Brother dudubaya may God bless you umenifundisha vingi japo mi sio msaniii makofi kwako kaka u r genius
@jumahalifa64365 ай бұрын
INAMAANA SEREKALI HAIMUONI HUYU JAMAA IKAMPA KAZI
@mussakiziyzi4084 ай бұрын
Mwamba mda wote anatoka majasho Ata ukimueka kwenye friji anayafuta tuu 😂
@Chrizabizzy15 ай бұрын
Huyu alitakiwa awe mchungaji
@mbukumagiubukumagu4062 ай бұрын
Dk Sule hajakutukana alikupa ushauri. wala hana Chuki na wewe 😅 umtafute mkae private kilichokufanya kutoka
@tigejuma98655 ай бұрын
Huyu jamaa inafaa awe chairman wa bongo flavour uko tz
@monicandengo46804 ай бұрын
Huyu ni Mtumishi wa MUNGU jamani
@bugybuster57884 ай бұрын
Kuumwa kawaida tu kwa mwanaadam
@YohanaPetro-xv9tp5 ай бұрын
Inta Veu ya Chidi benzi Dudubaya Niki mbishi Uwaga Nielimu Tosha Pia Uwaga Sizichoki
@shaabycj75362 ай бұрын
ya youngkiller umeisahau
@MwilikwaNgongo3 ай бұрын
Mimi trana nitakuwa nawewe tu hapatena wajua sasa hunataka Kufo sasa kama hunatafutakifo mwishiwe hutakuta tu
@kalengalukozi92425 ай бұрын
Msema kweli koki
@mpsanga29145 ай бұрын
Mbona anazidi kuchoka kila siku
@user-yq7eg2qs3h5 ай бұрын
Kocha Mkuu mpya
@faradjibitege2565 ай бұрын
Mungu amumujuwo
@ZainabSimith-ey6vm5 ай бұрын
Mmm anaumwa huyu
@Pedeshee015 ай бұрын
Anaumwa anaonekana jamaa hali yake siyo poa,mwili umeondoka sana,dudu baya alikua na mwili haswaa anatakiwa achekiwe afya yake ana matatizo mwenyewe alisema amepata nafuu kiasi kwa sasa.
@MiddeMsisi-pj9wk5 ай бұрын
Ameanza kupona sasa alikua hoi sana kwasasa yupo fiti na huzo interview anafanyia sehemu alipo na inaonekana ni za kumrudisha mdogo mdogo@@Pedeshee01
@Joseph-hi2ov5 ай бұрын
Nakuombea kwa Mora wangu urudi ktk hari yako ya zaman mzee puttin
@cdeleo93365 ай бұрын
@@Pedeshee01I believe pia anaumwa na hospital za tz asiaminiki. Bora aende nje akacheck afya upya
@Pedeshee015 ай бұрын
@cdeleo9336 Nje ni pesa na kwa jinsi maisha yake ya sasa na sanaa yake si kama zamani kwa sasa hana kitu vinginevyo angeshaenda kutibiwa nje
@EsauEmanuel-ns3pl5 ай бұрын
Nakuku bari sana kaka
@fortunatahulilo84115 ай бұрын
Ulusi ma Malekani, Laisi wa Ulusi, Kaleni
@cbhofficial34325 ай бұрын
Dudu baya putin🤙🤙
@badifundi60895 ай бұрын
LAISI WA ULUSI 😂😂😂
@dollarmedia77305 ай бұрын
Haaaa eti PUTINI .
@kalengalukozi92425 ай бұрын
Koki humenipa furaha nimecheka sana
@cdeleo93365 ай бұрын
Kiukweli dudu umechoka mno. Please kaangalie tena afya yako nje ya nchi hata msaada omba tutakusaidia. Don’t trust tz hospitals
@MwanjiNzala-mo5ni4 ай бұрын
Umejuaje Mwe Kama ujawahi oa
@princenelsonsinko52374 ай бұрын
Ushakuwa mzizin
@faradjibitege2565 ай бұрын
Dudu bayea
@piuskusenge-jf2ob5 ай бұрын
EITHER.... EITHER EITHER...OR
@jamesmfinanga17175 ай бұрын
Utapona na ushapona jiamini
@juniorshencojunior48164 ай бұрын
Konk
@faradjibitege2565 ай бұрын
Dudu baya
@goodluckdamian95215 ай бұрын
caption unaandka vingine mahojiano mengine 😢
@aronkasongwa92745 ай бұрын
Kakonda kisengee
@idrisahussein66544 ай бұрын
Ulusi
@axmedcumar61965 ай бұрын
Dudu najua kwa sasa upo kwenye Detoxification kuondoa sumu mwilini .. plz endelea kunywa maji mengi usafishe damu yako .. Na Plz ukipata muda nenda salon wale madada wakufanyie SCRUB coz ngozi yako inaonekana inahitaji deep bath 🛁 wakutoee nongo nongo zote my bro lkn SCRUB ni Muhimu kaka uso upate kungaaaaa
@user-vh4rz4qp8z5 ай бұрын
Sasa unanjiita mungu sasa wewe bro namunagani wewe umeteresha sasa hakuna kiumbe kitaitwa mungu asipokua tuna njua mungu alituumba kwa mufano wake.heri ukashome dini tena😊
@user-jd8oe8kf5w5 ай бұрын
Wewe huelewi kiswahili
@manumeni50575 ай бұрын
Huyu mtu ni muislam na aliwai fiwa na mkewe wa kwanza kitambo ,basi hpa mbona kma karitadi alafu ni kma ana kitu kinamsumbua mwilini ,anakaa kunyaukanyauka kiasi
@user-nb6yh2bn9y5 ай бұрын
Acha congo uo nimtazamo wako sio miislam nimklisto toka utoto wake amelelewa mama sista kifupi dhehebu lake nimromani hata nyimbo zake zakwanza kuna nyimbo inataitwa amli kumi za MUNGU nahapo alipo sasa anaumwa