2020 kama una sikiliza marijani rajabu salute kwenu wote ,nasikiliza huku nikimwomba mungu Covid 19 aka Corona iishie mbali.
@fadhlaouifathi60264 жыл бұрын
Km l
@SUNDAYMGOLA Жыл бұрын
Huyu mzee ni fundi
@julithamuhale7271 Жыл бұрын
Ohh!kumbe fadhila ya binadamu ni ya muda!
@lucashakili271911 жыл бұрын
nyimbo za zamani kama hizi zina ujumbe ndani kila rika wanasikiliza
@kudramasoud26947 жыл бұрын
Salute kwako jabali la music rajab shabhani marijan bonge la ujumbe Allah akusamehe madhambi yako
@josephabel76544 жыл бұрын
Hii ardhi imemeza watu muhimu sana,Mwenyezi Mungu awarehemu marehemu wote...Mziki mzuri utaishi milele 30/12/2020❤️❤️
@ogetoj62453 жыл бұрын
Marijan Rajab and Mbarak Mwishehe top the class of the best composers and singers of the yester days, in Tanzania. By coincidence, the two come from Morogoro. We miss your wisdom! Dr. Ogeto International
@pascalilikecharles2789 жыл бұрын
gwiji la music Tanzania na Africa mashariki nzima mungu akulaze mahali pema peponi.
@wamupepe1205 жыл бұрын
Nyimbo nzuri can help someone who's disturbing about vitu vya dunia . Money, money , money utapoteza Mapendo , nikweli . Utauzisha nduguuuu ,utakosa adabu, utatukana watu wote ,utaji amini kwa jia ya UGONJWA mu Mutwe . Nisafi nyimbo oyo.
@magrethmkumbo67087 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo za zamani hasa za marijani Rajab na mbaraka mwishee!! Nyimbo zazamani ni nzuri sana kwanza unapozisikiliza zinamahusia ya maisha yetu yakila cku! Mwenyezi MUNGU awalaze mahala pema peponi ameen
@allykillenga61466 жыл бұрын
nice
@shevshenko36142 жыл бұрын
Dah kweli nimeamini ya kale ni dhahabu yaan usia mwanzo mwisho🙏🙏🙏🙏🙏
@HabibuThabiti3 ай бұрын
Fatilia na za madiu sistemo utanambia Kuna Pini noma
@phillippetershayo90168 жыл бұрын
Marijani Rajabu..Mungu akulaze mahali pema,Tutaendelea kukuenzi, Umetuachia mafundisho mengi kupitia nyimbo zako.
@dadawemkaliwakataewakubali40988 жыл бұрын
Phillip Peter Shayo mungu ilaze roho yamarijani rajabu mahali pema amina
@Imanikkk3 жыл бұрын
👍 👍 👍 👍 👍
@charlesmaina541327 күн бұрын
Halo, halo ndugu wa Tanzania, natoka Kenya na napenda sana nyimbo za watanzania wa enzi hizo haswa maalim gurumo. Kuna wimbo wa huyu jamaa unaitwa jumbe. Naweza upataje?
@MafegiPesambili6 ай бұрын
Namkumbuka baba yangu alikua anaimba sana huu wimbo 1993 mungu awapuzishe maana wote mko mbele yahaki
@aggreyoriema8914 Жыл бұрын
Good vibes 🔥🔥🔥🥀🥀🌹🌹🌄🌄🌄💯💞💞💞
@omarkipotwile9052Ай бұрын
2024 still rocking
@steveargwings8133Ай бұрын
Marijani Rajabu alizaliwa Machi 3, 1955, Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania, na alikufa Machi 23, 1995, Dar es Salaam, Tanzania.
@williamuphilipo74472 жыл бұрын
Marijani Rajabu aliishi katika Mawazo yaliyo hai, ndio maana ingawa hatupo naye kimwili lkn mawazo yake yanaishi mpaka leo hii. Viva our Legendary.
@amosjuliusrioba10643 жыл бұрын
Ni 2021, nakupata vizur na nafurahia Kaz yako Marijan Rajab. Rest in peace Comrade. Your legacy is living, your sound is living, your message is living.
@nickayub59873 жыл бұрын
Advice for all ages! Thank you Marijan! Listening in Nairobi,April 2021 nikishangilia Rais Mama Suluhu.
@tomsticky31243 жыл бұрын
Y
@issamangapi54863 ай бұрын
Hivi mbona sijasikia wakipewa tuzo huyu ma mbaraka mweshehe
@ogetoj62454 жыл бұрын
Uduni wa imani, uzalendo na wingi wa ubinafusi umeongezeka duniani. Maulana twaomba utulehemu.
@jamesmwasambili3819 жыл бұрын
Kweli dunia sasa imani imekwisha,bora ukutane na mnyama porini lakini sio binadamu,utu hakuna Ee Mwenyezi tutee waja wako
@jimmymusti1657 жыл бұрын
ujumbe mubashara...!!! dunia hii ya sasa dah rest in peace mtaalam Marijan....,M/Mungu akurehemu
@robertlusingo48614 ай бұрын
Alinihamasisha kipindi nikatengeneza gita Debe okay na mishipi ya samaki Kama nyuzi za gita na I niwe mwamuziki
@SharifaMkwangia-vc6tw8 ай бұрын
Shalifa yani zamani muziki ulikuwamoto san
@bigmzazee29613 жыл бұрын
Niko hapa 2021 mungu mkubwa tunaendelea kuona mambo ya dunia eeh mola tujalie mwsho mwema
@mjombayai68887 жыл бұрын
Hizi ngoma nazikubali mpaka nahisi kuumwa yaan ni tamu kupita maelezo yake, Naziombea zizidi kuwepo hapa Duniani.
@hajimbarouk29604 жыл бұрын
Bado pengo lako halijazibwa Mzee baba
@alfredmarti3131 Жыл бұрын
Angelikuwepo sasa hivi ndio angeshangaa zaidi. Dah!
@omarymakungu1520Ай бұрын
😂
@bigmzazee29612 жыл бұрын
2022 December Niko apa utu umekwisha umebakia unyama
@MROMMAH3 жыл бұрын
Dah naisklza hii goma mwak 2021/05/18......dah asee zaman wamefaidi sana looooooooh........😁😁👏👏👏👏saiv kwetu zmebak kam historia unaicklza una ifeel yan
@husseinomary44665 жыл бұрын
Huyu jamaa sijui kavaa nguo ngapi gonga like yako Kama nawewe kwenye picha hiyo
@anthonykisogole39505 жыл бұрын
Inategemea mazingira kama yupo Russia au Scandinavia unavaa zaidi ya hizo
@amourmtungo6238 жыл бұрын
Mungu amrehemu Marijani Rajabu. Alikuwa na upeo wa pekee kimuziki nchini Tanzania. Nyimbo zake kamwe hazishuki hadhi.👍❤️.
@merryjoseph83006 жыл бұрын
Amour Mtungo kabisa
@gosogoso52876 жыл бұрын
jabali LA muziki mungu amrehemu nyimbo zake ni kielelezo kwa jamii
@allykillenga61466 жыл бұрын
inapendeza sana
@charlesnyamu37539 жыл бұрын
Bila shaka, huyu ni jabali, jana, leo, kesho.......Mola akulaze weeema!
@bupemwagomile69484 жыл бұрын
Mbaraka mwishehe
@aggreyoriema89143 жыл бұрын
Nani kweli dunia imeshakiwisha si uongo na penda Sana nyimbo zako
@aggreyoriema89143 жыл бұрын
Mbinadamu wamengeuka wakakua wanyama
@pendopendo66008 жыл бұрын
mi Nkijan mdog san ila nyimbo naipenda san mungu hakureemu uko uliko Amina
@jumanneshabani9936 жыл бұрын
Tutaenderea kukumbuka nyimbo zako mungu akulrehemu mirere
@SeifHassan-e3t7 ай бұрын
Dah nakumbuka mbaliiiiiiiii sana Leo dah maisha ni kitabu
@tunumbungiro38849 жыл бұрын
huu wimbo unagusa maisha ya kila siku haupitwi na wakat
@omaryamad3648 жыл бұрын
aisee nyimbo za marijani Rajabu darasa sio nyimbo za sasa matusi wenyewe mavazi uchi mtupu
@venancejohn78668 жыл бұрын
Ningefurahi sana kama zingepewa kipaumbele.
