Asante sana barikiwa mwalimu kwa sisi wazazi inatuhusu sana kwa kweli
@reginaldipeter22722 жыл бұрын
ELOHIM Wakolosai 1:13-17, EL-GIBBOR Isaiah 9:6, LUKE 1:32-33, YEHOVAH YIRE Zaburi 71:1-24, Mwanzo 22:8-14, 3:22-23.JOEL NANAUKA NAKUPENDA KWA JINA LA YESU KRISTO ALIE HAI (Yohana 14:13-14).
@NZAMUYEJosephАй бұрын
Kwa nondo hizi lazima niwe baba bora aise ❤❤❤
@juliethfrank66263 жыл бұрын
Uko sahihi sana brother mnoo,mimi napenda kuongea zaidi na watoto wangu kuliko kuchapa hii nadhani ni nzuri sana,lkn ni vema ungetufundisha pia na namna ya kuwasaidia watoto kuondokana na tabia hizi
@omarimadiva53523 жыл бұрын
Ni kweli kaka lakini Tiba kubwa Ni kuwapa maneno ya mungu,kuwaepusha na watu wa ovyo na yote kwa yote, mzazi askose Maombi kwa ajili ya mtoto
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Ahsante kwa Elimu hii, umenifumbua ktk somo hili kwa malezi ya mtoto.
@khadijamtumwa94213 жыл бұрын
Mwanangu anaupenda sana uongo cjui nimsaidiaje naomba msaada wako.
@ruthmwakyusa7053 жыл бұрын
Nashukuru Sana kwa kunifumbua macho,kunatabia naiona kwa mwanangu, sasa nachukua hatua ya Kiroho na kimwili ili afunguliwe.Mungu azidi kukutumia
@thuwaibawadi96723 жыл бұрын
Asante Sana kaka...mm mtoto wangu anahasira kama mtu mzima ila tutajitahidi
@ashuraiddy13713 жыл бұрын
Kaka mie mtoto wangu anaumri wa mwaka mmoja na miez 7 ni mkali Sana kwa Kaka yke na nikweli inatokana na Mimi mwenyewe nikiwa na hasira nakua mkali Sana kwa watoto nimejaribu kuacha hii Hali nimeshindwa na inanikera Sana naomba unisaidie kuepukana na hii hali
@latifachilala20152 жыл бұрын
Wewe ni Mimi kabisa itakuwa singo maza kama mimi
@bonifaceferdinand5662 жыл бұрын
Mtoto hawezi kulelewa na mama peke yake,Kuna umuhimu mkubwa mtoto kulelewa mama na baba.
@benostanslaus36323 жыл бұрын
saf sana nanauka kwa elimu unayotupa kila sku God bless you
@mwanaimaabdallah78253 жыл бұрын
Nimejifunza kitu hapa Ubarikiwe brother Joel
@rehemamwasomola43623 жыл бұрын
THANKS SOMO NI ZURI NA NI MUHIMU SANA
@awalimunishi3 жыл бұрын
Mfano hilo neno hivi wewe una akili kweli au pumbavu kabsaa niligundua mwanangu anapenda kuyasema hayo na nilipochunguza nikagundua mimi ndiye msababishi basi nikamuomba Mungu anisaidie kubadilika utu wangu wa ndani,nilipobadilika mimi na mwanangu akabadilika.
@michaelshayo1873 жыл бұрын
Kweli kaka leo nimejifunza kikubwa sana kuhusu kuwatambua watoto
@ladslauspius48453 жыл бұрын
Vipi kwa zile taibia ambazo ni kurithi toka kwa wazazi wake?
@johnmanase28743 жыл бұрын
Aksante bro. Hii somo zuri sana.
@avelinalukanazya48893 жыл бұрын
Nimejifunza jambo kubwa ila pia watu wanaowazunguka uchangia Sana hii tabia ya bullying.
@emanuelmashakalutema3 ай бұрын
Yaaa wapo nimeona nimejifunza kitu
@TeacherHeroTz3 жыл бұрын
Ukweli mtupu brother Joel
@singasinga26633 жыл бұрын
Thnks bro
@aash41452 жыл бұрын
Shukrani kaka kwa elimu unayotupa
@aminatumbo74103 жыл бұрын
Duuh ushasema wangu..huvunja ama hata kuharibu nilivopanga nyumba..na mmoja hujiangusha chini yani natatizika pia..
