Kwa ajili ya kuwasiliana kwa service hii ya summer camp jobs, WhatsApp number ni +19136878922
@divinbahati68352 жыл бұрын
Tuna shukuru baba kwakuji taidi kwa izo video zamahana kweli
@brianmaro90932 жыл бұрын
Gharama kubwa sana mbn hyo kazi mtu anaweza kuapply mwenyewe
@thomasmusani79482 жыл бұрын
Asante
@shemmsa47712 жыл бұрын
Kwaiyo kama huna cheti hauwezi kupata
@elikanakiheka82422 жыл бұрын
Braza ! Asante sana , kwa kuniongezea jambo kubwa namna hii . ngoja nitafute pesa kwa nguvu , mwenzio mpaka nakosa usingizi kabisa .
@noswingofficial96242 жыл бұрын
From Rwanda Bro thax for what u do u honestly change and grow our mind
@binabeid3980 Жыл бұрын
EBM hbr za majukum kaka vp kuhusu hiyo nafasi ya Summer Camp Jobs nilichelewa kuiona hii video uko fresh kbsa
@jimmyfrankie83012 жыл бұрын
Ahsante sana kiongozi ni fursa kubwa kwetu vijana kiukweli..🙏
@boy-pq6ow Жыл бұрын
My name is Mariam mjema.l have three children. I am a citizen of Tanzania.l have experience for Hotels. Was working at peack and star city.
@nature999922 жыл бұрын
Sawasawa kaka EBM Shukrani sana
@mustafajuma22142 жыл бұрын
Nakupata vizuri nikiwa daresalam
@pauleenchietiahjr.6627 Жыл бұрын
I have a question, am a lady, 43 years of age but still strong and working in gulf country, can i apply for this summer camp job? Before nijaribu kisha niambiwe miaka yangu imeshonga,
@GabriellaMakatu-jf2lq10 ай бұрын
Ahsante kaka Mimi nahitaji hizo kazi
@charlesmakelele4268 Жыл бұрын
Kaka MUNGU azidi kukuweka,unafanyia kazi nzuri.
@alexndabatinya79532 жыл бұрын
Big up bro. Dola 500 ni ndogo ukilinganisha na kazi unayoifanya. Zaidi unajitolea. May God bless you abundantly
@samweljoel61282 жыл бұрын
Hongera sana father
@sharifukilongo2565 Жыл бұрын
EBM,congratulations bro
@mwanzaboy15482 жыл бұрын
👉🔥💪💪👊 ngoja nikamilishe esabu unisaidie kuapraii
@lightnessanthony85272 жыл бұрын
Barikiwa sana
@sadichamissadic38112 жыл бұрын
Nakukubali sana mjomba
@abdallahh.mwinyimkuu51902 жыл бұрын
Nimekuelewa brother
@christophernikata82542 жыл бұрын
Nakupata vizuri sana mkuu
@devanse97182 жыл бұрын
Salut EBM🙏
@shabiruponera43232 жыл бұрын
So unaweza ukatumia hii fursa ukishafika unamtafuta Dem wa marekani una m married fastaa then boom umepata green card
@nancykagera91972 жыл бұрын
Yule Dada uliyekuja nae kwenye seminar ya Green card kaishi mbele lkn bado mswahili OG
@josephwilliam58132 жыл бұрын
Well done 👍
@deelavies2632 жыл бұрын
Good morning hopefully yu are very good,,interested from Kenya's,,dilavice Walegwa mwasigwa,,coast province
@Compassioninthecourtcomedy2 жыл бұрын
Mm nimekusupport bro kwa kuandika jina lako EBM swahili na number ako kweny status juu ya hii issue
@bennywalase14342 жыл бұрын
Nakupata vyema kaka tupo pamoja
@Iammose7762 жыл бұрын
Nobody talks about this great work. Guys nifikishe 1k subs nitashukuru ❤️🙏🙏😍😘
@beingnicoleamor76112 жыл бұрын
Kaka i don't wanna miss this please
@mchunguzihealthtv75412 жыл бұрын
Fursa nzuri sana hii
@AFRIS2 жыл бұрын
habari ndugu naweza kupata mawasiliano ya private kuna vitu naitaji unielekez plz🙏
@leonidacedavid21212 жыл бұрын
Samahani, interview inafanyiwa wapi
@maabadburhan93852 жыл бұрын
Swali langu je summer jobs interview yake ipoje inakua ni ya on line au vp? AHASNTE
@abweolivier25952 жыл бұрын
Lazima tufanye interview Missouri
@suleimanhakimu25432 жыл бұрын
Nimekuelewa sasa natumia hii namba ahsante
@mohammedbaraka92302 жыл бұрын
Samahani Brother EBM Nauliza kama unaelimu ya form 4 then huna Cheti inawezekana kumsaidia mtu huyu...?? Asante.
@dictarchelsea2 жыл бұрын
Uhakika Kaka ?
@chengeson2 жыл бұрын
So uongelee kuhusu fiancé au married itakua poa sana brother 🇹🇿
@CiscaRecaps20152 жыл бұрын
EBM,ngoja nitafute hela kwanza ticket itajileta yenyewe.
@chengeson2 жыл бұрын
Nakubali ila utupe na kuhusu kuoa mtu wauko mana wengine izo sifa hatuna so tuna tafuta mademu uko au wazungu sio kuja kusoma kama wengine
@mustafajuma22142 жыл бұрын
Izo fursa zinaanzia mwezi gani
@aurelialema39452 жыл бұрын
Ikiwa mtu ni mwajiriwa tayari na umri miaka 37, 38,39 anaweza kuomba hii program?
@jacksonmsendo34782 жыл бұрын
Apo ni Kimbembe at least hujavuka 40 kama mimi 40 plus naona ndo ngumu
@minzaikekashololo58622 жыл бұрын
Tatizo interviewer atakuuliza unaacha kazi ya kudumu unaenda kufanya ya miez 3 ?
@abweolivier25952 жыл бұрын
Nakuaidi Tena kama nilivyo Sema ku applications ya green card kua tutakutana Missouri
@libetztanzania-kiswahilina28452 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rJDMonV9mLmentE PADRE ANAYEFUNDISHA KIARABU NA KUSOMA KURUANI