DUH! HUU NDIO MSOSI WA MACHALII WA CHUGGA CHRISTMAS NI BALAA

  Рет қаралды 926,127

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 460
@doctorsuley8704
@doctorsuley8704 5 жыл бұрын
kama umeuskia wimbo wa masozy mwanzoni #gongalike ❤️
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
😂😂🤣🤣
@eliarichard9218
@eliarichard9218 5 жыл бұрын
Ali kiba yebaba
@funnyfirsthouse5264
@funnyfirsthouse5264 5 жыл бұрын
nmeisikia mwamba wangu
@elibalikipetrol7165
@elibalikipetrol7165 5 жыл бұрын
duu hao ni watu auuuuuuuu
@salamihorance528
@salamihorance528 5 жыл бұрын
Daaah mnamaisikio
@lavieawuor7812
@lavieawuor7812 5 жыл бұрын
Merry Christmas to all my Christians fellows I love you all,spread love,give food to homeless kids,share love with friends and family and be safe..love from 🇰🇪🇰🇪
@wilsonkehogo5772
@wilsonkehogo5772 5 жыл бұрын
Lavie Awuor thanks my fellow Christian
@nemohos4885
@nemohos4885 5 жыл бұрын
so what do you do the other 364 days?
@lavieawuor7812
@lavieawuor7812 5 жыл бұрын
Nemo hos what do you mean?
@kusinimediatz6747
@kusinimediatz6747 5 жыл бұрын
Kama umemuona interviewer naye alikuwa na njaa gonga like hapa
@mctidohondoa1652
@mctidohondoa1652 5 жыл бұрын
Hahahaha
@jumamwita9609
@jumamwita9609 5 жыл бұрын
Mtangazaj punguza Kula
@bonifaceboniventure4840
@bonifaceboniventure4840 5 жыл бұрын
Kweli nimeona bana ananjaaa😂😂😂
@gabodontz4066
@gabodontz4066 5 жыл бұрын
😂😂😂😂kmanina
@maryseriah157
@maryseriah157 4 жыл бұрын
kaka alikua anasubir waruhusu mchele ufinywe duh
@hamisijmussa6983
@hamisijmussa6983 5 жыл бұрын
Kama unakubali hizi mitoko gonga like hapa #chaliiyaR
@mariakilongo2123
@mariakilongo2123 5 жыл бұрын
Hamisi J Mussa yaan n mukide
@hamisijmussa6983
@hamisijmussa6983 5 жыл бұрын
@@mariakilongo2123 aikatai mama la MAMA..
@abdulkillya2655
@abdulkillya2655 5 жыл бұрын
Hamisi J Mussa chux, chuga kwa fasi ya hom
@pacomoker6246
@pacomoker6246 5 жыл бұрын
Yente yente baburahii
@lukakusnon4285
@lukakusnon4285 4 жыл бұрын
Munaku asee
@Galinzaog
@Galinzaog 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kama umesikia nyepe nyepe gonga like #chariiyar
@papa_noah_3tone
@papa_noah_3tone 4 жыл бұрын
nomaaaa
@regnaldobadia753
@regnaldobadia753 5 жыл бұрын
Machaliii ya R ni noma kama unaikubali hizi people gonga like broo.
@DADYTV2067
@DADYTV2067 5 жыл бұрын
Alie iskia masozi kwa mbaaaali mwanzo wa video gonga like tujue wangp tumesikia
@wilsonkifaru2374
@wilsonkifaru2374 5 жыл бұрын
Duh
@alexmasanja7456
@alexmasanja7456 5 жыл бұрын
DJ afro
@godfathermichael7088
@godfathermichael7088 5 жыл бұрын
Vitayaidiyamini
@richardshoo6550
@richardshoo6550 5 жыл бұрын
Kichuga
@genofevamichael6751
@genofevamichael6751 5 жыл бұрын
Ye baba
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 5 жыл бұрын
Ukipata wageni kama hawa inabidi ukachukue mkopo bank kwa ajili ya msosi bila hivyo utaumbuka.
@abdimaimu1856
@abdimaimu1856 5 жыл бұрын
Kama unawakubali machalii wa chuga ngonga like apa
@oprahkatamborays1711
@oprahkatamborays1711 5 жыл бұрын
Oprah omary omary
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 жыл бұрын
Hawali kushiba wanakula kumaliza 😂😂
@OchuOchu-jr7zz
@OchuOchu-jr7zz 5 жыл бұрын
Asia Zuberi mambo Asia pande gan
@mussajuma9281
@mussajuma9281 5 жыл бұрын
Nimekuona makala nyingi, hongera!