@rashidothuman99236 жыл бұрын
Rip Jabari la music🎤🎼🎹🎶🎶🎶
@KakumbaKakumba9 ай бұрын
Yukon Sawa hata umbo alipewa mungu wa kweli ashukuliwe
@hesseinpengo82862 жыл бұрын
Jabal la music ayati marijan rajabu dahhhh mungu akulekhem
@paschalkedmoni74848 жыл бұрын
I 👍 him coz z some1 special in ma life.he made me to passed easily in hard challenge until to arrived here Jah bless u every whr u passing ther.
@babarukaiyababarukaiay82955 жыл бұрын
I wish ungekuepo zama Izi @2019 RIP Jabali
@rahabujohn26915 жыл бұрын
Nyimbo za zamani zilikuwa na mafundisho za leo ni mapenzi tu halafu mzuri jamani pumzika kwa Amani Baba
@mwanaidinakenya83649 жыл бұрын
nyimbo zake zote zinaviwango
@aymankhadija6193 жыл бұрын
Kweli kabisa my
@mussapukey11044 жыл бұрын
Hawa mzee wamekufa ila nyimbo zao zinaishi wakina diamond wanaishi nyimbo zao zimekufa hazina dili kabisa
@othmanalsherem73134 жыл бұрын
Mistari imesimama,Kama kipindi hicho dunia imekwisha je sasa hivi
@Imanikkk3 жыл бұрын
Mungu ampe kauli sabit good 👍
@josisaidi44195 жыл бұрын
Tunaosikilz hi nyimbo 2020 tujuane hp
@happykulanga66964 жыл бұрын
2021
@sangasam41633 жыл бұрын
Hapa ndipo
@saidmpondomoko48543 жыл бұрын
Tupo na bando LA kutosha vijana Wa as wajifunze kwa away magwiji nyimbo zinaishi sio zao mwezi zimesahaulika
@shevshenko55092 жыл бұрын
Shev shenko
@juliusotucho443611 ай бұрын
2038
@martinmwombeki7765 жыл бұрын
Hizi ndizo nyimbo , mwenyezi mungu akuweke Mahalia pema
@sangomamourice3539 Жыл бұрын
Mwishoni kabisa wa 2023 bado nasikiliza yaliyo dhahabu mbele ya masikio yangu
@ashacarzola6893 Жыл бұрын
2023 nasikiliza hapa ,nimekumbuka home sana jmn
@Georgemzuzuri-jz2ry Жыл бұрын
Nakumbuka tip top bar manzese b dsm
@husseinramadhan35152 жыл бұрын
Mziki mzuri haufi unaishi milele
@jumajuma15184 жыл бұрын
Namkubali sana huyu gwiji was music ukweli ujumbe wako unatufundisha sana
@maganyarobert70082 жыл бұрын
nakumbuka Enzi hizo kweli ya kale dhahabu
@kanjegenilongo10048 жыл бұрын
mungu weka busara za maneno haya katika akili za binadamu wa leo; ulikuwa jembe babu
@charlesally60285 жыл бұрын
Kweli kabisa duniani imani imekwisha
@MOHAMEDBALOZI-o9dАй бұрын
Ki ukweli Marijani ni kiboko wa kuelimisha na nasaha za uhakika. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema
@monicapaulmarwa45468 жыл бұрын
Ujumbe mzuri Sana;unaelezea kabisa maisha tunayoishi sasa;Upumzike kwa Amani.
@merryjoseph83006 жыл бұрын
Monica Paul Marwa rip
@bezarelchilewa93365 жыл бұрын
Wataendelea kukumbukwa daima.
@iddaraymond73963 жыл бұрын
Kweli kabisa dunia imani imekwisha Mungu baba tunusuru.pumnzika kwa amani marjani rajabu
@charlesbonifacekamotha31712 жыл бұрын
Natamani laiti ingekuwa inawezekana dunia tuiludishe nyuma japo kwa nusu Saa tu!
@shabanibumbolikassike207 жыл бұрын
We acha tu sina la kusema juu ya huyu Jabali la muziki ila ni kumuombea dua tu. Kwani nyinbo zake zote alizotunga na kuimba zina msfundisho makubwa katika jamii yetu. Mm sisikilizi bongo fleva hata kidogo.
@leahestony27232 жыл бұрын
2022 tupo pamoja😍😍😍
@henrychaula1174 Жыл бұрын
Marijani Rajabu hakuwa tu mtunzi na mwimbaji baali JIALIMU LA MAISHA kwa wanajamii
@husnamohamed94486 жыл бұрын
Nilikukubali na nazidi kukukubali jabali.Wasione wivu kuiga kutoka kwako
@salehemauza97242 жыл бұрын
Huyu aliishi mbele ya muda sana
@frbm17297 жыл бұрын
Nakumbuka kifo cha baba yangu mzazi mzee Bulabo.
@emmanuelmbati22737 жыл бұрын
My school mate at Tambaza secondary school. He remains the best ever.
@rastokapunji71915 жыл бұрын
Ulimshuhudia vipi Marijani bwana Emmanuel.Nimejaribu kupata historia yake bila mafanikio huyu nyota wa Afrika mashariki na kati
@pascalmayalla68694 жыл бұрын
Mkuu @balantanda, thanks for this
@thomasathanas39573 жыл бұрын
Tupe uzoefu wako nyakati hizi ilikuwaje?
@davidzacharia23737 жыл бұрын
uwa sichoki kusikiliza hizi nyimbo,marijani rajabu na mbaraka mwinshehe
@mohamednamnuma40747 жыл бұрын
Kiukweli zamani kulikuwa Na mziki hivi sasa kuna biashara tu
@gomberaathumani88919 жыл бұрын
Nyimbo safi sana
@MOVIEMAX2653 жыл бұрын
2022 narudia kusikiliza ujumbe wa maisha utakaodumu vizazi na vizazi
@RamadhaniKondo-n5c Жыл бұрын
Mwenyez mungu akulaze mahalo pena
@paulmacheque65077 жыл бұрын
Kwa kweli huu ndio mziki.Unaweza kuusikiliza mahali popote na ukiwa na adhira yoyote maana ujumbe unapenya kote. R.I.P Jabali, nguli na mkongwe wa muziki Marijani bin Raajab.
Ilikuwa saafi sana, vijana wetu wa sasa inatakiwa wajifunze kupitia nyimbo za hawa wenzetu japo hawapo lakini hazina zao zipo.
@hajichungu94135 жыл бұрын
Haji Mbarouk kweri kaka ujumbe murwa kabisa
@rashidmshindo15273 жыл бұрын
Pamoja
@ernestmodest31927 жыл бұрын
Huu mziki utafikili umetoka Jana R.I.P Rajabu Marijan
@ifakaraenvironmentcdoorg25595 жыл бұрын
niko shule hao tena darasa la tatu nakubuka walimu wangu du asante sana walimu na wazazi wangu hadi leo
@mutalemwa-woerle3 жыл бұрын
Daah imenikumbusha mbali sana...
@fredsengo41223 жыл бұрын
nani yuko apa anasikiza 2022.01.01??
@greenscreenvidoeprodutions31796 жыл бұрын
katika maisha marijani alifunza mengi kupitia usanii - mungu amrehemu
@rastokapunji71916 жыл бұрын
Jabali na sauti yenye tani 7 katika ubora wake.
@omaryngaro54218 жыл бұрын
asee watu wa zamani mmekula raha asee duuu?
@jaksonsafiel79675 жыл бұрын
sautissa jaman ulale maalipema peponi
@juntwantuli54049 жыл бұрын
ujumbe mzuri
@selemanishomari11314 жыл бұрын
Mimi mars ft mwanafa
@AllyMsita7 ай бұрын
Hakika miziki ilikuwepo watu wa zaman mliinjoy sio sasa miziki ni kutamka matusi tup
@omaryhussein13947 жыл бұрын
nyimbo zenye mafundisho
@shabanibumbo25158 жыл бұрын
yani huyu mungu amlaze mahali pema peponi maana hizi nyimbo zake zinalenga jamii tu na jinsi ya kuishi kwali mm nimsikilizaji mzuri sana na hizi zilipendwa ingawaje co mtu mzima kivile lkn hua nakumbuka mengi sana.
@danielmwakamisa19854 жыл бұрын
Kweli zamani tulifaidi sana
@nurumvungi22102 жыл бұрын
Hizi jumbe kizazi kipya hawana kabisa... Sijajua ni watunzi wa simulizi kama hizi hakuna ama shida iko wapi sijajua.
@khajiabdallah64897 жыл бұрын
huu ndiyo muziki wa kusiliza
@mohammedomar47585 жыл бұрын
Zilipendwa ni nyimbo za makini sana
@wamupepe1205 жыл бұрын
Umaskini ni mambo . Inabalula vichwa mbele ya FEZA .