JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Mo FC kwa maneno wanashinda ila uwanjawani 😂😂😂😂😂,halafu kwa kuongezea huko shirikisho hawafiki popote watafuzana tena kuanzia boss wanachama wachezaji viongozi mpaka kocha tusubiri tuone.
@loishiyesamwel137413 күн бұрын
Mnyama ni Mnyama, miaka mitatu bila Ubingwa lkn bado ni wa sita kwa ubora Africa, Sio wamemwarakisha bali utopolo walitapeliwa na Chama kuwa anafuatiliwa na Simba kumbe huyo Bwana ni msaliti wa Dabi amejifichia aibu huy, Ndio maana hakuwa na Mkataba wa kuvunjwa
@binbadru84089 күн бұрын
Unasema eti yanga kachukua kombe uwanja mpya Aman znz!!? Mbona Simba imeanza kuchukua ubingwa wa muungano Zanzibar kwenye uwanja was Aman mbona nyie vyura hua Hanna kumbukumbu😮
@YusuphuMasumbuko-b5f13 күн бұрын
Huyu jamaa ni hatari kwa maneno
@minaniormar584113 күн бұрын
HOJA SIO MO KUA NA PESA HOJA JEE ANAZITUMIA KWENYE SIMBA?