa mafuzo mazuri
@jacobkilimba748
@jacobkilimba748 2 жыл бұрын
Tunasubiri hapaa
@jacobkilimba748
@jacobkilimba748 2 жыл бұрын
SOMO LA MOTO SANAAA
@agneskiwale4683
@agneskiwale4683 2 жыл бұрын
Doctor Mimi huwa nasumbuliwa na wasiwasi na woga naomba mbinu za kuepukana na tatizo jili linaninyima raha sana jamani
@Dannny690
@Dannny690 2 жыл бұрын
Kwa mm mwenyewe nakushauri ifuatavyo. Usipende kulipa kipaumbele tatizo lako; mfano, Kama unashida yeyote ya kimaisha, kimahusiano kiuchumi nk. Usiyape kipaumbele kwamba siwez kitu fulani. Jipe focus kwamba naweza, na ondoa hof sana ya kuweza kufanya hicho kitu.
@agneskiwale4683
@agneskiwale4683 2 жыл бұрын
@@Dannny690 Asante nshkuru sana kaka angu.
@MarcelineGodfrey
@MarcelineGodfrey 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana naomba namba ya Whatsapp nna maswali please
Dr. Chris Mauki: Siri 4 za kuishi maisha marefu
9:15
Chris Mauki
Рет қаралды 2,7 М.
JOEL NANAUKA - KWA NINI WATU WANAKUCHUKIA?
6:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 39 МЛН
Dr. Chris Mauki: Siri 3 za kisayansi za kuwa na furaha
9:18
Chris Mauki
Рет қаралды 12 М.
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
6:07
Happy Msale
Рет қаралды 1,8 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo sita (6) usipoyajua utajutia
8:39
Chris Mauki
Рет қаралды 20 М.
CHRIS MAUKI- UKITAKA KUFANIKIWA MTUNZE MKEO (FULL VIDEO)
36:54
Tacmen Group
Рет қаралды 68 М.
Jinsi Ya Kuwa Na Furaha Kila Siku - Joel Nanauka
9:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.
JOEL NANAUKA: JE, UNAJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO?
13:32
Joel Nanauka
Рет қаралды 56 М.
JINSI YA KUISHI MAISHA MAREFU.  || PASTOR GEORGE MUKABWA  - JRC || 12/11/2022
29:47
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 1,7 М.
dalili za mtu anaye karibia kufa muda mfupi ujao
10:22
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 40 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН