Watu kama wewe ni wachache sana.... Una moyo mzuri Mungu akubariki familia yako itakuwa na afya njema Amen.
@eliasbiya93677 ай бұрын
Pole sana kaka. Mungu atakusimamia utarudi tena strong. Recently I got the US visa and am about to come to America with my family because of you, I will forever be grateful for you kaka. May God heal your child and give you peace of mind.
@priscusgodwin7 ай бұрын
Through dv?
@obinakakuba23847 ай бұрын
Naomba unisaidie no ya kaka EBM
@danielemil-gu4wn7 ай бұрын
Pole sana EBM, MUNGU ni mwaminifu atamponya BENEDICT na mamaBENEDICT in JESUS NAME
@Salumchiwili20236 ай бұрын
Pole sana kaka mwenyezi mungu akuvushe kwenye mtihani ulionao Kiukweli mimi kwa upande wangu umenisaidia sana tena sana hadi nilipofikia una mchango mkubwa sana kwangu naamini utakua sawa inshaalah 🙏🏽
@calvinjudica19892 ай бұрын
Pole sana kaka,Mungu amponye mtoto na mama nawe urudi ukiwa strong.
@aloycemabula86497 ай бұрын
Aiseee ni kweli.. kazi yako unahitaji uwe sawa kiakili... Pole bro
@luluchisanga17647 ай бұрын
Wishing you all the best!Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema amponye mtoto, Umechukua uwamuzi mzuri kutake break, afya yako ni kitu muhimu sana.
@christiangideon86637 ай бұрын
Bro pole na hongera kwa yote wewe ni shujaa wetu nadhani watu wawe na subira kipindi hiki na wewe ni mtu mzuri sana EBM, tafuta vitunguu vya kawaida tafuna kila siku viwili, utaanza kupata usingizi mpaka ushangae, mengine kuhusu Benedict naomba tuwasiliane kwa simu apate remedies ambazo zinapatikana huku na huko pia na atapona kabisa, uwe na amani
@upendogreutert1997 ай бұрын
Pole Sanaa ndugu yetu Mungu amponye kijana wako na roho ya ugonjwa imuachie uishi na afanikiwe katika Masomo yake in Jesus Christ
@kaupigwe7 ай бұрын
Pole kamanda. Chukua vacation/time-off, well deserved. Get good sleep, quality time with family, reflection on your well being and go ahead with EBM.
@DrMwanyika7 ай бұрын
Pole sana mkuu yani inatakiwa upate muda wa kupumzika jitahidi na kujipenda mwenyewe mkuu unaweza kufanya kazi zaidi hizi ukaishia kuwa na magonjwa ya Depression & Hypertension kwa sababu hapo naona una changamoto za usingizi (Insomnia) na mwishowe unaweza kuleta madhara makubwa zaidi hata performance yako itashuka sana 😢😢
@sasmgeituff95867 ай бұрын
Ni kweli kabisa Ebm hayo unayosema chukua off na change ili uwe active na uwe na energy zaidi. Hilo la kuwa uko na stress kaka ni very badly bora sasa mapema umejua hilo na kuweza kuchukua hatua.
@mighandampinguhi75847 ай бұрын
Poleee sana uncle EBM hakuna biashara rahisi hapa duniani
@davidanselmo40417 ай бұрын
I feel you EBM we will never give up on you next year am gonna catch up with you again I will make sure ndugu zangu wanastuka nimefika Ughaibuni 😊Matatizo ni part ya maisha angalia kwanza familia fanya mazoezi saizi unaweza kuwa unatoa video za mazoezi tu kama burudani usijipe mzigo mingi sana kaka you deserve better 😊
@HassanMohd-sw2xn6 ай бұрын
You will be back strong EBM 😢
@violetcyrillo19456 ай бұрын
Pole sana brother. Mungu amponye kijana. Elimu unayotupa ni kubwa na nzuri sana. Ubarikiwe
@matunzojr48626 ай бұрын
Very sad story. God blessings will be with you
@-vj7os6 ай бұрын
Burundi tunakupenda sana Kaka Be strong EBM
@azamakulwa46047 ай бұрын
Pole sana kaka mungu amjalie mtoto apate nafuu na ww akutie nguvu ktk maisha yako
@LeahVlogstoday7 ай бұрын
First thing first is your family and you, were next we know you have a good heart
@godwinmsomba69096 ай бұрын
pole sana brother, utakuwa sawa kabisa hope kila mtu amekuelewa vizuri sana
@nevistours7 ай бұрын
Pole sana brother wewe ni wa pekee sana . Mungu atakusimamia.
@alexndabatinya79537 ай бұрын
Pole sana kwa changamoto mkuu. Unafanya kazi kubwa nzuri na Mungu anajua. Take time to rest bro so as to regain your Energy. Naamini ntaonana nawewe uso kwa uso September 26 Austin Texas. Stay strong kamanda
@gidesbalunguza71527 ай бұрын
Pole sana kaka, Mungu akutie nguvu kwenye mattzo unayopitia
@danfordgabriel83047 ай бұрын
Pole sana Mr EBM kwa kazi kubwa unayoifanya na pia kwa kuuguliwa mtoto na mrs
@KenyaUSATimesTV7 ай бұрын
May GOD give you strength. Psalm 46:1 God is our refuge and strength, a very present help in trouble.
