Ubarikiwe sana Dr wimbo umezieleza sana Fadhili za Bwana Mungu akuinue zaidi
@mr.agastrobert91575 жыл бұрын
Kaka Boaz tar 14 Ni zam yako
@DrIpyana5 жыл бұрын
Asante ndugu
@movierecapsswahili10425 жыл бұрын
Kaka boaz u ar amazin too. ... upako ni hatari. ... kwa kweli tz tumebarikiwa kuwa nanyi
@gichekgroup65745 жыл бұрын
Exactlly
@gichekgroup65745 жыл бұрын
Jamani hii huwa inafanyikia wapi ni lini maana natafutaga sijuag nitaipatia wapi. Mmoja anisaidie
@concyladiye63104 жыл бұрын
One of my favourite praise 🔥🔥🔥.. I love you Jesus 😭❤️ Ubarikiwe milele (Be blessed forever) Fadhili zako ni za milele (Your Mercies are forever) Utukuzwe! Umetenda mema Baba (Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat) Wanishangaza (You amaze me) Matendo yako ya ajabu (By Your miraculous works) Utukuzwe! Umetenda mema Baba (Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat) Wewe ni Mungu, Wewe ni Mungu (You are God, You are God) Utukuzwe! Umetenda mema Baba (Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat) Wanishangaza (You amaze me) Matendo yako ya ajabu (By Your miraculous works) Utukuzwe! Umetenda mema Baba (Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat) Wanishangaza! (You amaze me!)
@godfreykiriinya42624 жыл бұрын
From Kenya. We all love this song 💓
@jaquilinewangari22502 жыл бұрын
Yaaaaaaaas we do 🔥🔥🔥🔥🔥
@rozinakatini77262 жыл бұрын
Yes we do
@hannahkarangu67562 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪
@faithwangeci33472 жыл бұрын
We love all his songs
@godfreykiriinya42622 жыл бұрын
@@faithwangeci3347 sure we do
@joanmuchoki85243 жыл бұрын
The guys playing the instruments are another level🔥
@ImeldaMargaret2 жыл бұрын
I just had to comment when I saw the last name 😂.My last name is Muchoki too. Great song !!
@JoyNyawiraMiano2 жыл бұрын
@@ImeldaMargaret iiiiiiibbiiiiiii rakA
@victoriamlenga80942 жыл бұрын
Yokokyybllmlhohom
@fanji96654 жыл бұрын
I love this song,niliuimba nilipo miscarry August 2019 na wacha nikwambie,imo nguvu katika kushukuru,I am now 9months expectant again. "Wanishangazaa,mate matendo yako ya ajabu...." that part makes me 😢. "Wewe ni Mungu kweli....#fromKenya with love for true worshippers like you. Mungo mwenye nguvu zote akuifadhi and always to refill your cup.
@rebbecatimo54494 жыл бұрын
Amina
@marypeter38014 жыл бұрын
Amen
@bettymlaki96694 жыл бұрын
True dear, when you praise God comes down and sees how you TRUST Him in the midst of a storm. Amen
@letssing63972 жыл бұрын
Amen that's the God we serve .
@ivylillace2 жыл бұрын
Amen 🙏
@LauraMarura6 ай бұрын
I like that*2... Aah utukuzwe
@osabojeremiah33342 жыл бұрын
this reminds me my first day in Tanzania when my dear girl friend took me to your live shooting show... i was at first reluctant but the moment DR. Ipyana took on stage my heart ran into melodies of joy that is the very day i Received Christ as my personal savior in your concert.... keep going daktari
@nyagowalavender44552 жыл бұрын
Wow.. to God be the glory
@josephstephen10792 жыл бұрын
That's great to hear that u surrendered ur life to christ, karibu tena Tanzania wakenya tunawapenda sana
@joycemtuhi42872 жыл бұрын
Wooow Utukuzwe umetenda Mema Baba ,God bless u n your girl.Hatutwai utukufu ni wa Yesu.
@truthch16422 жыл бұрын
@@joycemtuhi4287 Amen utukufu ni wa Yesu🥂
@edithkinyunyuzi44602 жыл бұрын
Wow!! Glory to God...🙌
@WanjikuMaina4 жыл бұрын
I love love it! From Kenya. Jamani Mungu awahifathi
@micknessmusopole65204 жыл бұрын
I have managed to memorize the lyrics in a single day and now I can't stop singing, I love it !!!!!!!!!! 😍 🥰🥰 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@harrietgloria8792 Жыл бұрын
Malawi. The colors of your flag are similar to those of Kenyan flag.
