kunakitu anaongea Dudu baya kina make sense wasanii ni waongo sana wamekuwa marafiki na wauza magari kazi kudanganya
@israelmkaka28073 ай бұрын
Sense Talk
@simonndunguru16293 ай бұрын
Maongezi yake nikuwasema Wenzio.Yeye Sijui anafanyia wapi?
@Aphan-h7h3 ай бұрын
Mama @Dinga'no where are you mama @manager Dingano
@MrAslan473 ай бұрын
mwamba kaitaja sana Burundi
@msowamhokole77143 ай бұрын
Anachekaaaaaa
@Aphan-h7h3 ай бұрын
Mbona huyo @Dinga'no haizungumuzii hii ya konde na amekula za uso
@VitusEmmanuel-pe3yi3 ай бұрын
Konk tatu master nakubal
@Direct-00003 ай бұрын
msanii kulipwa milioni kumi sio tatizo dudu, issue inakuja uyo msanii anaweza leta watu wakaingiza iyo amount na kupata faida ,ili walio andaa warudishe hela zao walizolipa msanii uyo, mziki wetu bado ujashika vizuri kwenye jamii hata club nyimbo za wasanii wetu hazichezwi sana wapo wawili watatu,tunawashuru watu wa radio wameuinua mziki wa ndani, dudu hapo alipo nani atamlipa wakati hana ngoma za maana sasa ivi zilizoshika kwenye jamii na media zote...dudu punguza kuponda
@bimumaulid11713 ай бұрын
Heeee mikono vipeeeee 😳😳😳
@BilaliBilaliamri3 ай бұрын
Sio vipele bana ni matatu angalia
@FARIDIMUSSA-hd1gq3 ай бұрын
😅😅utumbo2 cm hunalolot
@MeenaHassan-fd9vv2 ай бұрын
wewe tunakujua huwezi kusema kitu kizuri kwa mmakonde, wewe ni wcb label ya akina juma lokole 😂😂😂
@BarakaHarrison-l4t3 ай бұрын
Konde kaingiza doo ww unapga domo na kuongea pumba