Maisha ya Marekani kipindi cha SNOW kali (Winter)

  Рет қаралды 11,827

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 9 ай бұрын
Join EBM SCHOLARS Community at ebmscholars.locals.com/
@ShaniAbdala
@ShaniAbdala 9 ай бұрын
Shukran naubarikiwe sana nitajiunga sas
@ishengomanelson
@ishengomanelson 9 ай бұрын
Ni vizuri unaonyesha hii hali ili wale wote wenye tamaa ya kwenda nje waelewe. Wengi wako hapa wana kiwewe cha kwenda tu nje wakaone mataa, majumba, eti wakale bata. Hakuna mtu mwenye fikra sahihi anafikiri Ulaya ni kula bata na kama ndugu zenu, movies, wengine wanawaambia hivyo basi ni washenzi. Kabla ya kwenda nje jaribuni kufanya tafakari ya mambo yote na uamue ni wapi unataka ukaishi na sababu gani za msingi unataka hiyo sehemu sio suala la kukimbilia tu kama watu wanavyong’ang’ania kuishi Dar maisha ya hovyo na mikoani kupo. Asante BM.
@muslimmuslim512
@muslimmuslim512 9 ай бұрын
Umeongea kweli nakubaliana nawew Mia kwa mia
@bushbabytz
@bushbabytz 9 ай бұрын
Ila bongo maisha yetu mazuri sana...kwa mazingira hayo hata sitamani marekani
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 9 ай бұрын
Sio Marekani yote😂😂😂,Arizona ,Texas hawana snow ❄️ 😊
@johnstonemuhindi6574
@johnstonemuhindi6574 9 ай бұрын
It was good watching the snow ❄️ day my next destination as I relocate to the US God willingly 2025.😊
@binabeid3980
@binabeid3980 9 ай бұрын
Habari mkuu EBM hizi gari kiukwl zinatembea vzr kwa hali hii hapa mkuu maana hii ipo kubwa condion
@homeandaway2811
@homeandaway2811 9 ай бұрын
Kaka karibu Finland, hiyo snow yenu cha mtoto 😂, watu tunalala tunaota tuko Coco Beach tunaogelea , tunaamka tunakuta tuko ughaibuni kweupeee,mtu unaanza kulaani kwa kizungu, kiswahili hadi kipogoro,ni noma😅
@Josephkisava
@Josephkisava 9 ай бұрын
Duuuu
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 9 ай бұрын
Kumbe ni shida
@masukegotta2904
@masukegotta2904 9 ай бұрын
Kaka njoo Alaska!! Huku Io ndo maisha yetu😂😂
@lex_niyukuri8617
@lex_niyukuri8617 9 ай бұрын
Napenda sanaa snow jamani ❤❤🎉😢
@ezmexplores
@ezmexplores 9 ай бұрын
Snow kali sana
@zawadix9574
@zawadix9574 8 ай бұрын
Bora bongo piece of mind
@powerplus1933
@powerplus1933 9 ай бұрын
Naiona kwenye KZbin peke yake.nomaa.
@felixoyoo789
@felixoyoo789 9 ай бұрын
Good job.
@grandmaempiresecret
@grandmaempiresecret 9 ай бұрын
Poleni sana
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
Leo zanzibar kuna snow ❄️ ya vumbi balaa
@ngaribaonlinetv
@ngaribaonlinetv 9 ай бұрын
Dar es salaam nyuzi joto 34 ndani hakulaliki nje mbu yaani kama jela tu!!
@jumaabas6837
@jumaabas6837 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@kingrama2289
@kingrama2289 9 ай бұрын
Pole sana kaka
@jamesdismas4884
@jamesdismas4884 9 ай бұрын
Kaka unayosema ni kweli, Mim nipo Harbin China, na hali ya hewa ni -30 Degree🥶🥶
@amoskagika8884
@amoskagika8884 9 ай бұрын
Daaah huko ndio balaaa kabisaaa.
@tonyriziki37
@tonyriziki37 9 ай бұрын
Kaka,hku Iceland ni hatari
@alijumamohamed
@alijumamohamed 9 ай бұрын
Hapo nimwendo wa hot drinks tu kwenda mbele
@powerplus1933
@powerplus1933 9 ай бұрын
Hivi unaendaje kazini katika Hali hii?
