Natumai Dkt. ataona hili...aaah,jana mimi naskiza nyimbo zake kisha jana usiku kwenye let mercy speak,i listened kidogo ikikatika katika na because of the time difference ya huku niliko na Tanzania,i slept off.Then i had a dream i was somewhere dusty and there was prayers with Daktari,heheee...he prayed for me,i turned to one side,like what i had ilikuwa inakataa kutoka kisha nikageuka upande mwingine aliponiombea,and i found rest.maanake nilipumua nikawa na urahisi.Ameeeeeeeen!!! I glorify God,it was about my marriage.I receive my freedom with thanksgiving.May God keep you sir,for this generation!!
@pastorkabelegeofficial82044 ай бұрын
We need this kind of worship service
@natrinemweha86254 ай бұрын
Nahitaji hii neema, Dr. Ipyana sitted in the Altar ni ushindi tosha..To God be the glory.
@RachelNgalya4 ай бұрын
Jaman Nawezaje kunyamaza ibada ilikuwa nzuri sana tuliokuwepo online tumebarikiwa sana,,, sifa na utukufu narudisha katika kiti chake Cha Enzi ❤❤❤Niseme Nini siwezi kueleza ni Mengi MUNGU ametenda kwangu Namshukuru sana sana,,, Mungu Ahsante kwa Ndoa uliyonipa nje ya nchi,,, Nashukuru hata kwa ibada za online Jehovah,, Ahsante ata kwa Dr Ipyana kwa nyimbo zake,,, shuhuda zake zinatuinua na kututia nguvu Nawezaje kunyamaza Glory to God 👏👏👏
@tumainimollel34994 ай бұрын
Oooh hallelujah 😭😭My good God ibada hii ilikua very powerful ❤nimebarkiwa sana I feel crying all the time Ooh God nawezaje kunyamaza Bwana YESU umetenda makuu mnooo Be blessed so much mtumishi wa MUNGU Dr ipyana natamani siku moja ufike Zanzibar pia😢God is good Glory to God 🙏🙏🙏❤️🙌🙌
@gracemasanja20404 ай бұрын
So powerful worship service, am blessed🙏🔥
@emmanuelhumph28744 ай бұрын
You are the Prophetic psalmist to the nations carrying Revival anointing may God keep you and your family safe! BLESSINGS
@AlfredYusto-sc8yvАй бұрын
Daaaah My God My GOD I need you in My Whole Life, JESUS CHRIST 😭😭😭🔥🔥🙇🙇🙇🕊️🕊️
@JacquelineMetili4 ай бұрын
Sijawahi weka bila wewe Yesuuuuuu
@mabelkyobe45744 ай бұрын
Yani ilikuwa owesome , sijawai weza bila yesu kweli.
@joelnziku70244 ай бұрын
Neema ya Mungu🙌🙌🙌🙌🙌
@bujagajeremiah43084 ай бұрын
Hii Ibada nimebarikiwa sana Leo, Mungu akubariki Dr.
@joanairo4 ай бұрын
Wow, this is so powerful ❤️🔥 ❤️🔥 God bless you so much sir @Dr.Ipyana.
@GiannaEgidius4 ай бұрын
Dr. Mungu. azidi kukubariki ibada ya leo was 🔥🔥am blessed
@mizeropaccy22314 ай бұрын
Bless you DR l pyana ,when you sing I feell like tears of deliverance. Come again in Rwanda .
@henryjoseph35124 ай бұрын
Na sisi wazanzibar tumepokea neema ilowekwa juu Yako neema ya kupenda ibada
@witnesskarume4 ай бұрын
I would like to know the song that Dr.Ipyana sung with the Remnants,saying" Ameshinda Mauti" during the first session 🙏🙏🙏🙏🙏
@kalebmwanzalila76164 ай бұрын
Mungu nimejikuta nguvu zako zinanishukia ktk biashara machozi ya ibada na wateja hawajui nini kimenipata,najisikia ibada ya kukusifu na kukuabudu
@EdinathaKokubanza4 ай бұрын
Bwana ndio muweza yayote nawezaje kunyamaza
@MaryBosibori-iw1yo4 ай бұрын
Sijui niseme nini na feel kubarikiwa sana hakika mungu amefanya 🙌🙌🙌🙌💃💃
@PetroMbugi4 ай бұрын
Jamani MUNGU awabariki mtukumbuke iringa vitu kama hivi
@neemaenock95954 ай бұрын
Tumebarikiwaaaa
@godfreykuclar19203 ай бұрын
Hallelujah 🎉
@annaciakimambo3784 ай бұрын
The prayers were so powerful ❤❤
@beverlynewere73634 ай бұрын
Very powerful, be blessed 🙏🙏
@MaryBosibori-iw1yo4 ай бұрын
Thank you so much man of God I'm so blessed for this worship I know God is going to make a way for me I believe I'm going to received a Miller true this fellowship🙏🙏🙏🙏