wimbo:DUNIA YOTE SHANGWE mtunzi: KAPUMPA BJ waimbaji: KWAYA YA MT.ALOYCE GONZAGA CHUO CHA MIPANGO DODOMA kinanda: GC GABRIEL studio: CGen Pro mawasiliano:+255765449914
Пікірлер: 152
@TheoManga-fs8no5 ай бұрын
Karibu sana parokia ya salama ya wagonjwa muhimbil _ kwaya Agustino tujimuike kwa pamoja kumsifu yeye.
@WitnessKyateile5 ай бұрын
Nice song karibuni tuimbe kwa pamoja
@PascalKoba-ve1zi5 ай бұрын
Hongreni wanakwaya kutoka chuo Cha mipango dodoma hakika mmependeza
@SurprisedBigWaterfall-cg1zk5 ай бұрын
Ongelen sana kwa uinjilishaj irdp wimbo mzur mungu awabarik❤❤ proud of catholic 🙏🙏
@shadrackromanus19065 ай бұрын
Bravo Mt. Aloyce Gonzaga 🙌🙌🙌🙌🙌🥂🥂🥂🥂
@mariamdoma21605 ай бұрын
Hongereni sana 🎉wanachuo cha mipango 👏👏👏
@user-tc6tn4hi5e5 ай бұрын
Hongereni sana, hongera pia organist ameumudu wimbo vizuri...kongoreee Wanachuo wa Mipango
@magotianuro5 ай бұрын
Hongereni Sana NYIMBO NZURI SANA MUNGU AWE DAIMA NANYI TUMSIFU YESU KRISTO
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Milele Amina ,,, tunashukuru sana kwakweli
@mariakulaya23375 ай бұрын
Nyimbo nzuri, sauti safi ❤ hakika Mbarikiwe sana
@VailethRugaba5 ай бұрын
Hongereni sana wana mipango nyimbo nzuri sanaaa
@kelvintibaijuka47515 ай бұрын
Hongera sana dada ang Diana umetoa tabasamu la Wimbo bora😂😂😂😂
@user-tc6tn4hi5e5 ай бұрын
Kazii nzuriiii vijanaa Go! Go! Gonzaga
@user-ev9ob4cj8x5 ай бұрын
Kazi nzuri Gonzaga family gari limewaka sasa n moto tyuu
@beatricemarcel70325 ай бұрын
Kazi nzry😇. .mbarikiwee🤗🤗
@tossy995 ай бұрын
Kazi nzuri sana🎉🎉
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Amina sana kaka mkubwa
@bonusndunguru77915 ай бұрын
🎉vijana wa mipango mmetisha hatari!!!🎉❤
@user-vn9gv6cd4g5 ай бұрын
Hakika mko vizur✊
@user-ug1we4xg9n5 ай бұрын
Njooni watu wote,kutoka pande zote za dunia🙌🙌🥰🥰
@TheoManga-fs8no5 ай бұрын
Hongeren Sana mipango hakika hampo nyuma kiutume
@BatuliKhoja5 ай бұрын
Kazi nzuri Mwenyezi mungu naimani atawabariki kwa Kila hatua mnayopiga Mungu ni Mwema awatangulie kwa Kila jambo
@mtaloycegonzaga25945 ай бұрын
Amina
@user-zb6ro6jw4c5 ай бұрын
KWAYA NZURI DODOMA SIJAONA NA NYIMBO NZURI SANA HONGERENI SANA WANAMIPAMGO WAKATOLIKI WAIMBAJI💯💢💥😇
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Asante sana Mungu akubariki pia
@PascalKoba-ve1zi5 ай бұрын
Asante
@tittophilip1585 ай бұрын
Hongereni Sana vijana wa mipango kwa kuinjilisha vizuri
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Asante sana mkuu
@KOLETANGANJI5 ай бұрын
Kaz nzur
@RozamundaMsemwa5 ай бұрын
Wow mbarikiwe sanaa
@deusdedithmunishi5 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa utumie huu... Nawaona ndugu zangu sauti ya nne mmeupiga mwingi😮❤
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Aiseeee Amina sana
@phresianantamakililo65225 ай бұрын
Wimbo mzuri sana MUNGU AWABARIKI
@SimonMalimi-rv2ky5 ай бұрын
Safi sana Mungu azidi kuwapa maarifa zaidi na zaidi, ni nyimbo nzuri hakuna lisilowezekana mbele ya Mungu
@modestermkondya74315 ай бұрын
Asantee Sana😊😊🙏🙏🙏
@sethchuma75 ай бұрын
Kongolo sana réunissons-nous pour louer DIEU, c'est très joyeux
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Hahaha 😂kaka shukrani wazili wa elimu hahaha
@rebeccasylivester53593 ай бұрын
Merci
@aurathandrew19595 ай бұрын
🔥🔥🔥
@kmddecohas5 ай бұрын
Pamoja sana katika uijilishaji, hongereni sana wimbo mzuri sana
@patrickmasunga3575 ай бұрын
Mmewaka sana, nyimbo nzuri Sana na mungu awatakase katika kristo
@mtaloycegonzaga25945 ай бұрын
Amina sana
@SamsonLucas-vk8mo5 ай бұрын
Safi sana hiii, mbarikiwe vijana,❤❤
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Amina sana Likanyata
@SamsonLucas-vk8mo5 ай бұрын
@@GodfreyMpunza-fj7fikijana upoooo
@magrettemu5 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa utume wanagonzaga❤ Hii kwaya n fire 🔥🔥 nawapenda sana😍
@HappinessKulwa-yp1ci5 ай бұрын
❤❤❤ hongeren sana. Majiran zetuuu hakikaaa umefanya vzr sanaa mungu azid kuwaongozaaa
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Waoooo Amina sana
@SarafinaMpunza-me8cv5 ай бұрын
Hongera sana mtunzi na waimbaji kwa ujumla nakuona Aunt yangu God safi sana kwa uinjilishaji kwa njia ya uimbaji
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Waooooo nafarijika sana Aunt yangu ,,,,,, tunaomba utuombee tufanye vizuri zaidi ya hapa😅
@ATURENITHOMAS5 ай бұрын
Mungu azingi kukuza vipaji vyenu hakika mmeimba vzur
@modestermkondya74315 ай бұрын
Asantee sana😊🙏🙏
@KWAYAYAMTCESILIATMCSTIAMBEYA5 ай бұрын
Mmeupiga mwingi vijana wa mipango nawapenda sana
@yustinamnyenyelwa63965 ай бұрын
Tunakupenda pia❤
@GodfreyMpunza-fj7fi4 ай бұрын
Asante sana tunashukuru na tunakupenda piaa
@StellaSix5 ай бұрын
Mko live sana hongereni sana
@josephatvalerian5 ай бұрын
Big up wanagonzaga👏👏👏
@AnethLyimo-zf6xe5 ай бұрын
Haki Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu Sanaa.Nimetamani kurudi Mipango..Ni zaidi ya fire 💪🏾💪🏾❤️
@catherinekusenta33025 ай бұрын
Rudi dada level hazijaisha mipango bado kuna masters 😂
@jovanjohn18185 ай бұрын
Waohhhhh 🌹🌹🌹 hongereniiii Sana jamani 🥰❤️❤️❤️❤️❤️ nawapenda mnoooo aloyce Gonzaga
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Amina sana kaka
@modestermkondya74315 ай бұрын
Asantee sana😊
@nisebertbenedicto92145 ай бұрын
Cu siguranță Dumnezeu a înviat. Mulțumesc frumos pentru melodia frumoasă 🙏🙏💙🙌
@modestermkondya74315 ай бұрын
Asantee Sana 😊😊🙏🙏
@kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo5 ай бұрын
Hii nyimbo fire 🔥
@JanethKisunkulu5 ай бұрын
Waoooo inapendeza 🎉🎉🎉🎉
@GRACIANGODWIN5 ай бұрын
From Agustino wa hippo coed UDOM nawakilisha hakika mmefanya vyema sana nazidi kubarikiwa sana.
@alexnkwera23245 ай бұрын
Hongereni sanaa
@catherinekusenta33025 ай бұрын
Asante sana
@user-ob1we4kb2g5 ай бұрын
Waooóoh mmetuheshimisha sana ❤❤🎉🎉hongereni
@catherinekusenta33025 ай бұрын
🙏🙏
@josephatvalerian5 ай бұрын
Hongeren sanaaa!
