Mm mwanangu siishi nae lakini anaishi na bibi yake kwasasa ana miaka 9 lakini nimtukutu anaiba hadi nashangaa sijui linatokana nann jaman mm hadi nahisi kuchanganyikiwa maana hata family yangu hawampendi kwasababu ya utundu wake 😢😢
@jemanyamle59452 жыл бұрын
Mwendelezo tafadhari maana Hadi kichwa huwa kinachemka
@judithkatabaro32942 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗🤗nimecheka sana
@fortunesanka53412 жыл бұрын
Hivi kweli dr @chriss umekatisha?????me nasubiria majibu nijue cha kufanya maana hadi kanatukana!!napiga.... lakini wp!!!!3yrs😭Nimemwacha tu sasaa
@HassanMinyaruko Жыл бұрын
Hivi Kuna hatari yoyote mtoto kuanza kuota meno ya juu?
@miriamlugwila5642 жыл бұрын
Yn mm wangu miaka 3 jmn jmn nimepiga mpk nimeona atakua sugu yn wakija wageni mpk aibu
@magrethjohn49292 жыл бұрын
Khaaa! Km wangu vile
@judithkatabaro32942 жыл бұрын
🤗🤗🤗
@stellakitambi98862 жыл бұрын
Part two iko wapi, kweli naihitaji
@angeniyongere37552 жыл бұрын
Ni Ji
@estherkalenge16892 жыл бұрын
Umekatisha utamu wa ujumbe maana ninahamu kusikiliza Nina huyo mtoto miaka 3 lkn acha kabisa mkorofi