,mawahabi wanaojiita ansa suna warudishie haki zao waliyowazulumu yatima na mjane WA marehemu said janjira na kumfungulia kesi mjane mahamani kwa haki yake yatima wake watano alafu wanaojiita kuwa NI waislam Allah Hakimu ishaallah haki yao watapata Allah Hana mshirika hawakutosheka nkwa zulma ya yatima na mjane wamemfungulia kesi engine madai mtume ndio suna aliyoifundisha kuizulumu waislam Kula haki za mayatima na wajane wameipaka mavi dini kiislamallah Leo yatima naishi maisha magumu kisa mashekh uchwara Allah atawahukumu hapa duniani watu wakiona kanzu fupi na hizo ndevu wanazani wacha mungu kumbe matapeli tunawashtakia kwa hakimu WA haki allah
@fauznuhu998121 күн бұрын
Hakuna ruhussa ya kuto Wafata waze kama wali kuwa kwenye haki mana mjinga na mwerefu wote huzeheka kwa hivo kipmo ya kujuwa haki sikuto mfata mze ao kumfata
@jumafaki289121 күн бұрын
kwani kaja mtume mwengine ikawa Mpaka Leo hatujaijua haki au ndio kampeni za mawahabi
@SaleheKhamis21 күн бұрын
Mulitakalo nyie sio nidaa munasema hasa al.ulamaau warathat libiyaai ila maulamaa wengine wamezua hivi nyinyi mawahabi munaakili timamu
@SaleheKhamis21 күн бұрын
Huyu si dr nipangupakavu tia mchuzi
@Hamis-ks1sy21 күн бұрын
Tutajie nawewe kiwango chako cha elimu ewe bumunda
@dawud606521 күн бұрын
Akhy si Daktur kwa lipi? Tupe fawaaid
@ibunjumuatv950221 күн бұрын
@@SaleheKhamis wewe ni salehe tu huna mizani yeyote ya Elimu ya dini maana haa sharti za swala huzifahamu hicho ukisemacho ndo chuki sasa napole kwa hilo pia Allah akuongoze katika haqq maana bado upo kizani