Pokea tuu jaman sa hapo shida iko wap umeletewa zawad pokea mambo ya bei sio juu yako ohoooo
@SaidChilaza5 ай бұрын
Watu wanabahati bwanaa sjawahi kuhongwaa
@FaridaKizenga4 ай бұрын
Hata hivyo ashukuru, kuna wengine hata cm za twanga pepeta hawapew😂😂😂😂
@MICHAKATONOAH9 ай бұрын
Huyo dada ajielewi kabisa Airudishe basi
@marywairimu56829 ай бұрын
Ume choma 😂😂😂 mr.uk
@MuzdalifatRashid-kn2wv9 ай бұрын
Uky ww🎉
@Dylan0nly9 ай бұрын
Mimi mimi
@MuzdalifatRashid-kn2wv9 ай бұрын
@@Dylan0nly hhhhhh unatixh muje zenji xax na kiredio
@descendantstz28679 ай бұрын
Hii umezingua hata sikusupport, haikuwa na ulazima wakuifanya
@najmasalim-rg6ow9 ай бұрын
Midada isiyojielewa bhana
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج9 ай бұрын
Aya mwambie mtangazaji akuowe yeye AU akuonge yeye.
@KavumoHandeni7 ай бұрын
Mxahamb uyooo
@gwantwajohn78759 ай бұрын
Hukumalizia sentensi yako ulitaka a top up aende ipi tena wakati hiyo ndio ya mwisho
@MamaSaid-yg2eb6 ай бұрын
Kwelyyyy mwanamkee mpumbavuu uvunjaa uhusianoo wakee mwenyewee ushaletewaa zawadiii bdoo unatakaa kujuaa Bei hayaa Sasa Laki 9 wewe unayoo😂😂😂😂😂😂😂😂 ukutee ata kadii ya benkii hunaa bdooo unaletaa udada duuuuh na wewe mtangazajii hii challenge hainaa maana jitahidii kuletaa vtuu tofautiii