Kenyans let's gather to welcome this spiritual sound🥳🥳🥳🥳more Grace Dr Ipyana
@CompassioninthecourtcomedyАй бұрын
Wakwanza kucomment naomba like za kutosha ametenda kutoka kwa Dr Ipyana
@numpefikimwaipopoАй бұрын
Hata ukiwa wa Kwanza mpendwa like sio zako wewe ndo utoe like Kwa doctor Ipyana Kwa kazi nzuri au utoe maoni
@EstarMichaelАй бұрын
❤❤
@EstarMichaelАй бұрын
Hata kwangu ametenda mambo makuu..aiiiweeeeh ❤❤❤🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@ephy6103 күн бұрын
Am passing through alot bt l trust in God kwamba atatenda in Jesus name.Amen🙏
@ElishaNgalamuАй бұрын
Kama umeshinda gonga like hapa Aaah umetendaa 🔥🔥🔥
@julianaphilemon9893Ай бұрын
Umetendaaaaaaaaaaaaa Yesu, Naomben like za kutosha nanyi mtatendewaa🎉🎉🎉❤❤
@ElishaMusa-r6bАй бұрын
Kama umetendewa na Yesu kristo like uendelee kutendewa🙌
@hildabarongo3735Ай бұрын
Amen
@lucymatunda9543Ай бұрын
Amen and Amen
@JoshChristIsKingАй бұрын
YESU AMETENDA KWELI AMEFANYA YALIYO MAKUU . THIS WILL BE A HIT SONG FOR THE END OF 2024 FOR JESUS . 254 🇰🇪 🇰🇪.
@victoriamwampulo853Ай бұрын
Nikiwaza huyu mtumishi ana upload hii nyimbo akiwa kwenye wheelchair machozi yananitoka😭😭 ila uhai wako ni ushuhuda tosha kumuaibisha shetani 🙌 #AMETENDA BWANA❤🙌🙏
@gracemaira3735Ай бұрын
Tayari anatembea ni muda mrefu sasa alishaanza kutembea.
@davidmwanga6018Ай бұрын
Lakini hapo anasimama otherwise umekosea kuandika
@kipkiruigillie4332Ай бұрын
Mungu mkubwa asifiwe alishatoka kwenye wheelchair Ameen
Amenitendea yaliyo makuu kwa uwezo wa Mungu niliweza ku Graduate.. Namshukuru sana Mungu. Atazidi kututendea ..Wimbo wa baraka 😇🙏🙏
@goodweekchoir8762Ай бұрын
Amen 🎉❤❤
@goodweekchoir8762Ай бұрын
Amen 🎉❤❤
@derrickwasike6676Ай бұрын
Number 17 here,wapi likes za wakenya here
@Wolly254.Ай бұрын
But God🥹🥹🥹.....Umetenda.Much love Dr Ipyana from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ImaniMwambomaАй бұрын
Ni ushuhuda kabisa ,Mungu anajua mwisho kabla ya mwanzo , Je wajua huu wimbo ni ushuhuda tosha??????MUNGU AMETENDA## Kama unaamini ni ushuhuda tosha like na kusema Ameen🙏🙏
@liliankanja5258Ай бұрын
Kama sio Mungu kunitendea saa hii ningekuwa pabaya😢😢 .. amazing song.. much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mbokamtafya535Ай бұрын
Km Unajua unapo msifu na kumtukuza Mungu baada ya ushindi fulani ni silaha tosha kwa adui.Sema amen
@sirelvice96Ай бұрын
That bass groove... Goosebumps... Salute Daktari for your ministry. This is an art of pure class. Perfect and Excellent. Glory to God!
@davidwanjohi7065Ай бұрын
From Kenya we are blessed by you man of God....Mungu ametenda🙏🙏
@bettykasambala4760Ай бұрын
Hallelujah God has done it again! Thank you Lord Jesus for this glorious praise and worship song! Beautiful!
