JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 38
@nikasmkud73323 күн бұрын
Ni kweli ni mzuri Mungu atubariki acheze afikie malengo hayo AMINA .
@user-wk2bg8zf3l3 күн бұрын
TUOMBE MAJINI YA UTOPOLO YASIMZULU ,SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-qy4hw7ip6q3 күн бұрын
Nakubal
@amaniwanga86213 күн бұрын
Woohoo 🎉🎉 Dr moo
@ezzepuritykamwene21212 күн бұрын
Mkiwasifia sana wahuni wanaingia msituni,, utaona jmaa anakua majeruhi
@HalidiKilale-i8i3 күн бұрын
Hawa Simba jamani watawaua vyura jamani sio kwa usajili huu...
@MikidadiNyangiКүн бұрын
Uongoz wa simba uwe makin sana kwan uto wana wapiga misumar wachezaj wetu
@drallan68793 күн бұрын
Dr Mohamed hongera u love Simba deeply
@jumamakame39783 күн бұрын
Tumekuzowea na mwaka jana uliwasifu kina onana kuliko hivo 😂😂😂😂
@lucymsheshi58713 күн бұрын
Hahaha kweli mnaweza kuwa machiz😂😂😂😂
@minazsaid24703 күн бұрын
Mbona unajimaliza mapema anyway si umefungiwa wewe kujihusisha mambo ya mpira
@sonmjofficialtv90903 күн бұрын
Hajafungiwa kujihusisha na Mpira ila kushiriki katika mambo ya ndan ya simba ikiwa kama vikao na mikutano ya simbimba (mambo ya ndani) ila kuiongelea au kwenda uwanjani huko anashiriki tu
@geofreykasinda18953 күн бұрын
Nachoona mashambiki wenzangu wa Simba ebu tuache kumsimfikia wachezaji , ni kuwatia pressure tu na ndo sisi tutawashusha kiwango Kwa haraka, ebu utupungunze meneno
@ConjestarSamwel-xr3jw3 күн бұрын
Simba nguvu moja! Mungu awatangulie wachezaji wetu wacheze vizuri awamu hii wasituagushe jamani,
Kwan chama ndio watu tumeondokewa na wazaz na maisha yanakwenda ijekuwa chama kuondoka cmba naende cmba ipo kabla yeye hajazaliwa naitaendelea kuwepo kazi utopolo
@isayamneja70203 күн бұрын
Endelea kusifia Usichokijua, ndio mata tizo yenu
@kamazimamuganyizi69323 күн бұрын
Mbona watu wa Yanga mna hasira huyu anaeongelewa ni mchezaji wa Simba
@user-bx1qo9fe3q3 күн бұрын
Nimechunguza kuanzia chama atoke chama washabki wa simba kama wamepagawa wanafulah hata lig haijaanza
@ABDALLAHMWATANDA3 күн бұрын
CHAMA ALIIIISHI NDANI YA SIMBA MIAKA 6 ..INATOSHA ....YANGA ACHENI WIVU... SIMBA VIONGOZI WAO HAWAITAJI YANGA ILA ALI KOMWE YEYE ANAITAJA SIMBA.....OHHHH MUTALE KAMA SIBOMANI NYOKO sana