Huyu dada aliigiza kwenye Shilling alikua na tabia nzuri sana nikajua ni kwenye kuigiza tu kumbe hadi uhalisia kwa kweli upewe maua yako🌹🌹🌹
@Zuwena-ju9xx6 ай бұрын
Jamn team shilling 😁😁
@Munayya-g2p6 ай бұрын
Tupo hapa😂😂@@Zuwena-ju9xx
@SHAMSAMMOLA4 ай бұрын
Jamani uyo dada asimweche lafiki yake maan malafki kama awa wapo wachache san❤❤❤
@zainabadam1237 ай бұрын
Japokua akina zaii tunamidomooo lkn sisi niwaaminifuu sanaah mm pia shemeji ang alinitongoza namchukia kinomaa yan nikamwambia rfk ang uzuri alinielewa na anajua nadeal na mtu wa aina gan😢😢😢
@Shadia5447 ай бұрын
Jamaniii kumbee wapo marafiki kama hawa jamaniii nimelia sana 😢 mungu nipe rafiki kama huyu ni mkweli sana jamaniii marafiki wapo kama hawa ✌️
@IrenewillyMwenda7 ай бұрын
Mm hap nipo kipenz tupo wote kwa anko j mpka huk tupo wote
@IrenewillyMwenda7 ай бұрын
Mm natafut bff kwakwel
@rehema71806 ай бұрын
😂😂😂@@IrenewillyMwenda
@YusraPeter-q5t6 ай бұрын
@@IrenewillyMwendanipo apa😢
@mahramarswad60416 ай бұрын
Nimempenda mwana shoga kama hawa wapo wachache duniani nimempenda bure mpeni salam zangu namie awe rafiki yangu karibu uk 🇬🇧 makrim sana kuwa hivyo hivyo kumbuka thamani ya rafiki yako hivyo hivyo
Kwani apo kwa mwana mnaficha nini jaman kama katoka kwake kavaa Ivo c mtuachie na sisi tuone 🤣😝
@LeevathyJohn6 ай бұрын
Ewaah we umenena👌🏽
@Fikiliniaruna-c9v6 ай бұрын
Malafiki wengine wanagalia Hera mungu akujalie maisha malefu
@arafajuma41286 ай бұрын
Rafiki zangu Mimi
@janepeter14204 ай бұрын
Sio hera ni hela 😂😂
@stefanomasolwa89796 ай бұрын
Yani huyu Mtoto ni Mtoto Mwaminifu handi Nampenda kweli ❤❤❤ ila Wanaume jameni nikwa nini hamna heshima
@GLORIARESPICIUS-xl4gr7 ай бұрын
She is a good girl ❤
@KeziaLucas-n8k7 ай бұрын
Jamani hawa marafiki wahivi kumbe bado wapo🎉🎉
@KhadijaJacob7 ай бұрын
Tupo mamy nihofu ya Mungu tu inachangia
@omanoman20447 ай бұрын
Hata mie nashangaa jaman mie nilikutan narafiki mmoja wa mwanza tulikuw wote huku oman yy sai yupo TZ NIKAMTUMA KWETU ALICHO FANYA HUKO NYUMBAN MUNGU NDO ANAJUE
@omanoman20447 ай бұрын
@@KhadijaJacob kumbe wapo duuh
@aminamaulid73716 ай бұрын
Tupo wachace mnooohhh ila tupoo❤❤
@MariettaNyoni7 ай бұрын
Asee Mungu angenijalia kupata lafiki km huyu asee ningetamba sana ❤asee lafiki mzuli sana
@florencejames-jo1cz7 ай бұрын
Mbona akina kevo walilaaniwa na Nani mbona wameandamwa na matukio hv 😂😂😂😂😂
@FaridaKizenga7 ай бұрын
Zai naomba niwe rafiki yako, unaupendo wa dhati kwakweli❤❤
@bushbabytz7 ай бұрын
hujui kuongea kiingereza mr uky, acha swagga za english unaharibu...ongea kiswahili acha kujichanganya