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 9 ай бұрын
Iyo snow ni nzuri ikiwa sio nyingi sana uwa inakuwa poa kwa maana snow inawauwa baktelia wengi sana ukiangalia watu wanao ishi mazingira hayo uwa awana ugonjwa wa ngozi au ni ungoo ebm tuambie hapo
@ShaniAbdala
@ShaniAbdala 9 ай бұрын
Niko nnje ya Tanzania kwamiak km 7nataman kuja marekan kaka lkn sijui vp nawez kupat msaada
@Maishacanada
@Maishacanada 9 ай бұрын
Leo kwetu balaa
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 9 ай бұрын
Poleni, huko huwa ni zaidi
@majaliwabendera8458
@majaliwabendera8458 9 ай бұрын
Kaka leo ni hatari hivi nipo ndani sijaenda kazini leo
@AmaniMwankili
@AmaniMwankili 9 ай бұрын
Iyo sio mchezo broo
@AmaniMwankili
@AmaniMwankili 9 ай бұрын
Napambana Bado sikati tamaa mm truck driver ndoto yangu kuja ku drive uko broo ntaishi nayo tu iyoo🤔
@makirigotrekkingsafaris2138
@makirigotrekkingsafaris2138 9 ай бұрын
I wanna come to canada , help please to some review.
@dr_toyota.3371
@dr_toyota.3371 9 ай бұрын
Dv mwakani muhim
@saluyaadamz
@saluyaadamz 9 ай бұрын
Duh simchezo hatari kipindi hiki
@malickngoma5291
@malickngoma5291 9 ай бұрын
We nae mshamba sana😅😅
@OnlineEarningTz
@OnlineEarningTz 9 ай бұрын
Nilivyosiwezi baridi safari za huko acha nizisikie tu
@alijumamohamed
@alijumamohamed 9 ай бұрын
Aaah hata km siwezi baridi nikipa chance nitakwenda hivyohivyo tu najuwa nitaizoweya tu,kwamaisha ya kwetu sibora nikapigwe na baridi yenye manufaa,kuliko kupigwa na joto la njaa
@merycianachangarawe8979
@merycianachangarawe8979 9 ай бұрын
Tunashukuru mwaka huu Netherland, hatuna heavy snow Imepita wiki iliyopita kama many manyunyu, Yaani Tunashukuru mno Poleni kwa Biden na maeneo mengine ya ulaya😢
@monitorFund
@monitorFund 9 ай бұрын
Inawezekanaje kupata scholarship nje ya nchi ??
@tembatembele5332
@tembatembele5332 9 ай бұрын
Utakaa ndan kama hunywi bear club c zipo
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 9 ай бұрын
Hii chumvi ndio ya tu tunaita ya mawe au ni spesho kwa ajili ya snow 😂😂😂😂
@shamshabani2262
@shamshabani2262 9 ай бұрын
Nii special kwa ajili ya snow tu
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 9 ай бұрын
Asante sana ndg
@jitathminitv3429
@jitathminitv3429 9 ай бұрын
Huku mwananyamala utawala tu
@Johnysepetu
@Johnysepetu 9 ай бұрын
Bro hiyo snow mbona ndogo sana asee umefika Russia 🇷🇺 wewe afu si hata hatuwazi na kazi tunapiga acha vitisho bro.
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 9 ай бұрын
🤔🤔daah hy ni hatarii sana
@GabriellaMakatu-jf2lq
@GabriellaMakatu-jf2lq 9 ай бұрын
Duu; nazdhani baridi ni kali sana
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
Njia za kwenda ughaibuni 2024. Mahojiano na @SimuliziNaSauti
33:20
Kujiunga na jeshi Jeshi la Marekani | Taratibu na faida zake
12:29
MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI/ MIKOCHENI JIJIDI DAR ES SALAAM/ WAHI SASA:
5:40
Tour of my neighborhood (Belton, Missouri) during heavy snow
18:11
Powerful night thunderstorm - Heavy Rain and Thunder - Rain Sounds for sleep - 1 hour Windy Rain
1:00:20
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН