DR. SULLE | HII NDIO BIBLIA YAKWANZA KUANDIKWA MWAKA 331 DC | JE BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU? NO2

  Рет қаралды 36,977

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@abduljumanne1667
@abduljumanne1667 3 жыл бұрын
Naaaam MaashaAllah hakika tunapata faida kubwa katika Historia hii tunaendelea kufatilia shk tunasubir sehemu ya tatu Allah akuhifadhi!
@kavorama983
@kavorama983 3 жыл бұрын
Hili darasa nimeitafuta sana, nitaiweka kwenye lugha ya kifaransa itatusaidia ktk hizi nchi za kimangharibi
@hassainjalikaz6460
@hassainjalikaz6460 3 жыл бұрын
Dk wewe uko vizuri Sana namimi katika watu wanao kufatiri mimi nimo mahuwa najifunza vitu vingi sana mungu akupe maisha marefu bayo hayatakua kero kwa watu makupenda sana hutubazako huwa nainjoi sana mbele ya wakristu
@cocosnucifera5488
@cocosnucifera5488 3 жыл бұрын
Jazakallahu khaira..darsa kma hizi nilikua nazitafta muda mrefu sana..Allah akuhifadh uendelee kutupa ilmu shekh
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 3 жыл бұрын
Dr Allah akuhifadh Kwa kuwafundisha ndugu zetu maana viongozi wao huwa wanajanja janja, nadhani wameelewa ila wajinga watatukana kwa kukosa hoja za msingi ili wapinge
@suleimanahmadaali5989
@suleimanahmadaali5989 3 жыл бұрын
Allah akulipe kheir kwa elimu unayoisambaza, nawaomba ndugu zetu wakiristo wayaelewe haya kwa umakini na waukubali uislamu ili wasalimike na adhabu za Allah siku ya malipo
@ngokaomary5123
@ngokaomary5123 3 жыл бұрын
MashaaAllah tabarakallah
@ndakozeomar4609
@ndakozeomar4609 Жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Allah akuzidishe kila la kheir.
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 жыл бұрын
Mungu atawalipeni kwa kuelimisha kwenu Huko inshallah 🙏
@obinaselemani1321
@obinaselemani1321 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@elishaskazoza8268
@elishaskazoza8268 Жыл бұрын
Unaju Yesu wetu ni wa practical and thior,ni mzee wa matendo na sio porojo,anaokoa,anaponya anafufua,mtume mohamadi zake ziliiisha anasubiri hukumu maana hakufufuka,kwa hiyo uko sahihi kupiga kelele kumtangaza Yesu alie hai
@elishaskazoza8268
@elishaskazoza8268 Жыл бұрын
Umeusaliti uisilam au ndo kusema Bwana Yesu ameinua mawe kumtangaza yeye,naomba fuatisha maneno Hawa shee sema Bwana Yesu naja mbele zako uislamu umenishinda naomba unipokee kuanzia Leo nitakuata wewe ame,umeokoka mzee sule
@MoshiKaranga
@MoshiKaranga 4 ай бұрын
marshall
@abdulrazaqbunaya7399
@abdulrazaqbunaya7399 3 жыл бұрын
Allah akujaalie
@nahsebuulahmimu8124
@nahsebuulahmimu8124 3 жыл бұрын
Mashaalaah dr
@michaelvicem6323
@michaelvicem6323 3 жыл бұрын
Waisilamu xax mtaielewa Biblia kama ktabu kitakatifu cha mungu kwa Dini zote na so koloani ni maneno ya Muhammad kayatunga kwa ujanja wake,
@elimukwanza9769
@elimukwanza9769 3 жыл бұрын
Basi atakuwa genius aisee
@BenazirMohammed-v1t
@BenazirMohammed-v1t 8 ай бұрын
Ilikuwaje binadamu kama Muhammad ajue mambo deep sana ya kisayanasi kwasabab Quran ndio kitabu pekee kinachomatch up na science na hata baadhi ya mambo hutokea leo yameshaandikwa katika Quran!! Muhammad alikuwa binadamu tu alijuaje kama hakupata revelation!! Kwa hakika Quran ni manneo ya Mwenyezi Mungu. Biblia ina makosa kibao Quran haina makosa