@igihozonoella-v3oАй бұрын
Rwanda tunakupenda sana Dr IPYANA you are very anointing ❤❤❤❤❤❤❤❤
@yehusonga624Ай бұрын
𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗜𝗠𝗪𝗔𝗕𝗨𝗗𝗨 𝗡𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗔𝗦𝗔 Kama sio wewe Mungu Umejithibitisha Yale Umetenda hakuna mwanadamu aweza kuthubutu 🙇♂️😭😭🙌🏾
@wilfredjohn4829Ай бұрын
Dr ipyana Mungu akubariki sana, kukufuatilia nimepata matokeo mazuri sana ya kutaka kumtafuta Mungu zaidi Amen
@benmwinuka5325Ай бұрын
Kuahinda ni kawaida yetu kwa jina la YESU 🔥🔥🔥
@AvtLadslausАй бұрын
We Baba we Baba, kweli Mungu amekufanya kua watofauti. Bro we sio wa kawaida kabisa. Namtukuza Mungu wangu kwa ajili ya huduma yako aiseee
@AgnetaMwaighuriАй бұрын
Aah!! YESU umenitenda yaliyo Makuu🙏🙏Nice Song🙏Asante BWANA kwa kutenda Makuu maishani mwangu🙏🙏 Barikiwa Mtumishi wa Mungu Dr ipyana Mungu aendelee kukutumia ..maana kwa kwel nabarikiwa sana na huduma hii🙏💞 🇰🇪
@Justus_MwendwaАй бұрын
Yaani bado upako wa wimbo Nawezaje kunyamaza ungali upo ndani yangu na upako mwingine ni hu,,,,,hongera sana kaka lpyana na Mwenyezi Mungu akuzidishie neema🙏
@joynkirote3833Ай бұрын
Powerful one 🔥🔥. Hakika Mungu umetenda Makuu Sana . 🙏🙏 More Grace servant of God 🙌
@wordsofhopewestpalzab4875Ай бұрын
Katka tenzi hili naji Unga na wote Wenye kupitia changa moto za magonjwa wa pata afya katka Jina la Yesu Kristo amina. Asante kwa mwimbo huu, ume ni Bariki to UAE
@KarimJerry-qb1gmАй бұрын
Oooooh Mungu Wangu umetenda pale nisipokuwa natarajia,aaah umetenda,umefanya yaliyo makuu🙇🙇🔥🔥🔥🔥
@monicamaina3854Ай бұрын
Ameeetendaa 🎉🎉🎉 more love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Mr_du_xАй бұрын
Dr ipyana uko tofauti Sana na waimbaji WA injili WA kizazi hiki, uko top Sana
Kenya .this song dedicate to hill side school community. healing of hearts.my the souls of the young champions rest in peace. ❤❤
@EmmanuelKavumbuАй бұрын
Dr Mungu akubariki sana akutunze pia nikiwa na huzuni nafarijika nikisikia nyimbo zako...Zinapenya ndani ya moyo wangu ,Asante Kwa aah Umetenda ♥️♥️
@AliceWaithira-c2wАй бұрын
Asante yesu 🎉umetenda makuu you continuely surprise me with your testimony. Thank you Jesus for saving me and healing my father 💕 leg and l connect myself and my family.
@essamwaitulo6339Ай бұрын
Mungu akubariki sana Dr. Ipyana. Mungu azidi kukuinua katika utumishi huu mkuu wa kumwinua Mungu wetu. Kyala akusaje fijo.
@jacobwillymwakagileАй бұрын
Nimwabudu nani Sasa kama sio yeye Alie mwema kwangu ktk kila nyakati yup nami kunitendea yaliyo mkuuuu. Aiseee ngabhaghela okomiyekaaa gwee gwee gweee KYALA ABHAGHILEEE ( AAH UMETENDAAAA ) ISEE Prophetic songs ❤❤
@ChristabelLuvugaАй бұрын
Aah umetenda glory to our most high God and it's marvelous in our eyes
@AngelNelson-y4tАй бұрын
Tunaohisi nguvu ya Mungu ndani yetu tunaposikiliza nyimbo za huyu kaka weka comenty hapa ❤❤
@kayumbasosthenes3596Ай бұрын
Bwana amenifanyia nafasi
@AngelNelson-y4tАй бұрын
@@kayumbasosthenes3596 Amen
@esthergabriel3651Ай бұрын
Amina
@MuthoniElizabethАй бұрын
Mimi hapa yaani he's a blessing to us 🙏🙏🙏
@AngelNelson-y4tАй бұрын
@@MuthoniElizabeth ❤️
@OmbeniMndeme-pc5yqАй бұрын
Wimbo mzuri sana ubarikiwe kaka ipyana hakika umetenda Mungu makuu🙏🙏
@AnaOhoАй бұрын
Man of God umeitwa kweli kumtumikia Mungu am Bless
@righitkileoАй бұрын
❤❤❤Tanzania❤❤Doctor Ipyana is Another lever❤❤❤uwiiiiiii huyu mtumish.amejaa kwa.Munqu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AikaThadeus12 күн бұрын
Hakika Mungu anatenda 😍
@MaryMichael-h4cАй бұрын
Ametenda yaliyo makuu YESU juu ya maisha nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo za Ipyana Mungu akubariki sana
@FloraNzawillaАй бұрын
Kweli BWANA ametenda ubarikiwe Sana kwa huduma ya uimbaji
@nancyamondi182617 күн бұрын
Ametenda makuu Kwa maisha yangu...His grace has been so sufficient to me and my daughter ❤❤
@BrianOgola-yq2eeАй бұрын
Kwa ukweli ametenda true more love brother from me and all Kenyan's love you too
@aminasamwe6152Ай бұрын
aaaaah ametenda yalio makuu.. Ameen big up doctar IPYANA GOD bless more... ❤❤
@annekaburu2213Ай бұрын
Yaale umetenda......nashukuru Mungu 🙌👏wakuuabudiwa,wakuuheshimiwa
@LamozForrealАй бұрын
Mungu ametenda naomba like
@Mchiwalalatz29 күн бұрын
Napenda sana jinsi mnavyoo vaaa hongeren sana msibadilike mnatutia moyo sana mana wengine ni kama wamechanganyikiwa....tunatamani kusikiriza ujumbe wa Mungu kupitia nyimbo zao tunaishia kusikitishwa tuu❤❤❤❤❤❤❤❤
@kipkiruigillie4332Ай бұрын
Emmanuel Peter kwenye bass, Andrew Michael kaniki kwenye lead guiter,kefa mndeme kwenye Aux, James Godfrey (jay-g) kwenye first key,ma kaka mko fire 🔥... 🔥❤ Huku Kenya 🇰🇪 mmnapendwa sana a blessed song
@cryptokim6280Ай бұрын
Amen. Much blessed from Kenya
@TITUSTHEPSALMISTАй бұрын
Hakika Mungu ametenda makuu , one day I believe I'll do a live record like this❤❤❤❤
@mr.tosaba5610Ай бұрын
Thank God for protecting doctor from an accident, indeed the lord has done it. May the Lord protect us in Jesus name 🎉🎉🎉🎉
@philismuthami507Ай бұрын
Qr man of God uponyaji wa haraka kwa jina la yesu,kenya twakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
@patiencedali2721Ай бұрын
Wow..wow..wow..Awesome.. Incredible praise to our God.Lovw Swahili songs..thank you M O.G Dr Ipyana..this is a blessing..YOU are a Great Blessing more GRACE!!
@joshuamahushi9840Ай бұрын
God has did🙏🏻
@nkathapamela5703Ай бұрын
Ametenda yaliyo makuu bwana Yesu ❤❤💃🏾💃🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BarnabaMadirishaАй бұрын
Kuna muda tunajiuliza ametenda yapi na kufanya yapi, lakini hata zawadi ya uhai ni ishara ya kwamba ametenda yeye ❤❤
@jescamungure9610Ай бұрын
Miungu mwingine ii kazi ya mikono🙌🙌, Aaaaah umetendaa💃💃
@NatovuakiThomasАй бұрын
Haleluuuuuuuuuuuya Kweli AMETENDA🤭🤭
@hoperankingrwakilomba12099 күн бұрын
wewe Mungu ni mzuri na mwema nakupenda hakika umetenda yaliyo makuu hakuna mwanadamu anaweza kutenda kiasi hiki 🤌🤌💪💪
@otundodominic9498Ай бұрын
Aaah,,,this is it,,,another bullet in the spirit,🔥🔥🔥🔥👏🙏👏👏🇰🇪
@JemaLugenge-gi1qwАй бұрын
AMETENDA MAKUBWA MNO KWANGU HUU MWAKA💃💃🙏🙏ASANTE MUNGU
@jamesmatheka565Ай бұрын
Imenibariki hii nimeipenda sana sana 🎉🎉🎉
@fransiscorevocatus467Ай бұрын
Ile nimeanza kusikiliza tu nikapata kavibe Dr Ipyana unajua barikiwa sana Minister
@ElizabethBoniface-hw6zoАй бұрын
Asante Yesu umetenda ❤❤❤
@rhemafeast2024Ай бұрын
Nawezaje kunyamaza wakati Amefanya sasa kwa sababu aliamrisha vikakamilika akafanya baraka haziesabiki kwa sababu ya mkoni wake hivyo basi ananishangaza sana. More grace Dr. Ipyana indeed we are sounds of revival the world is waiting for us to be heard
@mcmlandali44122 күн бұрын
Uinuliwe Mungu wa mbinguni uwezaye kusikia na kujibu maombi ya watu wako.Hongera sana mteule
@erasmomasaga1792Ай бұрын
Iam blessed for your ministry Dr Ipyana May our Father Jesus protect you and anoint you in higher level
@KarenHappuchOfficialАй бұрын
🥳🥳🙌 Indeed, the Lord has done great things🙌🙌💃
@alphamaginyo7461Ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌 nimekuta nawe baba Asante kwa pendo lake uhimidiwe utukuke 🙏🙏🙏
@NoahNathanael-m5vАй бұрын
Kushinda ni kawaida yetu kwa jina la Yesu 🙌🙌
@liznganga795725 күн бұрын
Aaaah umetenda yaliyo makuu, aaah umefanya Nimwabudu nani sasa kama sio wewe umejidhibitisha Yale umetenda hakuna mwanadamu aweza kudhubutu Aaaah umetenda yaliyo makuu, aaah umefanya Wakuabudiwa wakuinuliwa Yesu ni wewe miungu mingine ni kazi ya mikono wewe ndiwe Mungu Aaaah umetenda yaliyo makuu, aaah umefanya
@BupeElly8 күн бұрын
Mungu anamtumia sana huyu kaka, Mungu akuzidishe katika huduma yako hii, endelea kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu ulio hodari ,
@EmmanuelAmbrose-s5uАй бұрын
Hot song from a man of God 🔥🔥
@EstarMichaelАй бұрын
Hata kwangu ametenda mambo makuu yale amenitendea hakuna anaeweza nitendea❤❤🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@bettyojiambo4333Ай бұрын
Kweli Yesu umetenda yalio magumu maishani mwetu🙌🔥🔥
@pendaelpeter8691Ай бұрын
Yesu Yesu Yesu Elohim 😭😭😭🙏 nikurudishie nini kwa yote uliyo tenda nakosa maneno ya kusema wewe wajua
@FaithaMainaАй бұрын
Kenya yesu ametenda.Nani kama yeye.Asante kwa uhai.
