DR.MOHAMED:KIBU NI MUWAJIBIKAJI ILA HANA KIPAJI | MUKWALA NA ATEBA WANAKOSA UTULIVU KWENYE ENEO LAO

  Рет қаралды 6,862

wispoti tv

wispoti tv

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@kassimntara6901
@kassimntara6901 13 сағат бұрын
Ateba ni mzuri sana ila hakuna wakumsaidia pale,pia kweli kocha anashida ya kupanga timu
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 14 сағат бұрын
KIBU NI EXCEPTIONAL PLAYER , NI FIGHTER, HARDWORKER, KIPU PIGA KAZI .. MCHAWI MTU PAKA ANATUMWA ..
@kassimntara6901
@kassimntara6901 13 сағат бұрын
Dr Ahoua anaiangusha sana timu hajui kuchezesha timu na Wala kutengeneza nafasi
@Niika870
@Niika870 16 сағат бұрын
Zimbwe yuko slow sana capten Gani sasa ambae hasemi hawapekeki wachezaji uwanjan mchakamchaka Yuko slow in mind aa mpaka tubadilishe capten,hata kitetea team uwanjan hakuna kimya tu Bwana badili capten
@tsitingilembombo9995
@tsitingilembombo9995 4 сағат бұрын
Tatizo sio kocha jamani, tatizo ni usahihi wa kutumia nafasi. Kocha hataki kuiacha timu Open kwa kushambulia, ndio maana hata anaposhambulia bado anajilinda. Anaogopa kufunguka mazima kutokana na wachezaji alionao.
@BeatriceZakaria
@BeatriceZakaria 16 сағат бұрын
Weken namba ya kibu kwenye pej ya simba tumchangie ela ya shukuran kwa kujitoa kwa moyo wote
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 15 сағат бұрын
Himiza wanasimba kununua bidhaa za wadhamini wetu kwa wingi wakati wote wachezaji wote wamejituma Sana kuchangia mchezaji mmoja inawavunja moyo wachezaji wengine
@thadeusmutarubukwa823
@thadeusmutarubukwa823 14 сағат бұрын
Kabisa na Mimi hapa Nina zawadi yake
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 9 сағат бұрын
We mshamba kweli unasema. ahou hajui kutengeneza nafasi wakati goli la kwanza katengeneza yeye
@BayekeFarijala
@BayekeFarijala 3 сағат бұрын
Simba isajili mawinga kama wa alhilal obduman, au bravos , wana kasi na uwezo wa kukimbia
@kassimntara6901
@kassimntara6901 13 сағат бұрын
Dr mo ni kweli Malone analewa sifa au anataka kutoka? Maana anatufanyia alivyotufanyia Inonga mwishonimwishoni ,na kweli wachezaji wetu waàche kucheza kwa kujivuna wapambane,backpass,kusimama na mpira badala ya kufosi,Muntale hakuna kitu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 15 сағат бұрын
Mtale tumepigwa hakuna mchezaji pale mo ampe hela zake atupishe
@RizikMjujulu
@RizikMjujulu Сағат бұрын
Che malone aondoke tu,hata inonga alianza hv na mwisho wake tukajutia sababu yake
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 15 сағат бұрын
Mavambo kaoa nini?
@taucdulle7460
@taucdulle7460 18 сағат бұрын
Ww kipaji chako ni kipi acha kusema wachezaji vibaya
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 15 сағат бұрын
Huyu kocha Fadlu ni kocha mbovu sana. Hawezi kutengeneza simba mpya. Simba mpya kwa huyu kocha ni ndoto.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 39 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 37 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 28 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 39 МЛН