@selemanimichael1005
@selemanimichael1005 Жыл бұрын
Hakika tunapata hekima kuu kwako tuna kukaribisha sana arusha utuletee semina
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 3 жыл бұрын
Shukran jazelan sheikh Sule
@najmahemed1249
@najmahemed1249 3 жыл бұрын
Shukran sheikh
@asiakimolo5616
@asiakimolo5616 3 жыл бұрын
Subbuhanna llah
@jumamohamedkidiaunga9224
@jumamohamedkidiaunga9224 3 жыл бұрын
Education with fact!!🙏
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
He’s talking nonsense
@robloxgame2465
@robloxgame2465 3 жыл бұрын
Mashaalah shekh dkt sule
@utafitiimanitv6641
@utafitiimanitv6641 3 жыл бұрын
Maandiko ya kweli ni biblia yenye maandiko ya kweli siyo korani
@LucyYohana-km3or
@LucyYohana-km3or Жыл бұрын
Unaonekana huna kazi fundisha kitab chakoo faraa weee
@jamesswai1683
@jamesswai1683 3 жыл бұрын
Yaani badala ya kuwajenga waislam kiimani..we unakomaa na biblia..Jifunzeni kwa wakristo ambao Wala hawahangaiki na Imani yenu..Mwenyezi Mungu ndie ajuaye dini ya kweli na maandiki ya kweli
@calvinmichael2404
@calvinmichael2404 3 жыл бұрын
Unachambua ila utaki kusema ukweli mbona unakata sehemu zitakazo kubana
@calvinmichael2404
@calvinmichael2404 3 жыл бұрын
Hakuna historia inayosema wakatoliki waliandika biblia
@calvinmichael2404
@calvinmichael2404 3 жыл бұрын
Shehe biblia ujui utafute watu wakufundishe mtu wa mungu maana unachoelezea nitofauti na mada yako
@herson9343
@herson9343 3 жыл бұрын
Tulieni sindano iwaingie
@aboubahebura8144
@aboubahebura8144 3 жыл бұрын
Ivi mungu utuma mtume au nabii au mwalimu kwa watu gani ?
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 3 жыл бұрын
Haya mafundiosho yote yanawahusi watuweusi2
@shabaniissa3163
@shabaniissa3163 3 жыл бұрын
No 3 tafadhali ,bi idhini
@bakarimwamsho2608
@bakarimwamsho2608 3 жыл бұрын
Up
@kaltumaamiyo2017
@kaltumaamiyo2017 3 жыл бұрын
Ni kelebu mwa wa yefune
@chrisojuok9673
@chrisojuok9673 3 жыл бұрын
Thanks ☀️🧠👂👄👁️👃👐🦵💪💯💖💘
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 11 ай бұрын
sehem ya tatu iko wp?
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
Sulle anatafuta njia yakukwepa Kesi yake ya utapeli, na kuongelea Ukristo ili awafurahishe waislamu! Yeremia 8:8 eti Torati imechafuliwa, na wakati Yesu kasema Mathayo5:17 “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.” Mathayo 22:40 Yesu akajibu“Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.” Yesu amekuja baada ya Yeremia, sasa Sule kama hujuwi Biblia kaa kimya husiropoke
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 3 жыл бұрын
Mm nataka unioneshe taurati ndani ya bibilia ctaki kumbukumbu la torati -nadhani unajua nini maana ya kumbukumbu torati haipo ile aliokuja itimiza yesu na ndio maana dr. Sule asema torati imeharibiwa hakuna torati bali kumbukumbu ya torati hope umeelewa ndugu.
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@del-mohaa7527 Quran 16:43 “Nasi hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa Wahyi (Ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui.” Kama Torati imeharibiwa, kwanini Allah amwambia Muhammad aulize waliopewa vitabu kabla yenu?
