WA KWANZA LEO EWE UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI ZAKO NA AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN🙏🙏🙏🙏
@Gloriarespiki2 сағат бұрын
Aminaa🙏🙏
@YusufuGaël2 сағат бұрын
Amina 🙏
@Chingamedia-o2b3 сағат бұрын
Kama unampenda Mungu like💖💖 Tuone apa
@SalamaAlly-dt6mc3 сағат бұрын
Amina chunga media
@ChristinaJonh-e5dСағат бұрын
Amen🙏@@SalamaAlly-dt6mc
@SalamaTauraСағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@witnessmaturege2944Сағат бұрын
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe🙌🙌🙌
@Katuni862Сағат бұрын
Mudi na mke wake nawapenda😂😂😂😂😂
@MrkigomaСағат бұрын
Mtunzi wa hii story syo level ya kawaida kama umeliona hilo like yako mhimu maaana 🤔🔥🔥🔥🔥😂😂 hatari
@KibweOnlineTv15 минут бұрын
MWENYE NAMBA ZA HUYU MATT ANIPE JAMANI, 😂😂😂 OYA NIMETANIA ILA KIUKWELI ANAJUA ZAIDI YA SANA, HONGERA SANA TEAM DUNIA SERIES🎉🎉🎉
@IreneIsambi3 сағат бұрын
Namba Moja toka mbeya hapa big up Kwa manyanya
@NathaSMART3 сағат бұрын
Number 1 today Guys team strong hoyeeeee Aki wew mlevi ati unataka kunya😂😂😂😂
@bintimrope3 сағат бұрын
Bora umewatumua watu wazima ovyo. Wanambemenda mke wa mtu ki fikra😂😂😂😂
@zahraabdul9652Сағат бұрын
😂😂😂😂
@wilmotkarisa617450 минут бұрын
Church Boy leo kapewa mzigo cha lazima😢😢😢😢....kabakwa....yeyote aliye tazama hii episode abarikiwe🙏🙏🙏🙏
@Racheal-o8v3 сағат бұрын
Mimi Leo pia nimewahi jamani naombeni like zenu basiii
@Lastbornecadet3 сағат бұрын
Wakwanza Leo toka Congo🇨🇩
@Mohd-e3tСағат бұрын
Yani ni series saf imekamilika kila idara Fantastic congratulation team manyanya
@AugustinMutunda-bj6bo2 сағат бұрын
Matirda kuya Congo 🇨🇩 Lubumbashi nikupe mapenzi ya congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zahraabdul9652Сағат бұрын
Mwanaume mlevi naishije nae sasa eti sitaki kukojoa nataka kunyaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
@jamalishabani2053 сағат бұрын
Kazi nzuri manyanya fukuza ayo ma gumegume
@zahraabdul9652Сағат бұрын
Matilda mwanaume huwa akomeshwi wajikomesha mwenyewe utashindanaje na wanaume 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@innocentmaombi-cm9uiСағат бұрын
Mudiii unaharibu kwerii madamu mudii pore sana nakunda
@witnessmaturege2944Сағат бұрын
Matrida hebu kitulize hicho kipochi manyoya chako jamani, kheee eti najinyeaaaa jamani wake wa walevi hongereni mnoooo maana 🙌🙌
@elvinomweri3 сағат бұрын
Wallah nimeipenda bila kutarajia ❤❤❤❤kazi nzuri
@mrplanthewinner17303 сағат бұрын
Manyanya umetusalit wanaume wenye misimamo,mwanzo umeanza vzr mwisho umezngua
@elinapetro713629 минут бұрын
Maisha ya mudi ya mkewe ndio mazuri nimeyapenda😂😂😂😂😂
@IreneIsambi3 сағат бұрын
😂😂😂😂 church boy akuna mkate mgumu mbele ya chai atimaye amli ya sita imevunjwa
@EvanceWinfred2 сағат бұрын
😂😂
@ZidinaIdrisa2 сағат бұрын
😂😂🤣🤣🤣
@RukiaManga-z1t2 сағат бұрын
😂😂😂😂
@neemaemanuel24252 сағат бұрын
😅😅😅
@husseinallyshego491559 минут бұрын
Ngoja nimalize kuangalia basi😂
@MakwanaJrСағат бұрын
Bado changamoto za kuishi na mlevi ni nyingi sana jaman ... Heeeh wanawake wanavumilia yote sababu ya ❤
@ericmukabwa45633 сағат бұрын
Next time mpeeni vai character ya uzuri angalau tumpende siku moja
@Joshualumwesa36 минут бұрын
Kazi Yenu nzuri sana endeleeni kuelimisha jamiii
@AlmansoureldenomyСағат бұрын
Huyu mama wa kibenten ni noma sanaaa😂😂 na anavoshupalia kwenye kuongea mapaka mishipa ya shingo inamtoka😂
@azariajocktan63503 сағат бұрын
Ila kicheche amezalisha watu wanaoigiza vzr sanaaa cjapata kuona🔥🔥🔥🙌🙌
@DonMooFILMES_Express2 сағат бұрын
Sio kicheche ni BABA ASMA ndio bosi wao na ndio kawazalisha akina Kicheche hata Clam Vevo alipita hapa kwa BABA ASMA japokuwa alikuwa ameshaanza lakini alikuja kwa Baba Asma ndipo na Kicheche akaja hapa.
@SadikiSinkala-zi3lnСағат бұрын
@@DonMooFILMES_Expresskweli kabisa
@DonMooFILMES_ExpressСағат бұрын
@@SadikiSinkala-zi3ln wengi wetu tunaishi kwakukalili tukiona mbele ya kamera hatutaki kujua nyuma ya kamera wapo akina nani. Ndiomaana Baba Asma watu wengi hawamjui kwasababu yupo nyuma ya Kamera
@fatmajey3 сағат бұрын
Wa kwnza leo🥳
@havyarimanaemery8583 сағат бұрын
Wakwanza Mimi Toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@lovenesibj34 минут бұрын
Yaan mud na mkewe nawapenda❤😂😂😂
@GaudenciaMadirisha2 сағат бұрын
Mudi na mke wake nawapeda bule😂😂😂😂😂
@StephanoMaiga-mm4xkСағат бұрын
Oya sema we Mudi miyayusho sana😅😅
@FrancisMotivation002Сағат бұрын
Nimekubali Msimamo wa Manyanya Hongera brooh Kumbe Una uwezo Mkubwa Hivyo
Icho chuma chatakiwa kiwe n like nying n view nying sana jmn ni nzur sana ❤❤❤❤
@FrankKalenga-k6b2 сағат бұрын
Kaz nzul sana hii mungu awabaliki
@YosiahMalon3 сағат бұрын
Wekeni quality nzuri
@cyprianwamalwa428Сағат бұрын
Mudi kafanya naipenda hii,#mansrespectfirst
@StevenPeter-ov7pj3 сағат бұрын
Sijachelewa nipeni like mbili tu wanangu 😂 😂 😂 😂
@joelalphoncebanka-ky6yu3 сағат бұрын
Wa 58 nimelejea tena naomba maya yangu Nakupenda sana church boy endelea kuwa na msimamo huohuuo😂😂😂 wanao mpenda church boy gonga like
@mummyjei5634Сағат бұрын
Haya church boy kaanikiwa kipochi manyoya 😂😂😂 ogopa mwanamke akitakacho lazima kitimie
@ZolufaMas-ie4un3 сағат бұрын
Amani leo kimemramba 😂😂😂😂
@NiyokwizeraDalton-oi5xc2 сағат бұрын
Wakwanza Toka Burundi🇧🇮 😂😂 church boy church boy weee😂😂
@ALIMOHD-bk9lr2 сағат бұрын
Siku Matilda akiangukia ktk mikono ya MANYANYA, i swear VAI unakwenda kuzikwa hai.
@fathmambeyu8987Сағат бұрын
Kweli kabisa
@esterkimalio8846Сағат бұрын
Kabisaaaaaa
@Godwin-g6m2 сағат бұрын
Kazi nzuri Mr manyanya na wenzako❤
@martinkioko64372 сағат бұрын
Tuzidi kufuatilia kila episode na mungu hawabariki🎉🎉🎉
@jazminewatanzi18542 сағат бұрын
To be a wife to Mudi is a full time job with no offs and allowance 😂😂😂😂maskin mke wake nimvumilivu
@KelvinMrema-y9i2 сағат бұрын
Hii kiboko sana nimeipenda❤❤
@mukizaignas3 сағат бұрын
Mleteni na kicheche jaman
@ShukranSaidiСағат бұрын
Yaani iyi Series umekuja kufunika zote
@Faru8082 сағат бұрын
Hivi Kuna wanawake wenye ujasil kama Vai wenje uwezo wa kujibu vile kwa waume zao,,,,😮 na Kuna wanaume kama mzee wa ngeli wenye unyenyekev kwa wake zao
Manyanya bhn wakat wew unawaza ndoa ndoa ndoa mwenzio anawaza mafanikio we enderea sasa kuiwazia ndoa yako
@bonventureimbuga5223 сағат бұрын
Wa kwanza leo from Doha Qatar 🇶🇦
@zahraabdul9652Сағат бұрын
Manyanya kuwa mwanaume ungejuwa ni nini wanacho mfunza mkeo haungekubali kuwaona na mkeo tena naomba msamaha 😏
@EliasaMstafa3 сағат бұрын
Leo nmewahi mapema😅😅😅😅😅😅😅
@DonMooFILMES_Express2 сағат бұрын
Like kwa BABA ASMA anavyowapambania vijana wake halafu wengine wanamsaliti. 😢
@MaarufuAmani-bq6qc2 сағат бұрын
Mishangazi hiyo ndio mihalibifu ya ndoa siku zote
@NdihaudNdihaud2 сағат бұрын
Kazi nzuli sana so much love from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@selinakatega66913 сағат бұрын
Muddy utaniulia mdogo wangu jamaji😂😂😂😂😂😂
@esterkimalio8846Сағат бұрын
Mpe talaka arudi kwao huyo Vailet,,,,,akikaa week tu atakukumbuka
@Kaske-bleumartin3 сағат бұрын
Nice from merekani
@salama1113Сағат бұрын
Kaka kwani c kunamsemo mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake kwamikono yake nichukuwe mm😂😂😂😂😂
@josiacharles2778Сағат бұрын
Aisee😭😭😭 manyanya umefeli sana kuwaomba awa wachawi msamaha 😢😮
@DanielGood-m8l29 минут бұрын
Ameingia Cha kike😢😢😅
@ntg27183 сағат бұрын
Leo wa kwanza mimi😂😂
@lewyluiz90523 сағат бұрын
Wa kwanza kenya ❤
@AblahmanJuma2 сағат бұрын
Uyo aman itakuwa mwanaume wa mapolini😂 nyama imenona aiache mh
@bethelbuzama71673 сағат бұрын
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮
@ALIMOHD-bk9lr2 сағат бұрын
Mama zake na Vailet dah mnamharibu kijana wenu kwa mikono yenu
@jazminewatanzi18542 сағат бұрын
Manyanya you are ryt to chase them away 😂😂and Vi try to respect your husband dear😢
@ZuhuraAbdallah-u9oСағат бұрын
Move nzuri jmn kutoka oman naomba like😅
@alimasiallyalimasially5202Сағат бұрын
Vailet sio mwanamke wakuishi na ww achananae hayo maendeleo anayawaza mpka anakosa nafasi yakufurahi na Mme wake
@fahadsalim44033 сағат бұрын
Wa kwanza nataka like 1 tu
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zjСағат бұрын
Mzabe kofi huyo mwanamke wa hovyo, akili imkae sawa
@ericmukabwa45633 сағат бұрын
Nachukia Vai kwenye character kwa sababu nilishawai pitia hiki nikachukia kupenda tu😭😭😭😭 Yani mwanamke anakukosea na bado namwomba msamaha na niyeye mwenye makosa
@liliy-u3n2 сағат бұрын
😢 pole
@Rajab-Raj2 сағат бұрын
🤔🤔🤔
@Dasa1_Tv3 сағат бұрын
Naombeni like ata10 jmn😢
@sharifushabani39062 сағат бұрын
Dah nice story aise respect kwa alie tunga story hii
@YosiahMalon3 сағат бұрын
Hatimaye mmetoa
@SwaabirMuhammad1217 минут бұрын
Church boy Kala mzigo mbwa zake😅😅😅😂😂😂
@ZenaKambi-d6n8 минут бұрын
𝒌𝒂𝒃𝒂𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒐 𝒂𝒎𝒓𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒆 😂😂😂
@JumaYusuf-x9kСағат бұрын
safi sana vai
@ByamunguJoseph3 сағат бұрын
Wakwanza leo
@KibweOnlineTv10 минут бұрын
😂😂😂 Itabidi huyu Mohamed cha pombe aandikiwe wimbo maana amejaa vituko😊😅😅😅