DU!! NCHI IMEKUWA KAMA CONGO NA RWANDA YA ENZI ZILE, KWA AJILI YA MAANDAMANO MNATOA VYOMBO VIZITO.

  Рет қаралды 1,776

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@MakameAly
@MakameAly 3 күн бұрын
🎉🎉🎉 upo sawa dada ubarikiwe
@EdwardMwasyamula
@EdwardMwasyamula 2 күн бұрын
Mungu atusaidie TANZANIA
@AdamJulius-z5i
@AdamJulius-z5i 4 күн бұрын
Wanawatisha wapinzani ili waendelee kututesa😭😭😭
@SakinaHassan-xc2in
@SakinaHassan-xc2in 4 күн бұрын
Mm naishauri serikali yetu kuwa wawape hawa watu wao hawatafanya masndamano ukiona serikali haioneshi walipo ujue wameua tayari hao sasa wataonesha nini damu zao zitawadhalikisha mwaka huu naipenda sana tanzania ila kwa kuwa mnatenda dhuluma acha mola awahukumu
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 4 күн бұрын
Mmmmm hawa watu ni vijana wa ccm wamefalishwa yunifom za polisi.
@Magufuli.
@Magufuli. 4 күн бұрын
😭🇹🇿😭
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 4 күн бұрын
Mmmmmmmm kazi tunayo
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 күн бұрын
Kama wamewaua watuonyeshe mifupa yao tukazike
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 күн бұрын
Huyu yupo kama mumewe wanapenda kufatilia.selikali nyie fanyeni mambo yenu yakanisa usifatilie serikali mitihani ilikukuta .umeiyona achana na hayo mambo
@JuventusBeller
@JuventusBeller 4 күн бұрын
Du tumefikambalikwer
@SubiranTimo
@SubiranTimo 4 күн бұрын
Mayoooooolllloo tutoleeen wale wale mayoooooo
@DorisFrank-h1p
@DorisFrank-h1p 2 күн бұрын
Ww baada ya kupiga goti uombe toba na Rehema mwa Mungu, unaonyesha picha, unamwonyesha nani, ww km mkristo Mtanzania mama mchungaji unashabikia ili iweje, baada kuingia sirini usimame mahali palipobomoka unafanya usanii, yani ww umeshakuwa msanii mwandishi siku hizi wakuripoti matukio, umeiacha njia ya Bwana, kaa kwy nafasi yako, langoni km mtanzania kuomba toba na rehema sio kufanya show off kwy mitandao ili kutaka umaarufu, km umeishiwa jukumu lako kwa Mungu juu YA TZ FUMBA KINYWA CHAKO, KBU MIONGONI MWA WANAOINUIA HASIRA YA MUNGU JUU YA TZ NA WW UMO, KBU HUWAJIBIKI KWA MUNGU JUU YA NCHI YAKO.
Mt. Kenya React: Gachagwa's Impeachment Plan Sparks Outrage!
14:48
Lissu AONGEA, Video yasambaa DUNIA NZIMA, Nchi Yatikisikaaaaaaaaa!!
9:48
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,3 МЛН
BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA
21:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 14 М.