@samuelbundi9127Ай бұрын
THANK YOU LORD KWA KUWA UMETEND KWA MAISHA YENGU .
@bettymwashi5523Ай бұрын
Hakika Yesu umetenda yaliyo makuu maishani mwangu... Amen
@roselaisser1879Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉ametendaaaa. Thank you Lord Jesus for Dr Ipyana . Blessed continuouly
@blessinglufras7260Ай бұрын
THANK YOU JESUS CHRIST ❤️🔥👐👐👐🙏🙏🙏. God increase you greatly Dr. Ipyana🙏
@straton37Ай бұрын
Hakika ushuhuda❤❤ Yesu ametenda
@monicamagoti872528 күн бұрын
Daah Mimi napiga worship za Dr. kila kona ndani ya gari hadi uwepo wa Mungu ndani ya gari hauelezeki. Hasa huu naupiga bila kachoka nafikiri Kuna mambo Mungu anakuja kunitendea through this song. God bless you son endelea kumuumbua Mungu katika Roho na kweli. NYUMBA yangu hapa UK ni worship zako. Our prayer is, Mungu akutumie sawa sawa na mapenzi yake na ukawe kielelezo kwa waimbaji wengine. Pia Mungu akubariki kwa kunyenyekea kwa Mama yako alivyokuwa anakubariki kupiga magoti .
@DrIpyana27 күн бұрын
Atukuzwe sana Bwana Yesu
@rachealmwaks5046Ай бұрын
Ni wewe tu mungu wakuabudiwa hakika unatenda mambo makuu more grace man of God
@eunicembithaАй бұрын
Kwa kweli ametenda glory to God love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@florangaizaАй бұрын
Kweli ametenda mtumishi wa Mungu amekuponya na ajali hakika Yesu ametenda.
@janetwekesa3098Ай бұрын
Indeed God has done it for me Glory to Jesus,it's a powerful thanks giving
@janetwekesa3098Ай бұрын
More Grace from Kenya❤
@kellynebarongo9584Ай бұрын
God had done it all for me I can’t thank him Enough😭🙏❤️
@joymunyi7843Ай бұрын
"Kushinda ni kawaida yetu katika jina la Yesu" I love that!
@pattomwanajuma1963Ай бұрын
God,,thank you ,, for wat you have done and wat you haven't done,,, Asante Mungu ,,,Sina cha kukupa ila shukran zangu kwako BABA
@SweetWilly-r6bАй бұрын
Moyo unajaa tu furaha 🙏 Mungu ana watu bna
@alicemuia6200Ай бұрын
You've done me well GOD i give you all the honour n glory
@patiencedali2721Ай бұрын
Been on REPEAT everyDAY!!!! This is a song to BREAK ur WALL of JERICHO!!!!!
@KenyanLaabanАй бұрын
Wow! Kwa ki kweli ametenda 😊❤
@TrasielifasiElisha-c8xАй бұрын
Baada ya kusikia huu wimbo nimetetemeka Kweli Mungu Ni wa ishara✋✋✋
@bellatilia0804Ай бұрын
Kushinda ni kawaida yetu kwa jina la Yesu.
@nkalugiradio8140Ай бұрын
Unatenda Makuu sana MUNGU kiasi nikifikiria , nikikaa nashindwa kuelezea nabaki nalia😢😢😢