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@del-mohaa7527 wee tulia, Sulle ameshalipwa ndio maana karopoka
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@del-mohaa7527 soma Quran 10:94
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@del-mohaa7527 soma Malaki 4:4
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Kwa Wakristo Biblia sio kitu chochote.Kitu kikubwa Kwa Wakristo ni uzima wa Milele unaotokana na kumuamini Yesu.Vitabu ukiondoka Injili 4 vina ubinadamu mtupu. Hakuna ubinadamu Wala historia inayomuokoa mtu.Watu husamehewa dhambi na kuokolewa Kwa njia Ya Yesu. * Yesu atarudi Tena mara ya pili,Yesu atayahukumu mataifa yote ya Dunia. Hakuna nabii aliesubutu kusema atarudi.Hii ndiyo habari ambayo inabidi kujifunza na Wala sio historia,visa Wala hadithi ambavyo ni Bure sana kuhusu msamaha wa dhambi na wokovu *Yesu,Jana ,Leo na hata milele*
@tatuhussein5720
@tatuhussein5720 Жыл бұрын
kwahyo unakataa kitab chenu wenyewe???? yan huku n kukosa hoja, kama bibilia sio chochote muongozo wenu n upi???? sio tu unaandika essay bila ya kua na ushahid,, wewe haya umeyatoa wap????? yan mkipewa ukwel wala hamsikii na kuona , sasa unakana kitab chako mwenyewe, makubwa haya
@mahadboy5124
@mahadboy5124 9 ай бұрын
Apa ndo unapojua wakiristo hawana akili baada ya kujifunza wakajua ukwel
@stivutitus963
@stivutitus963 3 жыл бұрын
falaww soma krn 25 , 5 utakikuta kitabuxhako kilivyo arbu
@kaltumaamiyo2017
@kaltumaamiyo2017 3 жыл бұрын
Wewe kafiri tu
@husseinhumudy1463
@husseinhumudy1463 3 жыл бұрын
Mbona utukan Kaka Soma vitabu naimani utajifunza vizuli
@rashidmshindo1527
@rashidmshindo1527 3 жыл бұрын
Wakristo Kama amjaerewa basi
@hekimamyoba4964
@hekimamyoba4964 2 жыл бұрын
Sio lazma utukane
@BunuFamau
@BunuFamau Жыл бұрын
No no by
@nambaga
@nambaga 8 ай бұрын
Hii historia umeitoa wapi??? Na kama ni kweli ilifanyika BC je Yesu akishakueko hio historia yako inasemaje hakujua kama hio bibilia ilikua na kasoro??
@robertlyimo8400
@robertlyimo8400 3 жыл бұрын
Acheni kitabu chetu tunakiheshimu kukosoa kitabu ni kukosoa Mungu kama kimechakachuliwa basi hata maneno Yako yakechakachuliwa usituharibie zungumzien Cha kwenu
@Michoarbah
@Michoarbah 3 жыл бұрын
sasa kuna mtu amekutuma usikilize kama umesikiliza bas jua ukwel unaujua sema auna namna....
@mahadboy5124
@mahadboy5124 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂ety kitabu chetu we xubir ufe ukiwa mkiristo
@stivutitus963
@stivutitus963 3 жыл бұрын
Malaya ww msaafuje nauyo shetn wenu
@datchdatch3836
@datchdatch3836 3 жыл бұрын
matusi ya nini kwenye neno la MUNGU...hii inaonyesha HUNA HOJA
@sulemanxulex8508
@sulemanxulex8508 2 жыл бұрын
Wewe huno lolote unlolijua kuhusu biblia wakati witabu vinaandikwa wewe hukuwepo walikuja wasomi wakaichambua lakini hawahupata chochote sasa wewe Mjinga mjinga unajua nini kuhusu biblia? Wewe ni mwisilamu huhitaji huku fala wewe
@hekimamyoba4964
@hekimamyoba4964 2 жыл бұрын
Kubali wito kataa maneno
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 2)2024 ISRAA NA MIRAJI
54:06
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 16 МЛН
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kuiteka akili ya mpenzi wako. Part 1
7:31
Islamic Ruqyah for Healing and Peace | Play While Sleeping
1:59:06
Everyday Ruqya كل يوم رقية
Рет қаралды 13 МЛН
DR. SULLE | KWA NINI KIFO CHA MSALABANI NI KIFO CHA LAANA?
41:20
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 109 М.
Aisha bint Abu Bakr (ra): The Love Story | The Firsts | Dr. Omar Suleiman
1:08:26
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.