Mama shiko did what she had to do to survive, wenye wanamuita milayas just put yourselves in her shoes especially women ,why judge such a person and its clear that she was abandoned when she was vulnerable
@nancynjoroge2809Күн бұрын
You nailed it.
@hwambugu0Күн бұрын
Imagine 10 yrs and the hubby doesn't talk to her and he still thinks that he will find the wife as she was. South Africa is not USA. You can travel to Kenya by bus. No excuse staying 10 yrs.
@Rachel-j2b23 сағат бұрын
This man never maintained any communication with mama Chiku leave alone supporting his family, why did he think mama Chiku at her young age would just wait for somebody who gives her no hope of returning or support yet posting profiles of him with women! Come on , to whom brain is given, common sense is expected! Kudos mama Chiku you did what was best for you and your kids!
@Rachel-j2b23 сағат бұрын
This man never maintained any communication with mama Chiku leave alone supporting his family, why did he think mama Chiku at her young age would just wait for somebody who gives her no hope of returning or support yet posting profiles of him with women! Come on , to whom brain is given, common sense is expected! Kudos mama Chiku you did what was best for you and your kids!
@elizabethmutua166516 сағат бұрын
But the mistake she did is to build in in-laws land and welcoming back the guy.... otherwise she is brave
@rosemuthoni810914 сағат бұрын
Mother-in-law ni sumu but mama shiko is a good wife
@fatumaadam4271Күн бұрын
Mama shiku hoyeeeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤huku lala darasani
@victoriawayua4514Күн бұрын
Hadi nimempenda mama ciku kwa hayo yote💪💪💪
@cathynkingamaathai638913 сағат бұрын
Mee too 🎉
@Ratio-s3g12 сағат бұрын
@cathynkingamaathai6389 in the beginning we didn't understand her but now we can see the mistake where it came from......
@MamaWendy-xr3lz12 сағат бұрын
Mother inlaw ni sumu lakini mama chiku is a true house wife
@lydiarugut8232Сағат бұрын
Alitezwa so mapenzi take kupata mtu mwingine
@zamakamumwenyewe264313 сағат бұрын
I love this woman. I can't blame her for her actions. She did what any woman could do .
@beatricewanjiru111012 сағат бұрын
True it’s very sad
@loseeal344011 сағат бұрын
True
@poulinemurima116510 сағат бұрын
Sure and she only had only one husband... Huyu cucu ndie kitu kibaya
Congratulations mama Shiku, ve been a single mum for 12 years, i know kulea sio rahisi. Big up Mami.
@kennethkiprono425115 сағат бұрын
Never put your wife and mum under one roof.
@deeruta989415 сағат бұрын
True
@mjombawallace4966Сағат бұрын
Aki ya mungu
@JanetJanetaumawanderaКүн бұрын
Kitu nimependea mother in.lonw ni eti amekubali alikula pesa juu angedanganya eti alikua anapea mama shiko ingekua shida sana😢😢😢
@mjombawallace4966Күн бұрын
Pia nimbaya ndio unarudisha mwanao nyuma
@risperk165718 сағат бұрын
Kabisa
@felistajilala363016 сағат бұрын
Hata huyu mama anashida why arivorudi alimkubalia agemwambia nimeshaolewa tumebaki wazazi tu yy why anatamaa za mali sijui wanaume anataka kua wengi
@Ratio-s3g16 сағат бұрын
This woman had nothing to rely on, 10 yrs
@SalomeTumbo15 сағат бұрын
@@felistajilala3630aki hapo ndio alikosea sasa yule mwanaume mwingine anasikia mwanaume amerudi akalala kwake 3week
@stephensonkimeu750416 сағат бұрын
This Mama wa the SA guy is very dangerous, she has destroyed her son's life completely, money n family.😮😮😮😮😮
@elikanaambunya643514 сағат бұрын
Completely. Regrettable
@rhodamatalanga455612 сағат бұрын
I agree.
@FatumaJeneby9 сағат бұрын
ETI NIMAMA WAKANISA, NA MDOMO UMEJAA MATUSI😮 ISITOSHE HAONI AIBU, KUSEMA MZE WAKE AMEENDEA- "CHANGAA"😂
@Juliusk7mando15 сағат бұрын
This man is a real fool. I support mama Shiku.
@nxjjfj492316 сағат бұрын
Hyu shosh n toxic mother 😢😢😢😢 sasa hyu shosh anaedaga kanisa gni??? Matusi amejaza kwa akili na vile n mzeee ata hajiheshimu 😢😢😢 MMA shiku l judged u wrongly kube ulipitia weee😢😢😢😢😢😢
@jacksonngulu665315 сағат бұрын
Tena bado anamieshimu huyu mama bado
@michaelmwangi21115 сағат бұрын
Mama Ciku is telling the truth,the mother in law hated her just because she came from Meru
@GithamboWanjiru14 сағат бұрын
I capital letters and greed for money ati father in-law drinks changaa this mother inlaw controls everything
@MamaWendy-xr3lz12 сағат бұрын
Hatred yake imetokana na son yake kupata pesa
@margaretndungu444514 сағат бұрын
A mom has to do what she has to do for her babies... Mama Ciku you are a good woman and mother❤❤
@mercimerci954015 сағат бұрын
Congratulations 🎊 🎈 🎈 🎈 mama ciku ,pia mm pia ningefanya vile ulifanya
@judykamau612115 сағат бұрын
Mama shetani. It really hurts
@catherinekipande1415Күн бұрын
Bila shaka father in-law aliuza plot without mother inlaw kujua wuee
@blessed-e5k21 сағат бұрын
By the way come to think of it
@lilianmanirakiza787515 сағат бұрын
Wawawa aki his parents did baaaad. Ten years !
@catherinekipande141515 сағат бұрын
@@blessed-e5k ni kalewa ashakunywa zote
@wambuimwangi512314 сағат бұрын
Mama shiko you understood your assignment. Bravo
@sammykamau457514 сағат бұрын
Remember the old adage "Just love a woman, but never trust a woman". Even your mother, especially from Kiambu County.
@mjombawallace4966Сағат бұрын
😂😂😂😂
@43naomim4 сағат бұрын
Mama mzazi alivunja ndoa na akamukula pesa. Wah.
@philistersokumu115816 сағат бұрын
I love you mama shiku , you stood up strong
@colletambula898410 сағат бұрын
Mama ciku congrats
@khamisijuma31677 сағат бұрын
Mwanamke roho mbaya
@Martha-w6h14 сағат бұрын
Aki pole.mama shiku umepitia Mungu akusaidie you will become victory much ❤❤❤❤
@GithamboWanjiru14 сағат бұрын
Everything happens for good it's good you met Sama everything came out open mama chiku had a reason to move on
@joycewairimu244814 сағат бұрын
I love mama Shiku, she s a true definition of life must go on and God led her path. She s a noble woman.... Mkulima hoyeeeee🎉🎉🎉 wachira your own mother n family wasted you. Hauna chako.
@BernardLuanga15 сағат бұрын
Merry Christmas all my people ❤❤from Congo 🇨🇩in USA 🇺🇸 Knoxville Tennessee we love you Kenyan ❤❤
@KeziahNduta-r6j15 сағат бұрын
I'm a mother of 4 sons and il never mistreat their wives God help me in Jesus name
@raelmarete49437 сағат бұрын
I love this woman mama shiko, she take the right decision, After his husband lefter for 10 yrs no comunication no providing the family, and yet your here to surport your mum , shame on you jose.
@colletambula8984Күн бұрын
Mother in-law alisema alijenga tumbo
@adamsewanga417 сағат бұрын
The statement was so sweet😂🎉
@joyknight916614 сағат бұрын
😂😂😂😂
@irenemwende190414 сағат бұрын
Na kweli ameijenga 😂
@emeldernyamwaya257314 сағат бұрын
From venye niliskia shosh akiongea Mama ciku tumekupea go ahead continue with your life achana na hawa ngombe .
I support mama chiku fully on her mother in law. I went through such.. ogopa inlaws wa kiambuu.. huyu mathy ni mrogi.
@Mercy-f9r11 сағат бұрын
True awa wa kiambu aki
@Mzalendo-l6b13 сағат бұрын
Mama's boy.. pole sana!! You've trusted your mother too much at the expense of your wife/family.
@kenyamedia-t2eКүн бұрын
Zuri mama alikubali alimpea tu pesa for 3 month out of 10yrs so kijana uliza wazazi wako pesa na uishe na wao I hate when parents say mm ni mzazi wako so hawesi niuliza pesa miaka imeenda 10yrs surely
@adamapollo9859Күн бұрын
Na mimi nashangaa amekazana nymba nimejenga na ile hali mama yake kajenga tumbo😂😂😂😂😂😂😂
@adamapollo9859Күн бұрын
Huyu baba na wazimu huwez muacha mke miaka kumi 10 abaki na nyege na anakula ugali anafikili anakula vyakula vya warabu na visupaisha nyege😂😂😂😂
@ndichuwanjiru4856Күн бұрын
Ati mzazi alikulea so akule pesa zote hyu naye ni mnjinga angekuwa akituma mara mbili
@FiranjaLukio-jr7krКүн бұрын
Sasa he should go back to SA for life Kenya hana yake. Sio watoto, sio mke sio Nyumba na gari pia Baba Ciku 2 amechukua keys.
@gracemaina1406Күн бұрын
😢😢its soo is 😢😢na ndio maana walifikuza bibi nawakamuekelea hiyo mambo yote
@wambuimwangi512314 сағат бұрын
Sama unapenda sana kumbebelezwa sana.
@gloria_justgloria201316 сағат бұрын
Most wicked mother in law,,mungu nisaidie nisiwai tesa bibi ya kijana wangu
@edithandunguru340512 сағат бұрын
Kwa jinsi tunavyopendana na bibi wa kijana wangu! Shetani pita mbali usije tuvuruga. Tunapiga story na kucheka kama marafiki wa toka utotoni. She misses me a lot, I miss her a lot
@Carolikdelish5 сағат бұрын
I am loving mama Shiku the more the truth is brought to light. You must have been through hell with this mother in-law. For sure baba Shiku was a God sent for you and your babies.
@MonicsCheps15 сағат бұрын
Hapa nlikua namlaumu mama shiko,kumbe hako sawa pole mama
@edithmakena47697 сағат бұрын
Let appreciate those men get us with our kids and support them fully I have one 💕
@PaulineNdirangu-ys1jv15 сағат бұрын
I❤ you mama shiku
@ndichuwanjiru4856Күн бұрын
Mama shiko kweli umepitia hyu mzee arundi southafrica njuu hataishi na bibi njuu ya mamake
@emmahkamande2 сағат бұрын
May God help mothers who have sons to love n respect their daughter in laws
@victoragisa3849Күн бұрын
Hapa kimeramba mzee mbaya😢. Ten years mpango wa kando na Kisha mzazi , sema kunyonywa . Mama ya ndume pesa za south Africa ni tamu sana yaani ako all round . Waaa starting from scratch , fungua kiosk mzazi akulishe.
@everlynechepkoech564912 сағат бұрын
Huyu ndio mwanamke bomba...I side with mama ciko from the begging ten years is not a joke
@faithngigi501614 сағат бұрын
Mama shiku you did what was right
@marybae756510 сағат бұрын
Mother in-law surely mungu akuone
@joycewanjiru981316 сағат бұрын
It's good amesema akuwa ana pea mama shiko pesa mother inlaw mjiga ata mm siwezi kaa huko
@survpetersam12 сағат бұрын
Mama Ciku ulicheza poa.Kudos
@ndettothejuice309414 сағат бұрын
Mama ciku waachie mungu.atawafungu hiyo mindomo yote kabisa
@JospridahMwongeli10 сағат бұрын
Mama shiku feel loved❤❤❤❤
@djyondergigi102715 сағат бұрын
Huyo mama ni mbaya saaaana
@judymuchiri471112 сағат бұрын
I support this woman 100%. This is what any woman could do.
@Ivan71-o4k15 сағат бұрын
Hata huyu mwanaume amekaliwa na mamake mbona mamako akupangie kwako shame on you Mzee ulikua unataka uyo bibiyako afanye nini mother in-law si mzuri hata funs can witness from the words of mother in-law 😂😂😂
@naomik818114 сағат бұрын
Hakuna laana kwa mama. Don't worry son pick your mat and go
@DasMasters16 сағат бұрын
This man made a mistake trusting his mom so much while he was in South Africa!
@perismukami496215 сағат бұрын
That's what a typical gikuyu man does.
@janechege155013 сағат бұрын
Mzeee mjingaaaa kabisa kaaaa n mama yako period
@rosemsaki111114 сағат бұрын
HILI LIZEEE HOVYO MKE WAKO AMENYANYASIKA VYA KUTOSHA MBWA WEWE MAMA YAKO ANA ROHO MBAYA KAMA SURA YAKE
@Monicah-rh3wl7 сағат бұрын
Achaneni na mama ciku na maisha yake
@wairimuwaihwa247551 минут бұрын
Mwanamme bwege.... Kimemramba😮😮😮
@Getrude-ro5ve12 сағат бұрын
❤❤❤ for you mama shiku i know how it feels to have a toxic mother in law
@judymuchiri471112 сағат бұрын
Mama ciku❤❤❤❤
@wambui18515 сағат бұрын
Ngai huyu anaambia kijana wake aji 😢ati wanaume hawazeekangi ati mwanamke anajenganga tumbo wooi wale wanahusle inje Mungu Atukumbuke hata kama baba shiku alimistake kutumia mum yk doo
@fatumaadam427115 сағат бұрын
Wakikuyu wanapenda watoto wa waschana wao
@karenmwango841916 сағат бұрын
Ma Ciku you are a woman of substance.thereis no way you could have waited for for this gunia for ten years without support.the only mistake was allowing this mburukenge to stay in your house after coming from SA.
@okutebettina250916 сағат бұрын
Very true this woman was not supposed to allow this first man in another man's house.
@wacerahchege8Күн бұрын
Sama why do you seem to be running for your life 😂😂. Baba SA appears to disbelieving or confused. At least his mother is been enjoying his sweat.
@janesherry7053Күн бұрын
😅😂😂😂😂 labda amepigwa ngumi ya macho😅
@wamzy1110Күн бұрын
Mama Chiku is very upset with him kuingilia mambo ya watu wazima na yeye ni mtoi😂😂😂😂😂
@wacerahchege8Күн бұрын
@@wamzy1110 😅😅.
@ZN21-y9y23 сағат бұрын
😂😂😂😂😂@@wamzy1110
@SalomeTumbo15 сағат бұрын
Sama 😂😂😂unaogopa kupigwa panga
@larcoviaridgesrealtors267713 сағат бұрын
Mimi sijawahi ona Mmeru mhumble hivi😀shes so cool. A wife material she is.
@janenjenga89066 сағат бұрын
No matter what u support Mama ciku.....huyu mother in-law si mzuri....
@karanujosephmwauramwaura992515 сағат бұрын
Mother inlaw ndiye mbaya.
@beatriceawuor307712 сағат бұрын
Sana
@ropmercy598011 сағат бұрын
Weuh hata mama shiku ulikua mzuri mimi huyu ningekua langata sai 😢😢😢very evil mother in law
@florencediangarost357115 сағат бұрын
Huyo mama mkwe hakuona ndiyo mbaya zaidi. Na ni mchawi 😂😂😂😂
@teresakarugu993213 сағат бұрын
I understand this woman 100 percent
@ndettothejuice309415 сағат бұрын
HUYU MAMA AMEPITIA MENGI SANA.MWACHENI KABISA.Mama endelea na maisha Yako wachana na huyu mwanaume mzima aendelee kukaa na mamake.
@Grace-ji9ul15 сағат бұрын
Mwanaume mjinga Sana huyu😮😅😅😅
@KP-fe6io6 сағат бұрын
Mama Shiko Hana shida yoyote
@SoziSozi202015 сағат бұрын
wewe mzee ulisikia mum akisema alikula pesa hakupea mm chiku kimekulamba lundi south Africa hata kama nimm 10y nahunituumi pesa bro hungenikuta
@shikusteve11 сағат бұрын
I will stand with mama Shiku coz huyu mama ni sumu mama Shiku kaa na huyo alikuoa don't make a mistake to go back to that family again
@tracynyambura4494Күн бұрын
I can never do this to my son,afathali angemnunulia plot or shamba na amjengee atleast but she failed her son badly......mama Shiko hana makosa atleast watoto wake wako na a place they can call home......wa SA akaitishane pesa na wazazi wake ......apewe ngari yake aende akiendaga
@annkendi943915 сағат бұрын
I support mama shiku
@joycewanjiru694514 сағат бұрын
This man should let mama shiku be,,,she did what a woman can for her kids❤❤
@adamsewanga414 сағат бұрын
Mama shiku, u would have told baba shiku u moved on & leave his plot. Period. Cz 10 yrs ts too much bro.!!!
@evakioko749211 сағат бұрын
Utakuja kujua kwamba hiyo ploti alinunua kutoka kwa baba mzae
@janetchirchir576411 сағат бұрын
Mother inlaw is 🔥 sumu
@florencenyamu2868Күн бұрын
My question to mama shiku,. mzee( SA)alicome still showed him alipenda to a point of staying kwa house built by mzee 2.venye alikuwa ame move on she shouldn't welcome baba wa SA after landing all this couldn't happen. Mama shiku ata kama is the mess. A total disgrace
@ANNEMAKA-j4r23 сағат бұрын
@@florencenyamu2868 ofcourse lazima iwe alichanganyikiwa kidogo, you know how women are weak ,I can't judge her
@okutebettina250916 сағат бұрын
That was very bad and she wanted this two men to kill each other
@loseeal344011 сағат бұрын
Mother inlaw umbwa sana 😢 mama shikuu ako ako sawa
@hellenkathambi869413 сағат бұрын
Haki sitawahi kuwa hivi kwa my daughters in love. God help me ❤
@bettygatwiri361213 сағат бұрын
Woooi mama shiku umekapatia
@mamaboizpure84213 сағат бұрын
This man noooo mimi sioni kitu ya kucase hapa sama muachane na huyu mwanaume
@godfreyemongojel224116 сағат бұрын
Haya yote huyu mama Mzee ndiyo sababu
@mwangidavid8894Сағат бұрын
I support mama shiko,
@njambi8572Күн бұрын
How I wish huyu mama wangenunua plot yao waache hii ya mzee Saa hii kingeramba huyu shosh na kijana yake na mama shiko na mpango wake waendelee na life yao
@pamelamudogo5551Күн бұрын
My thought too
@gladysjulia5395Күн бұрын
Ata saa hakitawalaba,koz there are kids
@pamelamudogo5551Күн бұрын
@gladysjulia5395 exactly mbona aka peana watoto kwa mme mwingine
@munjiruwamwangi6698Күн бұрын
Arudishiwe pesa ya plot wajipange na mama yake
@wamzy1110Күн бұрын
Walisema hii plot iliuzwa na Baba Chiku No 2 akanunua na title iko kwa jina ya mama Chiku. Let us stay tuned😊
@timothybusolo846510 сағат бұрын
Sama haulizii mbona aliuza ploti ya mumewe
@jimjam-xg7rv3 сағат бұрын
Mama shiko amepitiya shida mingi ndani ya familiya ya mumewe
@elizanyaga35027 сағат бұрын
Am 💯% ata hio shamba mzee aliusia baba ciku 2
@EsthermuthoniKinuthia11 сағат бұрын
Mwanaume mjinga sana uliolea mamako bibi ama ni wako kaa na mamako ss
@kimennjeri524814 сағат бұрын
Mama shook great woman with wisdom.mamas baba utatoka mikono mitupu.mama i hate u aki.nona kabisa
@naomik818114 сағат бұрын
Wee wa SA si usikize uambiwe juu miaka 10 you have memory loss😢