Mtumish Asante sanaaaa mungu akubariki nimepata majibu ya maswali yangu mengi
@SikituKamwambi23 күн бұрын
Asante kaka
@zenasmjema405011 ай бұрын
Kweli kabisaaa umeongea ukweli mtupi ubarikiwe sana
@zenasmjema405011 ай бұрын
Ni kweli kabisaaa
@PetroGabriel-oh4fw9 ай бұрын
Yes I really enjoyed it for the lesson you teach me
@belithakalinga42639 ай бұрын
Asante sanaa
@happynescostat742011 ай бұрын
Unaendeleaje Rafiki yangu Mauki,kwako nimejifunza mengi,leo naomba unijibu swali langu/ ivi Mwanaume mlietoka kwenye shida sana mkafanikiwa kuchuma,mkazaa watoto na mkaishi zaidi ya miaka15 ,badae akikuterekeza na akachukua mwanāke mwingine na wakazaa mtoto,badaa ya muda mwanāke akaamua kwenda mahakamani kudai taraka,mkiwa mnaendelea na case akapatwa ugonjwa wa sukari ya kipānda sana na akaomba umusamee, je ukimsamee ni sawa?