Рет қаралды 3,758
#dripyana dripyana #MARCHEDITION #myaccessisgranted
Bwana YESU Asifiwe sana,
Tunambariki MUNGU kwa ajili yenu wote mliojiunga nasi kwenye Ibada hii. Karibuni sana.
Praise the name of Our Lord JESUS CHRIST, We bless GOD for everyone who is joining us today. You are Warmly Welcome and Many thanks.
Number ya Testimonies
(Fruits of the month)
Kutuma shuhuda za matunda ya mwezi, Mambo MUNGU amekutendea. Tafadhali TUANDIKIE MESSAGE AU WhatsApp kwenye namba hii +255754637055
To send in tour fruits of the month (Testimonies), to testify of all the wonderful and marvellous acts of GOD in your life. Please write us a message or WhatsApp VIA this number +255754637055
Kuwa Partner
Kuwa Partner wa huduma ya Grand Ibada, ungependa kuiungamanisha na yale MUNGU anayofanya kwenye hii huduma, tafadhali tuma ujumbe, ukijitambulisha jina lako, na kutamka namna gani ungependa kuwa partner wa Huduma.
Tafadhali tuandikie message au WhatsApp kwenye namba hii +255754637055
To Partner with GOD what HE is doing via this Grand Ibada Ministry, Kindly SEND us a text, introducing yourself and stating how you would love to partner with the Ministry. Kindly write us a text or WhatsApp on this number +255754637055
SADAKA
Namba zetu za sadaka ni;
CRDB BANK: 0152294745700
IPYANA PETER KIBONA
Swift Code: CORUTZTZ
Mpesa/Terra/Wave/NALA
+255754637055
IPYANA PETER KIBONA
MPESA LIPA NAMBA
5004625
GRAND IBADA
Kindly channel your Offerings through,
CRDB BANK: 0152294745700
IPYANA PETER KIBONA
Swift Code: CORUTZTZ
Mpesa/Terra/Wave/NALA
+255754637055
IPYANA PETER KIBONA
MPESA LIPA NAMBA
5004625
GRAND IBADA
JOINING OUR ONLINE EVANGELISM CLASSES
Ukiwa umempokea Bwana YESU Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, tunakushauri utafute kanisa la kiroho lililopo karibu na wewe, kuhudhuria mafundisho yenye kukukuza kiroho.
Pia, kama ungependa kujiunga na madarasa ya kiroho, tunalo Group la Online Evangelism lipo chini ya huduma ya Grand Ibada inayoogozwa na Roho Mtakatifu kupitia Mtumishi wake Dr. Ipyana.
Kwenye group hili tuna program ya mafundisho ya NENO LA MUNGU ambayo yamejikita katika kukukuza kiroho katika kumjua MUNGU ili uwe MKRISTO mwenye nguvu.
Madarasa huwa ni Jumatatu na Jumatano, saa moja mpaka saa mbili usiku kupitia platform ya Google Meetings na Link hutumwa.
Karibuni Sana.
Kujiunga na darasa tuna ujumbe wa message/WhatsApp ukijitambulisha, ukisema nia yako ya kujiunga na darasa, kisha utaungwa kwenye group.
Tuma uumbe kwenye namba +255754637055