FULL KIKAANGONI: Bahati Bukuku asimulia kwanini maisha ya ndoa yalimshinda

  Рет қаралды 256,774

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Msanii wa Injili, habati Bukuku amefunguka mengi kuhusu muziki wake, maisha yake na tasnia ya sanaa kwa ujumla huku akikiri kushindwa na maisha ya ndoa. Akiwa Kikaangoni ya EATV pia amewataja wasanii wa injili anaowakubali, huku akitaka wengine waombewe.....

Пікірлер: 237
@sarahmuana499
@sarahmuana499 5 жыл бұрын
I love how she is using wisdom to answer the questions God bless you
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 9 ай бұрын
Nimekuelewa sana my barikiwa cn mabint tunajifunza mengi kupitia ww❤
@annmuthoni7465
@annmuthoni7465 4 жыл бұрын
Am grateful to this TV . this is the best interview on Bahati Bukuku, the presenter is so polite to her and has managed to get the best out of her without hostility.
@rdtcrdtc9869
@rdtcrdtc9869 7 жыл бұрын
Hakuna aliyemtumikia Mungu wa kweli akaabika. big up dada songa mbele usijeuke nyuma. kila unachotaka kufanya mwambie Mungu inawezekana. love u.
@FridahIdenya_FBI
@FridahIdenya_FBI 4 жыл бұрын
Bahati Bukuku ......quite inspiring woman....chatting you from Baghdad Iraq. For years I've sang your songs and used them as prayers. I love Esther song, Sindula, Abneli, Mzee tupa tupa alipo ona wa dada ( LOL ). Maamuzi yako ni matokeo ya kesho, and many more but most of all "Esther Song" keep up....Listening to your songs in Baghdad Iraq...
@estheramiry8483
@estheramiry8483 7 жыл бұрын
Nampenda sana, na pia napenda nyimbo zake ila kitu ambacho ningemuomba bahati ebu akae na mume wake. Nadhani itampendeza Mungu zaidi.
@bulozenyota8974
@bulozenyota8974 4 жыл бұрын
Kaka kwani unafkiri ndowa zote zinatoka kwa Mungu ?? Zingine zinakuja kukutowa kwenye malengo ya Mungu.
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
we support u here in Kenya more I grew knowing Bahati na Rose muhando are Kenyans.their songs are played everywhere
@frankjully5457
@frankjully5457 6 жыл бұрын
they are tanzanians
@stephanoedward5763
@stephanoedward5763 7 жыл бұрын
Bahati, Endelea kutumika na zidi kusimamia imani yako kwani hatimaye kazi yako itapimwa na Mungu. Sisi tunakukubali, kila mara hakikisha umekubaliwa na Mungu mtendakazi asiye na sababu ya kutahayari kwa neno au kwa tendo. Nakutakia ushindi mpaka Yesu ajapo.
@masaamusyimi1828
@masaamusyimi1828 5 жыл бұрын
Daaah, hongera dada, wajieleza maelezo mazuri Sana. Napenda wimbo wako Ni nyakati za Mwisho na Vumilia.
@miburoemmanuel5451
@miburoemmanuel5451 6 жыл бұрын
Mungu akubariki saana kwa kazi yako njema Bahati Bukuku. Ninakutakia kila na heri na mwisho mzuri kwa safari yako ya kwenda mbinguni.
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 2 жыл бұрын
Wow! She as avery strong personality plus high sense of humour, it seems to be in christ life is really fun, she is also cute
@judypretty5274
@judypretty5274 7 жыл бұрын
Amen barikiwa sana dada Mungu nimwema akutie nguvu. Napenda wimbo wako wa sinduna
@user-es1rz9em5q
@user-es1rz9em5q 5 ай бұрын
Always humble unajibu maswali na hekima ya juu sana
@yvettemastaki9587
@yvettemastaki9587 4 жыл бұрын
Oh kweli kabisa Mungu Ni mzuri ndani yako bahati unanitiya moyo Sana Kila ninapo kufata na nyimbo zako Zina nitiya nguvu
@gwakisamwakajumbambanga5882
@gwakisamwakajumbambanga5882 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Bahati , Mungu aendelee kukutumia katika with alioweka ndani yako. Tunabarikiwa sana Kwa nyimbo zako, maana nyimbo zako Ni maubiri tosha
@christinithoyathoya1907
@christinithoyathoya1907 7 жыл бұрын
Nakupenda sana dadaa bahati nyimbo zako zote ziko na mafunzo na zinainua kiroho nakuombea mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi.
@blessedlinah9230
@blessedlinah9230 7 жыл бұрын
Bahati you are a blessing to us, more grace mum, I used to know that you are a Kenyan when I was young but all is well, Mungu akubariki sana na azidi kukuinua zaidi, personally I adore you
@blessedlinah9230
@blessedlinah9230 7 жыл бұрын
Film ile umetoa na jenifer mgendi inamafunzo mengi sana,Mungu akuongoze unapotea zingine na kubariki so many people
@fortunatemathiasbarabara3686
@fortunatemathiasbarabara3686 6 жыл бұрын
mrembo, anajiheshimu ana sauti ya kipekee na nampenda zaidi kwa sababu anaimba nyimbo za injiri
@sarahsonelo2636
@sarahsonelo2636 7 жыл бұрын
Mungu akubariki mdogo wangu, Azidi kukupa hekima na maarifa. Ukiinuliwa na Mungu utabaki kuwa juu .
@SandrineIrakoze-hg7dl
@SandrineIrakoze-hg7dl Жыл бұрын
Barikiwa. Bahati. Wa rundindi. Tunakupenda❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@marthamlove1342
@marthamlove1342 4 жыл бұрын
Wow I real Love her she is very wisdom woman of God.
@ggnb695
@ggnb695 4 жыл бұрын
BAHATI, ROSE MUHANDO.....nyinyi n wana kenya sio Tanzania...+254...we love you and care for you more 🌹🔥🔥🔥🔥🔥
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 жыл бұрын
Amen
@tinadaudi786
@tinadaudi786 6 жыл бұрын
Nakupend San bahati mungu akubarik sana nataman siku moja niimbe na wew ubarikiwe sana
@syridionvester4655
@syridionvester4655 6 жыл бұрын
Barikiwa sana Bahati kwa Huduma yako nzuri ya uimbaji na ushauri mzuri wa kimaisha
@vailetmwampamba2341
@vailetmwampamba2341 5 жыл бұрын
Good.. Napenda sana kujiamini kwako na kujibu maswali yako
@hellenadhiambo153
@hellenadhiambo153 5 жыл бұрын
NAPENDA SANA NYIMBO ZAKE BUKUKU ZINA MAFUNDISHO MINGI KWA WATU KWA HIVYO NAOMBA HATA MIMI KUMTEMBELEA BUKUKU SANA BE BLESSED MORE AND MORE AMEN
@happymbilinyi9212
@happymbilinyi9212 7 жыл бұрын
Dada mungu akupiganie nakupenda Sana napenda na ujumbe wako unaotoa barikiwa sana
@beatricemakokha2344
@beatricemakokha2344 7 жыл бұрын
ongera sana Dada whenever i listen yr songs ifeel uplifted.Glory to the most high n be blsd!
@tinnamapogo9474
@tinnamapogo9474 7 жыл бұрын
Mungu akubariki saana kwa kazi yako njema Bahati Bukuku.
@hopekanyasa171
@hopekanyasa171 7 жыл бұрын
napenda sana nyimbo zako pia unajiamini sana dada barikiwa
@mbithedorcas9711
@mbithedorcas9711 4 жыл бұрын
nyimbo zako zinazidi kunbariki mungu akutie nguvu zaidi na zaidi
@hobokelakajange7323
@hobokelakajange7323 5 жыл бұрын
Dada, na MTUMISHI Wa Mungu ,ubarikiwe kwa kazi zako njema zinanibariki, hasa hiyo sauti yako nzito kama yangu,
@lovemyselflovemyself954
@lovemyselflovemyself954 7 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana dada Bahati kwakazi yake ambayo unayo ifanya una wa bariki wengi Sana.
@chancelineestimee6102
@chancelineestimee6102 7 жыл бұрын
na furahiya hiyi Mada yenu sa sa nataka kuuliza bahati bukuku mimi nimkongomani kufikakumuona pale ilinijiunge kwrnye kwanya Yale nifanye nini sababu napendaga nyimbo zake sanaaana
@agnesmbunda2393
@agnesmbunda2393 5 жыл бұрын
Amanda Welse b
@angelachuwa3790
@angelachuwa3790 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Mungu akuinue kwa viwango vya huu Bahati
@sherrydaniely9402
@sherrydaniely9402 7 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu Bahati binafs napenda sana nyimbo zenu mnazoziweka kwenye movie
@themalonge475
@themalonge475 7 жыл бұрын
Sherry Daniel
@gisellamallya2025
@gisellamallya2025 7 жыл бұрын
*nakupenda pia unanifariji pia unanitia moyo*
@annemakee249
@annemakee249 6 жыл бұрын
Much love from +254.sautiiiii
@rachelmwaki7454
@rachelmwaki7454 6 жыл бұрын
Umenitia moyo sana,,, kuwa nitazame agano langu na Mungu na si vipimo vya watu
@wiza2309
@wiza2309 7 жыл бұрын
Mungu akubariki, shikilia hapo ulipo Usimwache Mungu. Ila jihadhari na hizo filamu maana Ibilisi hutumia mapungufu madogo ili kupitisha rupia
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 5 жыл бұрын
God bless you sister sister... interview nirefu sana.... Bt I thank God umenifunza kitu... Nimependa figa yako.. umependeza sana.. God bless you more and more in Jesus Name
@yohanajustine5188
@yohanajustine5188 6 жыл бұрын
Mungu akubaliki zaidi katika maisha yako mama kipenzi
@DelphinIlunga-ge5ud
@DelphinIlunga-ge5ud Жыл бұрын
Mimi naitwa ahadi fazili yule mamy kama iko na mungu kweli yaani ange nichukua Lubumbashi congo nakuja tanzania
@wilsonomondi2313
@wilsonomondi2313 7 жыл бұрын
kazi yako mzuri Bahati. Mungu akubariki
@judithcharles5523
@judithcharles5523 6 жыл бұрын
ubarikiwe Sana. naupenda sana ule wimbo NIMESAMEHEWA dhambi siyo majaribu.
@agneslyoba3636
@agneslyoba3636 7 жыл бұрын
Nakupenda sana Dada Bahat Bukuku nakukubali sana Mungu akuinue
@rosekageha2839
@rosekageha2839 6 жыл бұрын
Long live Bahati Bukuku hakika umebariki wengi , Nafurahia sana mahojiano ukweli unadumu.
@janeboniface2775
@janeboniface2775 6 жыл бұрын
mungu akutie nguvu
@carenkhisa5566
@carenkhisa5566 6 жыл бұрын
bahati bukuku, nimebarikiwa sana na roho aliye ndani mwako, ubarikiwa sana milele daima
@sysyniyosybu588
@sysyniyosybu588 6 жыл бұрын
Namimi ni mrundi ila nampendaga sana dada bahati bukuku
@sysyniyosybu588
@sysyniyosybu588 6 жыл бұрын
Nakupa bigapu saana dada bahati
@eddahwangatia2344
@eddahwangatia2344 7 жыл бұрын
Hello Bahati, Mimi nasubiri huo wimbo wa 1hundred minutes God bless u dear
@usuilimkoma7017
@usuilimkoma7017 7 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu ni mwema.
@eriothyjohnsonbashimana9737
@eriothyjohnsonbashimana9737 7 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nabarikiwa sana na huduma yako endelea kumtukuza mungu
@sesibahat8518
@sesibahat8518 4 жыл бұрын
Eriothy JohnsonBashimana g
@neemakiyeyeu594
@neemakiyeyeu594 7 жыл бұрын
nakupenda sana Dada Bahati sanaaaa natamani siku nikuone live.
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 2 жыл бұрын
Amen... i love you daa... I like your hair styles also
@mariammwaipopo5561
@mariammwaipopo5561 6 жыл бұрын
big up dada. movies Ni nzuri endelea Ni kumtangaza Yesu kwa njia ya uigizaji
@modestaruguzye3180
@modestaruguzye3180 5 жыл бұрын
Mm binafis nampenda bahti bukuku abwene ndokabisa hapo mtakuwa mmenikuna zaidi waooo bahati nakupenda saaana
@rosekageha2839
@rosekageha2839 6 жыл бұрын
Mama nakubali sana huduma , pia mchango wako wa kuhimiza tena kuelimisha jamii kupitia nyimbo zako za kujenga ,kutakasa mioyo zetu.
@mponelasijaona1078
@mponelasijaona1078 4 жыл бұрын
Uko vizuri sana dada bahati. mungu akubariki je una watoto wangapi?
@ireneanzuruni3802
@ireneanzuruni3802 6 жыл бұрын
Mungu aku bariki dada,nakupenda sanaaaa,natamani nikuone kabisa,nita furai sanaa
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 7 жыл бұрын
ooh that's awesome Bahati you are talking true
@agnesrwakabamba8390
@agnesrwakabamba8390 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Dada bahati, Mungu azidi kukubariki
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Naipenda nyimbo yako ya mzee tupatupa
@zainabumumia7965
@zainabumumia7965 2 жыл бұрын
Ukweli kabisa bahati bukuku ametoka mbali akalia wimbo zake za kwaza na sai mungu amemwinuwa to sana uparikiwe bahati bukuku
@sarasararajuraju80
@sarasararajuraju80 6 жыл бұрын
Mimi sio mchungaji lakini najua hata kuimba ni njia moja ya kuhubiri kuhubiri neno la mungu kunazo njia nyingi mbona umesema hujapewa kipawa cha kuhubiri inihali unaimba nyimbo za injili
@hildavincent2486
@hildavincent2486 7 жыл бұрын
Umesema vizuri "kuna manabii wa uongo na wa ukweli" Nilitaka tu kusema Mungu ametupa wanadamu uwezo wa kuwapima na kuwachekecha. Ametuambia "mtawatambua kwa matunda yao" hata hivyo tumeambiwa "zijaribuni hizo roho kuona kama zinatokana na Mungu!" kwa hiyo endapo hawatendi kama neno la Mungu linavyoagiza basi tinaweza kuwachekecha. Ubarikiwe kwa nyimbo zenye uhalisia Dada.
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 5 жыл бұрын
bahati ananga manjivuno nakupenda
@lenathakichonko4587
@lenathakichonko4587 7 жыл бұрын
Amina Mungu akubaliki
@anithakitwana2437
@anithakitwana2437 5 жыл бұрын
barikiwa sana dada bahati
@sarasararajuraju80
@sarasararajuraju80 6 жыл бұрын
Bukuku mimi nakupenda pia nyimbo zako napenda mno bt nauliza tu mbona swali la watoto hutaki kuongelea kama unaye sema tu nilibarikiwa na mtoto kama huna sema tu sikufanikiwa kubarikiwa na mtoto la ndoa umetuelezea lkn la mtoto mbona hutaki kutujibu
@lucyndare5319
@lucyndare5319 4 жыл бұрын
Mungu akubariki dada kwa hekima zako
@mbutolwemwaipungu715
@mbutolwemwaipungu715 4 жыл бұрын
Nakupenda buree Bahati Bukuku mungu akubariki sana
@jemimahanyango9138
@jemimahanyango9138 4 жыл бұрын
Kwa Yesu kuna malipo zaidi: Tazama picha yako ya mapito na ya umewazidi wote mummy, umelipwa.
@venahmoraa3333
@venahmoraa3333 5 жыл бұрын
Nakupenda mama wangu wakiroho bahati
@bahatimmependezamwanginda5202
@bahatimmependezamwanginda5202 6 жыл бұрын
Wajina wngu nakupendaga mnoo Mungu azd kukuinua
@beatricesiulapwa4140
@beatricesiulapwa4140 7 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi minaomba niwe rafikiyako
@rehemaodassy135
@rehemaodassy135 3 жыл бұрын
Amen servant of God
@salomemwamwaja1841
@salomemwamwaja1841 7 жыл бұрын
Hongera sana dada wa mie
@pulkeriamlay2678
@pulkeriamlay2678 7 жыл бұрын
Nakupenda mpaka basi, nyimbo zako zinanikosha sn
@chrispingedeon7460
@chrispingedeon7460 5 жыл бұрын
I love bahati bukuku.
@deborakada5355
@deborakada5355 2 жыл бұрын
Nampenda Hana mapepe
@nyotampenda2967
@nyotampenda2967 7 жыл бұрын
Nyimbo zako zabariki kabisa, endelea tu mama 👍👍❤️
@faidoninyondomidia1454
@faidoninyondomidia1454 5 жыл бұрын
Dada bahat naomba kufanya kolabo na wewe
@ireneanzuruni3802
@ireneanzuruni3802 Жыл бұрын
Ukija kwangu mama mtumishi nita kupeleka chamba 😂,nakupenda sanaaa mama yangu
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 5 жыл бұрын
True sister... penda wewe sanaa
@zerabanga166
@zerabanga166 7 жыл бұрын
Nakupenda sana Dada angu Mungu azidi kukuinua
@saulmwakyusa1001
@saulmwakyusa1001 7 жыл бұрын
mungu akubariki ghwa kumyitu
@yohanajustine5188
@yohanajustine5188 6 жыл бұрын
Naomba usibadilike katika mavazi mama angu
@priscapius7500
@priscapius7500 7 жыл бұрын
amina bukuku mungu akubarik nakupenda sana pamoja na da Jennifer hio movie naisubiri kwa ham
@elizabethphilipo6604
@elizabethphilipo6604 4 жыл бұрын
Nakupenda sana mama yangu bahati mungu akutunze
@jacklineanyumba5413
@jacklineanyumba5413 6 жыл бұрын
Bahati we love u,Kenya loves u
@florakamau6233
@florakamau6233 5 жыл бұрын
Udo love
@gracehenga9745
@gracehenga9745 5 жыл бұрын
unajieleza vizuri hongera.
@hildamgomapayo6626
@hildamgomapayo6626 7 жыл бұрын
Uko juu bahati Bukuku
@oscarmasele8266
@oscarmasele8266 6 жыл бұрын
bahati ubarikiwe nakupenda sana
@mbithedorcas9711
@mbithedorcas9711 4 жыл бұрын
napenda nyimbo zako
@sahaabalsahaab1373
@sahaabalsahaab1373 5 жыл бұрын
Bahati bukuku uko vizur Kabisa kwa majibu yako nakupenda bureee
@saurikutamika6599
@saurikutamika6599 4 жыл бұрын
Bahati
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Umejitahidi kujibu vizuri kabisaa
@jemimahanyango9138
@jemimahanyango9138 4 жыл бұрын
Kwake huyo msikilizaji nyimbo zako ni ndefu, kwetu sisi ni fupi sana uki compare na za TPOK Jazz, uko poa dada. Usifupishe wimbo wowote maanake unaongozwa na Roho Mtakatifu. Mimi sichoki bali natamani ziendelee. Barikiwa sana dada.
@happynessjackson8054
@happynessjackson8054 7 жыл бұрын
mungu akubariki bahati
@gladwelwaswangari9699
@gladwelwaswangari9699 5 жыл бұрын
God bless
@milarishama8137
@milarishama8137 6 жыл бұрын
Napenda sana bukuku
@nyadzuashadna9046
@nyadzuashadna9046 6 жыл бұрын
Mungu Akupe nguvu zaidi mama
@brycrich8416
@brycrich8416 6 жыл бұрын
Nakupenda sana dada
@vonwf5554
@vonwf5554 4 жыл бұрын
Nakukubali sana Dada bahati
@user-mm5tf7yn6p
@user-mm5tf7yn6p 5 жыл бұрын
mngu akubariki bahati bukuku
@autofillsarauswege8197
@autofillsarauswege8197 6 жыл бұрын
nakupenda sana Dada
@damasfilbert8100
@damasfilbert8100 7 жыл бұрын
uko juu sana bahat
@euchariakumbulu7938
@euchariakumbulu7938 5 жыл бұрын
nyimbo zako ni nzr sana barikiwa
@akinyililian3330
@akinyililian3330 6 жыл бұрын
Ubarikiwe dada
@sayunidonard6014
@sayunidonard6014 7 жыл бұрын
nimeipenda
Bahati Bukuku - Muujiza wako hauwezi kufanana na mwingine.
33:00
Bishop Dankton Rudovick Rweikila
Рет қаралды 250 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 7 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 22 М.
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 64 М.
HISTORIA YA BELLA KOMBO/AZUNGUMZA HAYA KUHUSU NDOA.
7:53
Pazia Tv
Рет қаралды 5 М.
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 5 МЛН
KIKAANGONI: Martha Mwaipaja afunguka kila kitu kuhusu maisha yake
1:31:28
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 92 М.
Staili Ya Kumridhisha Mwanamke Haraka Sana
6:00
Topten Tv
Рет қаралды 24 М.
BAHATI BUKUKU ALIVYOWASHA MOTO WASAFI SUNDAY WORSHIP
20:47
Wasafi Media
Рет қаралды 77 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 7 МЛН