Hii ibada ilikuwa ukombozi mkubwa kwangu hamshukuru Mungu sana kwaajili yako mtumishi❤
@HappyKisoti4 ай бұрын
Nimempenda Mungu wako sana Sanaa Mungu akutunze Dr
@DesderiaManfredy4 ай бұрын
AMEN AMEN MWAKA HUU NAPATA AJIRA YANGU KWA JINA LA YESU NA USHUHUDA WANGU UTAKUWA HAPA TENA
@min.tindasjoshua76844 ай бұрын
Though I walk through the valley of the shadow of death I shall fear no evil.....Glory be to God for your Recovery Dr.,,,,,The Word must spread,, through Worship.....Tuned from Kenya
@AliceWaithira-c2w3 ай бұрын
I connect the grace me and my family and my country Kenya Amen. Thank you king 👑 Jesus for saving Dr ipyana through your grace
@IdaDeusy4 ай бұрын
Mungu nimkubwa sana
@kathithecharo86064 ай бұрын
acha nicomment kwa uzuri...Yesu akafanya akarudi akiwa handsome kana kwamba hakuna ajali iliyompata...aaaaah,Mungu Huyu.God shows up for you and shows you off,Like,look at My son...we glorify You Jesus for this beautiful miracle.
@roselaisser18793 ай бұрын
Glory to God .
@SuperNERESH3 ай бұрын
Ashukuriwe Mungu mlinzi wetu mkuu.... hallelujah
@wilfredjohn48294 ай бұрын
Mungu tunakushukuru na kukupenda kwa ajili ya ukuu wako kwa mtumishi wako Dr. Ipyana, Hakika Wewe Ni Mungu
@BenadethDagharo4 ай бұрын
Wooh! Nasikia amani kukuona tena ukiwa mzima Mungu ni mwema nafurahi kupita kiasi
@emiliawairimu62374 ай бұрын
Na Tuwache Mungu Aitwe Mungu, Hakuna Wakulinganisha Na Huyu Mungu Wetu.
@MichaelMishita-d5k4 ай бұрын
MUNGU aingilie kati kwenye jambo Langu Atakamilisha God bless you Dr Ipyana
@catherineurio68464 ай бұрын
Glory to God ashurukuriwe Mungu kwa kukulinda kwa ajili ya Utukufu wa Jina lake
@subymzule70944 ай бұрын
Mungu ni mwema Sana no vema kukaa nyuani mwa beans siku zote huo ni wema was Bwana
@PurityKerema4 ай бұрын
thank God that He has healed u nd is keeping u strong,more grace for u Dr,u are God's vessel
@beatricenyiro59134 ай бұрын
Glory be to God be blessed man of God
@maryann24634 ай бұрын
More anointing more grace
@RoineRakoi4 ай бұрын
BWANA Ni Mwema Sana ni Mungu pekee amekuokowa katika hili Haijawa rahizi sana
@joanmillanoi48584 ай бұрын
May God preserve you sir 🙏 may he keep you safe in Jesus name 🙏🙌
@lydiamulu11044 ай бұрын
Am touched by the testimony of his servant Dr Ipyana Scripture were revealed in his live
@hedwickpeter4 ай бұрын
Dr tunashukuru Mungu kwa uhai na uponyaji aliokupa.
@NATHALIANPASCHAL4 ай бұрын
Nampenda Mungu sana kweli hatuwezi elezea matendo yake ni makuu sana
@VerianLenjila4 ай бұрын
Jamani MUNGU ni mzuri!!Utukuzwe YESU!!
@masetojoseph88334 ай бұрын
Powerful mass
@germainebindu10974 ай бұрын
Mungu asifiwe sana mchungajî muzuri. Tukiwa nawe hatuta aibika. Asante kwakumponya mtumishi wako
@RehemaGoodluck-t4i4 ай бұрын
Mungu Azidi kukuhifadhi🙏 Naomba Sana Mungu anipe kibali nionane na wewe live hata kwa mbali...Kuna kitu nitapokea toka kwako...Barikiwa Sana Doctor Ipyana.
@nanyoriemmanuel39464 ай бұрын
Yesu usifiwe, wewe ni mkuu sana , matendo yako ni ya ajabu
@wilfredmuendo68434 ай бұрын
My mentor
@wivinaaudax63643 ай бұрын
God is so good to us
@nanyoriemmanuel39464 ай бұрын
Yesu achilia wokovu kwenye familia yetu🙏🙏🙏
@leticialubala97214 ай бұрын
Mungu ni sababu ya wewe kuishi.
@jamesmuriithi92544 ай бұрын
Ashukuriwe Maulana kwa kumwokoa na kumponya daktari Ipyana. Sifa zote zikurudie E Bwana.
@GraciousPastor4 ай бұрын
Mungu ni Mwema
@denisbongore30984 ай бұрын
Sikuachi ata kidogo mungu
@EuniceAnyangu4 ай бұрын
Mungu azidi kukujaza na nguvu mtumishi wa Mungu
@bettykasambala43464 ай бұрын
Thank you Lord Jesus! I stand in awe of you!
@MaryNyakeru-x8k4 ай бұрын
Glory to God
@evelyneirakoze90654 ай бұрын
Kwa kweli Mungu ni mwema sana🙌🙏👏😢
@OlipaFredy-ic5om4 ай бұрын
Jina la BWANA YESU libarikiwe 🙌🙌
@GraceNoah-u7r4 ай бұрын
Amina Mungu azidi tukuzwa
@RhodaHidicky4 ай бұрын
Hakika mungu ni mkuu juu ya maisha yetu🙏🙏
@Gladys-hn5ut4 ай бұрын
Kwa kweli matendo ya MUNGU ni ya kutisha.
@consolatagwakisa4 ай бұрын
Glory to god always 🙏🙏🙏🙏
@deborahfaustine15014 ай бұрын
Utukufu hadi utukufu...
@thevoiceofdestiny82624 ай бұрын
Glory to the living God hallelujah 🙌
@SamooMongoo-gt9ll4 ай бұрын
Glory to God 🙌🙌
@josephinemuhonja7434 ай бұрын
Glory to God in the Highest
@IsraelStanley.4 ай бұрын
Hakika utukufu ni kwa MUNGU pekee atuwaziaye mema🙏
@veronicalugendo91044 ай бұрын
Glory to God🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@JohnAbraham-zu5qj4 ай бұрын
KWELI, MUNGU, ametenda
@CADOSADON4 ай бұрын
He is GOD
@petertheworshipper10904 ай бұрын
Utukufu kwa mungu
@lydiakimani15334 ай бұрын
Psalm 91 manifested in you
@maryjacob67094 ай бұрын
Hakika tumemuona Mungu kupitia hii grand ibada
@StephenNdegwa-mb7qw4 ай бұрын
God is faithful to his servant, what the devil plan for u God has turned arround
@neemamazimba68054 ай бұрын
MUNGU atukuzwe kwa matendo yake makuu maishqni mwetu..
@roselaisser18793 ай бұрын
Yesu Ni Bwana indeed ni Bwana jamani.
@kulindwakasubi16494 ай бұрын
ZAB. 92 : 12 - 15 = Mwenye haki atasitawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watasitawi katika nyua za MUNGU wetu. Watazaa matunda HADI WAKATI WA UZEE (ikawe hivyo kwako!) Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi. Watangaze ya kuwa BWANA ni mwenye adili. Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.
@kulindwakasubi16494 ай бұрын
Sina maneno mazuri ya kumshukuru MUNGU kwa ajili yako na huduma kubwa aliyoweka ndani yako! Huu ni uthibitisho wa MUNGU kwako Dr. Ipyana! > > ZAB. 92 : 12 - 15