@liberatussylvanus54773 жыл бұрын
Hiyotabia ipo mpakakwawatuwazima especially bullying
@rachelysanga5069 Жыл бұрын
Nimepata somo kubwa sana kaka mungu akubariki mlezi muelimishaji 🙌
@bernadethajackson8702 Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana nashkur kwa ushaur
@yusufuheri65243 жыл бұрын
Big sana brother Joel nanauka daima sintochoka kuangalia video zako. Maana huwa zinanipeleka katika safari ya maisha yangu ambayo siwezi kwenda mwenyewe
@fatmakessy9813 жыл бұрын
Asante sn kk Joel nimejifunza mengi sn kwako lkn naitaj kuwasilina na wewe zaid ilikujifunza zaid plz
@ushindielia9886 Жыл бұрын
Nimejifunza that xo much
@deborakasambula74313 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa maelekezo nikwel kabisa
@judithmwambe47673 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Joel Nanauka......
@nursechunga44703 жыл бұрын
Mungu akubariki Kaka Joel, umenielimisha Sana🙏
@RaynardNdauka7 күн бұрын
Mimi mtoto wangu ni muongo sana nilishaaongea nae sana sjui nifanyeje naomba ushauri wako
@ThabitiMtepa Жыл бұрын
Hongera brother mm nilikutana na tabia ya bullying tena alikua mtu mkubwa sanaa kwang lakin alikua akiniona na furaha na aman anatafuta kitu cha kunikatisha furaha na aman
@veronicambendule88532 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kaka kwa elimu
@mchmwal...z.a.ndelwa78383 жыл бұрын
Asante sana
@marselinakinyagha82845 ай бұрын
Thanks
@fathiyaabdallah46837 ай бұрын
Naomba no mwalimu
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa😊
@zainabujuma23593 жыл бұрын
Asante
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina Baba
@abdultandala96003 жыл бұрын
Brother hajawahi kuvuluga mada zako big up''
@neemankya55513 жыл бұрын
Eti bro Joel Kama mtoto anatabia ya kukimbia akiwa na hasira anaenda mbali kdgo anakaa Kama dakika 2 anarud hasira imeisha..anarud Yuko sawa kabisaa afu ana miaka miwili
@kulwasabu2576Ай бұрын
Me kuna mtoto mchanga wa siku 3 kifua chake kimejaa pia anapumua kwa haraka sasa sijajua shida nn naomba msaada .mama ake amejifungua kwa operation kwa sababu mtoto alikuwa na kg 4 naomba msaada
@dainessgift79403 жыл бұрын
Barikiwa
@rashidmashaka12643 жыл бұрын
Mi naomba somo la kulea mtoto wa kike
@ombeniestomih89343 жыл бұрын
Hiyo bullying watu wengi wanayo kwa kweli hasa watu wazima
@mfaume70572 жыл бұрын
Na Amini Maneno yako mm mama angu alikua ana nikataza uwongo akiwa ameondo ameniacha na mtu akirud mama angu nikimuhadisia kitu ananigomba ana mbia anaenda mania mwenyewe nilikua naogopa sana hadi leo nimepatwa na woga sana wa kusema uwongo sa
@ALAMA_TV_ONLINE3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, ni somo zuri sana. Hongera mwalimu lakini nina swali. Wanaotazama hizi videos au haya masomo kwa asilimia kubwa ni vijana , Vipi umejipanga vingi kuwafikia watu ambao hawatumii social networks ? I wish kila mmoja angepata hili somo
@chuggapjt37823 жыл бұрын
Dunia ya sasa hivi?
@elibaricksadock95623 жыл бұрын
Nakubali
@mwamvuakibenga97883 жыл бұрын
Tabia ya uongo nimekutana nazo kwa watoto niliokua nawalea yaani mtoto anadanganya hadi ANALIA
@mchmwal...z.a.ndelwa78383 жыл бұрын
Kalibu tunduma
@michaelmatheo7 ай бұрын
Kaka me mtoto wangu ana mwaka mmoja lk anatokwa naa jasho nying akiwa ananyonya au akiwa amelala mchana ata wakati wa baridi sijui shida nini
@husseinshabani95223 жыл бұрын
Itabidi tubadirike...Mimi niko kwenye kukaripia..Mungu Aniongoze siwezi kuongea taratibu..
@manenolugendo63963 жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@bakarirutengwe30363 жыл бұрын
SWADAKTA MASHALLAH
@edwirjefrancis81563 жыл бұрын
Mtoto akiwa na hizi tabia unamsaidiaje
@wardawarda45153 жыл бұрын
Kwakweli kina kitu nimejifunza hapa mana Kuna baadhi ya watu nimeishi nao ambao wanakera Kwa harisa zisizo na manaa na unakuta mzazi anamsifia mwangu bwanA anahasira mara mwogeaji sana
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Nimuhimu sana Somo Lako
@RosemaryLema-qp2df Жыл бұрын
Hzo za hasira nliona kwa mwanangu akiwa na mwaka nlkemea akabadlka
@adrienmukangwa64752 жыл бұрын
Ndio biothérapies n'a mimi ninaye mmoja wa kiume hachelewi kufoka kwa sauti gali sana n'a kuchukia sana.
@mgallason...56863 жыл бұрын
Kuba tabia ya watoto wengi kuwa na tabia ya kudeka Yaani unakuta Mtoto analialia tu bila sababu, akinyimwa kitu Hata kisichomuhusu yeye anaangua kilio kama kafinywa Halafu unakuta mama anamuangalia tu, Tatizo Mtoto kama huyu ukutane naye kwenye daladala anaweza kulia kutoka makumbusho mpaka gongo la mboto.
@lailaseif7893 жыл бұрын
Ndio Tania zao wakichukia
@josephmoshi1503 жыл бұрын
Seeuatthetop
@hammyyombe52293 жыл бұрын
🙏
@aash41452 жыл бұрын
Hio changamoto ni kubwa mnooo, kwa watoto tulioshuhudia kuwaona,,,, wanafany lolote wazaz wanaona sawatu, kumbe badae ni changamoto kubwa
@LuluMchora-l8i3 ай бұрын
Kaka ninamtoto anamiez mitatu anatokwa na udenda mwingi sana hinapelekea kwa siku anavaa nguo zaidi ya nne na shida ni nn tafadhari
@carolinemasawe65152 ай бұрын
Huyo ni meno yanamsumbua yakiota hiyo hali itaisha
@mshigilakarume44253 жыл бұрын
It is constractive
@nimubonainnocent21832 жыл бұрын
Sasa kaka ninjiya gani ya kukabiliyana nahiyo hali kuwatoto
@juniormaduhu30472 жыл бұрын
Mimi mwanangu Ana mwaka mmoja na miezi mitatu yaani akikasirika anatupa vitu na anajiangusha mwenyewe chini analia then anaondoka anaenda mbali na mimi
@lembrismatayan88953 жыл бұрын
Look!
@bahatihengwe15003 жыл бұрын
je mtoto akiwamkimya sana nifanye nini ilikumsaidia ?
@emmysam15103 жыл бұрын
Ndyo mzuri ni ishara ya kuwa mstaarabu
@yusuphmwaigomole3104 Жыл бұрын
Physical aggression nimewahi kushuhudia kwa mtoto mmoja aisee ni mbaya
@sarahmsangi72433 жыл бұрын
Nashukuru kaka Joel kwa somo zuri
@ernestmbwete44803 жыл бұрын
Kaka mm wenzangu walikuwawananisaidia kuosha vyombo mdamwingine adi kufua ili2 nkacheze mpila sababu dada alikuwa anasema aiwezekani kwenda kucheza adi nimalize kazi
@neemankya55513 жыл бұрын
Eti bro Joel Kama mtoto anatabia ya kukimbia akiwa na hasira anaenda mbali kdgo anakaa Kama dakika 2 anarud hasira imeisha anarud anacheka ni ishara gani?
@kamobcooler10773 жыл бұрын
Umesoka kaka
@MwajumaSalehe-b8c Жыл бұрын
Mungu wangu abusive language jmn uwiiii niache sasa
@jamesbwigane58583 жыл бұрын
Ndio yapo mwanangu akichukia anavyunja kitu kilichopo jirani yake
@antonianombo66453 жыл бұрын
Ivi unaweza kuishi na mtu usie mpenda
@antonianombo66453 жыл бұрын
Kunawezekana mtu kuishi na mtu usie mpenda
@zulfarazalo-lp7if Жыл бұрын
Mambo haya yapo Mimi mwanangu ana nisumbua adi naisi anatatizo la akili ana hasila sana na nimkolofi sana
@hidayakisensi27473 жыл бұрын
Mmh izi tabia zote umewagusa watt wakiarabu😒
@azizakwileka16863 жыл бұрын
Barikiwa kaka
@zukrabuethi50683 жыл бұрын
Je unatamani kupata fursa ya biashara ya karne ya 21? . Karne ya 21 tuliopo ipo katika uchumi wa Connected economy, Je unatamani nawe kufanikiwa au kutengeneza kipato endelevu? . Tengeneza tabia mpya na kipato endelevu WhatsApp number 0683138300 . Nikupe elimu, tuma neno 'kipato endelevu' WhatsApp number 0683138300 nikuonyeshe. . Tumetoka uchumi wa viwada tupo uchumi wa Connected economy.
@ummusamira35183 жыл бұрын
Kwakweli mwalim haya yamenigusa wanangu watatu wako hivyo hivyo wananivunjia jila kitu najitahidi niwarekebishe siwezi nifanyeje?! Nakuhusu kusema uongo nakweli namwambia ukisema ukweli sikuchapi na nitakupa zawadi simpigi na nampa zawadi Ila kidogo namgombeza na kumsihi asirejee naomba unipe ushauri nifanyeje?