Habari za kazi bwa Eddy,tunshukuru kwa kazi nzuri sana tena sana,NAKUOMBA SANA TENA SANA TUTAFUTIE WIMBO WA MK GROUP UNAITWA "KITENDAWILI" na NONGWA aliumba Paul Vitangi
@alexanderdidas3504 жыл бұрын
Wallah huu wimbo unanikumbusha enzi hizo, Dar sasa Niko Kigali. (Kanyaga twende).
@mgenikisukari13718 жыл бұрын
wow ! nice music .RIP joseph mulenga.
@lucamartin65848 ай бұрын
Hizi nyimbo zinabeba kumbukumbu kubwa sana sometimes unaweza kujikuta machozi yanatoka....
@AbdalaMbezi10 ай бұрын
Ya kale ni dhahabu,hadij raha babu
@ashuramlapagali64924 жыл бұрын
EDDIE WIMBO UNANIKUMBUSHA MBALI MIAKA YA TISINI NAELEKEA CHUONI DODOMA KTK BASI LA CHAMPION PIA NAOMBA WIMBO AZIZA WA SAFARI SOUND WANA OSS
@flowila829 жыл бұрын
ngoma imetulia kaka wazee wa magorofani
@eddienassor4809 жыл бұрын
Umeona eh?
@katumbafred89465 жыл бұрын
Kasongo mpinda roho yake iwepo milele
@badishaaban11287 жыл бұрын
Usisahau KITENDAWILI NA NONGWA
@ramadhanimadoweka64588 жыл бұрын
kwenye album yenye huu wimbo kulikuwa na nyimbo nyingine nyingi za ukweli ziweka tuburudike
@flowila829 жыл бұрын
ndiyo mjomba eddie mziki mzuri sana
@michaelchonde57849 жыл бұрын
kitu kimetulia kweli
@othmanhassan55658 жыл бұрын
kasongo, vitangi na nundu,mulenga,makuka,morris, lister
@najmasaleh92316 жыл бұрын
Othman Hassan kaka hao watu ni hatar sana tumekula raha mno
@josephjuliusbajuta9370 Жыл бұрын
Wimbo wa vijana chanjo ya watoto mwaka 1989 sijauona na wimbo teddy wa vijana pia kuna wimbo ishara ya mapenzi ya mk ule origina haupo kuna aza wa vijana vs ogopa matapeli haziko katika Bora za tbc
@deusngowi4 жыл бұрын
Asante Eddie, naomba ule wimbo wa MK Group unaitwa MIA MWABA. Mia Mwaba ee Mia Mbwabae, mbona sikuoni mama mpenzi wangu ... if possible mwenye nao atume ktk e mail deusngowi@gmail.com