Sheikh Sele kweli unafanya kazi mzuri sana kuitangaza dini na kuwabainishia makafir upotove wao wa kumuabudu binadamu mwezao, Allah akulipe
@abdonkassongo Жыл бұрын
Uislamu hauna mafundisho yanayovutia wasikilizaji,bila kugusa ukristo, wakristo tulieni,mtawaona wengi wakija kwa jina lake Bwana yesu,nabado, shika sana ulichonacho, asije maovu akakupotosha, mala zote shetani anakuja na ukweli kidogo, uongo mwingi, mkumbuke na kule bustani ya edeni,
@aysardachi36052 жыл бұрын
ALLAH (SWT) atakulipa malipo makubwa pamoja na sisi tunaokusikiliza sote ISHA ALLAH tukaingie peponi
@mariamoden1131 Жыл бұрын
Upo sahihi Mungu akubariki shehe
@ashamahadi5281 Жыл бұрын
Asalaam alykum tunawashukuru kutoa tafsiri ya msahafu kiswahili siku hizi atupingani kwa sababu msahaafu unajieleza. Pia tunamshukuru Allah kwa sasa tuna waislamu Mashehe wasomi hii imesaidia sana kutuelewesha kwa lugha ya hekma na busara kuielewa dini shukrani sana.
@anordmwemezi53642 жыл бұрын
Asantee sana kwa elimu hii naomba kuliza ivi nkitaka koroani ya kiswahili ntapataje
@buuwahiid28982 жыл бұрын
Ww mkiristo
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@buuwahiid2898 ndio
@muhidinmawe-vz7dh Жыл бұрын
Nenda kwenye maduka yanayo uza vitabu vya dini
@saidiissa4673 Жыл бұрын
Zipo kanunue
@ernestthomas9689 Жыл бұрын
Unaeza Download it..
@lidafotz33973 жыл бұрын
Mashaallah doctor kazi nzuri.
@cabylake2320 Жыл бұрын
Allah akuzidishie umri sheikh
@abrahmanali3767 Жыл бұрын
Tunawaomba Utahan kuhusu maisha ya issa nyakati za mwisho kama hamna elimu iyo tujetuwaelimishe zaid
@aghmadajuma61717 ай бұрын
Correctly Dk sule
@andredelange2611 Жыл бұрын
anavoisifia quran sasa midahalo iliyoegamia upande mmoja sana ina mashaka sana
@Malaikakisseto Жыл бұрын
Mmh. Katoliki wanajua na wanautaratibu wa kuwakumbuka bibi na babu wa yesu
@hawaabdallah8216 Жыл бұрын
Uko sahihi. Twayb sheikh wetu
@frankmpembu Жыл бұрын
Isa siyo Yesu, Yesu siyo Isa.
@MawazoMwamba-fz5hr Жыл бұрын
YESU ni Njia pekee na Uzima .
@KassimShora8 ай бұрын
Jazakallah
@bilugwemwanzije Жыл бұрын
Mungu wetu ni mmoja !!?
@frankmpembu Жыл бұрын
Wewe na nani?
@johnkapalamula4351 Жыл бұрын
Kitabu chakwanza kuja ndicho kinamjuwa yesu.
@leonardnyange7152 Жыл бұрын
Uyu mweupe ana anachokijua
@jumabuckary7698 Жыл бұрын
Bibilia ni kweli ilitangulia na Mohammed( SAW) jina lake liliandikwa humo Ila walumi wakabidilisha waaandika uwongo mwingi , mwenyezi Mungu akatelemsha koraan akasema uwongo potea na ukweli umefika , bibilia hizi tunazosoma Sasa Sio Ile bibilia aliyetelemsha Mungu.