@Maee27046 ай бұрын
Pole sana bro, hope u will recover, prayers pia kwa Benedikt, hopeful he will get healed fully.
@charlesmajuto46647 ай бұрын
Pole saana EBM kwa unachopitia Mungu akupe nguvu Mpya na Mungu amponye Benedict na urudi na Hali Mpya na Nguvu Mpya.
@mohamedabdallah61187 ай бұрын
Kiongozi Mr Ernest utakuwa sawa tu biidhnillah kwa uwezo wa Allah just take brake,iyo issue ya pesa hata mm nafanya biashara napokea pesa all over the world washaniletea shida sana
@Witnessvlog7 ай бұрын
It is well kaka. Thank you for everything that you have done to us. Esp Mimi. Take care of yourself and your family first. Sisi tupo tu. Nitakuombea Hakika. Mungu awatendee miujiza
@oliviaseth46527 ай бұрын
Pole sana Makulilo
@Deedah47 ай бұрын
You are one in a million kaka EBM may God bless you abaduntly......May your daughter have a quick recovery kaka.
@bethngethe98067 ай бұрын
Pole EBM for challenge s you are going through. We pray for your son's recovery. Pole.sana
@elsaMo-b5r7 ай бұрын
Pôle Sana brother EBM kwa unayopitia tunakuombea Mungu Sana mrecover soon. Nakuja inbox.
@neemahappyeverafter61817 ай бұрын
Pole kaka EBM, Mungu akutie nguvu na akamponye mtoto mzuri Benedict
@reginas18327 ай бұрын
Stay strong my brother. God bless you and your family
@avelinamgasa7 ай бұрын
Pole sana kaka. Umefanya uamuzi mzuri wa kutake break. Nashauri utakapo resumu uanze taratibu na paying customers ukikaa sawa ndiyo uanze na kutoa free service
@bilombelekilozodieudonne1237 ай бұрын
*Pole sana brother wangu ❤❤❤😮 Mungu atiye nguvu*
@huludaemmanuel88037 ай бұрын
POLE SANA MR EBM MWENYEZI MUNGU AKUSHINDIE KATIKA CHANGAMOTO HIZO AMINA🤲🏾🤲🏾🙏🏾
@christophersimon63797 ай бұрын
Pole Sana Kaka kwa Changamoto Ya kijana Mungu wetu ni mwema Utavuka tu na mtoto atakua sawa
@SmilingBubbleTea-vm3nz7 ай бұрын
Pole sana Mungu akulinde akusimamie amponye mtoto Amina
@angelinamoses4587 ай бұрын
Pole sana EBM please take care of your health and your family
@abdulnaseermrisho43427 ай бұрын
Kaka pole sana kwa mitihani unayopitia,Kwa sisi tulianza kutazama video zako tangu mwanzo tulihisi kuna kitu kina kufanya kuwa busy (Kwa sababu tuliona ile power yako ya ku post video imepungua) kumbe unapitia magumu, Mungu akufanyie wepesi
@jumawaziri85017 ай бұрын
pole sana sana kweli inabidi upumzike saana haya mambo ya social media yapo tuu usiyaendkeze sana kifupi quit kidogo ujenge afya yako
@homeandaway28117 ай бұрын
Take a break kaka, pumzika mitandao mwezi 1, focus na familia na kumsupport Benedict, pia you need to take care of yourself. Mungu atakutetea, mtakuwa sawa WOTE. In the name of Jesus, mtegemeeni Mungu.
@fulgencecasian10547 ай бұрын
Pole sana kaka nakuombea kwa mungu amponye mtoto wako
@lightnessanthony85276 ай бұрын
Mungu yupo na wewe wakati wote
@JohnMsenga-t7o7 ай бұрын
Asant sana kaka kwa elim Yako mungu akubalik
@Mapishinatibatv7 ай бұрын
Pole sana bro Mungu akutunze na familia yako ,pole kwa changamoto .
@mukhtarally58197 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ we still love you brother and almighty make easy for you and binketii mungu ampoonyeeee ❤🙏🙏🙏🙏
@JohnMsenga-t7o7 ай бұрын
Asant sana kaka kwa elim Yako mungu akubaliki
@samsonfredricktv7 ай бұрын
Pole sana brother I hope you will be well soon
@francekazoba32127 ай бұрын
Pole sana brother
@neemakenge11537 ай бұрын
Pole baba Mungu akufanyie wepesi
@FaustineTz7 ай бұрын
Pole sana kaka, kazi yako ni ngumu mno
@crispasmwase91887 ай бұрын
Sorry brother, EBM tunakuelewa sana your so loyalty to us
@esthermachangu49707 ай бұрын
Pole sana bro nakuelewa
@sokamubashara7 ай бұрын
Pole sana EBM mambo yatakaa sawa
@willylema69947 ай бұрын
Utakuwa kaka yangu milele daima wewe ni MSHINDI hata kama mazingira hayaoneshi USHINDI✅
@nelsonpaul46187 ай бұрын
Tunakuelewa sana kaka.Pata mapumziko kwanza,wewe ni msaada mkubwa sana.
@juliaskayanda35787 ай бұрын
Mungu akupe nguvu na moyo wakuzidi kutupa masomo, kaka elimu unayotupa hatuna chakukulipa
@EBMSWAHILI7 ай бұрын
Asante sana
@ednaJF10287 ай бұрын
@EBMSWAHILI Please I need help with something I'm trying to make appointment with phone please please Niko HOUSTON TX
@ednaJF10287 ай бұрын
@@EBMSWAHILIhi please I need help with something but I need call appointment I'm here in Houston tx
@riavlogstz7 ай бұрын
So sorry sir afya yako kwanza na familia take a break we love you
@dicksonenock-pd1sq2 ай бұрын
Pia mwka huu nimecheza bahati nasibu ya kupata greencardi.
@winfridamdaki56997 ай бұрын
Pole sana kaka
@OmariEtetembaWilondja7 ай бұрын
Thumbnail na title imenishutua sana mkuu, pole sana kwa kila kitu.
@DramaDiveApp7 ай бұрын
Sio rahisi kaka yangu pole watu ni wavivu unawapa intro wanataka uwajazie , uwafowaidie documents , uwapigie simu wakachukue visa😢 Tena Mimi nafanya bure tu ila watz Wengi wavivu wakenya ukimpa intro tu anazama chimbo Yaani anakupigia au kukutafuta ashafika eneo la tukio alafu bado support ya sisi watz ni ndogo sana pole nakuelewa unachopitia Mungu akusaidie upate njia ya kudeal nao Tena wala usituchoke
@DorcasLoy7 ай бұрын
Poleni sana wi
@DaghauMsule-e3u15 сағат бұрын
OK kk
@oliviaseth46527 ай бұрын
Na mimi nameza Benadryl, pole Makulilo, stress😢 mambo ni mengi, toka nimekuwa USA. Pole mdogo wangu.
@OmariEtetembaWilondja7 ай бұрын
Mkuu, kama kuna social worker, human service, au mtaalamu katika huduma zakibinadamu wewe ni number moja. Naamini mimi na wengine wengi tunakuombea kaka yangu!!
@damariszuckschwert94897 ай бұрын
Pole sana sana kwa mtoto wetu Benedict. Migreines ni ugonjwa mbaya sana. Mungu amponye na awatie nguvu familia yote kwa mapito hayo. Hope utaondokana na tatizo la kukosa usingizi. Mungu akuepushe usizoeane na dawa za usingizi.
@IbrahimHemedi-j8e6 ай бұрын
Mi nauliza ulishawahi kusema kwamba unaweza kufika huko ukaamua kusoma, je kama mtu anataka kusoma huko may be alifel huku au hakusoma au amesoma lakin elimu yake huko haitambuliki ke anaweza kuanza vipi kusoma hukoo
@upendogreutert1997 ай бұрын
Thousands of messages is too much for you Brother punguza Vitu vingine
@siasia54697 ай бұрын
MUNGU AKUFANYIE WEPESI KAKA
@ONEGOTECHLTD7 ай бұрын
MKUU EBM, Tunakushukuru kwa Jitihada zako za kuendelea kutupigania kwa hali na mali katika kuhakikisha tunapata fursa mbalimbali kutoka ughaibuni, naamini hichi unachokifanya kimeendelea kugusa jamii ya afrika hasa kwa ss wa Mashariki, nakuombea uzima mwingi ww na familia yako vile vile na hao wote wanatimu wote na kwa wanaosapoti hizi platforms na productions kwa ujumla kwa njia moja ama nyingine, naomba kwa wanaofanikiwa kufika huko tafadhali kuweni na Moyo kama wa huyu ndugu yetu EBM pazeni sauti katika masuala na fursa mbalimbali, vilevile na ss wana afrika mashariki tujifunze kupokea kwa moyo wa shukrani kile kinapotolewa na hawa ndugu na kama ikiwezekana basi tuwasapoti kwa hali na mali na kusambaza jumbe hizi kwa walio gizani, JAMANI UMOJA NI NGUVU, TUNAKUTAKIA LIKIZO NJEMA NA YENYE MAFANIKIO HADI WAKATI MWINGINE.
@dicksonenock-pd1sq2 ай бұрын
Naitwa dickson moris nahitaji kuongea na wewe video call nipe utaratibu
@AlexisCongera-so4mi7 ай бұрын
Kaka najua Mungu atakusaidia kaka na kingine ninaomba urete office nchini Burundi utakuwa umesaidia sana Kaka tunataka na nchi yetu utusaidie kaka niombi kaka