@MichaelKulwa-qq1lg5 ай бұрын
Nice song ❤
@Beatricewilliam-ft5xd5 ай бұрын
Hongereni san nyimbo nzr sana❤
@catherinekusenta33025 ай бұрын
Asante sana
@lydiaalex51374 ай бұрын
Hongereni sana Na awabariki sana Mzidi kumtumikia yeye kwa njia ya uimbaji
@user-ps2jr3qz9b5 ай бұрын
Incredible Song 🔥🔥🔥
@GodfreyMpunza-fj7fi5 ай бұрын
Thanks much
@rebeccasylivester53595 ай бұрын
Amazing song with good voices from Gonzaga singers .Gob bless all
@catherinekusenta33025 ай бұрын
🙏
@AntoniaMpagike5 ай бұрын
Nimewaona vijana wangu, Endeleeni kumtumikia Mungu
@GidionLufunga5 ай бұрын
Mungu awabariki Sana muendelee kumtumikia kwa kuimba na kulitangaza neno lakee🙏🙏
@CletusMarc4 ай бұрын
Tumwimbie bwana… hii kazi ni nzuri sana hongereni sanaaa…
@user-ht2cx1wx6p5 ай бұрын
🎉🎉🎉so adorable 🙏🙏Mungu azidi kuwabariki
@mtaloycegonzaga25945 ай бұрын
Amina
@WitnessSailepu5 ай бұрын
Ongereni kazi nzurii mungu azidi kukuza vipaji venu
@catherinekusenta33025 ай бұрын
God did🙏 kazi ni nzuri mno halafu kuna mwanya wa mnyiha mmoja umetawala humu hatari😂 #videoqueen 🎉
@modestermkondya74315 ай бұрын
😂😂😂😂mwanya lazima uonekane ili video ipambeee
@catherinekusenta33025 ай бұрын
@@modestermkondya7431 🔥🔥
@GodfreyMpunza-fj7fi4 ай бұрын
Hahahahha eti mwanyaa😅😅😅
@modestermkondya74314 ай бұрын
@@GodfreyMpunza-fj7fi 😅
@GRACIANGODWIN5 ай бұрын
Kinachonifurahisha zaidi nikiwa kama kiongoz wa kamati ya IT nikuona juhudi mnazozifanya yan siku3 mko na 1.5k viewers hii ni speed njema sana ongezeni juhudi mtafika mbali hadi wengine washangae
@magrettemu5 ай бұрын
❤️🔥🔥🔥
@JANETHALPHONCE-vr9yw4 ай бұрын
Ongeleni sana kwa uinjilishaji mzur wimbo mzuri sana
@bonitovedasto61514 ай бұрын
Sifa kwa mungu kazi nzuri wapendwa
@remigiusluhwago4 ай бұрын
Love❤❤ from kwaya ya mt.secilia (CBE)
@GabbyEben5 ай бұрын
Beautiful ❤
@user-ul1jt5ci8h5 ай бұрын
Congratulation Mungu awabariki🎉🎉
@MariamKamali-cw6bh5 ай бұрын
Waohhhhhhhbhb❤🎉❤🎉❤❤❤❤ kaz nzuri sanaa watumishi🙏🙏
@marycylvester35935 ай бұрын
Nice work God bless you 🥰🥰
@catherinekusenta33025 ай бұрын
Amen🙏
@user-xy4ej8fz8c5 ай бұрын
🎉🔥🔥
@madidasasa5 ай бұрын
Mbarikiwe waimbaji
@billdepierree2274Ай бұрын
Nafurahi kuona muendelezo mzuri wa kwaya hongereni sana
@JamesLaulent4 ай бұрын
Mko vizur hongeren sana kwa kazi nzuri
@DeogratiasSimon-cn2qu5 ай бұрын
Hongeren san
@ngekepeter6085 ай бұрын
Wimbo mzuri xan ❤❤" very attractive song"
@philipocyprian62395 ай бұрын
Wimbo mzuri na una ujumbe mnzuri sana. Changamoto ninayoona kwangu ni quality ya video imefifia sanaa. Kazi ijayo tuweke sawa hapo
@mtaloycegonzaga25945 ай бұрын
Noted boss 🙏🙏🙏
@catherinekusenta33025 ай бұрын
😊
@PetroMgani5 ай бұрын
Hongereni sana kazi ni nzuri
@piethaphilbert5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥❤❤❤
@user-em8pg6re3i4 ай бұрын
Congratulations my love kwaya at home planners dodoma🎉🎉🎉
@paschalkuta68564 ай бұрын
kazi nzuriiii sanaaa🙏🙏🙏
@user-xo5wq5sh6d5 ай бұрын
Hongereni wimbo mzuri sanaaa
@anthonymaro25204 ай бұрын
Nice mbarikiwe sana........ndugu yang paul
@MaryMboje-wd6kx3 ай бұрын
Kazi nzur sana wapendwa
@DanielHilari-vq7iy5 ай бұрын
Hongereni sana. Kazi nzuri
@BenesiaTumbu4 ай бұрын
Karbun wote tuendelee kufufuka na yesu
@TheoManga-fs8no3 ай бұрын
Namwona Best yangu Idda , hongeren sana
@Yunujaja095 ай бұрын
❤
@MenaBarnaba5 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@remigiusluhwago4 ай бұрын
Wapi dadaa Egraa🤩
@ernestaswile75545 ай бұрын
Hongeren sana 🎉
@catherinekusenta33025 ай бұрын
🙏
@Arati35 ай бұрын
Nice😊
@user-iw1zg3ml4g5 ай бұрын
Kaz nzr ❤❤❤
@yustinamnyenyelwa63965 ай бұрын
❤❤✊🤝
@fabiomkolomi35294 ай бұрын
👏👏👏 Kazi zuri
@lucasmako37635 ай бұрын
Kazi nzuriii vijana
@GeeTv124 ай бұрын
Hongereni sana planners kwaya
@ShadiaHassan-rd2hw5 ай бұрын
Hongera sana chuo changu
@hamdunisimba19945 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-om8ce1sk3z3 ай бұрын
Much congratulations👏👏👏
@yovitadanda56455 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@jamespeter41954 ай бұрын
Hongereni vijana wa Kwaya ya Mt.Aloyce Gonzaga Mipango Dodoma