@abdulrahmanibrahim6283
@abdulrahmanibrahim6283 5 жыл бұрын
Nichek Asia WhatsApp +97450580766
@eliarichard9218
@eliarichard9218 5 жыл бұрын
Asia Zuberi kweli
@carolynrobert4104
@carolynrobert4104 5 жыл бұрын
A town ni nchi nyingine
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 5 жыл бұрын
😂😂duuuhh cha Insta nimecheka sana
@denissande1575
@denissande1575 5 жыл бұрын
Duu!!!!! hata wasukuma hawali kama hawa machal ya R gonga like kama unasapot👍👍
@johnlutanda3033
@johnlutanda3033 5 жыл бұрын
Mutu ni kula Merry Christmas to everyone still alive🎉
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 5 жыл бұрын
Watu wa chuga nimewaogopa unaweza kula mtu nyie 😂😂😂😂
@waneerizzy9995
@waneerizzy9995 5 жыл бұрын
Hakunaga hiyo kitu wanatafuta tu nao wapate tonge..Wanazidshaa vitukoo
@mshumbusivicent252
@mshumbusivicent252 5 жыл бұрын
Misalaba Charles troo
@gabodontz4066
@gabodontz4066 5 жыл бұрын
Noma
@mariethapeter6099
@mariethapeter6099 3 жыл бұрын
Endelea ivyivy kutuogop mamah 😁😁😁😁😁
@ivravan2658
@ivravan2658 5 жыл бұрын
Mtaishi miaka mingi nyie majamaa big up bora icho kidogo kuliko kukosa kabisa mawaki awez elewa 👏👏🙏
@lafaelisimoni4232
@lafaelisimoni4232 5 жыл бұрын
Kama umemuonaa mwandishi wa habar akichangiaa msos gonga like
@regnaldobadia753
@regnaldobadia753 5 жыл бұрын
Wame shine kinoma jina ya msosi ndo hiyohiyo tena ni Merry christimas and happy new year.
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 жыл бұрын
yan machalii wa r mko vizur sana halafu mtangazaj utuletelee mavituz yaoo maana nawakubali sanaa
@amospaul9411
@amospaul9411 5 жыл бұрын
Hizo bangi2
@tysonmateru9931
@tysonmateru9931 5 жыл бұрын
Adam na hawa
@Ngepetv
@Ngepetv 5 жыл бұрын
Kwa hii sikukuu Hivi ukiona mtu anagonga mlango unachungulia dirishani ukaona ndo hawa jamaa utafungua mlango????
@karimzenge1142
@karimzenge1142 5 жыл бұрын
Ngepe TV sifungui
@waziriislam2455
@waziriislam2455 5 жыл бұрын
Ngepe TV nifungue naumwa nn
@emamuharamain4552
@emamuharamain4552 5 жыл бұрын
daah sifungui na hao jamaa hata mialiko hawapewi hao.
@husseinhamidu2116
@husseinhamidu2116 5 жыл бұрын
Da watanimalizia halifu
@LM-dh1fq
@LM-dh1fq 5 жыл бұрын
Hahahahah
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 5 жыл бұрын
Kama unapenda Chugani gongaga ma Like hapa
@peterkitura5946
@peterkitura5946 5 жыл бұрын
Yani hawa hata nyama ya MTU wanakula 😂😂😂😂😂😂😂😂
@jimmymbella4362
@jimmymbella4362 4 жыл бұрын
😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣
@khamardmgoi8800
@khamardmgoi8800 5 жыл бұрын
Jina la msosi ni happpy Christmas and new year!!!! Hahahahahaahahahahaaaaaaahahahagaaaaahhhahhaaaaahahahaaaaa ! Chuga kunatoka ?????? Duh nimecheka sana! Life goes on ,,hip hop for life!
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 жыл бұрын
Nawakubal wazee wachuga mnajua kuisaka cheree ndio maan kula yenu hainaga kuuliza god sanaa nawakubali sanaa
@miriamkanku9771
@miriamkanku9771 5 жыл бұрын
Merry Christmas to you guys
@albertminja5431
@albertminja5431 5 жыл бұрын
Dat's dea creativity so acha roho bwax wape lykwise
@boniphectoboniphace7187
@boniphectoboniphace7187 5 жыл бұрын
Matararaaaa chapalalaaa expensive merry Christmas & happy new year haaaahaaaaa mbavu zangu
@hamisijmussa6983
@hamisijmussa6983 5 жыл бұрын
Dogi dogi hapa dingii pambana pambania ya ela yote nikiwa maeneo ya hapa fwasi ya dwarara nawakilisha sana aikatai
@deojohn9543
@deojohn9543 5 жыл бұрын
nifas ya dwarara
@hamisijmussa6983
@hamisijmussa6983 5 жыл бұрын
@@deojohn9543 yente yente
@mcwaya
@mcwaya 5 жыл бұрын
Huo mkono unavyoingizwa mdomoni khaaaa 😂😂😂😂😂
@bonnysureolkokolaboy4342
@bonnysureolkokolaboy4342 4 жыл бұрын
Nakukubali Millard unasaport sana Nyumban Chalii ya R Millard kutoka The Arusha East Africa Arusha Training
@emanuelkimboka3490
@emanuelkimboka3490 5 жыл бұрын
r chuga bdo tunakiwasha 2019 hadi mbele mbele gonga lke
@happymarckyjames9744
@happymarckyjames9744 4 жыл бұрын
hongereni
@mmariwammari692
@mmariwammari692 5 жыл бұрын
woraaaa kweli hiii arusha ni nchi nyingi kabsa
@kamberemsuya9831
@kamberemsuya9831 3 жыл бұрын
Umetisha laaanaaaa baba ako
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Sasa wwmtangazaji siunaloa mate na hikateeuson maana kula na kuongea unaloa mate🤣
@kaitaismail1663
@kaitaismail1663 5 жыл бұрын
hawana lolote wana maisha kawaida kama watu wengine hii ni comedy watu waelewe usanii ni ubunifu hata wasanii wanavyovaa stejini sio maisha halisi we utakae iga ndo boya
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 5 жыл бұрын
Mtangazaji kapatiliza kabsa msosi 😁😀😂kawaharibia na bajet yao.
@petrojuma5536
@petrojuma5536 5 жыл бұрын
Unajua bangi zinampeleka m2 vibaya sasa hao sio wawo bangi zinawafanya wawe hivo
@mo-zillah5683
@mo-zillah5683 5 жыл бұрын
jamaa kaangusha tikiti maji mpaka katikisa kichwa
@Galinzaog
@Galinzaog 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@umratyhussein3359
@umratyhussein3359 5 жыл бұрын
Yaan Inaonyesha ni Kiasi gani imemuuma dah
@fatmakipoporoo8824
@fatmakipoporoo8824 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bakarikaimite8494
@bakarikaimite8494 4 жыл бұрын
Hahahahaaaa duh mm wananifrahisha wanapobadili styl za kukaa wakiwa wanakula hayo matikiti na mikate 😂😂😂😂
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 4 жыл бұрын
Kama umeona mkate umedondoka Chini mwanzoni dengada like hapa !
@djayfantastic2555
@djayfantastic2555 5 жыл бұрын
Mmmmh♥♥♥ ogopa sana #chalii ya R
@tildahongkong6086
@tildahongkong6086 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaah watakuja kuniuwa nimecheka kifalaaa 🤣🤣🤣🤣
@sulleyboy827
@sulleyboy827 5 жыл бұрын
Jamaaaa Ni noma mtangazaji umeitendea haki kazi yako
@hkbrista
@hkbrista 5 жыл бұрын
What's the official page for these guys
@pendomassawe503
@pendomassawe503 5 жыл бұрын
Hahahaaaa mbona wanamaliza kweli eti! Aisee mmeniacha hoi
@trackmusic8002
@trackmusic8002 5 жыл бұрын
Jesus Christiano Roland noma sana😂😂😂😂
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 5 жыл бұрын
Kula kumaliza welcome to improvement😂😂😂😂😂😂😂
@lestermtweve5990
@lestermtweve5990 5 жыл бұрын
Alieickia #masozy mwanzn like apa kwa #kings
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
Dah🤦‍♀️.. hawafai kbs kualikwa ugenini😂🤣😄😃😃😄😄🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@GlowCharls
@GlowCharls 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iYmVc5t6fZqtpM0
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 5 жыл бұрын
Mm hata nashangaa wanakula sana lkni hawana mwili, ndio najiuliza pia watu wembamba wanakula kweli na wala hawanenepi😁😂sjui vyakula vyote wanavifanyia nn badala yakutengeneza mwili.na utaona mtu mnono kula kwake kidogo tu
@tatut3889
@tatut3889 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@meckkingthedj7965
@meckkingthedj7965 5 жыл бұрын
Hahaa ndio kituambacho
@GlowCharls
@GlowCharls 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iYmVc5t6fZqtpM0
@khamardmgoi8800
@khamardmgoi8800 5 жыл бұрын
Mimi mwenyewe mwembamba sielewagi msosi unaendaga wapi ila cha ajabu kitandani huwa napiga mechi goli ata 35
@chichiboy5768
@chichiboy5768 5 жыл бұрын
Haturi kuxhiba tunakula kumaliza
@aseelaaseela4913
@aseelaaseela4913 5 жыл бұрын
Huyu mtangazaji hawezag kustahamili 🤣🤣🤣kila ck lzm azame nawo kwa kula akuuu 😂
@standardtv3494
@standardtv3494 5 жыл бұрын
Namuonea macho camera man😁😁😁
@alicebahadia5529
@alicebahadia5529 5 жыл бұрын
Mtangazaji nae mroho jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@anthonyjoshuaprincess860
@anthonyjoshuaprincess860 5 жыл бұрын
Alikua nanjaa so akashindwa vungaa 😅😆😆😆
@dicksonrwabikumba4271
@dicksonrwabikumba4271 4 жыл бұрын
mabo
@suzanapatricks4512
@suzanapatricks4512 5 жыл бұрын
Ule mwengine ipo wapi?? Anaitwa namsahauu!! Ebu nikumbusheni hapa machali!!
@hamzasuleimani8509
@hamzasuleimani8509 5 жыл бұрын
Jamaa.wanakula.xna.kaaaaa
@dismasstanslaus1155
@dismasstanslaus1155 4 жыл бұрын
Kama unaamini kula wa3 sahn1 ni uchafu gongalike
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 5 жыл бұрын
😁😀😂jamani mm hua napenda vle wachaga wanavyoongea
@bethuellema8135
@bethuellema8135 5 жыл бұрын
Dhu?? Respect saan machali wanguu wa chuga
@gedionmario9009
@gedionmario9009 4 жыл бұрын
Kama umeitamani hi mikate Kama Mimi gonga like manzeee
@helmyabdallah7171
@helmyabdallah7171 5 жыл бұрын
nakubaliii Sana'a atuliii kushibaaa tunakula kumaliza
@tseinlee6727
@tseinlee6727 5 жыл бұрын
Chalii R gonga lyk. ..
@aishahabibu5342
@aishahabibu5342 5 жыл бұрын
Daaaah hawa machali wa r nishigidi meku
@uwimanaraoul6824
@uwimanaraoul6824 5 жыл бұрын
😆😆mtangazaji amesha maswali kwasababu yakula tikitimaji
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 2 жыл бұрын
mmmh nawapenda San
@poaswahilimovies99k
@poaswahilimovies99k 5 жыл бұрын
INGIA KWENYE CHANNEL YA MBENGWA 📺 TV UFULAHII SANAA
@husseinsalum7225
@husseinsalum7225 5 жыл бұрын
Machaliii zanguu nawakubaliii kinomaa alifuu mababalaa
@offcallwitieemsigwa6494
@offcallwitieemsigwa6494 5 жыл бұрын
Hao machaliii nouma
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 жыл бұрын
kuzaa mtoto wa hv ni hasara duniani na akhera
@sellahtv6783
@sellahtv6783 5 жыл бұрын
Wa chunga dance wanapalilia chuga maeneo gan
@oyay2821
@oyay2821 5 жыл бұрын
Mkati namna hio sasa usiombe uwapate chooni. Huwa wanaumia sana. Na mzigo huwa kama zege la kukoregea sakafu
@andrewmallya6455
@andrewmallya6455 5 жыл бұрын
😁😁😁😁kadondosha tikiti......
@namnyackndaserwa1366
@namnyackndaserwa1366 5 жыл бұрын
Kama umeskia ingia hapo ndinda gonga like twende
@majembejoseph8063
@majembejoseph8063 3 жыл бұрын
Noma sanaa
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
mtangazaji nae Kaliunga anajisahau kutangaza meno yanashuka kwa water melon taratibu
@peterngassalah6454
@peterngassalah6454 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣et iki ni kinyepe nyepe nouma sana
@isramalebeto4777
@isramalebeto4777 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 hawa washkaji wana sifa kinyama
@RajabuAbdi-rs7sp
@RajabuAbdi-rs7sp 13 күн бұрын
Nomaa snaa
@luteking
@luteking 5 жыл бұрын
Daah
@JP-zx7oo
@JP-zx7oo 3 жыл бұрын
Nakubali 😄😄😄😄😄😄
@whitescreen7241
@whitescreen7241 5 жыл бұрын
Ulikuwa na jaa Sana ❤️
@lizynesto1033
@lizynesto1033 4 жыл бұрын
Yechu
@azizamaboda3610
@azizamaboda3610 5 жыл бұрын
Wanakula kumaliza chugaaa😂😂😂😂
@mmariwammari692
@mmariwammari692 4 жыл бұрын
Nawakubali mahonemboy city Homeboy
@elishanzowa6666
@elishanzowa6666 5 жыл бұрын
Noma sana
@xuxumeyu8079
@xuxumeyu8079 5 жыл бұрын
Ila wachafu yule mwenye kot jeusi anakung'utia mikono kwenye beseni la mikate
@happyarooun6037
@happyarooun6037 5 жыл бұрын
mwingine yupo wapi
@Bongoyoungstar
@Bongoyoungstar 5 жыл бұрын
Daah nmemis Arusha maanina
@joshuakinabo6861
@joshuakinabo6861 5 жыл бұрын
Duh First to comment
@ochutzboy5631
@ochutzboy5631 5 жыл бұрын
Jamaa yenu yuko wapi
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 5 жыл бұрын
kama unapenda cha insta kama mimi gonga like hapa twende sawa
@emamuharamain4552
@emamuharamain4552 5 жыл бұрын
huyo mtangazaji mwenyewe mroho maana kazi pia naona anaisahau kwa TIKITIKI maji
@jessicamaiko547
@jessicamaiko547 4 жыл бұрын
Aisee chaliang mme tisha kinomaa
@hamisimustafa9989
@hamisimustafa9989 4 жыл бұрын
Ahahahah! Kma umesikia hii n mamikate shre
@immanuelcatylynplatnumz6491
@immanuelcatylynplatnumz6491 5 жыл бұрын
Jamaaa anajiramba saana mikono,mtangazaji naye yuko vizur kweny msos ndo maana ana shavu nono
@neemalulonga416
@neemalulonga416 5 жыл бұрын
😀😀
@zubemilonea300mohamedi5
@zubemilonea300mohamedi5 5 жыл бұрын
machali noma aseee 😁😂 😂😂 😂😂 😂
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 5 жыл бұрын
Kinyepe nyepe😁😀😂😂😂😂niambieni maana yake jamani mbona lugha ya chuga inanitatiza lkni naipenda😁mnaojua nielezeeni bc maana ya kinyepenyepe bc,from +254
@anthonyjoshuaprincess860
@anthonyjoshuaprincess860 5 жыл бұрын
Anamaanisha chakula laina coz wangekula wali peke wasinge shiba so wameamua kula kwanz mamimate then wale wali lol 😅😅
@teophilnorbert6749
@teophilnorbert6749 5 жыл бұрын
Nafisa Mohamad maana yake laini au nyepesi
@dullamonster7543
@dullamonster7543 5 жыл бұрын
duuuu!!!! inatixha xana xhugga machapalaaaaa
@stephahObimo
@stephahObimo 5 жыл бұрын
Daaa chuga hatali yesu namalia
@willykaovela5485
@willykaovela5485 5 жыл бұрын
Godfrey sahz naona shavu dodo.kama dox. Ayo mko vzr
@starvista823
@starvista823 5 жыл бұрын
Millard ayo TV unazingua kisa unatokea ARUSHA ndo kila ujinga unataka uwaposti wao tu nawakati kuna matukio ya msingi ya kupost ata wakiwa CHOONI unataka uwarushe mitandaon kwendraaaa
@amourajafari2814
@amourajafari2814 5 жыл бұрын
duuuh jamaa hawa noma eti cha insta👊👊
@abdelhamiidfaraagy9167
@abdelhamiidfaraagy9167 5 жыл бұрын
Wanatafuta kiki ya ndege john
@zahorosangaga104
@zahorosangaga104 5 жыл бұрын
Mtangazaji anacho kihoji hakina mana, watu wanao hojiwa ni wandaazimu ambao hawana cha maana chochote wanacho kiwakilisha, kwa kuendelea kukumbatia upuuzi namna hii hatuta weza kupiga hatua!!
CHEKA UONGEZE AFYA-VUNJA MBAVU, AFYA COMEDY
16:36
AFYA COMEDY
Рет қаралды 510 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 19 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
"Chali  wa chuga anunua ndege ya usa katiti" wakimbia bili bar
7:41
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН