DR.SLAA NA MDUDE NYAGALI WANAJIBU HOTUBA YA RAIS SAMIA, HATUOGOPI KUKAMATWA WALA KUFA TUPO TAYARI.

  Рет қаралды 67,999

Zandaani media tz

Zandaani media tz

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 Ай бұрын
Well said Dr Slaa,umesema Kweli kabisa tena,nahisi Kuna misunderstanding flani hivi kwa Rais,
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Ай бұрын
Mwandishi wa vitabu mashuhuri sana hapa Tanzania Shaban Robert katika kitabu chake Cha Adili na nduguze Kuna kipande alicho andika hivi...."wakati umefika wa mawe kusema miti kujibu na wanyama kuwa watu"...mawe kweli Sasa yatasema hatuwezi kamwe kuona ndugu zetu wanatekwa wanauwawa nasi tunyamaze kimya uoga huo ni mbaya sana ...alafu tuseme kifo ni kifo mbona kunginepo mambo haya yapo kwahiyo tuhalalishe jamani ni hapana ni hapana labda Kwa Idi Amin wa Uganda tu
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Ай бұрын
Mdude bado upo, Mnyika hajakushughulikia.
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Mbona Mnatukana.watu.wa zee.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
RAIS AMEINGIZWA CHAKA😂😂😂😂
@MohdHamad-zr8ll
@MohdHamad-zr8ll Ай бұрын
Nchi nyingi hutokea maafa kisa mgogoro wa katiba watanzaia tukaechini kwa manufaa ya nchi yetu Dunia nimapito sote tutaondoka malumbano hayafai wala hayana tija dhidiyamaafa
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Ай бұрын
Jimama linasura mbaya kama ya nyoka aina ya Kobwa
@patrickkalimoja5478
@patrickkalimoja5478 Ай бұрын
Mgogoro wote huu unachochewa na hila ya watawala kugoma kuruhusu Katiba tuliyoipendekeza kwa Judge Warioba sambamba na Tume Huru ya Uchaguzi. Ukweli ni kwamba vitu hivyo viwili vikipatikana CCM watatupwa nje kabisa ya siasa za Tanzania. Wao wanaweza kucheza na siasa chafu, siasa safi kwao ni mtihani mkubwa sana. Lazima Ibara ya nane ya Katiba ya sasa izingatiwe kwa kuwapa mamlaka wananchi ili yeyote anayekuwa madarakani awe ametokana na Uchaguzi ulio huru na haki.
@zuwenasaid9707
@zuwenasaid9707 Ай бұрын
Mnapata tabu kupingana na maumbile ya dunia na ulimwengu mnataka kubakia milele suali hivi ni kitu gani au mtu gani alibaki milele hata mitume walipita jumla 25 sasa wewe ubakie milele wewe Mungu au bilisi
@jumatoyi2907
@jumatoyi2907 Ай бұрын
Daaah madaraka!!!! Slaa waliyofanyiwa wapinzani awamu ya 5 ulikuwa kimyaaaa. kwamba Leo kwa kuwa huna madaraka ndio madhila unayaona.
@binwahid2081
@binwahid2081 Ай бұрын
😢😢😢😢😢
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Ай бұрын
Sura MBAYA. KOBRA KOBRA KOBRA
@HashimMussa-ss4qf
@HashimMussa-ss4qf Ай бұрын
Aijuhi
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН
They Chose Kindness Over Abuse in Their Team #shorts
00:20
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
Trick-or-Treating in a Rush. Part 2
00:37
Daniel LaBelle
Рет қаралды 40 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 26 МЛН
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 804 М.
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
The Chanzo
Рет қаралды 151 М.
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН