Ila jaman nawapa hongera wanawake wote wanaoishi na waume zao walevi kama huyu mudi .... duuuuh wanapitia changamoto sana kama na ww umekubali gonga like apo tujuane🎉
@kamarhelo3 ай бұрын
Ndomana tik boy akasema tuvumiliane kama mke wa mlevi 😂😂😂😂😂😂
@VincentChangamu3 ай бұрын
Hakuna mwanamke mvumilivu kama mke wa mlevi
@josephhamisi28733 ай бұрын
ndo upendo wakweli ❤
@AshaJumaa-ej7ri3 ай бұрын
Manyany nilijua ilo sual utalinyamazia ila hongera kwa kuwachamb kiistaarab😂😂😂
@RajabuHayyan3 ай бұрын
Walev mtihan kuish nao
@NimubonaYunus-qi9yv3 ай бұрын
Manyanya nakukubali sana kabisa tena sana kwahiyi movie ya Dunia unafunza saana tena sana big up💪💪💥🔥mimi nijana naetokea 🇧🇮 naona unacheza vizur San
@sekelomarco55029 күн бұрын
Nimeikubali sana hii movie
@ArafatiKipakapaka-i3sАй бұрын
kiukwel uyu manyanya na mkewe wanatoa funzo kubwa sana katika maisha ya ndoa ❤❤
@NnSs-s1f3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂church boy 😂😂😂😂eti mungu wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ARONPaul-bz3ws2 ай бұрын
Charch boy kama charch boy😂😂😂😂😂
@joynesashery71732 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@RamadhaniMasaninga2 ай бұрын
Huyuu jamaaa ni too much😅😅😅😅
@Officialmoyo-l1d25 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MakwanaJr3 ай бұрын
Jamani uyu manyanya alikuwa wapi mbona kachelewa kuja kuelimisha jamiii ... Akijitahid ivi atachukuwa tuzo ya mwigizaj bora ...kama n ww unaamin maono yangu basi usiache kugonga like👍...tujuane
@ramzymoha37983 ай бұрын
@@MakwanaJr 💯 kaka umeona kama nilivyo ona mm.. where was this guy?
@gracekayumba-z9l3 ай бұрын
Manyanya zao la familia ya mzee kicheche atakuwa alikuwa chuo
@MakwanaJr3 ай бұрын
@@gracekayumba-z9l yaani yule ndo muigizaji msomi aliebobea na anaongea vitu vya msingi na vyenye kuleta maana..
@PauloAmos-k2f3 ай бұрын
ATA me naamini Kama WW mwenzagu
@RachelThobias2 ай бұрын
Jamn manyanya nd naan
@maryamrashid-s614 күн бұрын
Nakupendaa sana manyanya ww una mafunzo sana ya ndoa nakupendaa sana hongera💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@nyamiziramadhani42323 ай бұрын
huyu mlevi na mkewe 😂 maisha yao jmn khaa
@tuntufyehenry13313 ай бұрын
Manyanya utakuja kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia hii ya movie nchini.keep going
@ebubu-bf1oy3 ай бұрын
Yupo makini sana huyu jamaa
@tuntufyehenry13313 ай бұрын
@@ebubu-bf1oy anaonekana ni msomi na kama sio msomi basi huyu jamaa ana kitu. Kiufupi anatumia akili nyingi sana katika uongeaji na hata mpangilio wamaneno yake
@ebubu-bf1oy3 ай бұрын
@@tuntufyehenry1331 anajua kupangilia maneno sana na sentes inanyooka.anajua sana huyu mwamba
@NasrahMsiagi3 ай бұрын
Manyanya yuko vizuri jamni kaa kwa kuja kupokea Tuzo za muigizaj bora uko ktyyu nataman uwe ivyo na sio kwenye movie tuu
@WinosSimbabawe-th3ws3 ай бұрын
Sure manyanya broo toka nilivyomuona Mara ya kwanza nilijua anakitu kwenye Familia ya mzee kicheche keep up broo dunia inakutazamana
@himnakhatib10503 ай бұрын
Huyu Mlevi namkubli sana😂😂
@icekidgofficial37803 ай бұрын
Sio wewe tuu😂😂😂
@georgesbkalumbigbk4583 ай бұрын
Pale nawewe nimulevi mumekutana
@himnakhatib10503 ай бұрын
@@georgesbkalumbigbk458 hhhh hpn mi sio Mlevi Allah aninusur
@toryazimio34292 ай бұрын
Me mwenyewe Nimekubaliana kichizie
@fatumashauri91692 ай бұрын
😂😂😂😂Yuwajiibia mwenyewe
@CalebBabwanga3 ай бұрын
Yaaani kila ikifikaga scene ya mchungaji na zinduna yaaani Huwa naishia kucheka tu😂😂😂😂😂
@waridiyusufuАй бұрын
Aisee big up bonge la movie Wadau tukiachana na jua kali,huba na zinginezo hiii imekuja kukomboa Africa , yaani haya ni maisha ya watu kabisa hakika inafundisha mbarikiwe sana
@gracekayumba-z9l3 ай бұрын
Bwanayesu asifiwe ni ameen Tumsifu Yesu kristo ndo milele amina afu me siwezi kumpa mume wangu hela y kulewa ndi mana hakupi haki y ndoa apo kwenye supu sawa
@HakanQalhanoglu413 ай бұрын
Yani nampenda manyanya mpaka bs yupo seriously sana courage ❤️❤️
@PrettySalmah-tt8bh3 ай бұрын
Exactly 👏
@fidelekahezi51752 ай бұрын
He is very talented
@Mamwajemimusa2 ай бұрын
Uyu jama namukubar sana yuposiriyasi kinyama adirahhh
@GraceNihorimbere-e8h3 ай бұрын
Wakwanza kutoka burundi🎉🎉 nawapenda sana
@JulieMlay-sw4ow3 ай бұрын
Daa movie tamu iyo
@mussamwakibinga80382 ай бұрын
....ety nafikiri tuanze na chakula cha kiroho then tufungue kipindi tuimbe tenzi afu tutafunga kwa maombi😂😂😂.. church boy😅😅🙌🙌
@DevothaEmmanuel-g6k3 ай бұрын
Kwa hii move nampenda sana matrida😂😂 the way anaongea kwa confidence kama ni uharisia yan😊 nakupenda mnooo❤❤🎉
@DinahNish-bm9sr2 ай бұрын
Yani huyu dada ananikosha😂😂😂😂
@SadickElly782 ай бұрын
Matlida na huyo mlevi ni nouma ❤❤❤❤❤❤
@JaquerineJohn2 ай бұрын
Sanaaaa
@Realme-xm3shАй бұрын
Bwana ameen kaingia ndani yanyumba😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Na mm nampenda sana❤❤❤
@Jumajey4573 ай бұрын
Sema uyu mkewe Mudi namkubali sna jmni
@AmaniIrakoze-v3q2 ай бұрын
Wanawake kama hawa wanapatikana wapi jameni
@EliudKeivoo-md1vw2 ай бұрын
Kwenye vijiji via Kenya uko meru ndio walivio@@AmaniIrakoze-v3q
Mr philosopher(manyanya) kaka uko vzur.. am not much in to bongo drama but hii series 🔥 🔥 I salute u all...
@samwelbalili6472Ай бұрын
Walevi wote oyeee!!!! Kuna Cha kujifunza apo ingawa ulevi sio mzuri
@Bahati-wu4bs3 ай бұрын
Nimependa manyanya umesimama kama mwanaume
@MrK-bn9ho3 ай бұрын
Huyu mlevi, noma. Namkubali sana
@MoiseJosue3 ай бұрын
Timu ya wa maman wazima😅😅😅😅😂😂😂hatari kweli kweli
@havyarimanainnocent13783 ай бұрын
Ndugu big up my brother wakuachie ndoa yako
@martinkioko64373 ай бұрын
Cograts manyanya pamoja na church boy😂😂
@Marygorret-s4r8 күн бұрын
I tell you, church boy ako sawa 😅😅😅
@PraxedaJustinian2 ай бұрын
Manyanya chukuwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 niyako yote usimpe Vai hata robo.
@pinok33702 ай бұрын
Manyanya kama ville kanumba karundi love you from Burundi 🇧🇮.
@DoriceEdward-l6s29 күн бұрын
Mmh ata kanumba hafikiiii hapa huyu ni moto wa kuotea mbali
@cletusdeusdedit67402 ай бұрын
Kama unamkubali manyanya gonga like 🎉🎉🎉
@nyamiziramadhani42323 ай бұрын
church boy 😂😂 wanaume wajanja sanaaaa ila huyu dada hajisomi
@ukhtymwana403 ай бұрын
😅😅😅😂😂😂
@pkcamlesh24653 ай бұрын
Huyu vai anapenda pesa nahisi ni Mkikuyu😂😂much love from Kenya🇰🇪
@Officialmoyo-l1d25 күн бұрын
😂😂😂😂
@WilliamAnaklet3 ай бұрын
Vaillet kwenye hii move ananifanya nicheke sana! Anajifanya anajua sana kutunza hela duuh kweli hii series kwa utamu huu muiendeleze hivihivi mbeleni msipunguze ubora
@beautyibrahim84283 ай бұрын
Ngoja Mme wake apate mwanamke nje anaejua kupika mahanjumat
@AtuSamoto2 ай бұрын
Uko vzr sana manyanya chuku maua yako 🌹🥀🌺🌷💐
@LebonAlliance3 ай бұрын
Kazi zuri kabisa musikawe kutocha nainpenda sana usisheleweshe
@ArafatiKipakapaka-i3sАй бұрын
duuuh ingawa yule jamaa analewa ila mkewe bdo anampa thaman kam mume anamjali nampa san respect yule mama ,,,,,,, pia nawakubal san wamama wote ambao wanapitia maisha kam aya mungu awajalie mioyo ya subira na uvumilivu kwan kila lenye mwanz alikosi kua na mwisho
@Jpmedia_tv3 ай бұрын
Dhaaaaa tangu nianz kuafuatilia siku hiz ndo mnatup vitu vya maana n niseme god azidi k bless n nikimtazam mr manyany naon kanumbaa kbxxx ❤❤❤❤
@HawaaUmibrahim-um7zi2 ай бұрын
Manyanya safi sana kazi nzuri ya elimu ya ndoa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RamseyEston3 ай бұрын
Wale wanawake mlioolewa na wanaume walevi mnapitia wakati mgumu sana Mungu awatangulie katika maisha yenu hilo ni zaidi ya jehanamu😭😭😭
@josejosee8673 ай бұрын
Ameni😢
@gracekayumba-z9l3 ай бұрын
Sana
@JofreyLukas3 ай бұрын
Niwemuwazitu hiimuvie nimeipenda kwakweli mmetisha hongeleni kwenye ubunifu good ufanisi good uweledi good kiukeli mmefanyakilakitu kiuweledi Zaid kongletuleshen
@PurieMakena3 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 nipeeni likes ❤❤
@MZEE-MAKOTI3 ай бұрын
😂
@KIB-JSANLEY2 ай бұрын
❤
@geofreyotieno58782 ай бұрын
😂😂tuko hapaa
@edwardouma16302 ай бұрын
We are in the house 🇰🇪
@nuwayirally17252 ай бұрын
Tupo wengi kutoka kenya
@MARYAM808ZING3 ай бұрын
Muddy na mkewe wapo Safi sana waigizaj wazur san.....nawapend san❤❤❤❤ hilipicha kali san mmetish mno
@HanifaHabibo3 ай бұрын
Vai hao wamama wamwendokasi usiwasikilize plz jamani nimecheka kwa mudi Yani umejiibia mwenyewe 😂😂😅
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
😂😂wamwendokasi
@nyamiziramadhani42323 ай бұрын
manyanya bora ulivyowaambia ukwelii unamshaurije mtu kama hvyooo😂😂😂😂
Namkubali English man sana kizungu Iko sawa very fluent napenda ivo
@MasokaKikwindi3 ай бұрын
Kaka yetu manyanya upo vizuri sana mwenyezi mungu akubariki kwa kutuhelimisha kipenzi ❤❤❤
@josephinekhayengushi383 ай бұрын
ingaw nimechelewa kidogo ila dunia ina mambo walevi ambao hawana hela wanaishi vizuri kwenye ndoa ila wenye hela sasa mateso kila kukija aiseee dunia ❤😢
@FaudhiaMgeniАй бұрын
yaan hamna kit kwenye maisha yang sjawah jifunza vitu vzr kama kwa manyanya jaman ngoja niolewe nikamtunze mme
@AmosiKinyunyu-x3v3 ай бұрын
Kama ndoa zote zinhekuwaga hivi daaah nawapenda saan ila.wew mdada mungu akubarik saan unajau nn maanya ndoa ntafurah kama utanijibu hii text.angu ❤❤
@HellenaKakolanya3 ай бұрын
❤❤
@IbrahimMohamed-yv6pz3 ай бұрын
Yupo vzuriii kwelll
@MleviInternational3 ай бұрын
pamoj
@philipojmwaipopo9493 ай бұрын
Mapinduzi ya movie bongo nilikua nmekata tamaa ya kutazama movie zenu now mnanirudisha safi Sana
@roudhamahmoud7633 ай бұрын
Asante mamanya umenifrahisha sana kuwaeleza ukweli hao mabibi 🎉🎉🎉🎉 asanteni sana wanojifunza tumejifunza na tunaendeleya kujifunza
@samsonkaboko51372 ай бұрын
Hawa mabibi wanatisha Sana na hii ndo dawa yake
@SaimoniMapunda24 күн бұрын
Mudi muzunguu ameiba🤣🤣
@NadiaNalo3 ай бұрын
Wife na sweetheart nawapnda❤
@karimalharthi814422 күн бұрын
Tunavunja kila kitu 😂😂😂😂 kimekuramba matlda
@calvinmalale17613 ай бұрын
Waaaaaoooo brother ambaye manyoni waooo brother i live the way you act big up love you guys much appreciated
@Liliankilongi17 күн бұрын
Hongera kwako manyanya, laiti ungelitokelesea mapema singejuta ivo 😭😭😭😭
@EradiusMwemezi3 ай бұрын
Sema sijui kwanini hii movie nimependa bule
@Aline-nq6vq16 күн бұрын
Church boy hatari😂😂😂 hahahah lakini mnajuwa sana
@RwegasiraRujehn3 ай бұрын
❤❤❤ hii Kazi yenu iko good sana tunaomba mwendelezo
@EuphraimNduwayoАй бұрын
Manyanya big up sanaa nimependa sanaa move.
@OmarNzohabonayo3 ай бұрын
Japo nimecelewa nipeni kidogo team strong 🇲🇬🇧🇮
@luchiusmwijage286325 күн бұрын
😂😂😂 ila huyu mlevi anafurahisha
@JamesKereth-zb8cb3 ай бұрын
ila Vai bhana 😂😂😂😂 unastahili usipate mwanaume mwenye gubu ila upate mwenye future ya mbele Zaid yako ndo muendelee 😂😂😂😂
@AgnesJohn-f1r3 ай бұрын
😂😂 jamaa ana gubu la kufa mtu
@abdillahshakur14 күн бұрын
😂😂😂😂 Aise hii Movie kwel inamafuzo kbx
@Ismalopezi3 ай бұрын
Wa pili kutoka kenya 🎉🎉 mnitembelee kwangu❤
@MasatuAdolf2 ай бұрын
iko vizuri mwamba🎉nitarudi kuangaria bongo movies
@WillsonChausa3 ай бұрын
Oyooooooooooo dunia mmetisha sanaaaaaaa movie kaliiiiiiii
@ghaithasabour747624 күн бұрын
Church boy 🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻...unamjaribu matilda....
@Alphonsine-zc8cp3 ай бұрын
Nawapenda kinoma yani sababu hamuchelewechi mambo❤❤❤❤
@CatherineJohnson-o2b27 күн бұрын
manyanya big up sana aisee uko vzur🥰💥
@BraytonHamis3 ай бұрын
Chachi boy nakubari unaweza mwanangu nachapombe bigapu kwake👏👏🔥🔥🔥👍👍👍
@revocatusbenezeth22823 ай бұрын
Manyanya big up sana nimependa ulivyoweza kuzuia upuuzi urafiki wa mke wako na wamama wasio na ndoa salute kuu❤❤
@nesaahaji13293 ай бұрын
Yani manyanya leo amenichekesha sana eti vai atabemendwa kifikra😂😂😂😂
@KelvinLikweny26 күн бұрын
Chach boy anazengua kweli kweli😂😂😂
@Officialmoyo-l1d25 күн бұрын
😂😂😂😂
@fatumaselanyika8253 ай бұрын
Tulio rudia hii movie ,,,tujuane mana(mie sirudiagi movie ila hii 🙌🙌🙌) NICE ENTERTAINMENT
@ChalenhKuba3 ай бұрын
Mimi hakuna kitu nimecheka kama malage ilivyo simama😂😂
@fatumaselanyika8253 ай бұрын
@@ChalenhKuba Mim nimecheka church boy,, tuanze KWAKUFUNGUWA KIPINDI KWA MAOMBI😂😂
@mnyampaa_kisasa3 ай бұрын
@@fatumaselanyika825 church boy ana moyo sna kupata mdada wa mjini tena kaumizwa vbya mno🤣🤣
@JudithJudy-hz6wr2 ай бұрын
Nimecheka aisee,utaanza kunila au chakula nimepika
@DeboraMialla2 ай бұрын
Wee hii movie tamu asee😂
@ReginaMasaba2 ай бұрын
Mudy pongezi kwakoooo 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@dionisntabangalala63453 ай бұрын
HIVI HUYU JAMAA MKE WAKE ANAJIFANYA ANAJUA KUTAFTA SANA ELA ANAITWA NAN MAANA HAPO KWENYE SHERIA YA KULA KANIFLAHISHA EET MAHALAGE YAMESIMAMA 😂😂😂😂🔥
@AminaKhalfani-ib7sh3 ай бұрын
Manyanya
@RajabuHayyan3 ай бұрын
😅😅😅😅manyanya
@Issanuru83o3 ай бұрын
Mm mwanamke wa hvo siwez kuish naye
@Farthun3 ай бұрын
Ndo mm nashangaa pia 😢😢😢😢😢😢 utakuta unamsukuma mwanaume kutoka nje bila kudhamiria mungu nipe mume kama huyu hebu
@nuwayirally17252 ай бұрын
Mbona unambadilisha tu
@ARONPaul-bz3ws2 ай бұрын
Amani kayakanyagaaa😂😂😂😂ilaaa amaniii nyieeeee dooooookakutanaaa na mwamba
@petergwash11153 ай бұрын
Fast from Kenya wapi likes zangu
@medissonmaslownemse23733 ай бұрын
Congratulations for yours acting I like you Mr Manyanya for yrs humbled and decision u take for