Dr. Chris Mauki: Sababu 6 mbovu za kuingia kwenye mahusiano/ndoa

  Рет қаралды 5,486

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Kama hutozifahamu sababu hizi mbovu basi lazima utajikwaa na kutokufurahia ndoa yako. Bahati mbaya sana wengi sana wanazidharau na matokeo yake huwa machungu mbeleni. Nakupa hapa sababu 6 mbovu za kuingia kwenye mahusiano na ndoa.
#DrChrisMauki#Mahusiano#Ndoa

Пікірлер: 18
@luciananyarash1681
@luciananyarash1681 2 жыл бұрын
Have been listening bt this one is more 🔥🔥 thanks God bless
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 3 жыл бұрын
Ahsante Kwa somo zuri ....umeongea ukweli kapisa doctor,Mimi nililazimishwa kuingia kwenye ndoa na wazazi pande sote ,wangu na kina kijana pande sote mbili baada ya kupajikwa mimba nikiwa darasa la nane .Tulianza Maisha ya ndoa lakini sikuwai kuwa na amani ! Mara kupigwa ,Mara matusi Mara haniheshimu , baadae nilitoka kwenye hiyo ndoa nikiwa na watoto watatu ,12yrs ndani ya ndoa plus 12 yrs nje ya ndoa, najuta kulazimishiwa mahusiano Mungu anisaidie na asaidie na mwingine aone somo hili asije akawa kama mimi ! From Kenya
@leonardmjema965
@leonardmjema965 Жыл бұрын
Nazidi kushiba maarifa MUNGU akupe Afya Tele na maisha marefu
@atupakyselwesya5853
@atupakyselwesya5853 3 жыл бұрын
Nimjifunza sana na dasalako dr
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 3 жыл бұрын
Ubalikiwe sana Doctor kwa somo zur mwenyezi Mungu akubaliki
@ezechiellokilo2298
@ezechiellokilo2298 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundisho yako Dokta, ubarikiwe sana na Mwenyezi Mungu.
@edithstellambezi6768
@edithstellambezi6768 3 жыл бұрын
Ahsante Dr Chris ila nitakupataje unipe ushauri wa mahusiano yangu privately
@mwashammrisho6900
@mwashammrisho6900 3 жыл бұрын
Rudisha mziki wetu wa zamani Dr
@salehsuleiman9140
@salehsuleiman9140 7 ай бұрын
Huu ndo wenyw
@glorykamasho7625
@glorykamasho7625 3 жыл бұрын
Asante Dr Mauki
@husseinjongo7588
@husseinjongo7588 3 жыл бұрын
Zipi sababu strong/nzuri za kuingia kwenye mahusiano??
@janethseba8795
@janethseba8795 3 жыл бұрын
Nimepotea sana tu
@ukhtyhalimaismailbakari4931
@ukhtyhalimaismailbakari4931 3 жыл бұрын
Dr weka namba tafadhali
@lesusi7872
@lesusi7872 3 жыл бұрын
Tunakushukuru endelea kutuelimisha ututoe gizani
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 3 жыл бұрын
Tuambie tupone Dr.
@abuuharuna3949
@abuuharuna3949 3 жыл бұрын
Kweli nimejigundua Niko wap
@paulhang9158
@paulhang9158 3 жыл бұрын
Ninamchumba lakin hataki niende kwake bila taarifa anamaana gani?.huyu naona hajatulia naomba ushauri
@zainabmalya9907
@zainabmalya9907 3 жыл бұрын
Auko pekee ako pole akuna uaminifu hapo
Dr. Chris Mauki: Sababu 7 za msingi za kuingia kwenye ndoa
9:42
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 127 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 13 МЛН
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
6:07
Happy Msale
Рет қаралды 1,8 М.
Dr. Chris Mauki:  Makosa 5 yanayo wagharimu singles wengi sana
8:33
Dr. Chris Mauki : Fanya Mambo Haya Kabla Ya Ndoa
8:16
Chris Mauki
Рет қаралды 8 М.
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA
24:11
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 15 М.
KABLA HUJAOA AU KUOLEWA ZINGATIA HAYA - Chris Mauki
14:03
H.W TV
Рет қаралды 1,2 М.
Dr. Chris Mauki : Hakikisheni Mmeyazungumza Haya Kabla Ya Kuoana
11:10
Dr. Chris Mauki: Kwa kufanya haya mtaamsha furaha ya ndoa yenu
7:29