Maisha ya upweke na depression Marekani - tofauti na maisha tuliyozoea ya Afrika

  Рет қаралды 3,910

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@edwardmukama9607
@edwardmukama9607 Жыл бұрын
Asante sana wewe mi mtazania mwenye moyo safi kwa ajili ya wezako hili Tz ubarikiwe laiti watz eengi tune kuwa ba moyo kama wako wengi tungeendelea kimaisha
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim Жыл бұрын
Ahsante saaana Mheshimiwa Ernest Makulilo kwa kweli weye ni Mtu wa mhimu saaana katika jaaami
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 Жыл бұрын
Wajina wangu nakukubari Sana Mungu akufanyie wepesi Sana kwenye Judi zako
@jumajames1767
@jumajames1767 Жыл бұрын
Inshallah ntafika huko
@gilbertokeree1649
@gilbertokeree1649 Жыл бұрын
Ipo siku yangu tu.... hatimaye ndoto yaja. Mungu yupo.
@NIMFASHADieudonne-cy1fx
@NIMFASHADieudonne-cy1fx Жыл бұрын
Asanteni kwa kutuonyesha birivyo huko amercan nina imani tutafika
@NIMFASHADieudonne-cy1fx
@NIMFASHADieudonne-cy1fx Жыл бұрын
Tunamutanguza mngu mbere
@Olethrowback
@Olethrowback Жыл бұрын
Asante kaka
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain Жыл бұрын
Belton nimepapenda Kabisa.. pamoja sana mkuu 5/5 🇨🇩🇨🇩
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz Жыл бұрын
Kaka kwema mungu mwema sana samahani ivi uko kentaki ni jimbo gani america kaka 🌍🌍🌍
@aoloathumani10
@aoloathumani10 Жыл бұрын
Pamoja bro 👍👍
@ireneshayo1447
@ireneshayo1447 Жыл бұрын
LONELINESS IS REAL huku Jmn…🙌🥺
@alexhamisi
@alexhamisi Жыл бұрын
Hi
@ireneshayo1447
@ireneshayo1447 Жыл бұрын
Hi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Жыл бұрын
Hayo mazingira ndio mazuri kuishi kuliko mjini kati maana pametulia vizuri sana
@Olethrowback
@Olethrowback Жыл бұрын
Hivohivo tutaweza kaka ebm
@AlexisCongera-so4mi
@AlexisCongera-so4mi Жыл бұрын
Nakufuata vizuli sana kaka unapo zidi kutupa mapya
@saviorJesusChrist
@saviorJesusChrist Жыл бұрын
Kaka billy izo zote zinaweza fika ngapi mwezi wote mpendwa
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Introvert...,nayapenda sana hayo maisha.
@swahiliicttutorials5568
@swahiliicttutorials5568 Жыл бұрын
Upweke na utulivu ndo maisha yenyewe napenda sana utulivu huo. Unafanya mambo yako kwa utulivu. Hakuna makelele
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz Жыл бұрын
Wewe ni mmoja kati ya watu wenye moyo kutoka tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 umew
@mabadamabada8631
@mabadamabada8631 Жыл бұрын
Asset namba moja ya Watu Wengi ni kazi ya siku (A day job) kazi zinakufanya uwe busy Maana yake you are working for money, Lakini ukijifunza namna yaku invest Hela kwenye interbank foreign exchanging markets pia Your money will work for you. Kisha utakua na uhuru wa kuishi maisha yako muda wote. Siyo kuishi maisha ya Boss wako anavyotaka.
@hon.fahadijumalikwena1012
@hon.fahadijumalikwena1012 Жыл бұрын
Boss huko sehem unakaa ni kama kibamba au DSM ni sehem gan
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👍👊✌️。
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz Жыл бұрын
Wengi tanzania tulikuwa atuyajui ya america 🇱🇷🇱🇷🇱🇷 kwamba kuna kitu kinaitwa dv lottery umetufumbua macho na ss tunapambania ndoto zetu 🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏mungu akubaliki sana mwanza tanzania
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Hapo kwa mail...na meli nimecheka😅 Kweli kizungu kilikuja na mail
@mashulano4362
@mashulano4362 Жыл бұрын
😂😂😂, Hiyo ni Marekani ya kijijini Bro, ndio maana hata Nyumba zao ni za chini sio ktk Ghorofa… tofauti ukienda ktk Miji mikubwa. Miji mikubwa changanyiken, Upweke utausikia kwenye Bomba
@danielfesto489
@danielfesto489 Жыл бұрын
mawazo ya kizamani sana but nikkwambie kitu hakuna tajir anakaa mjini sijui changanyikeni na misifa mingi 😂😂😂😂 hpo we unawaza disco na totoz 😂😂😂 waafrica bana
@danielfesto489
@danielfesto489 Жыл бұрын
mawazo ya kizamani sana but nikkwambie kitu hakuna tajir anakaa mjini sijui changanyikeni na misifa mingi 😂😂😂😂 hpo we unawaza disco na totoz 😂😂😂 waafrica bana
@lelomellowtz
@lelomellowtz Жыл бұрын
😢
@desirestudios8835
@desirestudios8835 Жыл бұрын
Ndio maana wanafukuana ana malinda
@scayoscayo3998
@scayoscayo3998 Жыл бұрын
Ebm mbona nyumba nyingi za USA hazina geti, kingine tunaomba video kuhusu gharama za matibabu Kwa hapo USA
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 Жыл бұрын
Kijijini hapo
BARIDI KALI SANA NEGATIVE 9 NA SNOW
13:36
EBM SWAHILI
Рет қаралды 2,5 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Mental Breakdown - Mkurugenzi Minisodes 8 Ep 6
22:24
Abel Mutua
Рет қаралды 12 М.
3 Simple Steps to Retire in 2025
16:55
James Conole, CFP®
Рет қаралды 19 М.
VETA YAWANOA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA
4:38
VETA Tanzania
Рет қаралды 21 М.
Njia za kwenda nje ya nchi USA, ULAYA, CANADA ni hizi hapa
13:21
EBM SWAHILI
Рет қаралды 1,8 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН