MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 58,635

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

2 ай бұрын

Пікірлер: 564
@hamzaforogo
@hamzaforogo 2 ай бұрын
Mwalimu kabisa huyu Ana ufasaha wa kuelekeza anaongea moja kwa moja .Allah amuhifadhi aaamiin
@SurprisedBirdwingButterf-gi9ym
@SurprisedBirdwingButterf-gi9ym Ай бұрын
Ameen yaRabbi 🤲
@zaydamos874
@zaydamos874 2 ай бұрын
Simba mkali sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi sheikh wetu sheikh msomi
@UlamaaWaUlamaa
@UlamaaWaUlamaa 2 ай бұрын
Mwanzo nilikuwa simuelew ila kwa sasa naaaanza kumuelewa. Allah amhifadhi
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 2 ай бұрын
Aise yafaa masheikh wamuunge mkono Zaid huyu bachu maan anafany kazi kubwa saaan
@UlamaaWaUlamaa
@UlamaaWaUlamaa 2 ай бұрын
Mm namba moja nitamuuunga mkono
@Munatiyahilwa
@Munatiyahilwa 2 ай бұрын
Wallahi yametoka machozi May Allah reward you...awaongoze na Mashekhe wetu wote.
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 2 ай бұрын
حفظك الله يا ابن باشوا وأطال عمرك في خير ورزقك الإخلاص في القول والعمل وأسأل الله برحمته الواسعة أن يجمعنا في فردوس الأعلى مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا
@biangwatv.1223
@biangwatv.1223 2 ай бұрын
آمين
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 2 ай бұрын
Ndugu yangu Abdul Abeid unafikiri kuna dhambi kubwa kuliko shirki usimlaumu bachu msikilize hata kama humkubali utapata faida hata ndogo
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 ай бұрын
Kiufupi nakupenda sna Muhammad bachu kwa ajili ya Allah,Allah akuzidishie elmu uzidi kuutoa Ummat muhammad kwnye Giza hata km watu wanakuchukia ila chuki zao zisikufanye ukarud nyuma katka kuuelimsha umma wa Kiislamu,Allah ndie anaejua yaliomo Moyoni mwako.
@anthonykariuki2438
@anthonykariuki2438 2 ай бұрын
Nimekuelewa mia fil mia shehe. Nafurahia kuongozwa na Allah nikaingia kwenye dini ya haki. Kwenye ukristo hakuna mijadala,huko ni imani potofu. Allah atuzidishie ufahamu na Insha Allah umauti utupate tukiwa waislamu.
@kennodhiambo
@kennodhiambo Ай бұрын
haki iko wapi
@anthonykariuki2438
@anthonykariuki2438 Ай бұрын
@@kennodhiambo £££333"""*****
@hamzaforogo
@hamzaforogo 2 ай бұрын
Shekhe nasoro bachu hapa katuachia mtu
@hamzaforogo
@hamzaforogo 2 ай бұрын
Allah anasema " jisaidieni katika mambo yenu kwa kusubiri na kuswali hakika Allah yupo pamoja na wenye kusubiri. Sio kutaka msaada kwa majini . Swala na subira
@AbdulAbeldi-km4po
@AbdulAbeldi-km4po 2 ай бұрын
Sasa mie sie kuraishi... Bachu namuona WA kawaida Tu.. haswa kwenye elimu ya dini
@warshysaid8564
@warshysaid8564 2 ай бұрын
​@@AbdulAbeldi-km4poww umefanya nn kwenye iyo elimu yko ya dini
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 2 ай бұрын
​@@AbdulAbeldi-km4poinawezekana Akhiy Bachu kwako hana elimu ww upo Juu Ila Jee hili analosema nikweli au sio kweli
@AbdulAbeldi-km4po
@AbdulAbeldi-km4po 2 ай бұрын
SINA elim ya kumfikia bachu na wewe pia siiufikii sijasoma Mimi hata kidogo wabillah tawfiq
@abdillahsleyyum2768
@abdillahsleyyum2768 2 ай бұрын
Wewe ni nani na jitihadi gan umefanya?​@@AbdulAbeldi-km4po
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 2 ай бұрын
Nimeelewa na nimefahamu vzr unavyoomaanisha, Allah akulinde akuhifadh na azid kutuongoza ktk wema InshaAllah...
@CishahayoCishahayo
@CishahayoCishahayo Ай бұрын
Mashaallah, sheikh Muhammad bachu, namuomba Allah akuhifadhi na azidi kukuelimisha, ili na wewe upate kutuelimisha sisi, aamiin!
@saidaamourali8590
@saidaamourali8590 2 ай бұрын
Huyu mwamba namkubali katumia mda mdogo refrensi za kutosha na ufasaha wa kutosha. Shukranii sana
@aishamary2462
@aishamary2462 Ай бұрын
Nilikuwa najiuliza maswali meng saan baada ya Dr sule alichko kisema Alhamdulilah hatimae nimepata elimu Mungu akulipe sheikh
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 2 ай бұрын
Nakuelewa sheikh Muhammad Shukran
@user412
@user412 2 ай бұрын
Masha Allah! Bachu Allah amekupa ufasaha wa kuongea. Hapo nakuunga mkono
@FahamuAI
@FahamuAI 2 ай бұрын
Elimu hii ni pana sana shukrani sheikh kwa ufahamu huu, ninachokiona kuna mstari mwembamba sana kati ya imani na ushirikina ALLAH atuepushe na ushirikina.
@user-gi2jv4kl7s
@user-gi2jv4kl7s 2 ай бұрын
Shekh bachu anafanya kazi kubwa ya kuelimisha
@MwalimJecha
@MwalimJecha 2 ай бұрын
Hapana ya kupotosha
@UmarMasudi-so2hi
@UmarMasudi-so2hi Ай бұрын
Allah akulipe kila la kheri sheikh wangu kwa kunitoa kwenye ujinga...uku kwetu drc watu hao ni wengi sana piya dini imedhalilishwa sana na watu hao...
@mohammedjabir6128
@mohammedjabir6128 2 ай бұрын
Huyu ndio Simba Mashallah hayumbishwi. Allah amlinde, Amzidishie elimu ma ampe umri mrefu!
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 2 ай бұрын
Allahuma Amiin
@abdullahijma2073
@abdullahijma2073 2 ай бұрын
Mashallah leo nimependa hii Raddi ya kielimu na umeeleza kwa heshima sana...this is how it should always be...hataa kama ni kwa wale ambao hamuwafikiani nao.
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
Ukiskiya back to back sasa ndohii yaani raha juu ya raha mashekh acheni kujifungiya navitabu tu vyumbani mwenu amkeni muje kuelimisha jamii,jamii inateketeya mashekh zangu .pwent yao kubwa utaskiya Nabii suleiman alitumiya majini nisawa ilakumbuka suleiman tumeambiwa tumuamini hatujaambiwa tumfuate. jaman hili ni balaaa shekh bachu Allah akubarik
@AbdulAbeldi-km4po
@AbdulAbeldi-km4po 2 ай бұрын
Ndio zake huyo bachu Hana cha maana. Ukimswalia mtume kwake bidaa. Ukimpiga maulidi kwake bidaa kusoma wasilatu shafii kakwe NI bidaa sasa anataka tumfuate yeye
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
@@AbdulAbeldi-km4po wapi alisema kumswaliya mtume ni bidaaa sasa ww wapi kuna dalili maulidi ni ibada, hapa tuko kwenye darsa za majini ww unakuja na maulid mbona kimekuumeni sana bachu kuisema maulidi basi ww kaa hadharani funguwa vitabu uwaambiye watu maulidi ni ibada kwadalili hii nahii nahii kama yeye bachu anavyo kuonesha kitabu andiko hadi andiko usilalamike upenuni njoo hadharani. halafu muache kurukiya mada hapa tuko na darsa za majini maulidi sisehem yake mjomba
@ameenaameena422
@ameenaameena422 2 ай бұрын
Kasome huko
@AbdulAbeldi-km4po
@AbdulAbeldi-km4po 2 ай бұрын
Nikasome Kwa bachu ili niwe m bishi na mimi
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
@@AbdulAbeldi-km4po Hata mfalme namrudha alibisha na nabii Ibrahim nahaki ikapatikana sasa ww ikiwa hautaki kubishana basi umtupu ktk dini jee utaweza kubishana na mkiristo kimaandiko ww ikiwa ww mwenyew unajiogopa
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Allah awahifadhi masheikh wetu
@user-fw6si9yd6x
@user-fw6si9yd6x Ай бұрын
Masha'Allah. Ilimu kubwa sana Shekh wangu umetupatia. Anayefuata mambo hayo baada ya sasa hana sababu zaidi ya ukaidi tu. Allah akuongezee ilmu na ufahamu amina!
@SalmaSalum-p5o
@SalmaSalum-p5o 23 күн бұрын
Yaarabbi tujaalie tupate watoto wema kama shekh wetu Muhammad Bachu❤
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k 2 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho Kwa kumrekebisha uyo aliye taka kuhalalisha ushirikina na Uchawi baba kirwasha
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Baba kirwasha ndiyo nani
@aswabikimaro3033
@aswabikimaro3033 2 ай бұрын
​@@Catherine-mh8swyule shekhe kwny kpnd cha wanandoa tv imani....
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
@@aswabikimaro3033 asante
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 2 ай бұрын
​@@aswabikimaro3033suluhu la yote hayo ni kujisalimisha kwa Yesu Kristo pekee. Kwa jina lake kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni BWANA (Mungu). ..wanaopinga hili ipo siku wataungama
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 2 ай бұрын
​@@celestinshayo7295 Uislam una sheria zake muhimu kusoma Quran na kuifuata,na nyie huko kanisani kumejaa mapepo kila siku yanatolewa mbona hayeshi? Majini pia kanisani yamejaa na nguvu za kiza zimejaa muhimu ni kuslimu na kusoma Quran tu na kufata sheria zote.
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 2 ай бұрын
Maaashaaallah sheikh mhammadi bachu Allah akuhifadhi saaan
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 2 ай бұрын
amiin thumma amiin
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 2 ай бұрын
Aamin
@hamishassan6784
@hamishassan6784 2 ай бұрын
Nimekupenda sana kama enzi za utoto wangu nilivyokuwa nampenda Marehem Baba yako Allah s.w amuhifadhi. Ahsante sana kwa kutumia hivyo vitabu kuvunja hoja yao, lakini mimi Binafsi nilishalikataa hilo na kuwa kinyume na Witch Dr. Sule mapemaaaaaaa kwa aya tu za Quran na ufahamu wa jumla lakini pia hii inaonesha wengi katika wale wanaoitwa mashekh hawaijui Dini na ni hatari sana hawa kwa Mustakbali wa Uislam na Waislam na jamii kwa ujumla maana sio tu ushirikina wao lakini pia wanasambaza mafunzo yasiyo sawasawa katika dini yetu
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Allah atakufufua pamoja na uwapendao❤
@hamishassan6784
@hamishassan6784 2 ай бұрын
@@saadasaleh3177 Aamin ajalie sote tufufuliwe na wema wote tuwapendao
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 ай бұрын
MaashaaAllah jazaakumullahu khaira nimekuelewa sheikh wangu maana ya kukuelewa
@barakoibrahim
@barakoibrahim 2 ай бұрын
Hii shida yoooooote imeletwa na Dr. Sule. Anafaa amrudie Allah ili kumuomba msamaha....Allah atuongoze🤲
@UlamaaWaUlamaa
@UlamaaWaUlamaa 2 ай бұрын
Nlikuwa namkubal sana sule ila alnitoka moyon baaada ya kusema kuwa huwez kwenda pepon kwa kuswal swali tu
@barakoibrahim
@barakoibrahim 2 ай бұрын
Haya nami nlimkubali sanatu yaani...nlidhani utamu was ulimi waki inaambatana na moyo wake kumbe wapi!!!!!
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 ай бұрын
Naam swadakta, Dr. Sulke amreje Mola wake kwa toba vinginevyo ATASUJUDU MOTONI. hivyo hasara ni kubwa kwake kuliko faida.
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx Ай бұрын
Swadakta, na tatzo sio kukosea tatizo n kukosea alafu Kwa ule ukubwa/umaarufu unaozan unao unalazimisha lile ulilokosea liwe sahihi, inabid akubal makosa arud nyuma.
@HalimaAdow-wl6sp
@HalimaAdow-wl6sp 2 ай бұрын
Shukran kwa mda na maelezo bora,jazakaAllahu kher.
@shijasagali5161
@shijasagali5161 2 ай бұрын
Jazakhallah khaira sheikhe Muhammad, elimu tumepata na faida kubwa tumepata, Allah akuhifadhi
@biangwatv.1223
@biangwatv.1223 2 ай бұрын
ALLAAH AKUHIFADHI NDUGU NA KAKA YETU .... NIMESTAFIDI KUTOKANA NA WEWE NIKIWA SAFARINI HAPA NA NIMEKUSIKILIZA KWA MAKINI .. Maana Mzee na baba yetu Kiruwasha alitaka kuingia kwenye Hilo wimbi. ALLAAH AKUHIFADHI NA AKUZIDISHIE ELIMU NA WATU WAENDELEE KUFAIDIKA NA WEWE
@habibbeiyye
@habibbeiyye 2 ай бұрын
100% حياك الله....... Wiqaayatul insaan mina ljinni wa shaytwan......kikovizuri sanaaa Mashallah....
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 ай бұрын
Mimi jamani huwa sitegemei nipate shida aina yoyote niende kwa mtu anisaidie tumtegemee allah kwa kila kitu
@shaniisack1153
@shaniisack1153 2 ай бұрын
Allah amuifadhi Yuko imara Kama Baba yake
@user-cj9km2tk4q
@user-cj9km2tk4q Ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema Allah amuifadhi shekh nassoro bachu kwakutuachia mwalimu
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Wallah,nataman siku1 Sheikh Muhaammad na Sheikh Qassim Mafuta wakae wawili waondoe tofauti zao kwa hoja za kielimu kisha wakaungana katika kusema hakki huwa nikiwasikiliza nafaidika sana na elimu wanayotoa na Allah amewajaalia ufasaha.
@SamMus-qn1pu
@SamMus-qn1pu 2 ай бұрын
Amiin
@ShekhKhamisi
@ShekhKhamisi 2 ай бұрын
آمين
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Amin
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Wanatofautiana kijuujuu tu ktk baadhi ya vijijambo havina nafasi ktk Dini wala Da'wah, lkn kiundani na ukweli uko hivi wako pamoja na kazi yao nimoja
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
@@OmarAlly-iz8ot Allah afanye wepes
@abuhamissi9082
@abuhamissi9082 2 ай бұрын
MashaAllah. Allah akupe umri mrefu. Uzidi kuelimisha wa limwengu.
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 2 ай бұрын
MAA SHAA ALLAAH..Atakaekusikiliza hadi mwisho lazima akuelewe kwa idhni ya ALLAAH.. **ALLAAH Akujaalie mwisho mwema**
@mwanaishajuma4166
@mwanaishajuma4166 2 ай бұрын
Amiin
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Ай бұрын
Ameen..
@negaboy497
@negaboy497 24 күн бұрын
Nimesikiliza nusu tu nshamuelewa vziuri kabisa
@augustomariosama1542
@augustomariosama1542 Ай бұрын
W.salaam shaikh Muhammad Bachu ni mwepesi sana wa kufafanua mambo
@user-wq2xy5mw1z
@user-wq2xy5mw1z 2 ай бұрын
MaashaAllah sheikh bachu .waonyeshe hawo masheikh shetani wanachafua jina la Uislamu pamoja kuwapotosha waumini wa kislamu pamoja na jamii kufikiria Uislamu ni dini ya kufunga majini na kuwatumia watu ni shirk hiyo Subhanallaah ❤
@IbrahimuSampa
@IbrahimuSampa 2 ай бұрын
Allah azidi kukupa umri mrefu wa kher shekh kama tulivyoambiwa wakulu bidaati zwalala wakulu zwalala ti finnari.
@NassirKheri
@NassirKheri 2 ай бұрын
Mm nasema kila siku na wallah lau watu wangemsikilixa mualim Muhammad nassor bachu kwa leng la kumuelewa na sio kimjib wangepata faida sanaaaaa, kutoka kwake , namuomba Allah akupe ilmu bora na nzuri ili tupate kufaidika tunaokufuatilia. ❤ Tumekumiss kwa ajil ya Allah masingini msikitini.
@ChidySuleiman
@ChidySuleiman Ай бұрын
Shekh allah akurpe kheir na atusibitishe mpaka mwisho wa pumzi zetu
@user-op5ii7bc1c
@user-op5ii7bc1c 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi shk wetu uzidi kutuelimisha katika misingi ya dini yetu Allah akujaalie wewe na familia yako khery hapa duniani na kesho akhera
@GoodluckPaul-wf9gn
@GoodluckPaul-wf9gn 2 ай бұрын
Muhammad Bachu ALLAH azidi kukuongoza katika uadilifu na akujaalie kheri Duniani na Akhera. Nimejifunza mengi sana kupitia darasa zako tofauti tofauti.
@KingPrince1917
@KingPrince1917 2 ай бұрын
Allah atusamehe kwakweli
@kimeajuma3267
@kimeajuma3267 2 ай бұрын
Jazakallah khaira Sheikh Bachu, Kila jambo lina kheri Dr, sule asingesema elimu hii tusingeipata.
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 ай бұрын
MAJINI HAYANA MAHUSIANO YENYE FAIDA KIVYOVYOTE KWA MUISLAM-JAZAKHALLAHU KHAIRAN
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
Ki vp ww na majini mumeumbwa kuja duniani kufanya nn
@warshysaid8564
@warshysaid8564 2 ай бұрын
​@@saba-gv3mjkumuabudu Allah
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 2 ай бұрын
Kumuabudu Allah tu na Sio kushirikiana kumkufuru Allah
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
Sasa kama kumuabudu Allah na majini wako wanao muabudu Allah ambao ni waisilamu kama ww na wale wanao mshirikisha Allah niwale majini wabaya na hata binadamu kunao wema na wabaya utapata binadamu anamroga mwenzake atamtua huyo huyo jini na utapa binadamu mwengine anamtibu huyo aliyerogwa kupitia quran na pia aweza mtuma jini yule mwema kuchukua madawa msituni ambapo ww binadamu ukitumwa huwezi zipata dawa zengine
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 ай бұрын
@@saba-gv3mj UNAJIKIA UNAVYOSEMa
@bomikassim4528
@bomikassim4528 2 ай бұрын
Sheikh Muhammad Allah akulipe malipo mema kwa kutuelimisha katika jambo hili. Naomba nitoe ushauri. Kama itawezekana, angalia uwezekano wa kuandika kitabu kitakacho husu suala hili. Kitabu hicho kitumie lugha nyepesi pamoja na mifano iliyo hai ili Muislamu wa kawaida aweze kunufaika. Kwa uwezo wa Allah, huenda jambo hilo likatoa manufaa makubwa zaidi kwa vizazi vijavyo. Nasema hivyo kwa sababu, ikiwa hata Baba Kiruwasha anahalalisha kutumia Majinn, ujuwe kuwa hali si nzuri kwa Waislamu wengi ambao hawana ufahamu na elimu kama alivyo jaaliwa Baba Kiruwasha.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Baba kirwasha ndiyo nani
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 ай бұрын
​@@Catherine-mh8swww umeangalia hiyo video kuanzia mwnzo?
@abuuharuni
@abuuharuni Ай бұрын
​@@Catherine-mh8swrejea mwanzo utamuona
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
@@abuuharuni anha sawa ahsante. Ila nisha mgoogle nimemuona.
@MohdAli-cn2cs
@MohdAli-cn2cs 2 ай бұрын
Mm nakuombea tu ujitaahidi kufikisha kwa njia nzuri na maneno mazuri kama hivi au zadi shukran akhy
@HashimJuma-en8je
@HashimJuma-en8je 2 ай бұрын
mashalla shee Bachu tunanufaika sana allla akhifadhi naakulipe inshaallah
@UmarMasudi-so2hi
@UmarMasudi-so2hi Ай бұрын
Nakupenda sana sheikh wangu kwa ajili ya Allah
@user-vz1el2xe5x
@user-vz1el2xe5x 2 ай бұрын
MashaAllah shekh umefafanua vizuri na itakuwa bora zaidi ikimfikia Dr Sule
@user-on5qx3cl7q
@user-on5qx3cl7q Ай бұрын
ALLAH akupe maisha marefu wallah umetupa uelewa shekhe
@atumanisudi6773
@atumanisudi6773 Ай бұрын
MASHALAAH,Dah watu wamesoma aisee,upo dip sana..inatoshaa....MUNGU akulipe kheri.
@omarhamad4757
@omarhamad4757 2 ай бұрын
Mashallah Allah akujaalie her kwa kuelimisha umma
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 6 күн бұрын
MAASHAA ALLAH shukran sheik wetu kwakutuelimisha ALLAH akuhifadhi
@user-sf3jq7wo5e
@user-sf3jq7wo5e 2 ай бұрын
Maashaallah shekh wetu
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 2 ай бұрын
Barakh Allah Kher sheikh wetu kipenzi
@omarkhamys9818
@omarkhamys9818 2 ай бұрын
Ndugu yngu bachu haraka rud Zanzibar kama bado uko kenya tunahtaj darsa zako ..... Njoo tuone uyo mtu akusumbue
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 2 ай бұрын
kafungiwa znz asifanye mihadhara ya aina yyte
@MwanaidMagasa
@MwanaidMagasa Ай бұрын
Allah akupe umri mrefu akulinde na hasad yarab
@ZaharaniZaharani-ts7wv
@ZaharaniZaharani-ts7wv 2 ай бұрын
Kaka wachane asaa wanga ao kazi kuruka na ungo . Allah awaongoze katika njia iliyo nyooka
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi! Bila shaka na sheikh Kishki ata kusaidia kumwambia maana ni rafiki yake😊
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq 2 ай бұрын
Shukran shekhe moh'd Nakuomba ufanye fikra ya kumsomea ruqiyya dr.sule hawezi akaufahamu ukweli huu kwasababu majini yashamuweza hatakuelewa
@user-ts9ql7mo3w
@user-ts9ql7mo3w 2 ай бұрын
Allah hafichi mnafki, na Dr sule mungu amemuanika live maana kifanyikacho gizani kitaonekana mchanga.
@MgazaMhina
@MgazaMhina 2 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye faida
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 2 ай бұрын
Huyu jamaa yuko vizur Allah ampe swiha na aman
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 2 ай бұрын
Somo nimelielewa allah akubaliki akuhifadhi na akuzidishie heri❤❤❤ namuomba allah salama wa afya
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 2 ай бұрын
Asalam aley kum mm kiu YANGU namtaka sheikh kishki naye azungumzie kadhia hii sheikh muhamadi bachu katuelimisha tumemuelewa.ila na sheikh wetu nurduni kishki nayeye atupe elimu pia amlinganie Swahiba wake DK Sule naona amekaa kimya!!!
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 2 ай бұрын
Hamisi hilo ulitakalo ndugu yangu simo
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 2 ай бұрын
مشاء الله تبرك الرحمن Allah akuhifadhi bin bachu
@ChidySuleiman
@ChidySuleiman Ай бұрын
Mashaallah sheikh bachu allah atuongoze kwenye kheir
@mahamoddales4443
@mahamoddales4443 Ай бұрын
Nafurahi sana kuwa wew nimoja kati ya watu walio nifunza nahau najivunia sana kwakweli Allah akuhifadhi
@binhussein4411
@binhussein4411 2 ай бұрын
MashaAllah Allah akuhifadhi sheikh Mohammad Bachu simba wa Tanzania na Kenya
@abdoulrahmanahmed5802
@abdoulrahmanahmed5802 2 ай бұрын
Mleberali Mashaallah Wachape Masufii
@bakarisalim4763
@bakarisalim4763 2 ай бұрын
atleast leo umekua na busara za hali ya juu sna,alkua nakuchukia sna ila kwa hii,mashaAllah Wallah Allah akulipe inshaAllah
@user-sf3jq7wo5e
@user-sf3jq7wo5e 2 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu shekh letu
@issapandu1918
@issapandu1918 2 ай бұрын
Amiin naomb namba ya shk tafazl
@omarkhamys9818
@omarkhamys9818 2 ай бұрын
AMIN
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 2 ай бұрын
M Mungu azidi kukuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu,kwa hakika unaelimisha watu,na kuwatowa watu tongo,unazungumza kwa ufasaha yoyote atakuelewa tu,labda wale wanozitia nafisi zao katika upumbavu,na asiekuelewa wewe..basi hakuna mwengine watakaemuelewa.M Mungu azidi kumrehemu na kumpandisha darja za juu pamoja na mtume wetu Muhammad (saw) Sheikh Nassor Bachu,kwa hakika katuachia gitf,tunanufaika nayo..Alhamdulillah
@BadiuraAbdallah
@BadiuraAbdallah 28 күн бұрын
Allah akupe nguvu katika kuelimisha ilitusipotoke kwa tamaa za kidunia tu.
@abubakaryomary8059
@abubakaryomary8059 Ай бұрын
Ukosahihi shekhe Allah akulinde
@omarussi7316
@omarussi7316 2 ай бұрын
Mashaallah yaa Muhammad
@MwanaidMagasa
@MwanaidMagasa Ай бұрын
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah unaelimisha wanaopotezwa, wanauaibisha uislam,
@moodykombo329
@moodykombo329 2 ай бұрын
shukran ustadh kwa kutuelimisha Mungu akupe afya njema na umri mref wenye manufaa kwako na kwa jamii nzima ya kiislam na wasiokua waislam tumuombe Mungu atuongoe kujua haki tuifate na batil tuiepuke jazakallah.
@feisalkhalid7225
@feisalkhalid7225 2 ай бұрын
Bachu you are on fire 🔥 big brain 🧠
@user-bx3em9tm1b
@user-bx3em9tm1b 2 ай бұрын
Mashallah ALLAH akuhihifadhi shekh wetu tunakupenda sana uyo sule ni freemason sio shekh uyo mbwa ni shekhehena mpumbavu mkubwa uyo
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 19 күн бұрын
Hata kwa mtu hajasoma experience tu ya maisha ......ukisha likubali jini litakupa shartiiiii itabidii utiiiiii .....wakati wakkumtiii ni Mola wetu pekeee yaa Rab tuepushe na shirk ndogo ndogo na kubwa kubwa
@Fardadihd
@Fardadihd 2 ай бұрын
Nimekuelewa sana ❤❤❤ bachu
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx Ай бұрын
Sheikh leo umenyooka Allah akuongoze na akupe hekma zaid
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 2 ай бұрын
Wallah sheikh huko mwisho nimekuelewa vzr sana tena mno ila je kw mtu wa kisalafii ambae anafata sunna je huyo anaweza kupata jini mwema akamsaidia bila ya mafungamano yyte kw hofu ya kumuogopa mungu?
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 2 ай бұрын
Sheikh muhammad bachu nakufwatilia sana na nakuelewa vzr tu ila kuna maswal mengi najiuliza na kw yyte wenye nafas anijibu InshaAllah,kutumia majini haifai hata km wema je kw mtu ambae tear anaumw na anataka kuingizw ktk uchawi huyu tunamsaidia vp, na kw upande wa hospital mtu ambae anaend kw doctor kutibiwa na kumuamin doctor kutokana na maelezo yake huyu nae hukmu yake vp wkt nae pia atakua tear anamuamin doctor kuliko mungu na pia kuna maana gn ya kwend hospital wkt mungu alishatwamboa kua qur an ni shifaa ya kila mattzo kw nn tusitumie qur an ktk maradhi ilhali mpk w2 waende hospital kutibiwa?
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
Umefikiria Kwa uchache Akhyii Kwa sabb hata njaa ni maradhi je ukilza chakula sindo Tina yenyewe na unaamin ukila unapona njaa Mtu aliyetupiwa jini huyu ni tofaut na mtu anayeumwa na maradhi ya kawaida Kwa mfano. Mtu katupiwa jini bila shaka ni mtu kadhamiria kumdhuru mtu huyu akafanya mambo ya shirki Ili jini amkubalie kufanya kazi ya MCHAWI na Mimi nakuambia Mimi ni msomaji riqya natoa watu majini Kwa Quran najua hakuna jini yeyote atatumwa na MCHAWI Kwa ajili ya kumdhuru mtu lakin MCHAWI yule lazma afanye shirki iwe kumchinjia Jin mnyama au ndege au akanyage Quran au afanye kufru yeyote Ile Ili amridhishe dini hapo ndo jini nae akubal kufanya kaz ya MCHAWI hapo ushaona maradhi yamepatikana Kwa kumshirikisha ALLAH. Maradhi ya kuumwa malaria na maradhi mengine ya kimwili maradhi yasiyotokana na mambo ya kiroho lakin ni ALLAH tu kaamua amtahini mja wake Kwa maradhi hayo na ukaenda Kwa daktar huyu haingii kwenye shirki Kwa sabb huyu hatumii jini Bali ni Akili tu ambayo ALLAH amemjaalia kupitia vipimo n.k. Wala hatakuambia ufanye mambo ya kumkufuru ALLAH Ili upone yeye anatumia elimu aliyojaaliwa na ALLAH. Vile vile Mtume Swalla llaahu alayhi wasallama anasema ALLAH hakuteremsha ugonjwa lakin ugonjwa huo ameutengenezea dawa yake. Kwa maana Kila ugonjwa una dawa lakin katika masharti ya dini yetu hutakiwi utumie dawa ya Haram huwez ukaambiwa huyu bwana anaumwa sana lakin dawa yake ni apate mwanamke azini nae baas hiyo dawa haifai na itakua ni katika madhambi lazma mtu huyo aoe ndo atapona na kama ugonjwa wake utakua unataka azini sio kuoa basi huyu atakua Sasa ni shaitwan haifai kumtii Bali utarud Kwa ALLAH na atakuonesha njia Hospital na wanaotumia majini haviendani kabisa
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Maswali gani ya kitoto hayo hata mtoto wa darasa la kwanza anae Anza madrasa anakujibu inaonekana ww huna uelewa katika dinni Sasa doctor Ni haramu kutibiwa kwa doctor? Jenga hoja kama mtu mzima hii dini haitaki istizaha na ukifanyia dini na mawswali ya kejel humkejeli mtu shekhe wajikejeli mwenye na kuidhurumu nafsi yako ndo tunaimizwa tusome ndo tutajuwa dini
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Kijana kama unaend hospital unategemea hospital ndio inaondoa maradh bas weka iman yako vizul.. Hospital ni sababu tu lakn mweny kuondoa maradh ni Allah na m/mungu hajataka kuondoa maradh yako bas hata ukalala hko huko hospital maradh utakua nayo tu. na hataka utafutiwa daktar bingwa kiasi gani hatoweza kuondoa maradhi hadi pale Allah atakapo yaondoa..
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Hataka kama unakunywa dawa muimbe mungu akuondole maradh yako. Weng wakunywa hizo dawa na hawapon
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 ай бұрын
Allah anasema ndani ya Qur'an"Waja'alnaa kulla shayin sababa=na tukajaalia kila kitu kiwe na sababu" kwahiyo kwenda spitali hiyo ndo asbabu ya ww kupona maradhi yko ama kutumia dawa na sio kwamba et unamuamini Doctor je unamuamini doctor kwani yey nd mwenye uwezo wa kukuponya basi ingelikuw watu hawafi km ni ivo.
@MwanaidMagasa
@MwanaidMagasa Ай бұрын
Mashallah nakupenda Kwa ajili ya Allah wallah wape elimu wanapotosha Sana watu.
@MirajiMiraji-yu4gg
@MirajiMiraji-yu4gg Ай бұрын
Shehe. Bachu tunakuelewa ..ila mm naumwa. Toka mdogo mpaka nshakuwa mtu mzima jee unanisaidiaje. Ili Dunia na mm. Niione nzuri .
@abuuharuni
@abuuharuni Ай бұрын
SHAFAKA ALLAH
@malengajrking7525
@malengajrking7525 10 күн бұрын
Namuomba Allah mtukufu Mola wa arshi tukufu akuponeshe akhy
@jumasalum2677
@jumasalum2677 2 ай бұрын
Masha Allah Kazak Allah khaira
@hailatomantatusefu3433
@hailatomantatusefu3433 2 ай бұрын
Kongole shekhe bachu Allah akuhifadhi na husd za wanadamu na majini napendaga kukusikiliza redio IMAN
@Ramadhan6115
@Ramadhan6115 2 ай бұрын
Wallah mimi nilikuwa miongoni mwa wale ambao hawakuwa wakimukubali bacho,ila leo nimekukubali sheikh nimeelewa kabisaaaa alhamndulillah, basi mwenyezi Mungu akulinde na akupe umri mrefu wenye baraka ndani yake na atupe mwisho mwema 😭😭😭, nimengundua kumbe wenzetu waislamu weengi wako kwenye shirki kubwa, nayoote nikukosa tu i'ilmu
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 2 ай бұрын
Mashallaah ALLAAH BARIK
@user-lb5tt1kt4m
@user-lb5tt1kt4m Ай бұрын
Wala tushrq bii shaia jiulize mwanadamu kwa nn usiombe Mungu tusimame kwa Mungu jamani hii nidunia
@salimuhashimu1529
@salimuhashimu1529 2 ай бұрын
Shekh asantee sana na endelea kuelimisha umma.Yani elimu itolewe sana, maana baadhi ya mashekh wanasababisha waislamu waonekane wanaukubali ushirikiana na uchawi wakt kumiliki majini ni ktk madhambi.Allah akulipe kila la kher na Babu Kiruwasha ikiwezekana umuite umuelishe physically.
@aminahassani-jh5rp
@aminahassani-jh5rp Ай бұрын
Weuweeeee ahsante sana uko vizur Shekhe wetu mtoto Shekhe nasoro bancho ni marehemu sasa umenyoosha maelezo shekhe
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
Bachu anakimbiza washirikina kimya kimya Docter sule na wenzake wameyakanyaga mbona moto utawaka wikihii
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 2 ай бұрын
Antes de começar deixa ti dar oseu gosto irmao Allah ti abençoe ❤❤❤
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Nani amegundua kua ukimsiliza muhammad bachu akiwa anaachambua kitu unataman asimaliize kuonge yani saa limojaa unaona kama katumia dakak 15 tu...
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 ай бұрын
Kweli broo, ila kuna sheikh anaitwa Golo haeleweki dakika 5 zake utazani ni masaa mawili 2
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
@@KhalfanMassoud pale hamna sheikh ni mshenzi2
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy mmmmh. Mm mwenyewe huaga nasema yule kasoma kweli au pangu pakavu. Naona haeleweki, anachosha. Golooooooo njooo uku usome comments.
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 ай бұрын
Wa kwnz mm natamani asimalize yaani kw jinsi anavowez kuchambua mambo
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Allah amzidishie elim❤
@ShaibMohammed-lg5sk
@ShaibMohammed-lg5sk 2 ай бұрын
Sh Muhammad Bachu Allah akulinde naakuondolee kibr Mashallah
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 55 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 186 МЛН
Muhammad Bachu||MANENO MABAYA YA QASSIM MAFUTA NA ABDALLAH HUMEID
52:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 97 М.
HAJI UPEPO APATWA NA AIBU KUBWA BAADA YA MAJIBU MAZITO YA SHEIKH MUHAMMAD IS-HAQ.
40:13
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
HATIMAE BABA KIRUWASHA ATIMIZA AHADI YAKE
17:15
Baba kiruwasha official
Рет қаралды 16 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TANO |Muhammad Bachu
42:09
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 43 М.
KISA CHA MKE WA SHEIKH MZINIFU -  SHEIKH OTHMAN MICHAEL
40:00
Kalamutz
Рет қаралды 132 М.
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
Школьник ► SchoolBoy Runaway ► Побег в Закулисье
14:17
ГРАНД-ФИНАЛ! NaVi vs G2 - Esports World Cup 2024 - ЛУЧШИЕ МОМЕНТЫ CS2
50:22