@hellenrimberia5936 Жыл бұрын
Utukuzwe Mungu uuh !! Matendo Yako yanatisha😘
@florahkazimoto72464 жыл бұрын
Kama umebarikiwa kama mimi weka like hapa
@jimmywere73902 жыл бұрын
Wewe ni Mungu kweli, utukuzwe milele
@vicentjoseph68883 жыл бұрын
Walioisikia bass kama Mimi weka like yako tujuane
@edgaremmanuel31973 жыл бұрын
anaitwa stephene moshally. Yupo vizuri kwenye bass
@gloriousnp3 жыл бұрын
Yaaani ametishaaa🙌🙌, i keep coming back here for that bass too.......grab your eaphones, utashangaa na nafsi yako 🤣🤣🙏🏿🇹🇿🙌☺
@wangarieunice35732 жыл бұрын
Kwa Yesu kuna raha🌟🌟
@judithlejalearnmore22362 жыл бұрын
Yesu Mfalme wa ajabu,Atukuzwe
@gracenyangusi62303 жыл бұрын
Kumtukuza Mungu ni jambo jema sn. Safi sana 🙏
@lauralkinyaha3 жыл бұрын
I keep coming back here and testifying what GOD has done and keeps doing.
@eglahomwenga1494 Жыл бұрын
Utukuzwe umetenda mema Baba🥰
@lolaliambula4430 Жыл бұрын
Wewe ni Mungu utukuzwe umetenda mema
@ibrahimelia-lh3ly Жыл бұрын
Utukufu ni Kwa baba ubarikiwe San Dr
@janeminoo18042 жыл бұрын
Aki I have searched for this song .I heard ,dint know the author/artist..I used to search hapo Kwa chrous "now yu can be free to dance for the Lord "to all in vain.,the lord had mercy on me.he saw how desperately have been yearning to find.here I am.as he says seek ye shall ifind .my testimony 😀😀😀😀😀🎤🎤🎤
@jullyjux67022 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na hii nyimbo Dr ipyana blessed sanaaa
@kunyatanyatamennonitechoir55452 жыл бұрын
Yesu ainuliwe kwa viwango vyote. Barikiwa
@misskerry254 Жыл бұрын
Kweli wanishangaza Bwana kwa matendo Yako makuu
@mitchelleirenemamunye6435 Жыл бұрын
Fadhili zake n za milele ...praise be to the most high...
@aliceblesseddaughter10 ай бұрын
Ubarikiwe milele utukuzwe Yesu, umetenda mema
@charlesmaguhwa79033 жыл бұрын
Nabarikiwa sana ninapo sikiliza wimbo huu
@bundiedwin83285 жыл бұрын
Tutakuwa hapa na nani 2050????
@charlesmartin99713 жыл бұрын
tutakuwa hapa na wewe hadi 2095
@berlinflorida99103 жыл бұрын
Tutakuwa Huku
@winniesainet86353 жыл бұрын
@@charlesmartin9971 Amen
@hildaisack5165 Жыл бұрын
Tutakuwa na Bwana hatutapungukiwa kitu
@oliviapope9467 Жыл бұрын
Mimi
@maureennganga71615 жыл бұрын
Who is on their feet dancing??💃💃. Jesus you deserve all our energy
@eunicemburu114 жыл бұрын
I am
@eunicemburu114 жыл бұрын
Amen
@maureennganga71614 жыл бұрын
@@eunicemburu11 halleluja!!!
@pendomgani8644 жыл бұрын
Asante yesu barikiwa milele
@kendimutunga Жыл бұрын
My brother your talented so much UA songs are blessing so much UA search a blessings in the world
@MerereJr3 жыл бұрын
The work is perfectly done kila mmoja amefanya vizuri sana, drum safi bass guitar safi, waimbaji safi, this is what our good Jesus can do.
@conjetamhagama84283 жыл бұрын
Waoooooo!Wanishangaza Bwana! Barikiwa.
@LOICESHIRWA4 жыл бұрын
Oh wooooow! Praising the Lord is so much fun!!! 💗💗🇰🇪🇰🇪 Love from Kenya
@DrIpyana4 жыл бұрын
Be blessed Shirwa
@Augustino_banga4 жыл бұрын
LOICE SHIRWA blessed
@jane-t Жыл бұрын
2023 and Praising God as I push my entry into a physical manifestation of His Victory ......🎶🎶🎷🎤Wanishangaza matendo yako ya ajabu utukuzwe umetenda mema!
@maryannemwangi168 Жыл бұрын
From Kenya with love
@fridayndimbwa57195 жыл бұрын
utukufu kwa MUNGU ametenda mema kwangu jamani maana kanitoa mbali sana dhambini huko mpaka kuitwa mwana wa MUNGU jamani haaaaaaaa! Nashindwa kueleza fadhili zake maana ni kubwa mno. DR Ipyana ubarikiwe kwa huduma njema.
@leizerkibibi49825 жыл бұрын
Sifa ni kwa Bwana Yesu maana yeye ndiye atendaye maajabu maishani mwetu
@Agatha_1524 жыл бұрын
Friday Ndimbwa Amen Mungu atukuzwe Sana
@rebeccapallangyo Жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua Zaid na zaid jamn
@monicahmuroki3 жыл бұрын
🎵Wanishangaza matendo Yako ya ajabu , utukuzwe umetenda mema 🙏✨🎶🙌
@neemarushema73303 жыл бұрын
Wanishangaza Yesu matendo yako ya ajabu, utukuzwe umetenda mema
@beshoyugi76882 жыл бұрын
The presence of God is undeniable This God 😭😭😭😭 I desire to dwell in His presence all the days of my life.. Be blessed God foreverv
@kelvinhappygod37062 жыл бұрын
Ni furaha na raha ndani ya BWANA... hallelluyah
@patiecharles53383 жыл бұрын
Ubarikiwe milele fadhil zako ni za milele utukuzwe umetenda mema Asante Mungu kwa yote
@spurrer Жыл бұрын
Hallelujah, I am graduating today and this is the song in my heart
@christyrachel60233 жыл бұрын
Wewe ni mungu hadi wa Leo
@twillyparmy72725 жыл бұрын
can't get enough of this song always on replay. representing 254
@hannahwairimu17994 жыл бұрын
Sasa haäaaäaaaaa
@irenegitahi51264 жыл бұрын
I love this song, God bless you 🇰🇪
@semenmbwilo69723 жыл бұрын
Kwakweli anatushangaza huyu mungu
@pistolcreed Жыл бұрын
This is the song well be doing tomorrow as a choir
@kendimutunga Жыл бұрын
More grace Dr ipyana
@dorcaskimambo94755 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA dokta Ipyana! Hata wasomi wanampenda YESU na wanamtumikia katika viwango vya kimataifa!!
@deborapraygod31244 жыл бұрын
Daaaa wanishangaza Jehovah utukuzwe u.etenda mema alooo nabarikiwa sana
@rosielusanji2465 жыл бұрын
Hats off to the dude on the drums wow!!!! Job very well done.
@thuoissa12013 жыл бұрын
I came to the comments looking for someone who acknowledges the drummer. Job well done!
@TheWorshipIntimacy_Joshua.O.R.5 жыл бұрын
Kwakweli huyu MUNGU ametushangaza kwa namna ya AJABU!!!! Halelujaaaah!!!
@pendokissatu9373 жыл бұрын
Nabarikiwa Sanaaa Mnooooooooooo
@JeanWekesa Жыл бұрын
Bwana kweli wanishangaza Be glorified God here
@maureennyokabi Жыл бұрын
Wow..niseme nini mimi kwa hakika wanishangaza matendo yako ni makubwa sana
@thetrendywarthorg2 ай бұрын
We used to sing this back in Campus
@neemajulius89694 жыл бұрын
Wanishangaza Mungu kwa matendo yako ya ajabu.
@happinesskagaruki62363 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mkuu sana na anashangaza. Barikiwa Dr. Ipyana
@alenemanuel24524 жыл бұрын
Moyo wangu hauwezi kukusifu sanaa Ila sifa hizi bwana zikubarii
@maxmillalando48845 жыл бұрын
Our own version of Joyous celebration keep it up. Inspiring song too
@allenstian37195 жыл бұрын
Umeona eeee💪na mungu anazid kutusaidia kila itwapo leo TUTAFIKA juu zaid
@shikocharles5 жыл бұрын
your very absolutely right
@bupesakapoja31015 жыл бұрын
Yes😘😘😘
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Perfect 💕
@fadhilaedwin36044 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua
@LoyceMwangwale7 ай бұрын
Mungu akukuze zaidi
@teejayangel6638 Жыл бұрын
All Gens of late 60s, 70s and early 80s enjoyed rhumba to the fullest vecause of our parents and KBC Radio station
@samanthaj2542 жыл бұрын
Vile ambavyo Mungu ameitembelea nchi ya Tanzania naomba pia mimi anitembelee
@arielzacharia6431 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@irenemuze87295 жыл бұрын
I listened to all the songs and when it reached to this one I could not get to another song and I had to put a repeat mode for this. Till when my younger sister said heee inatosha sasa sikiliza na nyingine. I love this song na inanihudumia vilivyo kila ninapo sikiliza. Na kucheza sasa nomaaaaaa. Barikiwa mtumishi.
@DrIpyana5 жыл бұрын
irene muze glory to God
@erickevarist87383 жыл бұрын
Jaman blessed you
@neemanyimbi23553 ай бұрын
Ubarikiwe mtumish wa mungu naiskiza tena 2024 Mungu azidi kuniweka miaka mingi coment yangu nije kuisoma tena Ameen
@safariv.a11624 жыл бұрын
The drummer giving his best
@MorrisDali-d3k8 ай бұрын
Nice song,it has been a blessing to me, Glory to God
@BLOOMLINEMEDIA8 ай бұрын
This is on my repeat list ... Gods mercies and favor I have experienced in my life and my family's
@villytotostv7442 Жыл бұрын
I Always share his songs with my non swahili speaking African friends hata kama hawaelewi they have to rejoice and enjoy bana
@jakoboemanuelrobat97772 жыл бұрын
Mungu akubalik San Mtumish wa Bwana huu Wimbo unanibalik San kwakwel
@kennygadau17745 жыл бұрын
This song is so poweful dr ipyana MUNGU na akuongezeee mafutaaa ubaki juu kilele cha mbingu amen
@melvinemartin8100 Жыл бұрын
I do use this song as a weapon during my spiritual warfare prayers, entering into His gates with thanksgiving 💃🎺🙏🕊
@ekasasimba71062 жыл бұрын
HIS LOVE IS FOREVER AND FOREVER 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sebastianenos54882 жыл бұрын
Mungu akutende mema Dr ipyana,nahisi kubarikiwa zaidi
@hoseadesantoz94727 ай бұрын
Be blessed Dr Lpyana
@dinahkisio14294 жыл бұрын
Wooooow, l love this song, wanishagaza matendo yako ya ajabu, utukuzwe.... Umetenda mema baba kwa kweli Dr. Ipyana huu wimbo huwa inanibariki Sana, ubarikiwe Mungu azidi kukuinua katika kiwango Kingine😊
@nellumasomelu69005 жыл бұрын
Wanishangazaaa matendo yako ya ajabu.... Wewe ni Mungu.........
@kidotymsuya45234 жыл бұрын
Ni kweli baba fadhili zako ni zamilele utukuzwe umetenda mema baba.
@sadrakathambi5610 Жыл бұрын
❤❤❤❤ nimetafuta huu wimbo sana more grace.
@ZwingliKake11 ай бұрын
Mungu aWa ongezeye nguvu watumish❤
@amonphilip59025 жыл бұрын
The last days ministries will impact the world powerfully. ...you are one of them Dr be much anointed and blessed
@jobmwas3 жыл бұрын
I love this tune, the energy, the message in this track, oooh am so blessed!
@samyr90712 жыл бұрын
Wlcm here kwetu in RWANDA
@DrIpyana2 жыл бұрын
Nitakuja tu kwa NEEMA
@truthch16422 жыл бұрын
@@DrIpyana utaenda Kwa jina la Yesu 🔥💃
@lilodilly703Ай бұрын
Ooh my God I can't wait to dance for eternity with Angels in heaven!For every tongue must confess that Jesus is lord 🫠🫠🫠 kwa Yesu rahaaaa jamani
@lilodilly703Ай бұрын
Leo Sept 2024 saa nane na dk 15 usiku I shall come to testify here,a September to remember
@vailethgideon18955 жыл бұрын
Fadhili zako za ajabu hakika nimeuona wema wako YESU. be glorified Dr.
@miriamumbwilo1644 жыл бұрын
Stay blessed
@hakiziyerandJeapaul Жыл бұрын
❤napenda nyimbo zako Sana shida ni uwezi ku doulond
@sarahnabwile5548 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@eunicemagesa57964 жыл бұрын
Powerful song,Mungu akuinue zaidi
@sharlynemusimbi97923 ай бұрын
Here again today, thanking God for His faithfulness and goodness. This song is on repeat mode in my head since I put the last full stop in my exam. I'll be back after my results again. Praise be to God
@victornr16245 жыл бұрын
MUNGU ni mwema ..azidi kunishangaza atukuzwe amezid kutenda mema kwangu...love u my jesus
@jescabruno58553 жыл бұрын
Hakika MUNGU ni wa kushangaza kamwe hawezi fananishwa na chochote, be blessed brother
@denonjoka88485 жыл бұрын
Wache Niseme Kwako Daktari Ipyana Kwa Huu Wimbo Wa "Wanishangaza/Utukuzwe" Ni Wa Kubariki, Kuabudu, Kumwimbia na Kumshangilia Mungu Wetu Mwaminifu Na Nasema Asante Sante Sana Dkt. Ipyana Kwa Huu Wimbo Wa Mungu Wetu Wa Nguvu na Mungu Akubariki Bariki Sana Dkt. Ipyana Sana.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lizzngure90502 жыл бұрын
I really love this song and many more, I love energy applied. 🙌🙌
@agathamahenge55044 жыл бұрын
Apo sawa classic na INA upako km wote glory to Gody
@hillaryambalwa431 Жыл бұрын
Kumbe kutumikia Mungu ni vyema sanaa, Dr nyimbo zako zina NEEMA KUBWA YA YESU, Mungu ATUKUZWE Akupe NEEMA zaidi