Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo... DONATE TO EBM SCHOLARS 1. PayPal www.paypal.com... 2. CASH APP cash.app/$EBMS...
Пікірлер: 19
@ShabanMhina-k1mАй бұрын
Inspired, nice
@alijumamohamed2 ай бұрын
Ila Kuna mfanyakazi wako mmoja aisee yuko so sweet anastahiki pongezi,anajuwa hasa mambo ya customer Care mana ana maneno matamu kama asali
@lijonjo2 ай бұрын
EBM nilikuandikia kwa E-mail yako juu ya shida yangu zaidi ya mara 3.
@alijumamohamed2 ай бұрын
Habari yako mkuu,Nakupata nikiwa maeneo ya Gulf country ya Bahrain
@lijonjo2 ай бұрын
Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?
@MohammedMohammed-iz4uxАй бұрын
Kiongozi natuma email haziji najaribu ku download app yako siipati sijuwi shida nn
@alijumamohamed2 ай бұрын
Huko Toronto hakuja kushinda Arabic country,yaani huku ni nomaaaaaa,yaani sasahivi ndio kipindi Cha Summer kwakweli tunaipatapata
@Ericzdeking242 ай бұрын
Watu wako wa Dar uwa hawapokei simu.😢😢😢😢
@alijumamohamed2 ай бұрын
Je kimfano umeingia marekani na ukapata demu mukakubaliana kufunga ndoa,na ukamueleza ukweli kuwa una mke mwengine Tanzania au kwenye nchi yako,ila yeye akarizika hivyohivyo je hapo inakuwaje km kwa upande wa serekali ya marekani?
@dottomarikatv7802 ай бұрын
Naweza kuja Marekani
@alijumamohamed2 ай бұрын
Hivi nikitaka kujiunga na live kama hizi nifanyeje?
@alijumamohamed2 ай бұрын
Kwa Zanzibar 🇹🇿 mutaanza lini? Nataka nikupe maagizo ya kwenda kuwapiga familia yangu,i will pay you
@alijumamohamed2 ай бұрын
Kumbe ulikuwa unamwa mkuu,aise pole sana nilikuwa sijuwi
@EBMSWAHILI2 ай бұрын
Asante sana
@lijonjo2 ай бұрын
@@EBMSWAHILI Nijibu kwa E-MAIL plz
@alijumamohamed2 ай бұрын
Sasahivi hapa Bahrain 🇧🇭 ni 33 cent greed
@danfordgabriel83042 ай бұрын
Mr EBM kuna e mail nimekutumia, mda kidogo naomba uziangalie
@alijumamohamed2 ай бұрын
Ah huyo hakosi maji ikikaa hapo
@Laizer3Ай бұрын
HUKU BONGO 😂NIDA TU WANATUZUNGUSHA MWAKA ALAFU MAREKANI DAKIK 10 UMESHAMALIZA JAMBO.