Napenda sana unavio tangaza una kipaji kweli kweli yani kama Salumu kikeke ❤
@marieamodoi4097Ай бұрын
mm nipo lodwar nawafuatilia kwa karibu sana
@رقيهالغافري-غ1ذАй бұрын
Mm Niko Oman naota Niko kwetu nawatu wakwetu
@marieamodoi4097Ай бұрын
mimi nimeolewa niliota nyumba yetu imechomeka lakini hakuna alie athirika tulitoka wote salama bt nyumba iliteketea yote
@hadijaismail3619Ай бұрын
Asalaam alykum mume wangu 26 nov 024 kaota yupo km kwa mganga hv,akachukua panga akatoboa miguuni ktk vifundo kila mguu akatoa kitu kireefu,akatoboa ubavu mmoja likatoka dubwana linarukaruka linasema mm ndio juma mmanyema akashtuka kutoka usingizini,naomba tafsir yake
@ZulkamhajiАй бұрын
Du apo kwenye pesa za shiling ndogo naziokota ila sizitumii ila kwenye nyuka manjano mm alikuwa ananifukuza badae akaningia mwili nilishtuka kwa kishindo
@ByamangaamuriАй бұрын
Tuna wapata koka USA
@MidayakubetАй бұрын
Sule sule sule Doctor nimekuita mara tatu Wewe ni fundi wa dua na tiba wewe nikiboko wa mashetani na majini yani mapepo Mimi nimepona kabisa kupitia matibabu yako sioti ndoto za kijinga asee napiga pesa sana mimi na pesa kama sumaku Inshallaah MWENYEZI MUNGU akufanyie wepesi
@khalfanihajiАй бұрын
Video imekata sauti
@bashirmahero7021Ай бұрын
Asalam alaikum brother Mimi nilota yakwamba ety nilifa kuvuka mto ila sikuvuka huo mto maana Kuna wale wanyama waitwa viboko nao wakanifanya sivuka huo mto bali nkalala kando ya huo mto Sasa hao wanyama walikua wanajaribu kunifikia bali hawakunifikia kunila Sasa sheikh wangu naweza jua maana yake?? Pliz sheikh
@thelaoban6236Ай бұрын
Acha uvivu vuka mto na Kazi iendelee sheikh
@fatmam1997Ай бұрын
Sauti imekata
@dodgerwakitaa2658Ай бұрын
mara kadhaa nimeota ndoto nakunya mavi na kuyakumbatia na kuyazuia, pia ikajirudia mambo ya mimavi tu
@AllySelemani-q8iАй бұрын
Hahahaha ww itkuwa ulikuwa umevimbilwa kipolo
@KamiliyaHamisАй бұрын
Ukiota mtu kafa halafu yupo hai iwe mama yako au mtoto wa dada yako maana yake ni nn? Jamani nataka kujua