@joycedimoso86484 ай бұрын
Tunaomba andiko la warumi wamebadilisha biblia na tunaomba utuletee biblia aliyotelemsha Mungu nabiblia ambayo hakutelemsha Mungu
@AlhajiSaidi-uo8zl Жыл бұрын
mashaallah
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Koran ililetwa Kwaajili ya kuupinga ukristo,mf Isaka na Ishmael ktk kutolewa sadaka,kuzaliwa kwa Yesu,
@nassorsharifu983711 ай бұрын
kwa sababu ukristo imekuja kumpinga Mungu wa kweli muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo pamoja na vitabu vyake,
@salimobeid14702 ай бұрын
Imani potofu hio uislam umekuja kueleza na kumuongoza mwanaadamu kwa mungu wa haki
@rahmahussein20202 жыл бұрын
SALAMU ALAYKUM TUNAPATA MENGI KUPITIA ALLAH. KISHA .MUHADHIR ANAETUFUNGUA MACHO MASIKIO NA IMAAN. ALLAH AKULIPE KHERI KWA KAZI KUBWA YA UFAFANUZI ALLAH AMEKUJAALIA MENGI TUSIYOYAJUA JAPO TUNASOMA VITABU LAKINI TUNAFARAJIKA KUONA UFAFANUZI NI MUHIMU SANA KUONGOZA WASIEJUA KHASA .KIZAZI CHA VIZAZI MZUNGUKO NI MKUBWA ALHAMDULILLAH. ALLAH NDIE MMOJA HAKUZAA WALAHAKUZALIWA .NA HAKUNA ANAEFANANA NAE HATA MMOJA. SURATULIKHLAAS .INAKUPWEKESHA. KUA MUNGU NI MMOJA. ASIEJUA HILI SASA KAJUA
@elishaskazoza8268 Жыл бұрын
We mzee subiri neema ya Mungu kupitia mwana wake Yesu crito itakujia utaelewa,hapo unacheza mkopo kama mtoto wa miaka miwili,tunakuombea kwakuwa hujui ulitendalo,aliejigeuza kuwa kama malaika wa nuru ni huyo mohamad na baba yake ni shetan,kama unabisha wambie baraza la waisilam ulimwenguni watoe qran ya kiswahiltu ili na sisi mamuma tuisome kwa lugha yetu,hicho kitabu cha qran kikiwekwa wazi kiswahili waisilam wote watahamia ukristo,kimejaa uongo mtupu!!
@munyao7064 Жыл бұрын
Wacha uogo brother bona akuna kupatizwa basi vile yoana anasema
@emmyndunge6406 Жыл бұрын
Hatuna aja n wenye kuzaa mariamu ila yesu n mwana wa mungu
@eliasmajambomwinyihaji1335 Жыл бұрын
Acheni makasiriko
@emmanuelshukiah1236 Жыл бұрын
Yesu atabaki kuwa YESU hana wa kumfanana naona unalazimisha Yesu awe Issa lakn Hawa ni watu wawili tofauti kabsa na walikuja duniani Kwa kazi mbili tofauti, Yesu alikuja kuukomboa ulimwengu na ulimwengu uokolewe ktk Yeye na pasipo Yeye hakuna uzima wa milele ambapo ni tofauti kabsa na huyo Issa wenu.
@cabylake2320 Жыл бұрын
Sasa tuoneshe yesu na issa umepotea njia kabisa
@frankmpembu Жыл бұрын
@@cabylake2320 Isa siyo Yesu hao ni wawili tofauti, ata waliowazaa ni tofauti kabisa. Maryam aliyemzaa Isa siyo Maryam aliye mzaa Yesu. Maryam aliye mzaa Isa kwa mujibu wa Qur'an alikuwa ni dada wa Haruni yani pia alikuwa ni dada wa nabii Musa. Sasa piga mahesabu kutoka enzi za akina Haruni na Nabii Musa hadi anakuja kuzaliwa huyo Isa, ni miaka mingapi ilipita, Yani huyo Maryam alimzaa Isa akiwa na miaka mingapi?. Ni uongo wawazi kabisa, Kwasababu, Yesu anazaliwa Musa, Haruni pamoja na dada yao walikuwa wamekwisha kufa.
@@cabylake2320 makafiri ni makafiri tu ata🤣🤣🤣🤣. Ata mukiambiwa ukweli kwa ushahidi wa maandiko mutapinga Kwasababu nyinyi ni Makafiri yaaani wapingaji wa kweli ya Mungu. Mimi Biblia naijua vizuri na Qur'an nimeisoma na naijua vizuri kushinda huyo kafiri mwenzio sule
@cabylake2320 Жыл бұрын
@@frankmpembu Allah akbar Allah akbar Allah akbar mungu akuongeze uwe Muslim inshallah
@fredybaltazaly5712 Жыл бұрын
Historia y Yesu ipo kwenye biblia
@amirmwango2757 Жыл бұрын
Shekh toa somo makafil waache aje wajute kesho mulkiama
@frankmpembu Жыл бұрын
@@amirmwango2757 Nyinyi Ndiyo Makafiri
@frankmpembu Жыл бұрын
@@amirmwango2757 Nyinyi Ndiyo Makafiri
@mwajumaseifu216 Жыл бұрын
@@frankmpembu ata siku ya kufa utakataa kutolewa roho wewe
@frankmpembu Жыл бұрын
@@mwajumaseifu216 Historia ya Yesu , Maisha yake, nchi aliyoishi, kusurubiwa, kuzikwa kufufuka kwake na kupaa kwake mbinguni unazikuta ndani ya Biblia na siyo Qur'an. Nenda kasome, kama Mimi muongo, nionyeshe, nchi na mitaa aliyoishi Yesu, hukuti ndani ya Qur'an zipo ndani ya Biblia. Na injili yake ipo ndani ya Biblia
@dorcaskarago2876 Жыл бұрын
Preach the gospel 🙌 🙏
@Jaydenkulali Жыл бұрын
Saint Anne and her husband Joachim was the maternal grand parents of Jesus. Wacheni uongo!!
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Wewe Sulle, endelea na Uislamu wako! Uwongo ni uwongo tu! Kwa hiyo ili ujue kuruwani lazima usome kwanza Biblia😂😂😂😂 Karibuni "Morning Glory"
@Onlyforfun1992tube Жыл бұрын
Mbona wakristo mnaponda wenzenu muje na point
@nassorsharifu983711 ай бұрын
wakristo tulieni dawa iwaingie
@obedi84 Жыл бұрын
Basi shekh sisi ndugu😂😂😂
@frankmpembu Жыл бұрын
Qur'an ndiyo kitabu pekee ambacho kimeandika uongo kuhusu Yesu, Qur'an ndiyo kitabu ambacho hakimuelewi na hakimjui Yesu kuliko kitabu chochote. Biblia ndiyo kitabu kinachomuelewa Yesu kwa usahihi wote kuliko kitabu chochote.
@eiddykenga5816 Жыл бұрын
Quran ndio nuru ya ulimwengu,
@nassorsharifu983711 ай бұрын
Quran imekuja kufichuwa yaliyofichwa na kubadilishwa
@emanuelmkumbe2082 жыл бұрын
Mashalla
@solomonkahuta5154 Жыл бұрын
Asante Dr. Umenielimisha vizuri sana Yale niliyo kuwa siyajui. MUNGU akubariiki hasa kujua kuwa Qur'an Tukufu nayo inathibitisha kuwa Mariam alipata mimba kwa neno la MUNGU.
@boaztanui-in7ee Жыл бұрын
1samwel1:1-10
@charlesmgonja8689 Жыл бұрын
Dr mbona hesabu rahisi hii inakushinda?toka MUSA bin Imran mpaka Yesu ni takrinani Miaka 400.Huoni kwamba Quran Yako imepotosha kuhusu kizazi Cha Yesu?
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Hubirini Quran tuielewe. Yesu na Ukristu hamuuwezi Kwa namna Yeyote Ile. Ukristu ulishatanda Kila Mahalia ndiyo maana haujibu lolote
@mwajumaseifu216 Жыл бұрын
Atuiwez kwa sababu wengi wenu mnasoma agano jipya hila ukisoma agano la kale ndo utaelewa kinachoongelewa
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Hakuna cha kuwaeleweshea makafir baada ya kur'an ispokuwa ni Jahannam
@danielerio56152 жыл бұрын
Qurani imekopi kwenye bibilia wakaweka maneno yao Ili maamuma waiamini
@ambarnelly63042 жыл бұрын
Ee ndo mana biblia haija sema yesu ni mungu na kurani pia ndo kopi wenyewe izo
@shabandamas17592 жыл бұрын
Thibitisha
@cabylake2320 Жыл бұрын
Ww akili ipo au
@saidiissa4673 Жыл бұрын
Hata wakrisito wamekopi torati
@cabylake2320 Жыл бұрын
@@saidiissa4673 kwel kabisa wakristo wote wamepotea mungu awaongoze kabisa
@rbagha52802 жыл бұрын
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven. Peace! Ray from Canada
@khalidhaminadia1741 Жыл бұрын
Masha Allah, your words have wisdom. May God blessed you.
@huseinmwandwani1909 Жыл бұрын
Kuran inakubaliana na Biblia na si Biblia kukubaliana na kuran
@frankmpembu Жыл бұрын
Qur'an haikubaliani na Biblia. Qur'an imekuja kupinga ukweli wa Biblia maana Biblia na ukweli wake ilitangulia kabla ya Qur'an Qur'an 16:125 (Baruani) FAFANUZI YAKE INASEMA; "Na jadiliana na watu wa Dini zilizotangulia, katika watu wa Biblia yaani Mayahudi na Wakristo.
@boaztanui-in7ee Жыл бұрын
Hanah si mamake marim mama wa Yesu lakini ni mama ya samweli nabi kitabu ya samweli wa kwanza11:1
@hamisahtuman5595 Жыл бұрын
Kama bibilia ndio ilio tangulia mbele Qulan bac itakua imekop
@anordlazarolazaro8445 Жыл бұрын
Kwa upotoshaji upovizurisana na unavyo zungumza kwa utalatibu kama unaongea yakweli badilika uongee ukweli
@@alhajikipingu-pb5ec Mimi siyo Biblia tu, mpaka Qur'an naisoma.
@mudighurayra Жыл бұрын
@@frankmpembu we unasoma Qur'an or tafsir ya Qur'an maana guwez kusoma Qur'an kama hatuja kusomesha
@eliudnguge9013 Жыл бұрын
swali langu ni kwamba kwanini isa katoka ukoo wa imrani na yesu katoka ukoo wa ibrahim ?
@nassorsharifu983711 ай бұрын
wakristo mnapata shida sana. kitu msichokijuwa watu wanadikiliza mafundisho kutoka kwa wachungaji na kutoka kwa walimu wa kiislamu, wanakwenda kufanya reference nani anasema kweli ndio mana unaona wachungaji ka Mwaipopo, ex pastor Ibrahim, Salim daawah, Yussuf Estate, Joshua Evans......., hao ni wachache tu kati ya wengi
@sawdaasawdaa79033 жыл бұрын
Sahihi kitabo ni quor an vingine vimecezewa
@frankmpembu Жыл бұрын
Qur'an ndiyo imechezewa
@frankmpembu Жыл бұрын
Wewe jamaa acha uongo Luka 5:6 haijasema Mariamu na Yusufu walienda kuhesabu sensa😂😂. Luka 5:6 inasema hivi 6 Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; Wapi apo imesema walienda kufanya sensa😂
@Jaydenkulali Жыл бұрын
Quran ndiyo inayokubaliana na bibilia, na si vinginevyo! Quran na uislamu ni mambo mageni ya juzi
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Yaaan kiufupi bila kupindisha, Yesu ni habari nyingine ....km uko na akili timamu ushajua nani sahihi wa kumfuata....
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Someni injr yesu alileta injr sio bible😅😅😅
@petromachanga55382 жыл бұрын
Uongoooooo Issa nikafiri Kama waislam
@ambarnelly63042 жыл бұрын
Mh naona kipovu ndugu pole sana
@petromachanga55382 жыл бұрын
@@ambarnelly6304 Hahaaaaaaaa isa sioyesu
@ambarnelly63042 жыл бұрын
@@petromachanga5538 kwani isa ni nani na yesu ni nani
@omarysendaro40092 жыл бұрын
Tatizo husomi bible, soma sio kubeba kitabu soma utajua na utaelewa bible imeingizia maneno ya Paul na mambo ya warumi na mengineyo. Mfano
@frankmpembu Жыл бұрын
@@ambarnelly6304 Isa siyo Yesu na Yesu siyo Isa hao ni wawili tofauti kabisa Ata waliowazaa ni wawili tofauti, Maryam aliyemzaa Isa siyo Maryam aliye mzaa Yesu. Maryam aliye mzaa Isa kwa mujibu wa Qur'an alikuwa ni dada wa Haruni yani pia alikuwa ni dada wa nabii Musa. Sasa piga mahesabu kutoka enzi za akina Haruni na Nabii Musa hadi anakuja kuzaliwa huyo Isa, ni miaka mingapi ilipita, Yani huyo Maryam alimzaa Isa akiwa na miaka mingapi?. Ni uongo wawazi kabisa, Kwasababu, Yesu anazaliwa Musa, Haruni pamoja na dada yao walikuwa wamekwisha kufa. Yesu alizaliwa ndani ya zizi la Ngo'mbe, Isa alizaliwa chini ya mtende. Yesu anasema yeye ni Mwana wa Mungu Yohana 9:35-37 Isa anasema yeye siyo Mwana wa Mungu.
@frankmpembu Жыл бұрын
Na hiyo Luka 1:35 hukumaliza hadi mwisho ili kudanganya😂😂. Andiko linamaliza kwa Malika kusema hivi; hicho kitakachozaliwa kitaitwa MWANA WA MUNGU. Apo mbona hukumaliza😁. Luka 1:35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, MWANA WA MUNGU.
@danielerio56152 жыл бұрын
Unajitahidi sana kulinganisha vitabu lakini bado haitoshi bibilia ilitangilia hiyo mohamadi aliisoma akaandika yakwake iliaweke upinzani
@ambarnelly63042 жыл бұрын
Iyo biblia kashushiwa nabii gani ata iwe zaman
@housnatsaid17252 жыл бұрын
J'aime bien écoute ça wallah ❤️
@danielerio5615 Жыл бұрын
@@ambarnelly6304 ijue kwanza maana ya bibilia Kama hujui nikufundishe
@frankmpembu Жыл бұрын
@@ambarnelly6304 Biblia walipewa Manabii siyo nabii. Na mungu wako anakubali Biblia ni kitabu cha Mungu Qur'an 29:47 (Baruani) "Na namna hivi tumekuteremshia kitabu cha Qur'an. Basi wale tuliowpa kitabu cha Biblia wataiamini Qur'an,
@ybnhiija5888 Жыл бұрын
Katika miujiza ya Muhammad ni kua hajui kusoma na kuandika Sasa kabla hujatoa iyo hoja Jua hivo
@frankmpembu Жыл бұрын
Yesu alizaliwa ndani narudia tena Ndani ya zizi la Ngo'mbe siyo pwani au beach, acheni uongo Waislamu 😂😂😂
@mudighurayra Жыл бұрын
Mwana wa Mungu anazaliwa kwenye mavi ya ngo'mbe dah atar hii
@eliudnguge9013 Жыл бұрын
isa siyo yesu kama mariam ni dada wa haruni je ? yesu kazaliwa wakati wa torati?
@nuurul-anwar1901 Жыл бұрын
mimi swali langu lipo hivi, tumeambiwa katika qurani kwamba" hawakumuua wala hawakumsulubu, lakini walifananishwa (yaani mmoja kati ya wale waliokuwa wakimfukuza alifananishwa na Nabii ISSA ) nae nabii issa, ( mmoja kati ya waliokuwa wakimfukuza alipotoka mlango mwengine baada ya Issa kupaishwa mbinguni, yule aliefanana alipotoka tu wakamkamata na kumsulubu, wakijua ndie Yesu, sasa aliesulubiwa ndio yesu, lakini aliepaishwa mbinguni ndio Issa. ndio aliesulubiwa ni yesu lakini issa hakusulubiwa. je ni sawa?
@boaztanui-in7ee Жыл бұрын
Yesu ndiye ali sulubiswa Tomaso ali tipitisha kwa kuingisha vidole kwa maali mushumari na ukuki ilidunga
@boaztanui-in7ee Жыл бұрын
kitabu cha Yohana injili23:24
@boaztanui-in7ee Жыл бұрын
injili ya Yohana20:24
@hawaabdallah8216 Жыл бұрын
Na wewe uko sahihi vizurj sana
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Usiwe mbumbumbu hakuna Issa na Yesu hiyo ni mtu mmoja na haiingi akilini kuwa watu wawili wafanane maisha yao familia zao kiasi hicho
@California9451 Жыл бұрын
Ningepata Namba yako wewe ungekoma Na maswali Ila ni kwamba YESU sio Issa maana issa hakubatizwa Issa hakusutubiwa Issa haijulikani kazaliwa wapi Ila ni mashaliki mwa msikiti chini ya shina la mtende, Yesu kazaliwa Bethlehem ya Uyahudi Israel Muongo Mkubwa Wewe Achana Na Yesu we tengeneza majini uza tu
@mudhihirugara8845 Жыл бұрын
Acha kibri naumalaya piya wahudumie wakezako nawatotowako dininivitendo siyomaneno hataubayi ibnisaruli alikuwa kama wewe anamanenomazuri alipoambiwanimnafiki ndowatukujuwa shehe achakibiri
@cabylake2320 Жыл бұрын
Inalillah wainailahi rajiun mung akuongeze
@raphaelkatanga5335 Жыл бұрын
Liongolikubwa
@ernestthomas9689 Жыл бұрын
Huyu anataka kuwa kama Hamza ee, nabii Eliyasa.. nahis unataka tembea na upepo wa Hamza
@frankmpembu Жыл бұрын
Pale Israeli hakukua na msikiti kulikua na Hekalu 😂😂😂. Hekalu siyo msikiti 😂😂😂
@josephbundala823811 ай бұрын
We jamaa ni mpotoshaji mkubwa na USIPOBADILISHA misimamo wako kuhusu mafundisho yako utakwenda motoni
@RodgersMae Жыл бұрын
Ww umerogwa na alie kuroga kafa kwanza Yesu hakumuita Maryam mama yangu isipokuw ukisoma bibilia ya kiswahili utapata mahali Yesu akimuita Maryam mama kw mujibu wa kiswahili mwanamke yeyote unaeza muita mama kiheshima lakin ukisoma hio verse in English ina sema woman hebu soma Yohana17:5 halafu unijibu kabla ya ulimwengu kuweko yeye yuko halafu huo ukoo unao utaja ulitangulia kabla ya Adam? Mkristo jina utamdanganya bt a really Christian atakuona juha bunga lolo pole mzee akili zako hazina uwezo wa kuelewa endelea kupiga domo babaa😂😂😂
@nassorsharifu983711 ай бұрын
hulazimishwi kukubali. unadhani unaisoma peke yako hiyo biblia.
@RodgersMae11 ай бұрын
@@nassorsharifu9837 mm nazaliwa bibilia inasomwa hata ww pia unaisoma swali n Je unasoma inavyo stahili? Kwanza usinitoe kw mada nipe jibu la hapo Yohana17:5 km umeshindwa useme Elimu hamuna ninyi tutawafundisha mpaka lini?
@frankmpembu Жыл бұрын
Sulle acha uongo 😂😂. Bethlehem alipozaliwa Yesu, Suleiman hakujenga hekalu, Hekalu lilikuwa lomejengwa katika mji wa Jerusalem 😂.
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Koran ni uongo wa Shetani
@hamimuathumanihamimaathumani Жыл бұрын
huna jipya ww
@aminaomary4834 Жыл бұрын
Inalilaah wainalilahi lajuuni
@paulduke6712 Жыл бұрын
Yesu ya bibila ni mokozi ya ulimunigu ya Qurani siomokzi muogo wewe shek
@frankmpembu Жыл бұрын
Kafiri sule acha uongo, kwa mujibu wa Qur'an Isa alizaliwa kwa NENO Qur'an 3:45 lakini Yesu kwa ROHO MTAKATIFU Luka 1:35. NENO na ROHO MTAKATIFU hao ni wawili tofauti kafiri wewe acha uongo 😂
@swahilimagnet Жыл бұрын
Ukweli ni mmoja tu. Hakuna tumaini lolote la maisha nje ya Kristo. Mtumishi kasona luka 1:26 na kuendelea. Yesu ni Mwana wa aliye juu. Aliye juu ni nani? Je Sio Mungu? Kwahiyo Yesu ni Mwana wa pekee wa Mungu, full stop. Simple logic
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Ukweli kutafuta mwamendi Dani ya bilia ni Kama kutafuta guruwe kwa musikiti wacha kuzafua bilia die Nuru ya ulimwengu wewe ni munafiki unaosa kikombe hinje na Dani kina uchafu
@frankmpembu Жыл бұрын
Wewe kafiri acha uongo 🤣🤣🤣. Yesu siyo Isa na Isa siyo Yesu, hao ni wawili tofauti kabisa. Maryam aliyemzaa Isa siyo Maryam aliye mzaa Yesu. Maryam aliye mzaa Isa kwa mujibu wa Qur'an alikuwa ni dada wa Haruni yani pia alikuwa ni dada wa nabii Musa. Sasa piga mahesabu kutoka enzi za akina Haruni na Nabii Musa hadi anakuja kuzaliwa huyo Isa, ni miaka mingapi ilipita, Yani huyo Maryam alimzaa Isa akiwa na miaka mingapi?. Ni uongo wawazi kabisa, Kwasababu, Yesu anazaliwa Musa, Haruni pamoja na dada yao walikuwa wamekwisha kufa. Yesu alizaliwa ndani ya zizi la kulia Ngo'mbe na Isa alizaliwa chini ya mtende. Yesu anasema yeye ni Mwana wa Mungu na Isa siyo Mwana wa Mungu. Yesu alibatizwa na anataka watu wabatizwe, Lakini Isa hakubatizwa.
@@ababukarlinus9355 Wewe kafiri nenda kasome, ukweli upi, wewe unaukwei wewe. Hilo tabu lenu lililotungwa na akina Waraka ndiyo ukweli
@Jaydenkulali Жыл бұрын
Waislamu mwache kupanda mbegu ya fitna na uongo kuhusu Bwana Yesu! Heli is listed as the father of Joseph, the husband of Mary, and the son of Matthat. Hēlì, Eli in the New American Standard Bible) is an individual mentioned in the Gospel of Luke as the grandfather of Jesus. In Luke's genealogy of Jesus, Heli is listed as the father of Joseph, the husband of Mary, and the son of Matthat (Greek: μαθθατ). genealogy of Jesus goes back to the house of David & that’s why he was called: Jesus son of David. In the book of Luke 18:38-41 & Mark. 10. [47] talks about Bartimaeus: “And when he heard that it was Jesus of Nazareth, he began to cry out, and say, Jesus, thou Son of David, have mercy on me. [48] And many charged him that he should hold his peace: but he cried the more a great deal, Thou Son of David, have mercy on me” chungeni sana msilete ugomvi Prophet Muhammad baptized satan! Remember that
@isaackmlayy6228 Жыл бұрын
Acha uongo Quran ilikuta torati enjili zaburi huyu yesu wenu yesu wa Bible alizaliwa kwenye zizi la n'gombe huyu wenu kuzaliwa chini ya mtu
@aminaissa3721 Жыл бұрын
Soma bibilia ielewe acha kisomewa kanisani
@norbertnyagawa2407 Жыл бұрын
Yesu ni bwana na mwokozi wa ulimwengu
@saidiissa4673 Жыл бұрын
Hata injili ilikuta torati na zaburi
@danielerio5615 Жыл бұрын
Kwenye zizi na kwenye mti hao ni watu wawili
@frankmpembu Жыл бұрын
@@danielerio5615 Waongezee na hii. Maryam aliyemzaa Isa siyo Maryam aliye mzaa Yesu. Maryam aliye mzaa Isa kwa mujibu wa Qur'an alikuwa ni dada wa Haruni yani pia alikuwa ni dada wa nabii Musa. Sasa piga mahesabu kutoka enzi za akina Haruni na Nabii Musa hadi anakuja kuzaliwa huyo Isa, ni miaka mingapi ilipita, Yani huyo Maryam alimzaa Isa akiwa na miaka mingapi?. Ni uongo wawazi kabisa, Kwasababu, Yesu anazaliwa Musa, Haruni pamoja na dada yao walikuwa wamekwisha kufa. Yesu anasema yeye ni Mwana wa Mungu Yohana 9:35-37, Isa siyo Mwana wa Mungu.
@paulshija7632 Жыл бұрын
Ila mnatapata kweli, mnajaribu kutafuta uhalali wa muhamadi lakin wapi, Issa sio Yesu na Yesu sio Issa umesoma Luka 1: 26 na kuendelea lakini hujamalizia mpaka mwisho tuone Cheo cha Yesu ni kipi, ukisoma hiyo hiyo Luka 1:35 inasema "35. Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwasababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu." kwahiyo unaona Yesu ni Mtakatifu lakini pia ni Mwana wa Mungu, huyu sule amedandia Treni kwa mbele hakuna kitu alichoeleza humo zaidi ya porojo tu, ukweli ni kwamba muhamad alihadithiwa na yeye akajitungia vitu na kuongezea uongo.
@aminaissa3721 Жыл бұрын
Mama na baba mzaa Mariam mamake yesu kwa bible ni nani? Utaelewaje mtu na hata background yake hujui? Funguka macho bado mapema
@paulshija7632 Жыл бұрын
@@aminaissa3721 Hiyo ni Background ya kutunga, hakuna ukweli wowote juu ya hilo, kama unataka kujua Historia ya Yesu kasome Biblia, kasome Kitabu cha Mathayo utapata Mwanga
@aminaissa3721 Жыл бұрын
@@paulshija7632 aah, na kitakatifu chenyewe kikauawa na shetani, juu asingemuingia yuda basi hangewahi kamatwa na hangesulubishwa, wokovu wa wakristo chanzo ni shetani kwa lumuingia yuda. Kama kweli yesu ni mwana wa Mungu alifundisha watu ombeni nanyi mtapewa mbona yeye aombe kama kielelezo kikombe kimuepuke ila shetani akafanikiwa? Ina maana kikristo shetani ana nguvu kumshinda Mungu wa wakristo
@frankmpembu Жыл бұрын
@@aminaissa3721 Yote Yesu kuomba kikombe kimuepuke alikuwa anatufundisha tuwapo kwenye shida tumtegemee Mungu. Shetani kumwingia Yuda ili amsaliti Yesu, ulikuwa ni ujanja wa shetani ionekane yeye ndiye aliyepelekea Yesu asurubiwe kumbe ni uongo. Kusurubiwa kwa Yesu ulikuwa ni mpango wa Mungu kuukomboa ulimwengu.
@frankmpembu Жыл бұрын
Safi sana Shija kwa kumuumbua huyu kafiri kwa kupotosha kweli ya Mungu